Vaa coti nzito la pamba boshori nzinto glovsi nzito ili kuzuia usiumwe kifua mkuu na gari wakati unalilaza hizo welipa unazinyanyua juu kuzuia kukandamizwa na barafu maisha ni kujitoa sadaka kupambania maisha yk saluut soja nakufuatilia nikiwa hapa kariakoo daresalam mr mshanna saluut 🫡
Big bro ❄️

Kwahyo hapo ukitaka kwenda kazini inakuwaje?
You better come with good explanation juu ya mama la mama 😔😔😔
Habari mr mshana ungeongea kuusu visa mashabiki wako tunataka tujue jinsi yakuja huko