BONDIA SHABAN_KAONEKA LIVE: UNABII NA KUONDOLEWA UCHAWI | AMTAJA MANDONGA - GeorDavieTV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 63

  • @blessinggal9310
    @blessinggal9310 Год назад +1

    Afadhari alikimbilia kwa Yesu sio kwa waganga ,,,

    • @Kaizirege
      @Kaizirege Год назад

      Na saa hv kawa tajiri

  • @Biggiey88
    @Biggiey88 Год назад +6

    Huyu jamaa hawezi toboa maana wivu wake unatoka moyoni sio wa maendeleo

  • @petrowayesu2053
    @petrowayesu2053 Год назад +4

    Uyu nabii ye hatabilig dhambi za Mtu yani uje na Udanga wako unadanga havidangiki anakubariki nye watu Vipofu kweli nyi ni vipofuuuu Huo ni uhun sio Mungu mungu hatishiwi kulala hata mitaron Anataka utakatifu kwanza Watu hawaokoki mnawatabiria Shenzi tyu

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 Год назад +1

    Mimi ni miongoni mwawatu wanaomukubari 0/100 nabii mkuu
    Ila kwahili naenda kujuwa ukweli usiokuwa na shaka.Kaoneka akitobowa namimi ntaamini nakusema kweli Nabii mukuu ni mkweli tena ni Nabii wa Mungu

  • @rashidhamis5320
    @rashidhamis5320 Год назад +1

    Mandonga mchangamfusana umepotelea mbali sasa

  • @karimmarcelo7164
    @karimmarcelo7164 Год назад +1

    Nabii wa mchongo

  • @emmanuelingimba7381
    @emmanuelingimba7381 Год назад

    nabii unapenda kusifiwa ww atr

  • @emanuelgrevazi3483
    @emanuelgrevazi3483 Год назад

    Hivo t angepewa Salam Malia malakumi

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 Год назад

    Baraka za mwenyezi Mungu zinaitaji mabadiliko binafsi mbona huwafundishi kubadilika na kurejea kwake

  • @shedyb990
    @shedyb990 Год назад +1

    Hiyo ni roho ya kwa nn,

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 Год назад

    Njaa itakutia moton muislam gan usojitambua unamuomba MTU wakat hana mpango wowote fk

  • @abdulshakurmshindo9040
    @abdulshakurmshindo9040 Год назад +1

    Kwa kufuru ulioifanya na hasadi uliokuwa nayo huenda ukadidimizwa ktk bahari ya umaskini mpk pale utakapo amua kuibadilisha nafsi yako

  • @aminangombe8815
    @aminangombe8815 Год назад

    Wivu tu 😁😁😁

  • @baby_face_
    @baby_face_ Год назад +1

    apana iyo ni wivu mungu asipende ivyo 😢

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 Год назад

    Mtume Muhammad sala na salam ziwe juu yake anasema yoyote atakaemuende mganga au kuhani na akayasadikisha Yale anayoyasema kwa hakika mtu huyo ameyakufuru yote aliyoteremshiwa nabii Muhammad kazi kwako bondia shaban

  • @balkissmuhammad5090
    @balkissmuhammad5090 Год назад +1

    Laaanatullah

  • @erickykoyanga9364
    @erickykoyanga9364 Год назад +1

    Wivu

  • @rabiaiddi2884
    @rabiaiddi2884 Год назад +1

    Sasa wewe umeenda kumlaumu mandonga au umeenda kufanyiwa maombi? ndo maana hufanikiwi ndugu yangu una chuki ndani yako tena usingetaja mandonga si ajabu ungepewa hela lakini kwakua umeenda kwa chuki ndo maana umetoka empy kuchua moyo kwanza 😢

  • @suavisndayizeye5732
    @suavisndayizeye5732 Год назад +1

    MUNGU akubariki Sana Mtu wa Mungu Nabii Mkuu GeorDavie.

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 Год назад +1

    Vumilia ndugu yetu kaoneka MUNGU kuna muda anakuacha peke yako na akili zako ukifanikiwa vile anavyo hitaji yeye akikuinua utainuka mazima

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 Год назад +1

    Niko pale........ 😆

  • @hemedytengu5718
    @hemedytengu5718 Год назад +1

    Allahu yaghlam, huenda ukawachini zaidi yahapo

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 Год назад

    Shabani nae kaingia ngurumo ya upako! Akina shabani karibuni

  • @josephakure6743
    @josephakure6743 Год назад

    Nabii mkuu,ngurumu ya upako napokea nyota,kufuguliwa baraka na pia niko huru kwa jina ya Yesu Kristo.Amen

  • @shafiimwehemba4549
    @shafiimwehemba4549 Год назад +1

    Tatizo we wivu umezidi lakn pia haujitumi, acha ujinga huo

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 Год назад +1

    Mazito jamani huyu jamaa aibu tupu, huyu kawa mganga kabisa

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Год назад

    Shabani juu kwanzia leo

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Год назад

    Yuko sahihi

  • @jeremiapeter683
    @jeremiapeter683 Год назад +1

    Haya Kaka@Kaoneka MANDONGA NYOTA yake AME pewa na MUNGU we endelea kuhangaika. Kwa Wana Damu uone Kama NYOTA yako ita ngaa..kupigwa UTA pigwa.
    Na uki mpiga Ni Kama Kaku PGA TU.@ MANDONGA MTU KAZI.🦾🦾🙄🤣🤣

    • @angelatarimo1969
      @angelatarimo1969 Год назад +1

      Nakuhakikishiia KAONEKA kaja kwa NABII MKUU WA MUNGU. Sikilizia na uangaze macho yako utatambua kuwa nabii mkuu kachaguliwa na Mungu 👊

    • @angelatarimo1969
      @angelatarimo1969 Год назад

      Nabii mkuu Wa mungu balozi Wa aman.Hajawahi kutamka neno likaanguka.tena analitamka kirahisi ila lina nguvu kubwa tamko lake nakwambia sikilizia walahi uaipenda hiyo show

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Год назад

      @@angelatarimo1969 hahaha 🤣🤣🤣 wakiristo jamani muna mambo

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 Год назад

      ​@@angelatarimo1969 Hujui usemalo Mungu akusaidie 😥

    • @angelatarimo1969
      @angelatarimo1969 Год назад

      Wee acha mambo mengi tulia sikilizia

  • @jabirmwalimu2104
    @jabirmwalimu2104 Год назад

    pumbavu kabisa! unakufuru wivu utakuua

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Год назад

    Savi sana

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Год назад

    Atabarikiwa kwanabii

  • @rev.pasteuraimablebaobabt.v.
    @rev.pasteuraimablebaobabt.v. Год назад

    Hongera

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga Год назад

    "Ameeeeeeen .

  • @neemamjema1067
    @neemamjema1067 Год назад

    🔥🔥🔥👏👏👏👏

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 Год назад +1

    Mtoto wa kiislamu huyo? Hakuna nabii hapo huyo ni kafiri kama makafiri wengine utume na unabii ulishafungwa nabii na mtume wa mwisho ni muhamad... We kaoneka jiangalie sana njaa isikuyumbishe kana kwamba uislamu huujui unazungumzia nini kwa watu walokufuru kama huyo anaejiita nabii hali ya kua moyo wake unajua kua anaongopea watu.

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 Год назад

      Manabii wapo na mitume wapo aliyekudanganya mwisho Muhamad wote hamjielewi

    • @chenyakwihela1637
      @chenyakwihela1637 Год назад

      Naamini uislam huujuwi vizuri wewe bado bendela fata upepo mjinga tu

    • @captenndunga6745
      @captenndunga6745 Год назад

      @@chenyakwihela1637 sasa wee si kafiri kama huyo lazma ushabikie ujinga

    • @captenndunga6745
      @captenndunga6745 Год назад

      @@warakawayohana2896 kitabu gani kinachosema unabii na utume unaendelea? Mana usiseme kwa ufahamu wako toa maandiko

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 Год назад

      @@captenndunga6745 kwanza tambua maana ya nabii na maana ya mtume ndio utaelewa sio inshu kubwa kama unavyoibeba Mungu hajawahi kuondoa karama alizowapa wanadamu kwa sababu ya mtu mmoja eti mohamadi

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 Год назад +1

    Niko pale........ 😆