SAUT DIGITAL
SAUT DIGITAL
  • Видео 1 697
  • Просмотров 2 014 507

Видео

Kazi imeanza, Putin sasa kupeleka Makombora ya Oreshnik nchini Belarus
Просмотров 1298 часов назад
#HABARI #ukrainerussiaconflict #news #HABARI l #RadioSAUTFm l #sautdigitalupdates#russiausa #news#ukrainerussiaconflict
Mapigano yaendelea kushuhudiwa nchini Syria.
Просмотров 768 часов назад
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Surprise ya Biden,kwa waliohukumiwa hukumu ya kifo.
Просмотров 1049 часов назад
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm Taarifa na mwandishi wetu: Daniel Samuel Muhariri: Mwanaharusi Rajab
Kutia nia kwa Tundu Lisu kulivyomuibua, Askofu Bagonza, atoa msimamo kwa CHADEMA, Vyama kumilikiwa.
Просмотров 10 тыс.11 часов назад
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm#UenyekitiCHADEMA#Tundulisu#CHADEMA
Usichokijua, maajabu ya Pamba jiji Fc katika soka la Tanzania.
Просмотров 2511 часов назад
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Baada ya Tundu Lisu Kutangaza nia, Yericko Nyerere atoa nyongo demokrasia ndani ya Chadema.
Просмотров 4,4 тыс.11 часов назад
Mwanasiasa na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Yericko Nyerere katika kuangazia tafsiri ya tundu lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti ndani ya chama hicho ametaja kuwa chachu ya demokrasia na mfano kwa wengine. Taarifa na mwandishi wetu: Yohana kipula Muhariri: Martine Michael
Putin na Orban waijadili Ukraine
Просмотров 15218 часов назад
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Ayatollah atoa siri namna majasusi wa Iran walivyotoa onyo kwa utawala wa Syria juu ya usalama.
Просмотров 3902 часа назад
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Simba yanga waliamsha mapema kimataifa, Mwanza wanaanikiza
Просмотров 412 часа назад
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Kwa mpango huu umaskini basi Tanzania?
Просмотров 942 часа назад
Serikali ya Tanzania imezindua rasimu ya dira ya taifa ya maendeleo 2050 katika hafla maalum visiwani Zanzibar. katika mpango huo masuala kedekede yanatazamiwa kushughulikiwa miongoni ikiwa ni kuvusha uchumi waTanzania hadi kipato cha kati ngazi ya juu. Taarifa na mwandishi: Micheal Ntakandi na Joseph Gervas Muhariri: Martine Michael #SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Ndege za kivita Israel zafanya zaidi ya mashambulizi 350 yakijeshi nchini Sryia.
Просмотров 1292 часа назад
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Wanasiasa wanauza nchi, Dr. Ananilea Nkya, baada ya hotuba ya Freeman Mbowe,nchi inakwenda vibaya
Просмотров 14 тыс.2 часа назад
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Mtakatifu wa leo, Mt.Damas wa Kwanza na maajabu yake katika kanisa
Просмотров 222 часа назад
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Jaribio la kujinyonga waziri wa ulinzi mstafu Korea Kusini laleta mshangao.
Просмотров 1092 часа назад
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Diamond Platnumz afunguka kilichotokea nyuma ya pazia kushindwa kufanyashow ya Furaha city festival
Просмотров 2694 часа назад
Diamond Platnumz afunguka kilichotokea nyuma ya pazia kushindwa kufanyashow ya Furaha city festival
Mashambulizi ya Jeshi la Israel yashika kasi Sryia.
Просмотров 4644 часа назад
Mashambulizi ya Jeshi la Israel yashika kasi Sryia.
Polisi wapiga mabomu ya kuzuia maandamano.
Просмотров 844 часа назад
Polisi wapiga mabomu ya kuzuia maandamano.
Misimu 15 NBA na miujiza ya Michael Jeffrey Jordan.
Просмотров 244 часа назад
Misimu 15 NBA na miujiza ya Michael Jeffrey Jordan.
Balaa la Mwamba Floyd Joy Mayweather Jr.
Просмотров 534 часа назад
Balaa la Mwamba Floyd Joy Mayweather Jr.
Sherehe za uhuru kwenye maoni ya wtanzania.
Просмотров 954 часа назад
Sherehe za uhuru kwenye maoni ya wtanzania.
Dk. Lwaitama amaliza kila kitu, awataja maadui wa chadema kuelekea uchaguzi wa chama.
Просмотров 5 тыс.4 часа назад
Dk. Lwaitama amaliza kila kitu, awataja maadui wa chadema kuelekea uchaguzi wa chama.
The end of Anger, Ruto Meet Kenyatta
Просмотров 2337 часов назад
The end of Anger, Ruto Meet Kenyatta
Hatimaye Zelensky akubali kipigo cha Urusi aomba kuzungumza na Putin
Просмотров 8 тыс.7 часов назад
Hatimaye Zelensky akubali kipigo cha Urusi aomba kuzungumza na Putin
Friedrich Merz afunguka vita Urusi na Ukraine.
Просмотров 2847 часов назад
Friedrich Merz afunguka vita Urusi na Ukraine.
Iran imefungua njia ya mawasiliano na waasi katika uongozi mpya wa Syria
Просмотров 8567 часов назад
Iran imefungua njia ya mawasiliano na waasi katika uongozi mpya wa Syria
Taiwan sasa kuikabili China Kijeshi, wanajeshi waingia mzigoni kibabe.
Просмотров 2897 часов назад
Taiwan sasa kuikabili China Kijeshi, wanajeshi waingia mzigoni kibabe.
Rais wa Korea Kusini apigwa marufuku kuondoka nchini humo
Просмотров 6797 часов назад
Rais wa Korea Kusini apigwa marufuku kuondoka nchini humo
Miaka 63 ya uhuru, demokrasia ya Tanzania imepanda ngazi moja.
Просмотров 767 часов назад
Miaka 63 ya uhuru, demokrasia ya Tanzania imepanda ngazi moja.
Mfahamu mkandarasi mtata aliyeongoza mapinduzi Syria.
Просмотров 4597 часов назад
Mfahamu mkandarasi mtata aliyeongoza mapinduzi Syria.

Комментарии

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 15 минут назад

    HUU UCHAWA UNAINGILIA WAPI? YERIKO YUPO SAWA KAMA NDIO HIVYO NI VEMA KUWAITA WAFUASI BADALA YA MACHAWA

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar 2 часа назад

    Zanzibar ni nchi pekeee yenye siasa za kihistoria

  • @BethuelofficialTz
    @BethuelofficialTz 5 часов назад

    Kumbe wanamtekagga rais na hatuelewi,

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 6 часов назад

    BRAVO ASKOFU BAGONZA.

  • @KasalamaAlly
    @KasalamaAlly 6 часов назад

    Ahsante nimekuelewa vizuri Askofu chama tawala kinatumia Dola Kwa uficho

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 6 часов назад

    Wawili nanani alietangaza ni lissu wa pili hatujamuona yeriko

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 6 часов назад

      Watia nia huandika barua kwa Katibu Mkuu. Kutangaza hadharani kama alivyofanya Lissu ni mbwembwe tu

    • @Sh_Taqee
      @Sh_Taqee 4 часа назад

      ​@@johnmwasilu7087 kumuandikia Katibu kunazuia Mtu kutangaza?!

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 6 часов назад

    Hongera sana nilitarajia

  • @AhmedMuhammad-b5n
    @AhmedMuhammad-b5n 8 часов назад

    Kweli kabisa sababu Ukraine ni nchi huru urusi waache ubabe

  • @AyubuMpinga
    @AyubuMpinga 9 часов назад

    Hakika ni surpiz🎉🎉🎉🎉

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 9 часов назад

    Yeriko umeongea vema sana 👍

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 9 часов назад

    Mgombea binafsi ni muhimu

  • @alexmwamtobe3850
    @alexmwamtobe3850 9 часов назад

    Yerico Yuko smart sana

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 9 часов назад

    Tunataka mgombea binafsi

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 9 часов назад

    Uko sahihi askofu Bagonza

  • @hamisimwinzagu6624
    @hamisimwinzagu6624 9 часов назад

    Sahihi sana inabidi tuwe na mgombea binafsi excellent

  • @willymgaya7618
    @willymgaya7618 9 часов назад

    uko sahihi sana askofu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 9 часов назад

    Chadema. Tu imebeba matumaini ya watanganyika siyo fisiemu

    • @econmirajifacts5411
      @econmirajifacts5411 4 часа назад

      Chadema imebeba matumaini ya wachaga cio watanzania. chama cha kanda ya kaskani

  • @abrahamnyagawa1304
    @abrahamnyagawa1304 9 часов назад

    Nguvu ya Elimu,siyo rahisi sana. Kila eneo,yuko smart.elimu,watz tusome.

  • @robertnkyalu3241
    @robertnkyalu3241 10 часов назад

    Akili kubwa majibu makubwa na sahihi

  • @CollinsAdolf
    @CollinsAdolf 10 часов назад

    Asante baba Bagonza

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 10 часов назад

    Vyama vimetoka kwenye uchanga Sasa vinakomaa.Viongozi wa awali walikua wanavilea.

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 10 часов назад

    Mawakala Wammeanza kupata hofu kwa ùamuzi wa Lisu

    • @zidadumbepo1486
      @zidadumbepo1486 6 часов назад

      Umeona hee ndugu yangu mnafiki sana hyu kaulizwa swali kuhusu chadema kalukia ccm

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 12 часов назад

    MAMA NAKUPENDANGA SANAAAAAAA!NATAMANI SIKU ZOTE NIENDELEEE KUKUSIKILIZA UKIFUNDISHA SOMO LA KATIBA,

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 17 часов назад

    ASANTE Msomi Mama.Maendeleo ya nchi yataletwa tu na Katiba mpya,lakini Pia katiba mpya ithibiti utiitiri wa Vyama ili kupata Vyama viwili vyenye nguvu kama Marekani Mfano mzuri ni Vilabu viwili vya Soka vya Simba na Yanga Pia kuruhusu wagombea Binafsi maana Tanzania tumesheheni VIONGOZI wazuri wenye uwezo mkubwa sio lazima kupitia kwenye Vyama.

  • @jerome3143
    @jerome3143 18 часов назад

    Shida watawala wamepora aki za raia

  • @elizabethsaibo3658
    @elizabethsaibo3658 21 час назад

    Upinzani wanajitahidi kudai ktb mpya ila mnajua mabomu ya machozi , virungu na kwenda jela ndio watu wanarudi nyuma kwaiyo uwoga wetu ndio umasikini wetu

  • @thuwaybayahaya2582
    @thuwaybayahaya2582 23 часа назад

    Unaakili nyingi dada naomba namba yako.

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 23 часа назад

    Mama yote hayoo unayo sema upo sahihi tatizo polisi wetu nao ni tatizo kitendo cha polisi kuwasadia ccm kuiba kura ni jambo la kusikitishwa sana atuna polisi tuna polisi WACCM wanao nufaika na ccm kubaki madarakani kwa mkono wa polisi hii ni hatari kwa taifa letu polisi bila aibu wanaibeba ccm mchana kweupe na sasa watanganyika awana imani na polisi wetu kabisa mfano uchaguzi huu uliyo pita wa serikali za mitaa umechafuliwa sana kuwenguwa watu hivi nikujenga chuki kwa wananchi hivi watu wanahasira sana chochote kitakuja tokea hawa polisi watakuja piga magoti nchi ikichafuka polisi ni wachache kuliko uma mimi naamini walio chaguliwa awana raha maana wananchi awatawapa ushirikiano kabisa na wenyewe wanajuwa kuwa wataongoza watu kwa shida Tanzania imekuwa ni nchi ya kidikteta wanakaribisha umwagikaji wa damu wanao sababisha ni viongozi wa ccm na hao polisi Tusubili tuone

  • @nizarrama225
    @nizarrama225 День назад

    Huyu kibwengo anafurahisha 😂 vita imewashinda wanaona aibu NATO

  • @reginas1832
    @reginas1832 День назад

    Ni mmojawapo wa Prof. Mwenye akili Tanzania

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy День назад

    Kalee wajukuu zako usituchanganyie bamia na matembele mbona wewe hatujawahi kukuona. Kalale

  • @YourMoor-px1rd
    @YourMoor-px1rd День назад

    KITU KINACHOSHANGAZA KWA NINI CCM INATUMIA SANA VYOMBO DOLA KUWAKANDAMIZA WANANCHI NA HAO POLISI PIA HAWAJIELEWI JINSI WANAVYOTUMIWA AU NDIYO KWA MANUFAA YAO?

  • @mbagalacharambe114
    @mbagalacharambe114 День назад

    Inapangiwa matumizi na Nani? Bunge au hewani

  • @piusprospa8832
    @piusprospa8832 День назад

    mmmmh

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 День назад

    NI. ANANILEA NKYA MWANAHARAKATI MAHARI KABISA. HEKO KWAKE🌹⚘️👏🏼

  • @kwabinyanda4747
    @kwabinyanda4747 День назад

    👋👋👋

  • @peterhassan1372
    @peterhassan1372 День назад

    Sheria zipo tatizo kuzifuata na kusimamia, hivyo hata zikija zingine bado ni hivyo hivyo!

  • @HamzaHonero
    @HamzaHonero День назад

    Mm naomba kuuliza hivi Hawa wanasiasa wanatakiwa wafanyeje? Hebu hapa tutafakari vzr mana kama ni maandamano ya kupinga mambo mengi ambayo yanahisiwa hayako sawa wanasiasa hasa chadema wameitisha, je nikitu gani kinafelisha haya mambo na watu wafanyeje

  • @LucianDevenus
    @LucianDevenus День назад

    Amekula

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 День назад

    Kweli hawa wakina mboe wanaleta michezo hawapo aggressive, wakishapata pesa basi

  • @alphoncekazeba3958
    @alphoncekazeba3958 День назад

    kuongea hua ni vyepesi kwel kwel mnasahau kitu kimoja iv, 1tuna wananchi ambao hawaon umuhim wa katiba na mifumo mizur ya kiuchaguz. 2.tuna ccm na polisi ambao hawatak kuona mtu yeyote ambaye anawachalenji,mkiandamana ,mkikosoa mnapigwa na kutekwa, sasa haya yote ni changamoto kwetu, wakulaumiwa sio wanasiasa tuu jaman kuwen na huluma

  • @BeatrriceMuya
    @BeatrriceMuya День назад

    Kama huyo mbowe hana lolote

  • @BeatrriceMuya
    @BeatrriceMuya День назад

    Umeongea vizuri sana,

  • @willsoniissaya
    @willsoniissaya День назад

    Shida sisi wananchi wakawaida nimazuzu atujierewi mama nkya wewe pambana tukiambiwa tushinikize tunakaa pembeni tunawazogoa wapinzani tenawengine wanajirekodi kabisa eti nitadai sasa tena ikiwekana msijisumbue mama nkya

  • @mxfsedtirz
    @mxfsedtirz День назад

    Huamini wanasiasa, unamwamini nani? Wewe kama mwandishi mwenye weledi una mchango gani katika upatikanaji wa katiba mpya? >>CDM kosa lao nini? Waandishi wa Habari ukiwemo wewe mchango wenu katika kuishinikiza serikali kupata TUME BORA YA UCHAGUZI ni upi? >>Huamini ni wanasiasa hata wa upinzani kama CDM,mnaaminiana na nani? Mmefanya nini? Kwa faida manufaa ya nani? >>Kulalamikia kila mtu au kila Taasisi bila wewe kufanya cho chote huoni kuwa ni aibu kubwa zaidi?

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 День назад

    Nimesikiliza mara 3 na ninapanga kuisikiliza tena

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani День назад

    Hawa waache tu siasa watoto wa watu wanaumizwa wao hawaguswi kweli dada upo vizuri

  • @GadielKahemba
    @GadielKahemba День назад

    Mama una sema vema lakini tatazo lipo bungeni kwa kua wabunge ndio wanao lidhia mchakato ya kupitisha sheria na talatibu hao ndio wanao halibu.labuda ashuke mungu aingilie kati.

  • @ChristerKok
    @ChristerKok День назад

    Siku zote dada Nanelia Nkya huwa si mnafiki.huwa ni muazi .

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 День назад

    Maandamano na mtayazuia pia