NABII MKUU AWATAKA WAKENYA TUMSAPOTI RAIS - GeorDavie TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 47

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 3 дня назад +6

    Mungu wa Geordavie Asante sana kwa hii TUNU (NABII MKUU) Umetupendelea 🙏🙏

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 2 дня назад +2

    Nilifika gurumo ya hupako kwa mtakatifu baba yetu nabii mkuu nilikua na sadaka yangu nikatowa baha dayakutowa maisha yangu ya mebarikiwa sana na mungu wa gurumo ya hupako ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 nili ambiwa ukifika nilazima upate mabadiliko na mafanikiwa ya kweri na mafuzo ya kweri tufanye kazi tutafanikiwa

  • @Murebwayiredevotha
    @Murebwayiredevotha День назад +1

    Tunakupenda sana baba

  • @Murebwayiredevotha
    @Murebwayiredevotha День назад

    Mungu ndiyerikuchaguwa ujyeduniyani kuwokowa vinadamu natanzania pia wawe wanajivuniya wanamuchungaji muzu sana anasayidiya wanaichi nahata sirikari pia napenda kufuatiriya

  • @Murebwayiredevotha
    @Murebwayiredevotha День назад

    Mimi nayitwa devota nashi Rwanda nakupenda sana baba unafundisha vizuri Sanaa

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 3 дня назад +1

    Amina baba tunakupenda wanao baba tukumbuke na wanao mtaj wa biashara MUNGU akutunze mtumish❤

  • @annastziatimotheo2160
    @annastziatimotheo2160 День назад

    Amen hakika wewe BABA ni alama isiyo hamishika

  • @sebestianbaha7945
    @sebestianbaha7945 2 дня назад +1

    Amo3:7 Hakika Bwana Mungu hafanyi Jambo bila NABII

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 дня назад +2

    Waambie ukweli baba, watu wakubali kutii, proud of Tanzania. Landmark

  • @talentedboys-tv1507
    @talentedboys-tv1507 День назад

    🔥🔥🔥Geordavie..The Prophet

  • @margaretkamau9575
    @margaretkamau9575 3 дня назад +3

    I am a KEnyaN and i agree with Man of God, and i pray all church leaders will listen to Nabii, KISONGO is my SHILOH i go there just to be under this annointing.

    • @felixmugambi2237
      @felixmugambi2237 2 дня назад

      Nabii hama mganga

    • @daniels9835
      @daniels9835 День назад +1

      Sasa mtaamka lini kama mnaskiza kila mahali mnafikiria ni unabii. Nowonder we are in places we are in with such mindset.

  • @Murebwayiredevotha
    @Murebwayiredevotha День назад

    Mungu akubariki sana

  • @HopefulFlower-sn4kg
    @HopefulFlower-sn4kg 3 дня назад +3

    MTAKATIFU BABA NABIIMKUU,MH. DR
    GEORDAVIE, NABII WA IKWETA BALOZI WA AMANI . "THE LAND MARK" TUNAKUPENDA SANA.
    UISHI MILELE"

  • @MarleenClymans
    @MarleenClymans 3 дня назад +2

    ❤⚓️🙌⚓️♥️dank u jezus ❤ik prijs u als mijn heer ❤halleluja ❤amen ❤

  • @JoselineGoodluck
    @JoselineGoodluck 3 дня назад +1

    Nakupenda sana BABA yangu wa KIROHO...NINAKUAMINI kuliko ninavyojiamini ❤

  • @Chr196
    @Chr196 3 дня назад

    Barikiwa mtumishi wa Mungu -Kenya

  • @MlimaMagulu
    @MlimaMagulu 2 дня назад

    Amen mtumishi

  • @yusuphsadickkitova9805
    @yusuphsadickkitova9805 3 дня назад

    Amina baba nabii mkuu

  • @LongututiTajiri
    @LongututiTajiri 3 дня назад +1

    Baba unatubariki Sana ni vile tu hawasemi lakini mm nasema unanibariki kiroho kiuchumi yani natembea kifua mbele 🤝🤝🤝🤝

  • @wilisonsamwelongolo3822
    @wilisonsamwelongolo3822 3 дня назад +1

    amos 3:7 hiyo baba asante nabii wangu 😊

  • @SamwelMollel-br9md
    @SamwelMollel-br9md 3 дня назад +1

    Safi sana

  • @alizakayo3963
    @alizakayo3963 3 дня назад +1

    Amen Amen 🙏🙏

  • @bambuguyasamuel3107
    @bambuguyasamuel3107 3 дня назад +1

    ❤❤Amen ❤️❤️

  • @PonsionoMamboleo
    @PonsionoMamboleo 3 дня назад

    This is great....

  • @Murebwayiredevotha
    @Murebwayiredevotha День назад

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 3 дня назад +1

    Amen

  • @FrancisMarwa-g2w
    @FrancisMarwa-g2w 3 дня назад

    Baba Asante ila niombee

  • @SamwelMollel-br9md
    @SamwelMollel-br9md 3 дня назад

    Nikweli kabisa ❤❤❤

  • @CLEMENTNDOLE
    @CLEMENTNDOLE День назад

    Hivi unabii Kwa wakati huu unapatkanaje? Au kuna vyuo vya unabii Kwa sasa?

  • @Murebwayiredevotha
    @Murebwayiredevotha День назад

    Shikamoo

  • @wilisonsamwelongolo3822
    @wilisonsamwelongolo3822 3 дня назад +1

    NABII MKUU WA TANZANIA NZIMA

    • @Daudimakaza-s1v
      @Daudimakaza-s1v 3 дня назад

      Mm namueshim huy mtu nyie ajui kwnn anapenda wasanii yy amesha nawa kuobilia kl kiumbe

  • @BalinabaSinkonde
    @BalinabaSinkonde 15 часов назад

    Mimi yeremia namimi nataka kubalikiwa

  • @Kenyan_Duke
    @Kenyan_Duke 2 дня назад

    Si ivo mtumishi bali ni Rais Ruto mwenyewe ako na kiburi kwa watu wake,,,🇰🇪

    • @emmanuelmwakyoma5746
      @emmanuelmwakyoma5746 2 дня назад +1

      Wewe ndo unakiburi mpaka unamwita Rais wa nchi anakiburi neno baya Hilo ndilo hata gachagua alilitumia kumwita ruto anakiburi ameshushwa chini

  • @BenardHalele
    @BenardHalele 3 дня назад

    Mungu wanabii naomba nituwe mzigo nilio ubeba mabegani mwangu

  • @veterinarytips8059
    @veterinarytips8059 2 дня назад +1

    nimemwona Mc pilipili ewaaaaaaa

  • @HassanSadiki-l5c
    @HassanSadiki-l5c 3 дня назад

    MchaMungu hawez sema mi nimemuabudu siku nying......
    Cha msingi ni kukubalika kw ibada .
    Waeza fanya ibada miaka 100 na ukashindwa ni mwenye kufanya ibada miaka mitano...

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 2 дня назад

    MWALIMU MWAKASEGE

  • @SimonMathu-h5e
    @SimonMathu-h5e 11 часов назад

    Hadi shetani anatabiri

  • @chrismassawe2939
    @chrismassawe2939 2 дня назад +1

    Wajinga ndio waliwao Nabii wa wapi?mkuu ni Yesu ndie Nabii mkuu...watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa

  • @pastormwanjatv1000
    @pastormwanjatv1000 2 дня назад

    Siulisema hauiamini bibia kuwa imechakachuliwa sema vya kwako tu

  • @wilisonsamwelongolo3822
    @wilisonsamwelongolo3822 3 дня назад +1

    NABII MKUU WA TANZANIA NZIMA