Kwanini sina watoto? Kwanini vijana msiwe na watoto kama….

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 90

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 12 дней назад +6

    Bonge moja la somo mkuu nimelipata from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @norahkimambo1349
    @norahkimambo1349 11 дней назад +5

    Waambie vijana… mimi nikiwaambia wanasema sipendi watoto 🤣🤣

  • @TysonPhilip-io8bc
    @TysonPhilip-io8bc 11 дней назад +2

    Waitu wakola Muno Muno thanks for Good advice

  • @WTC492
    @WTC492 11 дней назад +5

    Mshana upo sahihi sana.
    Tatizo kubwa tulilo nalo wengi
    Ni uelewa finyu juu ya maisha
    Kuna kanuni tunazikosea
    Kuzaa watoto na kuoa hata katika umri mdogo sio kosa.
    Tatizo ni mpangilio.
    Hata huku bongo kuna watu wana mke zaidi ya mmoja na watoto wanaenjoy maisha
    Mfano Dr. Mwaka anajitambua sana
    Wengi hatuna mpangilio mzuri wa kufanya mambo
    Tuna maamuzi ambayo hatufikirii kiuchumi yana athari gani
    Mwisho wa siku tunaishi maisha ya kubahatisha
    Unakuta mtu yupo nyumba ya kupanga anazidi kuzaa kwa kasi.
    Au ana ndoto ya kuoa wake wanne
    Ukimuuliza anakwambia riziki anatoa Allah
    😂😂😂

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  10 дней назад +1

      Rizki anatoa Allah hii kauli inawaumiza wengi sana🙌🏼 😢

  • @djacobsamwel6578
    @djacobsamwel6578 12 дней назад +3

    Noma sana nakupata ktk Zanzibar

  • @mubaleeramso4138
    @mubaleeramso4138 10 дней назад +1

    For real man....alafu kuna issues za baby mamas drama ni tatizo na linaleta mental health problems

  • @CHINAINDARMARKET
    @CHINAINDARMARKET 11 дней назад +2

    Uliyoyaongea ninge yaongea mimi pia. Big up.

  • @AlexAdrian-New_York
    @AlexAdrian-New_York 11 дней назад +2

    Umeongea Fact💯💯👍

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 12 дней назад +1

    Nimewaza sana kaka ukweli umeongea point sana yani icho kitu basi tu ambaye kasikiliza hiii kujifunza zaidi mkuu from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Abilitytalent-w9n
    @Abilitytalent-w9n 11 дней назад +2

    Ability Talent apa broo somo kali sana hilo shukrani sana kaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉t🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz 11 дней назад

      MUME APIGWA MAKOFI NA WAUGUZI, NI BAADA YA MKEWE KUSHINDWA KUJIFUNGUA, ALIKUWA ANAINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
      ruclips.net/video/mQiMfFyY3TA/видео.html
      FEA OF GOD”
      HII NI AIBU KUBWA, MUME AELEZA JINSI ALIVYOCHEZEA MAKOFI TOKA KWA WAUGUZI WA HOSPITAL YA MWANANYAMALA BAADA YA MKEWE KUSHINDWA KUJIFUNGUA KAWAIDA BAADA YA KUGUNDULIKA ALIKUWA ANA FANYA TENDO KINYUME NA MAUMBILE
      LAKINI KATIKA HALI SIO YA KAWAIDA MUMEWE HUYO ALIAPA KWA KUSHIKA MSAAFU KUWA TOKA AMEMUOA HAYAWAHI KUFANYA DHAMBI HIYO MBAYA MBELE ZA MUNGU.
      MKE ALIPOTAKIWA NA YEYE KUSHIKA MSAAFU AAPE KAMA NI KWELU MUMEWE NDIYE ALIKUWA ANAMFANYA MKE AKAGOMA KATU KATU KUGUSA MSAAFU.
      VIDEO HII HAPA, USISAHU KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KUCOMMENT AU KAMA UNA MAONI WALISIANA NA CHUMBA CHETU CHA HABARI KWA SIMU NO +255713575718

  • @CHINAINDARMARKET
    @CHINAINDARMARKET 11 дней назад +4

    👏👏👏👏👏👏👏

  • @SteveThemanini
    @SteveThemanini 11 дней назад +1

    Nimejifunza kitu kutoka kwako brother,main point: do if u can in general life and if u can't don't do it
    THANKS A LOT MY BROTHER

  • @christianbernard9111
    @christianbernard9111 8 дней назад

    mshana ni kweli kabisa watu wanakurupuka kwakufuata mkumbo

  • @jacksonmthomas6519
    @jacksonmthomas6519 11 дней назад +1

    Big up bro

  • @FaustinePante-ev6pj
    @FaustinePante-ev6pj 12 дней назад +1

    Big up sana boy🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊👊👊

  • @UyRonaldo
    @UyRonaldo 11 дней назад +2

    Brother nakufatiliaga sana mimi ni mkongomani nilie zaliwa bongo ila saizi naishi new york ila unachokiongea nikweli ila sio kweli pia ungewambia watu jitaidi kutafuta mama bora ambae atakubali kuwa mamamlezi ivyo tu ndo changamoto kitu chakukuambia akuna kitu kizuri na cha muhimu duniani kama mtoto maisha sikuzote nimagumu nakunasiku yatakaa sawa ni Brother mda unakimbia utapata pesa zitakazo shindwa kuwalea wanao pesa azilei mtoto ni wew na mkeo na Kumuomba Mungu basi anyway zaa

  • @WTC492
    @WTC492 11 дней назад +1

    Hongera sana Mshana The black Smith
    Ila mshana nikushauri wekeza nyumbani pia
    Hakikisha unawekeza nyumbani viwanja, nyumba n.k
    Najua unasadia nyumbani. Lakini isiwe kwa kiwango cha kushindwa kujiwekeza

    • @WTC492
      @WTC492 11 дней назад +1

      Ni rahisi wewe kufanya hivyo sababu huku vitu bei nafuu.
      Mfano ningeweza kushauri ununue ardhi kubwa. Baade unaweza fungua hata REAL ESTATE. Ukitenga mil 100 kununua mashamba na viwanja. Baada ya miaka 10. Wewe ni billionea ardhi inapanda bei.
      Au Jenga nyumba za kupangisha hata mbili au frame za biasharaaa itakuwa ni rahisi pia kukusanya Kodi utakayosaidia ndugu au wazazi kirahisi na kuongeza miradi.

    • @arafathussein7910
      @arafathussein7910 10 дней назад

      ​@@WTC492 we umewekeza kijijini kwenu?au ndo ushauri kwa watu wakati kipindi hawajajipata ulikuwa wap?

    • @zahrababygarl1568
      @zahrababygarl1568 9 дней назад

      @@arafathussein7910😂😂😂😂😂😂

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 11 дней назад +1

    safi brother mshana hata mimi bado sina mtoto najitafuta kwanza

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 6 дней назад

    Wavivu wote wasiojiamini wote wabinafsi wote wasiomjali mungu na neno lake wote msioe wala msizae kaeni hivo hivo wala msizae

  • @binzubeirnasheed4088
    @binzubeirnasheed4088 12 дней назад +1

    Bro mshana Asante kwa ushauri mzuri nitamfata dogo pale town nitakutafuta WhatsApp nahitaji msaada wako na Amini utaniaaidia bro

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 9 дней назад

    Umarekani unawaharibu.......zaa pesa zinatafutwa...

  • @TumainiMedason
    @TumainiMedason 12 дней назад +1

    Kamanda umeongea point sana, kiukweli kuanzisha familia kabla hujajipata kibongobongo ni stress tu...mbaya zaidi uoe mwanamke mwenye watoto labda wawili yan ni balaa kulea watoto wa mwanaume mwenzio

  • @loveandsociety5379
    @loveandsociety5379 12 дней назад +2

    Sure

  • @alirajab921
    @alirajab921 10 дней назад +1

    bro lete wajomba ww acha maneno au moto hamna😂

  • @rahimsaid-sj2bl
    @rahimsaid-sj2bl 8 дней назад

    #SADBWOY_TZ GAINING KNOWLEDGE...+

  • @festoLuanda
    @festoLuanda 11 дней назад +1

    Manana umeongea point

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 11 дней назад +1

    brother na mimi niko na akili kama zako kama uliona uzungumzie hiyo kitu

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 12 дней назад +2

    Kila la kheri kaka, wadau naomba support yenu nifike 1k subscriber

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  12 дней назад +2

      Yes guys please go and support our new content creators. Pia kk piga kazi wataelewa tu💪🏻

    • @malengaWetuTv2699
      @malengaWetuTv2699 12 дней назад +1

      @mshanatheblacksmith shukrani Kaka nakufatilia kutokea kigamboni darajani hapa kila la kheri huko UGHAIBUNI🇹🇿🇺🇸

  • @rumdeesonsoa1811
    @rumdeesonsoa1811 12 дней назад +1

    Huyu jamaa anaongea madini sana

  • @HadijaKisese
    @HadijaKisese 12 дней назад +1

    Thank you

  • @festusothmary
    @festusothmary 12 дней назад +1

    💣💣💣

  • @mustafamtupa9061
    @mustafamtupa9061 12 дней назад +1

    pamoja

  • @Marwa.T.Bonaventura.
    @Marwa.T.Bonaventura. 12 дней назад +2

    Nakubali baba Ze Black Smith 🫡

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 9 дней назад

    Kwa maisha yetu ingelikuwa kila mmoja anajiandaa kimaisha mpaka apate fedha nadhani hata wewe usingezaliwa
    Tuambie basi kwa maisha yetu ituchukue miaka mingapi ili tuamue kuwa na watoto?
    Mimi nadhani wewe kutokuwa na mtoto ni insecurity tu inakusumbua una lack of confidence kubeba majukumu au pengine moto umekata 🤣
    Unafkiri kuna nini tena katika maisha unachokitafuta na kukipata ndo hicho utakachoshare na watoto wako na watu walokuzunguka hakuna maisha mengine
    Mungu aendelee kutubless kwa wenzangu na mimi wenye maisha ya kawaida sana ila tuliamua kuoa na kupata watoto na tunashkuru kwa mapambano yetu kila mtoto Mungu anampa riziki yake
    Binaadamu haachi kutafuta maisha mpaka anafukiwa kaburini kiufupi binaadamu hana kinai hatosheki na utafitaji uwe huna mtoto wewe utaenda mbio kutafuta hata ukipata watoto pia wewe unahangaika tu mpaka unafukiwa kaburini

  • @chogochogo8342
    @chogochogo8342 10 дней назад +1

    Wacha hizo umeenda Marekane umekuwa na mawazo mabaya unajua Afrika vijana huanza familia hata kama hawajapata kazi na
    hata sahi wamefikisha vyuo vikuu mara nyingine mapato huja badaye.

  • @IbrahimuFikiri
    @IbrahimuFikiri 12 дней назад +1

    Asante sana bruh kwa ushauliri wako, ila mim ninaswali kwako hivi ni mda gani au miaka mingapi ndio unaona ni mzuri kwa mtu kuowa au kuolewa nikimahanisha age.? Kaka

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  12 дней назад +1

      Hamna mda wala miaka maalumu ni ww binafsi unavyojihisi upo teyari kuingia ktk majukumu hayo but make sure unaweza ku take care your family financially

  • @Newstv33042
    @Newstv33042 9 дней назад

    Wacha ku tueng kunguni Wewe

  • @olaycereuben419
    @olaycereuben419 9 дней назад

    kila mbongo akienda ulaya na america hataki watoto
    😂

    • @olaycereuben419
      @olaycereuben419 9 дней назад

      kulea watoto huku Africa ukiwa na kipato cha dola 1000 kwa mwezi unalea vizuri sana huko ulaya ndio ghali

  • @calvinjudica1989
    @calvinjudica1989 12 дней назад +2

    Mr mshana upo sahihi,lakini jitahidi upate watoto kaka,kama ushafikisha miaka 30 zaa kaka tayari una ajira yako kuwahudumia haiwezi kuwa shida,kibongo bongo ukishakuwa na vibiashara vyako pamoja na ajira basi sio issue unazaa tu mzee wangu,sema shida kwa upande wa marekani inakuwa ngumu kupata watoto maana ukizalisha mtu inabidi child support ukatwe kwenye mshahara moja kwa moja tofauti na huku africa .yani mzazi ukipata dagaa watoto watakula hizohizo ,mkipata mchele watakula huo huo,lakini marekani ni tofauti na ndio maana watu wanaweza sex lakini hawataki watoto maana watoto ni expensive sana,kuanzia day care

  • @issambela8279
    @issambela8279 12 дней назад

    Bro Naona Ushaanza kuwa na mawazo ya watu wa Ulaya 😂😂... Yani badae uje ulee watoto Ushakuwa Mzee aaagh wapi broo huo uoga wa maisha

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  12 дней назад

      @@issambela8279 🤣🤣 but nachoongea is the reality here

  • @ibrahimKimati
    @ibrahimKimati 12 дней назад +1

    Lete madini mkuu asiyekuelewa kwenye hii tv yako ndio basi tena imeisha hiyo

  • @issambela8279
    @issambela8279 12 дней назад

    Mim Nina Mtoto na naweza sema mambo yangu naona supa kuliko hata wale wasio kuwa na watot wa umri wangu. Me naeza sema nijinsi utakavyo panga mambo yako

  • @binzubeirnasheed4088
    @binzubeirnasheed4088 12 дней назад +1

    Kaka nachukua namba yako nataka tuongee hivyo nitakutafuta mm nipo Zanzibar,,

  • @drwasikeokile7299
    @drwasikeokile7299 11 дней назад

    MSIOGOPE KUOA NA KUPATA WATOTO .WENGI WAKISHAPATA MTOTO NJIA ZAFUNGUKA TU

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 12 дней назад +5

    Kwani kutokuwa na watoto ni sifa? Watoto ni faraja, ya pekee kuliko hata hiyo pesa, hiyo itakusalimia, itakwambia pole baba unaumwa, itakuletea maji, mtoto ni tiba ya moyo

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  12 дней назад +1

      Nakubaliana na ww kuwa watoto ni faraja na blessings ila point yangu hukuielewa 😂 get ready kabla ya kuwapata

    • @rahimsaid-sj2bl
      @rahimsaid-sj2bl 8 дней назад

      ​@@mshanatheblacksmith#SADBWOY_TZ watoto jambo nzur either mapema or late but kabla ujapanga kuza unatakiwa kuwa umejiandaa ili usiyumbe kimaisha....sababu moja ya umasikin,street children's, homeless ni kupata watoto katika umri mdogo na bado una strategies za maisha..how to make 💰 🤑 💸 🎉 nimekupata vzur kaka Mshanatheblacksmith

  • @YusuphJuakali
    @YusuphJuakali 11 дней назад +1

    Hapa hakuna msichana/mwanamke ambaye ni single mother atachangia mada hii. Wengi wameharibu maisha yao kwa kudanganyana kuzaa kabla hawajaolewa. Matokeo yake wamejaa stress na malalamiko. Wanalalamikia kila mwanaume.

  • @casillascicero7944
    @casillascicero7944 11 дней назад +1

    Haya mambo yanataka akili ndefu sana ndio maana wazungu wametuzidi sana katika maswala ya familia, wewe huku africa unaambiwa zaa tu watoto watakuja na sahani zao, ila lazima ujifahamu sana katika uwezo wako wa kifedha lazima utumie akili ndefu sana wazee wanatuambia mambo amabayo hayafanyi kazi katika wakati huu, kama huna hela na uwezo achana na mambo ya familia kabisa maana hakuna haja ya kuteseka, lazma ujiandae kwanza

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  11 дней назад

      @@casillascicero7944 Bro Code ya maisha ushaijua tupo 2024-25 lakini wazee wetu wa Africa wanatuhusia mambo yaliyokuwa sawa kufanya 1900s

  • @UyRonaldo
    @UyRonaldo 11 дней назад

    Dah brother us isikufanye ukufuru ayo unayo ongea niujinga wakizungu maadili yakipumbavu kuzaa ndokitu muhimu duniani akuna kingine aijalishi vipi nikukumbushe kunamda wakulea wamarekani wengi ni wajinga sana usifate izo akili zakijinga😂

  • @HUMAID_FITNESS
    @HUMAID_FITNESS 11 дней назад

    Kama una watch hiii
    Katafute hata wa kusingiziwa 😅

  • @modenasayi
    @modenasayi 12 дней назад

    Njoo nitakupa watoto wa bure 😂😂😂

  • @hamidmohamed7727
    @hamidmohamed7727 10 дней назад

    Pumbav unapoteshs.

  • @stevengerald-e2e
    @stevengerald-e2e 12 дней назад +1

    bro napenda kujiunga na jeshi la marekani lakin nilipata 4 ya 29 kwenye cheti je naweza kukubaliwa kuingia jeshini

    • @hanschid941
      @hanschid941 12 дней назад

      Labda JKT

    • @Iam_fadheel
      @Iam_fadheel 12 дней назад

      Upo jimbo gani hapa marekani

    • @stevengerald-e2e
      @stevengerald-e2e 12 дней назад

      @@Iam_fadheel bado sijaingia marekani lakini ningependa tu kujua kwanza kabla ya kwenda

    • @noelkapesa1858
      @noelkapesa1858 12 дней назад

      Four??

    • @Iam_fadheel
      @Iam_fadheel 12 дней назад

      @@stevengerald-e2e Pambana kwanza uingie maana kuingia ndio big ishu ukishaingia vyote vinakuwa rahisi