Kwanini Marekani kuna HOMELESS wengi? fahamu vizuri system ya huku, matumizi ya DRUGS.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 90

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 Год назад +3

    Ya wavuvi na wengineo huwa ni wageni hapo sio wazawa.wengine hawana vitambulisho wameingia kimagendo.ila kazi kibao ulaya tatizo uvuvi na kuendekeza ulevi. Hata kama unalipa mjengo na ipo mijengo bei rahisi.

  • @alexnestory5295
    @alexnestory5295 11 месяцев назад +1

    Nakubari bro shukran kwa kutupa maelezo maziri ya kutosha

  • @teddydeo8460
    @teddydeo8460 Год назад +5

    Napenda kufanyakazi nafikaje huko nakukubali sana Kaka naomba namba yako ya simu asante I have the dreams

  • @jacqklinewambui5415
    @jacqklinewambui5415 Год назад +1

    I'm liking your content you are honest and positive about homeless that its not such a scary thing to be in use as long as you are on the right

  • @samsgilman01
    @samsgilman01 3 месяца назад +1

    Shukran sana

  • @aysheraden7718
    @aysheraden7718 Год назад +11

    Kazi ni hata huku uk 🇬🇧 baba ukiwa na elimu na usiwe na elimu wewe utaishi tu maisha mazuri kama sio mvivu

  • @AbduliThimosi-mr2iu
    @AbduliThimosi-mr2iu Год назад +1

    Big up san kaka

  • @luckysichone6705
    @luckysichone6705 6 месяцев назад +1

    Nafikaje huko mwamba mimi n mpambana haswa

  • @NgusaMaduhu-r6s
    @NgusaMaduhu-r6s Год назад +2

    Safi sana

  • @DavidMwakilembe
    @DavidMwakilembe Год назад +3

    hi channel bomba sana kaka asante kwa kutupa info za uko

  • @Bokushka
    @Bokushka 9 месяцев назад

    Nice 👍

  • @hajijecha
    @hajijecha 3 месяца назад

    I'm from zanzibar - Tanzania Nisem ukwl huu jamaa ana ni educate sn ila mm napat vit vingi tu kutok Kwak bro lkn kuhus kutamani kuish marekan sijawh kutamn couz mm inanipa energe ya ku Creative vit

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 3 месяца назад

    Mshana komaa Mzee 😢😮😮

  • @mustaphaselemani8367
    @mustaphaselemani8367 Год назад +1

    Broo natamani nifike huko nipe connection please broo

  • @sharifukilongo2565
    @sharifukilongo2565 Год назад

    Appreciate

  • @rashidialiuwali939
    @rashidialiuwali939 Год назад +2

    unaongea ukweli bro

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 месяцев назад

    ✌👊👍.

  • @mwanaidibakari3657
    @mwanaidibakari3657 Год назад +1

    Nakuliza green card ni nn?

  • @ReubenDaimon
    @ReubenDaimon Год назад +1

    Mimi natamani kuja huko naomb nisaidie bro

  • @John.mbai1
    @John.mbai1 Год назад +1

    Mm ni truck driver. Ni vip naeza pata job

  • @HadjarUwimana
    @HadjarUwimana Год назад +1

    Safiii saaaan kak kwa ushauri Nimepend saan ushauri Wako Naomb Number yako

  • @salesiomweda1747
    @salesiomweda1747 Год назад +2

    Muito obrigado pela informação

  • @mwanaidibakari3657
    @mwanaidibakari3657 Год назад

    As Salaam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh....Vp kuhusu vyajula viko high na vp kuna Dala Dala huko?

  • @sharifukilongo2565
    @sharifukilongo2565 Год назад +4

    Kaka,kuwa host wangu mkuu

  • @NgusaMaduhu-r6s
    @NgusaMaduhu-r6s Год назад +2

    Tunashukuru sana kijana tuma namba yako

  • @denisijosephati
    @denisijosephati 3 месяца назад +1

    Mimi nipo Kagera muleba, nataka nije huko nihubiri injili ya bwana yesu, VP hapo kijana naweza fikia kwako?

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Год назад

    😂😂😂 Eti unaferi unaanguka vibaya puuu kama embe 😂😂

  • @sharifukilongo2565
    @sharifukilongo2565 Год назад +1

    😂😂😂😂😂, tuacheni tutajua huko huko nje kama maisha magumu ama meoesi

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 3 месяца назад

    Kiongoz mim truck driver nipo congo kwasas nisaidie mpango uko

  • @salumomar5234
    @salumomar5234 Год назад +1

    Mona naskia kumpata document ya kazi huko ni ngume

  • @thomasmwasongwe7790
    @thomasmwasongwe7790 Год назад +5

    Mshana kwema kaka samahani nisaidie number yako nikutafute tuongee private please naomba ushirikiano wako brother.

  • @posterfarjarman967
    @posterfarjarman967 Год назад +1

    nakuja kesho

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Год назад

    JACk wa USA

  • @mashaali6519
    @mashaali6519 Год назад

    Ni fixing umeme kwani mwenye nyumba awezi ku fixing

  • @MohamedyNakupepe
    @MohamedyNakupepe Год назад

    100

  • @michaelprofessional7574
    @michaelprofessional7574 Год назад +1

    korea kusini kunyoa mnyoo wa kawaida ni 40000 tsh. marekani ni bei gani ?

  • @robertcosmas8314
    @robertcosmas8314 Год назад +1

    Nauli kutoka dar adi uko n shingap

  • @salumsalum8866
    @salumsalum8866 Год назад +3

    damn. bt ulienda kwa ajili ushind wa Dv?

  • @steventweve3820
    @steventweve3820 Год назад +2

    Sawa

  • @DicksonWatenz
    @DicksonWatenz 14 дней назад

    Ww unakaa wap

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 Год назад +2

    la ilaha muhamad rasulillah...kazi na swala
    tusisahau kumuabudu allah,wherever we're.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      Kumbe we mwislam. Nakuonaga kwa mzee wa fact. Nilidhani mkristo. Kumbe mwislam mwezangu

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 Год назад

      'alhamdulillah' fil islam.@@Catherine-mh8sw

  • @sharifukilongo2565
    @sharifukilongo2565 Год назад +3

    Nataka kuja huko

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  Год назад

      Umefanikiwa kupata visa?

    • @sharifukilongo2565
      @sharifukilongo2565 Год назад

      @@mshanatheblacksmith ,visa bado kaka

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 Год назад

      Nyie watoto ni wapumbavu kaaeni kwenu fanyeni Kazi huko mnakwenda kutumikishwa kama mapunda hapa huna Kazi unakula tuulizeni sisi watu tuliotembea acheni ujinga tz Kazi nyingi hapa

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 Год назад

      Ww akili hauna....

    • @sharifukilongo2565
      @sharifukilongo2565 Год назад

      On process

  • @MUSSAMWELA-m8m
    @MUSSAMWELA-m8m Год назад +2

    Nauli bei gani mshana

  • @ianjesse8525
    @ianjesse8525 Год назад +1

    Hiyo ni limousine kaka

  • @D_professional28
    @D_professional28 Год назад

    kaka nataka kuja uko

  • @ChrissGameTZ
    @ChrissGameTZ Год назад +1

    zile ps4 si ungenibwagia tu mwana 😂😂 kabla kusepa

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  Год назад

      😁zinapiga kazi home wanachukua pesa

    • @ChrissGameTZ
      @ChrissGameTZ Год назад

      @@mshanatheblacksmith sawa fanya mpango ulete mizigo kutoka US teck auze

  • @AnthonyNgowa-cs1uc
    @AnthonyNgowa-cs1uc Год назад +1

    Naomba number yako kaka

  • @ZuwenaSinde-hj9qg
    @ZuwenaSinde-hj9qg Год назад +2

    Unacho takiwa kukumbuka changamoto hazikosi kwenye maisha hakuna maisha marahisi kivyovyote vil me niko arabic nafanya kazi masaa 18 same time mpaka 22 na mshahara ni mdogo sana vyote vina tumika akiri nguvu rakini mshara ni mdogo sana ukiringanisha na kazi tunayo fanya hakuna wikiendi

  • @jactonmoris3034
    @jactonmoris3034 Год назад +1

    Mwana tupo mchongo bongo njaa nimesomea marketing

  • @levisdiamond4797
    @levisdiamond4797 Год назад

    Unataka usaidiwe nini sasa hatujali we teseka huko

    • @Bokushka
      @Bokushka 9 месяцев назад

      Acha hasira😂😂😂😂

    • @levisdiamond4797
      @levisdiamond4797 8 месяцев назад +1

      @@Bokushkahasira ya nini mimi na shaangaaa tu

    • @levisdiamond4797
      @levisdiamond4797 8 месяцев назад +1

      @@Bokushkani mwanaume hovyo

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Год назад

    Mfumo ndiyo chanzo cha nchi kuwa bora,Tanzania tupate kwanza #katibampya.

  • @MudyOmary
    @MudyOmary Год назад

    Naomba number yako ya watsap ili tuwasiliane