Kutia nia kwa Tundu Lisu kulivyomuibua, Askofu Bagonza, atoa msimamo kwa CHADEMA, Vyama kumilikiwa.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 15

  • @CollinsAdolf
    @CollinsAdolf 10 часов назад +2

    Asante baba Bagonza

  • @hamisimwinzagu6624
    @hamisimwinzagu6624 9 часов назад +1

    Sahihi sana inabidi tuwe na mgombea binafsi excellent

  • @willymgaya7618
    @willymgaya7618 9 часов назад +2

    uko sahihi sana askofu

  • @KasalamaAlly
    @KasalamaAlly 6 часов назад

    Ahsante nimekuelewa vizuri Askofu chama tawala kinatumia Dola Kwa uficho

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 6 часов назад

    BRAVO ASKOFU BAGONZA.

  • @robertnkyalu3241
    @robertnkyalu3241 10 часов назад +2

    Akili kubwa majibu makubwa na sahihi

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 10 часов назад +1

    Vyama vimetoka kwenye uchanga Sasa vinakomaa.Viongozi wa awali walikua wanavilea.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 9 часов назад

    Uko sahihi askofu Bagonza

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 9 часов назад +1

    Tunataka mgombea binafsi

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 9 часов назад +1

    Mgombea binafsi ni muhimu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 9 часов назад +4

    Chadema. Tu imebeba matumaini ya watanganyika siyo fisiemu

    • @econmirajifacts5411
      @econmirajifacts5411 4 часа назад

      Chadema imebeba matumaini ya wachaga cio watanzania. chama cha kanda ya kaskani

  • @BethuelofficialTz
    @BethuelofficialTz 5 часов назад

    Kumbe wanamtekagga rais na hatuelewi,

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 10 часов назад +2

    Mawakala Wammeanza kupata hofu kwa ùamuzi wa Lisu

    • @zidadumbepo1486
      @zidadumbepo1486 6 часов назад

      Umeona hee ndugu yangu mnafiki sana hyu kaulizwa swali kuhusu chadema kalukia ccm