TAMKO LA NABII MKUU KUHUSU MIJADALA YA DINI MTANDAONI INAYOCHOCHEA CHUKI - GeorDavie TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 210

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 Год назад +2

    Naona Geo Davie unajitahidi sana kuwapanga watu huko nje waje kusema Yale unayotaka Ili watu tuzidi kukuamini

  • @yasinijuma6646
    @yasinijuma6646 Год назад +1

    God bless you Nabii mkuu

  • @Kidotii
    @Kidotii Год назад +3

    Utukufu apewe Mwenyez Mungu, amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu!

  • @christinakomba689
    @christinakomba689 Год назад +15

    Waislam wanapenda maugomviiii,wao Kila wakiona mwislam kaingia kanisani wanawaza kuuwa tu aliyeifia imani ni mmoja tu,Yesu kristo wa Nazareth

    • @yuusuphhajitv5046
      @yuusuphhajitv5046 Год назад +3

      Sii kweli ndg yangu waislam niwatu wematu ila kuna wachache hawa jielewi kama hawa tuna kataa niunabii ss hatuna unabiii baada ya mtume muhammadi

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Год назад +1

      Sisi waisilamu huwezi tudanganya nabii mrongo huyo mshenzi tu hana lolote kudanganya watu tu nyinyi wakiristo chungeni

    • @emmanuelmwandu.3126
      @emmanuelmwandu.3126 Год назад

      Umenena

    • @cmb6342
      @cmb6342 Год назад

      Safi

    • @princematumbo
      @princematumbo Год назад

      Msenge kumanina mbwa wewe

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Год назад

    GEORDAVIE penda sana maombi yako,yakomeshe hayo yasokuwa na kaxi yanachojua ni umbea tu.

  • @priscusiswai5691
    @priscusiswai5691 Год назад

    Kuweni makini na utukufu wa mungu sio kumpa mwanadamu utukufu. Jehanam ina wangoja msipo geuke na kumgeukia yesu kristo

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 Год назад

    Mbona hajapewa pesa huyuuu .....Jo devii nakupenda ww baba jmn Mungu akulindeee

  • @hemedphd8532
    @hemedphd8532 Год назад +6

    Allah (s.w)kasema sema "mna dini yenu nami nina dini yangu" zinduka

    • @eaglecrown6470
      @eaglecrown6470 Год назад

      Ilakum din kum laidin

    • @engzuberir.akilenza1764
      @engzuberir.akilenza1764 Год назад

      Hawa watu ni njaa ya kichwani inawasumbua.

    • @juliuswaitathu8995
      @juliuswaitathu8995 Год назад

      Allah ( s.w) kasema "enyi mlioamini msiwafanye wakristo na mayahudi kuwa marafiki?????(Quran 5:51) semeni ukweli uislamu na ukristo ni maadui

    • @bigjizee4130
      @bigjizee4130 Год назад

      @@juliuswaitathu8995 kwa hiyo ninyi mnahubiri chuki na ugomvi sio?

    • @eaglecrown6470
      @eaglecrown6470 Год назад

      Mtume wa majini 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @USACAUDIOVISUALMATERIALS
    @USACAUDIOVISUALMATERIALS Год назад +1

    Joe Devi umewapania Waislamu, unashindana nao, hilo ni anguko. Unavyopanga mashehe wa mchongo huwezi kufaulu. Huwajui vizuri Waislamu.

  • @sophiaziki8939
    @sophiaziki8939 Год назад

    Mm naitwa sophia ziki niokoe na matarizo...mm nafamilia yang...pia kuhusu ..kuolewa niolewe nisitegwe kazini na wezang asante nabii mkuu..popote ulipo angalia mwili wangu nipo mbali mtwara sina nauli ningefika huko ashura by mm sophia ziki .amee.

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Год назад +1

    Duhh sasa mmezidi sana.. mnatumikia GeoDavie.sikiliza kuanzia 1:47

    • @gh7naa
      @gh7naa Год назад +1

      Wamepotea

  • @bigbang86
    @bigbang86 Год назад

    YESU HAKUJA KWAAJILI YA WACHRISTO TU BALI ALIKUJA KWA AJILI YA DUNIA NZIMA

  • @geraddavid7123
    @geraddavid7123 Год назад +1

    amina

  • @neemamjema1067
    @neemamjema1067 Год назад +4

    Balozi wa amani ameshasema YAKOMEEE 👏👏👏👏👏👏👏

  • @oletopoylaizer7949
    @oletopoylaizer7949 Год назад +1

    Jodevu Mungu akubariki kama vile unapoibariki watu Mungu akulinde kabisa

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад +1

    Inalillahi esinailahi rajuun. ..... Hakuna muislam hapo ninguotu ilahuyo siyo muislam

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 Год назад

    Kweli GeorDavie is no 1

  • @mariasmith4301
    @mariasmith4301 Год назад

    Ameeen ameeen ameeen 🙏🙏

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 Год назад +1

    Waislmu wenyewe wakizidiwa wanakimbilia church,ASANTE MUNGU KWA KUZIDI KUWALINDA WATUMISHI WAKO 🙏🏻

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b Год назад

      Kweli kabisa niliona moja kule Kenya Kwa pastor Ezekiel,akilia kuwa mkewe hakua na uwexo WA kupata mimba,bt wakati alianza kutazama runinga ya pastor Ezekiel akajaliwa ,so akanunulia Hadi TV na pastor wee after 1week alirudi na mineno ya ajabu,

    • @hadijamshimbula7616
      @hadijamshimbula7616 Год назад

      @@user-cg3vf2bl6b waislam wakorofi

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 Год назад

    Geodarvie leo nimekuelewa imeongea point

  • @janethkinabo3486
    @janethkinabo3486 Год назад

    Baba nakuja wikii baba unitamkie baraka babangu . naamini nikifika hapo sitakuwa kama nilivyokuwa. Acha waendelee kuropoka , mi nakuja kuchota baraka zako baba

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Год назад +1

    Ni kweli kaka sisi ni wa Mungu siku zote Mungu ni pendo bila upendo wewe ni zeroooo.

  • @rehemakulaba495
    @rehemakulaba495 Год назад +1

    Amen nimependa sana hiyo mungu ni mmoja

  • @binameirchannel5568
    @binameirchannel5568 Год назад +1

    Namna mfanya mungu ana mtoto nyinyi mnajua madhara yake au mmasema tu wew ndie unae haribu amani! Mungu akileta adhabu yake hakuna kitakachobaki wew!

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 Год назад

      Sana yani Allah atustili hu mtihani

    • @hancevalence4936
      @hancevalence4936 Год назад

      sio mungu wenu, mungu wenu hana mtoto ila ana spana za kuongezea wanawak makalio na wanaume mipini waweze kusex mimama 72 kutoka kuzimu kwa siku moja bila kuchoka, huyo siyo Mungu wao ni wenu, usichanganye kati ya Mungu anayetaka kupiganiwa na yule anayepigania, yule aliyetoa uhai ili watu wak wawe hai na yule anayetaka watu wake watoe uhai kwa ajili yake, hao ni tofaut

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 Год назад

    Kobe wew

  • @sirgcomedian4499
    @sirgcomedian4499 Год назад

    Daddy... Mheshimiwa Nabii Mkuu Dr. Geordavie Mungu akupe afya na maisha marefu.

  • @nyarugengeofficial3558
    @nyarugengeofficial3558 Год назад +2

    Nabi mkuu GeorDavie uhimidiwe naomba mheshimiwa niombee mambo yangu aende vizuri nipo Rwanda 🇷🇼 tunakupenda sana

    • @gooddeeds162
      @gooddeeds162 Год назад +2

      Read your Bible and ask God to deal with your stuff and he will do it .

    • @ambakisyemwakinunu2002
      @ambakisyemwakinunu2002 Год назад +1

      ​@@gooddeeds162 uko sawa ndugu yangu

    • @gh7naa
      @gh7naa Год назад

      Mmungu ndie anae ombwa

    • @gooddeeds162
      @gooddeeds162 Год назад

      @@ambakisyemwakinunu2002 Pamoja ndugu yangu 👏🏿

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 Год назад +1

    YESU KRISTO ni Bwana .KILA ulimi utamkiri KWA vyovyote vile .Injili itahubiriwa KWA KILA hali

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 Год назад

    Njaa ya kichwani mbaya sana.

  • @suavisndayizeye5732
    @suavisndayizeye5732 Год назад

    MUNGU akubariki Sana Mtu wa Mungu Nabii Mkuu GeorDavie Baba yangu. Burundi Gitega capital poritike

  • @JohnEMeena
    @JohnEMeena Год назад +2

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Hallelujah Glory to GOD Almighty in Jesus name hallelujah hallelujah

  • @elizabethachi3049
    @elizabethachi3049 Год назад +1

    Mungu akutunze baba angu nabii mkuu

  • @janethkinabo3486
    @janethkinabo3486 Год назад

    Jamani raha sana, hakika alochaguliwa amechaguliwa tu, hata wakupinge vipi, utabaki kuwa nabii tu

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 Год назад

    Asante nabii mkuu Dr GeorDavie zidi kutuunganisha wataelewa tuu baba

  • @amanaoman9690
    @amanaoman9690 Год назад +4

    Innalillah wainailaih rajiun 😭😭😭😭msiba huu watatokea manabii wauongo wakisemayakwamba waondio masihi,hakuna nabii baada ya mtume Mohammad s.w

    • @joelkimario
      @joelkimario Год назад

      Wewe Kaa na Imani yako acha kukashifu Imani isiyo yako. ...Ishi kwa amani na watu wote

    • @theafricaiknow6615
      @theafricaiknow6615 Год назад

      Mbona anatoa misaada tu, je angewabadilisha dini si mngekufa kwa hasira?

    • @angelatarimo1969
      @angelatarimo1969 Год назад

      Polee!

    • @pascalhwago2881
      @pascalhwago2881 Год назад

      Ndugu uamuzi ni wako,Kuokoka kwa mujibu wa Quran 2:21 na Injili ya Marko 16:16 Manabii wapo hata sasa Biblia Matendo ya Mitume 2 (Biblia Takatifu)
      ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
      ¹⁷ Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto.
      ¹⁸ Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri.

    • @jonasdaniel6142
      @jonasdaniel6142 Год назад

      Bakia na misimamo Yako hiyo na uiache misimamo ya wengine,, anae kula ngurue asimzarau asie kulanguruwe tuishi kwa amani tu,

  • @petrowayesu2053
    @petrowayesu2053 Год назад +2

    Huyu ana zima Kiki ya Yule mama Alie chora tatoo Anawazimisha ki hivo Ila uovu ulio fanya kwa yule mama Nk havijafutika uson pa Mungu

  • @agnessmalyeek9387
    @agnessmalyeek9387 Год назад

    Abarikiwe msema kwell ,baba uongezeke

  • @theafricaiknow6615
    @theafricaiknow6615 Год назад

    Mungu amesema kutoa sadaka na misaada ni ibada. Sasa waislam kwa nini wanamchukia anayetoa misaada

  • @fhgggffhg7721
    @fhgggffhg7721 Год назад

    Nayakome kabisa mungu atusimamie kabisa hakuna mtuyoyote ameandikwa kwenye uso wake eti uyu nimuislam uyu nimkrist waache chiki zao binafsi wasizingishe madini mwenyezi mungu hasimewi wala hatetewi kwamaana yeyendie mwenye uwezo wote naukumu niwake hajatuma mtu dunian kumtetea ametuma mumuabudu namuwe naupendo na amani nandi maana akawapeni salam yakwamba amani ya bwan iwenanyi nahasema amani ya bwana iwe na madin sikuizi hata waarabu hawatuulizi tena eti inte msilim yani we nimuislam wanaangalia juhudi zako zakazi tu nasidini tena kwasas wanapenda wafanyakazi wa kristo sana eti hawana vijimambo hawana vihereher hawan jeuri nawa nawaokopa sana nakuwaheshum kwaibada zao kwaamana yalema uchaw wao unaisha nguvu kwajina la YESU Hadi wakikuona tu wanaona uso wamungu mbeleayako mimi boss wangu alinambia mwenyew bila kuongea nae chochote eti wewe ni muislam kweli nikamuuliza kwanin boss akanijubu nimesha kuona baada yaapo sikumjibu chochote nilifika najipa jibu mwenyew

  • @episonfelician7670
    @episonfelician7670 Год назад +2

    Mtumish kaongea point kubwa ndivyo inatakiwa Waislm na wakrsto Tuzid kupendana

  • @maasaimkisii9089
    @maasaimkisii9089 Год назад +1

    *PASTOR Mkweli Pekeake Afrika*

  • @mckingu4004
    @mckingu4004 Год назад +2

    Amekuja kutuokoa yeye au Mungu

  • @fatumaibrahim8973
    @fatumaibrahim8973 Год назад +2

    Ameen Baba Mungu azidi kukuongoza ✍️kila iitwayo Leo🙏

  • @erickmisilakuba6426
    @erickmisilakuba6426 Год назад

    # umenikosha sana Nabii kwa mala ya kwanza

  • @koyesandatuya5422
    @koyesandatuya5422 Год назад

    Salam imewafikia

  • @kelvindaudi8417
    @kelvindaudi8417 Год назад

    Asante sana baba mungu akubaliki

  • @omysaid5092
    @omysaid5092 Год назад

    Njaa tuu si chengne Allah atuhifadhi

  • @rugendasebagabo7336
    @rugendasebagabo7336 Год назад

    Muombeye Congo nasi tupate Amani

  • @dainessukosi
    @dainessukosi Год назад

    🙏🙏

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Год назад

    Mbona hawa vinguruwe vinazid kuudidimiza uislam
    We shekh gani mbwa ww
    Unatudhalilisha tu waislam

  • @josephmugala1970
    @josephmugala1970 Год назад

    Amina,
    Mtumishi.huyo muisilam Anaye eneza chuki nafikiri siyo mtanzania.Inabidi Achunguzwe vizuri baba yake na Babu wa Babu yake Asili Yao niwapi?

  • @yasinijuma6646
    @yasinijuma6646 Год назад

    Huyo Mtumishi wa MUNGU kweli. tuache uchizi wa kwenda kwa waganga

  • @mariajerome726
    @mariajerome726 Год назад

    Watu waache chokochoko, waache kuongelea watu wafanye mambo yao, umesema vizuri sana baba yangu, nabii mkuu

  • @cmb6342
    @cmb6342 Год назад

    Saf sana maneno mazr

  • @abdul-fatahyussuf7439
    @abdul-fatahyussuf7439 Год назад +1

    Uyo jamaa ana njaa tu ndo wale wale wanousupport unabii, halafu Uislamu haujamchukia Mkristo yyt yule kilichozungumzwa pale ni Waislamu walojiingiza kusupport unabii. Kila alozungumxia amesema hana haja na unabii wako lkn wote wameongea na watu wao, na nyinyi muache sifa

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 Год назад

    HIKI CHUMA KINAUPENDO MNO
    💪💚💥

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga Год назад +1

    Safi acheni kugusa manabii wa Yesu

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 Год назад +2

    That's my Daddy 💪

  • @ibrahimhamza2029
    @ibrahimhamza2029 Год назад +1

    Hakuna muislam hata mmoja hapo wote ni makafiri hapo acheni kuudanganya umma

  • @ednakimweri494
    @ednakimweri494 Год назад +3

    Hakuna nabii mkuu dunia imeisha hiyo

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 Год назад

    Yatupilie mbali maneno

  • @yuzasivyussuph6087
    @yuzasivyussuph6087 Год назад

    Njaa mbaya sana

    • @remigimtenga7608
      @remigimtenga7608 Год назад

      Uliyeshiba mshukuru MUNGU na kuwaombea wenye njaa.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад

    Amen amen Daddy 🙌🙌

  • @neemamjema1067
    @neemamjema1067 Год назад +3

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 Год назад +3

    Hizo nibangii anazungumza huyuuu....

  • @rev.pasteuraimablebaobabt.v.
    @rev.pasteuraimablebaobabt.v. Год назад

    Hongera sana

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 Год назад +2

    Hakuna padre wa kufika hapo, labda hujui maana ya padre anawakilisha watu gani, hujui sifa zake na mchakato wa kumpata hujui

  • @mongoautographics4798
    @mongoautographics4798 Год назад

    ,aameen

  • @michaelvice8747
    @michaelvice8747 Год назад

    Kama Kuna padri au sheikhe au mchungaji anategemea aokolewe na Jo devil uyo ni mpumbavu Jo devil awez kumpeleka mtu peponi. Wachawi nyinyi WAKUBWA,,Yesu ndo tumaini la kwele,,uyo mpumbavu pepo yake lko wp malaya uyo

  • @binameirchannel5568
    @binameirchannel5568 Год назад +1

    Mkikaa mkaacha mambo yenu ayo nasisi hatuna ugomvi na nyinyi na wala hamtu sumbui nyinyi kuwa wakristo ila mnatusumbua kubeba vyeo si vyenu nyinyi!

    • @kennah03m
      @kennah03m Год назад

      Sasa akibeba cheo si chako wewe shida yako nini??

  • @obadiajumamkaria2568
    @obadiajumamkaria2568 Год назад

    Yes

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 Год назад +4

    Sasa hyu nabii atuokoe yey ndo mungu?

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 Год назад

    HUYU MTU NI WA MUHIMU SANA NCHI HII ,TUMUUNGE MKONO NA TUMPINGE KILA MTU AMBAE ANATAKA KUFURUGA AMANI KWA KISINGIZIO CHA KUTETEA DINI

  • @jeremiapeter683
    @jeremiapeter683 Год назад +1

    Unabii Mkuu AME pewa Na Nani? Wengine Wana fungiwa makanisa HUKO..na Unabii..du!
    Wakristo Gani? Unao wafanyia Unabii Mimi naona Ni hao Waumini HAPO...maana sisi Nabii mkuu tunae mtambua Ni aliye ishinda mauti.. YESU KRISTO.pekee..

    • @JstvTanzania
      @JstvTanzania Год назад

      We ni mpumbavu usiyejielewa kama we ukishindwa kumwamini tuko watu wengi sana huku nje tunao mwamini

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 Год назад

    Naamini kweli uwepo wa dini moja ya dunia "Chrislam" ipo jirani kukamilika

  • @christinakomba689
    @christinakomba689 Год назад

    Upo sawa bababaaaa

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 Год назад

    Hallelujah 🥰🥰🥰👍👍👍🙏🙏🙏

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 Год назад +6

    Si mwislam huyo mnafiki

    • @mohammedamour4930
      @mohammedamour4930 Год назад

      Huyo katengenezwa

    • @rachelclement9459
      @rachelclement9459 Год назад

      Ni muislamu,kanisan kwetu watu wa dini zote wanaingia

    • @yasinijuma6646
      @yasinijuma6646 Год назад

      We muslam ila ujui chochote. chuki na unafiki waliowafundsha warabu na dini yao ya kichawi na majini fala wewe, amka baba

    • @lailahumaid2011
      @lailahumaid2011 Год назад

      @@yasinijuma6646 pumbavu mmoja tumia lugha nzuri .wewe na dini yako na mimi na dini yangu jirekebishe na kauli chafu

  • @japhetjairos7693
    @japhetjairos7693 Год назад

    Waislam wana chokochok sana tunawajua

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 Год назад

    Wew nae ni kobe tyu uliwaita ya nn na ulirusha ya nn

  • @Pips_Lab-v2f
    @Pips_Lab-v2f Год назад +2

    Lakumdiiinu kum walyadiiin.....

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 Год назад

    Wewe ni mwema lakini najua utashambuliwa na wenzio kama nyuki.

  • @mkukistore2816
    @mkukistore2816 Год назад

    Kumchukua mkristu na kumvalisha kanzu na kumweka kanisani akaidhalilisha dini nyingine sio jambo jema

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 Год назад

    Kweli kabisa kuna waislamu wanaipenda vita wamchokonoa nabii mkuu geodevi wanacho taka wasikie atajibu nini Yani wana umbuka Tu kumbe nabii ni nabii mkuu wa Amani hiyo vita watapigana wenyewe Kwa wenyewe wasio ipenda Amani

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Год назад +2

    Wahuni sio watu

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 Год назад

    Ameen ameen..

  • @halidmauga96
    @halidmauga96 Год назад

    SI ukweli mchungaji unachosema Bali unatumia nguvu kubwa kutangaza dini yako

  • @petrowayesu2053
    @petrowayesu2053 Год назад +1

    Matapeli ninyi Hakuna Nabii hapo huyo ni mhuni mkuu sio nabii mkuu mbona kirona iliwa fyatisha mkia Wapumbavu niny hukum yenu Ipo tu Tupeane mda

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 Год назад

    Njaa inawasumbua ndugu zetu Tz?!

  • @dominickbisharo1661
    @dominickbisharo1661 Год назад

    Huyu ni nabii na mchungaji anaejielewa dini nyingi kwa sasa zimekuwa biashara

  • @rwechungurajohn3592
    @rwechungurajohn3592 Год назад +1

    Huyo nae alitaka hela

  • @Kidotii
    @Kidotii Год назад

    Nabii ameongea vizuri kuhusu Amani!

  • @careenmouses2047
    @careenmouses2047 Год назад

    Tuache kuchukiana jamani mbinguni hatuendi kwa dini Bali ni kwa matendo mema ugomvi wa ninininini

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 Год назад +1

    Mathayo 24:24 ,Tusome jamani

    • @remigimtenga7608
      @remigimtenga7608 Год назад

      Hilo andiko ni pana sana ,Hali maanishi kuwa kuna mtume wa mwisho.Utume unaendelea hadi kiyama.

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 Год назад

      waislamu wanateseka sana🤣🤣🤣 wafatilie dini Yao jamani.

  • @milley7185
    @milley7185 Год назад

    Kuhani na mwamposa ndo maji ynuzwa msipindishe pindishe baba amelalika nao kitandani

  • @estinomkinga1260
    @estinomkinga1260 Год назад

    Hawa jamaa Wana uchungu na dini yao, Cha ajabu ktk watu 10, wanao weza kusoma kitabu Chao ni 2 au 1, au 0. kwenye dini sasa!!?

  • @anthonydcosta926
    @anthonydcosta926 Год назад +1

    AMEN

  • @faustinkikoti9735
    @faustinkikoti9735 Год назад

    Njaa mbaya sana🤭🤭🤭

  • @mongoautographics4798
    @mongoautographics4798 Год назад

    Watuachie nabii wetu hawahusu wao wazungumzie mambo yao

  • @siloomar7699
    @siloomar7699 Год назад

    huyu jamaaa cc hatawajui wakiristo km hamuwapend waislamu