GEOFF LEA: WELCOME SIMBA? NI KARIM KIMVUDI WA ORLANDO PIRATES, ANA REKODI ZA KIBABE CAF

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024
  • СпортСпорт

Комментарии • 61

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 8 дней назад +5

    Geof yupo sahihi sana! Nimemwelewa japo mashabiki tunapenda kusikia tunayohitaji

  • @Mkubwa_jr
    @Mkubwa_jr 8 дней назад +2

    Huyo ndio kamanda geoff❤❤

  • @shukranihassani105
    @shukranihassani105 2 дня назад

    Well said Geoff Leah mm nakuelewa ww ni simba pure but msemakweli

  • @AndrewAristaricko
    @AndrewAristaricko 7 дней назад +1

    Ubayaaa ubwelaaa ❤❤

  • @SojaWaBrazil
    @SojaWaBrazil 8 дней назад +4

    Yanga team yetu mbovu wazee wengi simba sasaivi mnaraha wenzetu

  • @shabanmusa5040
    @shabanmusa5040 2 дня назад +1

    Mbona hata ulaya hayo mambo yapo na mtu anaongelea sehemu ambayo haijui south africa hadi ucheze sio poa kwasababu ya ubinafsi

  • @EliasiKumpuni
    @EliasiKumpuni 8 дней назад +2

    Ukubwa wa timu kubwa unapimwa kwa namba za cuf orando na simba simba ni kubwa kuliko orando

  • @akramumkamate8511
    @akramumkamate8511 5 дней назад

    ❤❤❤❤❤

  • @charlesmakelele4268
    @charlesmakelele4268 8 дней назад

    Wanasimbaaaaa.

  • @AMANIAMANI-c5e
    @AMANIAMANI-c5e 2 дня назад

    Jaman muoneni uyu yani anawabisha adi caf leo ndo nimeamini uyu mwamba yanga damu

  • @flova7022
    @flova7022 8 дней назад +1

    Piratesiiiiii

    • @JustinMwakalukila
      @JustinMwakalukila 8 дней назад

      Kaisoma na kaitamka km ilivoandikwa kiswahili swahil lkn sio kwamba hajui chochte kaamua tyu😂😂

    • @flova7022
      @flova7022 8 дней назад

      @JustinMwakalukila mjeuri huyu😂😂😂

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 8 дней назад +5

    Huyu mchambuzi anaonekana ni kama ana DNA za utopolo, wao ndiyo huwa hawakubali ukubwa wa Simba kwa mujibu wa CAF

    • @RamadhaniMsowelo
      @RamadhaniMsowelo 8 дней назад

      Huyu ni simba dam

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 7 дней назад

      ​@@RamadhaniMsowelo
      Na wewe jiunge na Simba

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 6 дней назад

      😂, wewe kweli punda kasorobo..huyu Geof ni Simba mtupu huwa hajifichi...na simba inapokuwa haifanyi vema huwa hang'ati maneno anasema ukweli bila kuitetea

    • @ambassador1067
      @ambassador1067 5 дней назад

      Huyo anaipenda simba kuliko wewe

    • @HAPPYTADEI
      @HAPPYTADEI 4 дня назад

      Adana hutu kaongelea uhalisia wa mpira

  • @GeorgeK.Issack
    @GeorgeK.Issack День назад

    Nimemuon

  • @ipaparaymond3622
    @ipaparaymond3622 7 дней назад

    Mimi nimunyama hapa Chiba, Japan. Nikubaliana kwamba Simba siyo levo juu ya Orlando Pirates.
    Ebu mutazame The Soweto Derby: Orlando Pirates vs Tottenham Hotspurs.

  • @Joey-h2n
    @Joey-h2n 7 дней назад

    Anachokisema ni sahihi wakati mwingine tunapaswa kuuzungumza mpila tuache hizi siasa tujue hata ligi yao ipo juu naupinzani mkubwa 2 kwahiyo tunapaswa kulijua hilo binafc kaongea uhalisia huyo mchezaji akija simba atakiwasha tena sana lkn haiondoi uhalisia kua wenzetu wapo mbari kwenye mpila

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 7 дней назад

    Hamsa katoka kusin lakin hapa simba ni star

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 6 дней назад

      ,,😂😂 kwani huko Afrika kusini hakuwa star??

    • @costantineMazoya
      @costantineMazoya 5 дней назад

      Kwani si tulimnunua Kwan tulimuokota

  • @charlesmahuna
    @charlesmahuna 7 дней назад

    Sisi yanga tulijaribu kuinyea mbingu Ila Kwa bahati mbaya kinyesi kimeturudia usoni dah

  • @benedictmtasiwa8155
    @benedictmtasiwa8155 8 дней назад

    Geoff anajitahidi uchambuzi, ila Leo nimegundua anapo potoka.
    Anakosa imani au uelewa wa maana ya takwimu ktk kudhihirisha jambo.
    Haelewi kwa nini Simba Iko juu ya Pirates. Anazungumzia pesa? Al Ahli Tripoli au Pyramid zina hela but ziko chini.😮.

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu 4 дня назад

    Huyu mchambuzi anautoporo kichwani mwake 😂

  • @abdalahzungu6264
    @abdalahzungu6264 4 дня назад

    Huyu mchambuzi mboni kama kavuta bangi wakati ananjaa,yaani yeye na CAF ambao wanatoa takwimu na mwenye kuujua mpira wa Africa.ndomaana Kila mechi mnapigwa mbili Sasa bado mazembe nayeye ajipigie

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 8 дней назад +1

    Mchezaji aliyechza Simba kwenda yanga na kurudi Simba bila kupita club nyingine ni Ibrahim Ajib.

    • @emanuelkilinga9196
      @emanuelkilinga9196 8 дней назад

      Umemsahau okwi

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 8 дней назад

      Okwi hakuwahi kuchezea yanga

    • @gfvh7282
      @gfvh7282 8 дней назад

      Okwi amecheza simba na yanga wewe​@@faisaloaljabry6400

    • @ShabaniMaulidi-g4w
      @ShabaniMaulidi-g4w 8 дней назад

      ​@@faisaloaljabry6400ameshacheza Yanga wakati wa Manji

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo 7 дней назад

      @faisaloaljabry6400 Okwi alitoka Simba akaenda Experance de Tunis ya Tunisia ndo akaja yanga

  • @JUMAAli-d5y
    @JUMAAli-d5y 6 дней назад

    Huyo mwamba aje

  • @michaelamos3164
    @michaelamos3164 14 часов назад

    Huyu mchambuzi mwehu

  • @SwalahBawazir
    @SwalahBawazir 2 дня назад

    Orlando nn😂

  • @jumannekatumba44
    @jumannekatumba44 8 дней назад +1

    Timu zubeda mpo

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 8 дней назад

    Afuu hivi Salehe karabaka yuko wapi jamani.

  • @JaydenNgachengo
    @JaydenNgachengo 7 дней назад

    Simba tumeshindwa kumpata FORCY? Mimi Nadhani FORCE ni mzuri kuliko Kimvuid. Hiyo pesa ya Kimmvuidi itapotea bure. Kama Fei Toto anakuja tusingekuwa na haja ya Kimvuid.
    Voongozi mleteni Denis Omedi na Kinzumbi au Winga mwingine bora kuliko Kinzumbi. Ningefurahi kama angepatikana kiungo mkabaji bora akassidiana na Okejefa. Tumpate pia beki wa kati in case Che-Malon anaumia.

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 8 дней назад

    Wachezaji kabla hawajaja sifa kibao wakija hapa piga misumari mechi tatu au nne anaanza kusemwa

  • @RobastiBoy
    @RobastiBoy 8 дней назад

    Nawapata Kwa uzuri

  • @NagunwaShumbi
    @NagunwaShumbi 7 дней назад

    Mtasema yote muda utaongea .

  • @Mnuanofilms
    @Mnuanofilms 8 дней назад

    mpaka hapo sio mtu wa Kazi

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 8 дней назад

    Eti Orland ni kubwa kwa sababu ilishiriki fainali, kwani Simba haijawahi kucheza fainali?

  • @daudmpemba8019
    @daudmpemba8019 8 дней назад +1

    Kwa hiyo vigezo wanavyotumia caf kupanga ubora wa timu,wewe unaviona sio sahihi.tupe vigezo vyako sasa

  • @mrutu9496
    @mrutu9496 8 дней назад +1

    Mtangazaji amesema Orlando nini?

    • @AmonMlebya-id3ov
      @AmonMlebya-id3ov 8 дней назад +2

      Orlando pirates(pilatesi)😂😂😂... kachoma

    • @mndewaog990
      @mndewaog990 2 дня назад

      Yan ni mwendo wa piratesiiii mamae 😂

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 7 дней назад

    Piratesi ndo nn wee mtangazaji

  • @JonathanMgaiwa
    @JonathanMgaiwa 8 дней назад

    Sasa wewe unapima kwa kigezo kipi

  • @KareemMandela-d5l
    @KareemMandela-d5l 6 дней назад

    Utofauti ni shilingi na Land tu basi