Hamna cha ajabu katika kutumia karatasi(Tissue) chooni kama hamna maji, kwani kuchukua udhu kama hamna maji inakubalika ku-Tayyamam na vile vile kutamba inakubalika kutumia majani ya mti, mawe na kadhalika bora uondoe harufu na uchafu. Maisha ni uzoefu tu hamna jipya wala kubwa ama la kushangaza ! Nimeishi ughaibuni na nimekuta sie waAfrika tupo na usafi wa hali ya juu sana kuliko kina mwafulani, kuoga kwao mara 1 ama 2 mbili kwa wiki, choo hawaflush baada ya kutumia n.k
Shukrani Sana ndugu yangu.. SEMA maswala ya kutumia Choo cha kukaa Kuna matumizi yake nasio Kila baharia anaweza kutumia Choo vilivyo.. maana wengi niliowakaribisha hata nyumbani nakoishi wamekuwa sio watumiaji wazuri, wengi wanaacha uchafu Na bila hata kuflash ..
@kazikazitvboda2boda Sawa kaka ila kila kitu ni mazoea tu na maelekezo... Maisha ya uswahilini vyoo vya mashimo lazima itakua changamoto kiasi sio kwa mabaharia pekee ila yeyote yule BIG UP MWANAKWETU🤣🤣🤣😂😂😂😅😅😅
Eddy Kipepe mzee wa kuruka magorofa😂😂😂
Kumbe ndio zake hizooo...!!
Nawafatilia sanaa sanaa yani maisha haya
Pamoja sana. Mdau
Sema bora wasafiri wengine waanze alif kwa ujiti wengi wao wanadeli masiliano ya kiofisi na kazi.
Alifu Kwa Ujiti ndio wapi ndugu yangu..?
Tupo live
Pamoja Sanaa mdau
Kazikazi salute
Pamoja Sanaa @issaally9403
aminia man kazi kazi leo nimekuta hii Chanel first time....ughaibuni wamesanda wenyewe kwa wenyewe....hiii uwakika sasa
Wow! Karibu Sana sister, @GloryTeu Endelea kutufuatilia Kwa mengi ya ughaibuni Na mtajifunza mengi Zaidi ya kawaida
Unyamaaa
Sio poa.. unyama mkubwaa
Pindi langu pendwa love from 🇧🇮🇨🇭
Pamoja Sana ndugu.. tunashukuru Kwa comment yako Inamaana kubwa Sana kwetu
@@kazikazitvboda2boda nashkuru pia kwa mafunzo yenu maana kama wasafiri hili pindi linatukomaza sana
Best show for now .🎉🎉😂😂❤❤😅😅
Thanks alot master..
Safari kweeriii kaziii
Hatari Sanaa..
Hamna cha ajabu katika kutumia karatasi(Tissue) chooni kama hamna maji, kwani kuchukua udhu kama hamna maji inakubalika ku-Tayyamam na vile vile kutamba inakubalika kutumia majani ya mti, mawe na kadhalika bora uondoe harufu na uchafu.
Maisha ni uzoefu tu hamna jipya wala kubwa ama la kushangaza ! Nimeishi ughaibuni na nimekuta sie waAfrika tupo na usafi wa hali ya juu sana kuliko kina mwafulani, kuoga kwao mara 1 ama 2 mbili kwa wiki, choo hawaflush baada ya kutumia n.k
Shukrani Sana ndugu yangu.. SEMA maswala ya kutumia Choo cha kukaa Kuna matumizi yake nasio Kila baharia anaweza kutumia Choo vilivyo.. maana wengi niliowakaribisha hata nyumbani nakoishi wamekuwa sio watumiaji wazuri, wengi wanaacha uchafu Na bila hata kuflash ..
@kazikazitvboda2boda Sawa kaka ila kila kitu ni mazoea tu na maelekezo... Maisha ya uswahilini vyoo vya mashimo lazima itakua changamoto kiasi sio kwa mabaharia pekee ila yeyote yule
BIG UP MWANAKWETU🤣🤣🤣😂😂😂😅😅😅
@@lenniefei6710 🙌🙌🙌🤣🤣🤣
Sana Ndota sema sisi Waafrka tunawatukuza wazungu Sana lkn hawana cha ajabu bado tuna colonial mentality inabidi tubadilike Sana
Mabaki baki ya wazungu Bado yanatutawala..
Cha ajabu kipo ,jiulixe KWANN TUNAENDA kwao?
Ikifika wakati viongozi wetu wakiacha ushamba pamoja na kusomesha watu ambao hawatusaidii chochote zaidi ya matumbo yao...