WAREMBO WAMUELEWA MR RIGHT | HISTORIA YAKE YAWASHANGAZA | WAMKTAA NAOGOPA KUPIGWA (MR RIGHT S5E25)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 497

  • @sinomiles
    @sinomiles Месяц назад +27

    Hawa walembo wa Season 5 hawajuwi wanacho kitaka. Salute to Mr right

  • @ShanyMrema
    @ShanyMrema День назад +1

    Ata hao madem wote ni kisanga we temanabnao kipenz.......utapata mtu sahihi muombe mungu😇😇

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 Месяц назад +31

    Kati ya mr. Right wote kuwahi tokea huyu ndio the best in each and every thing..... Nyie mnapenda kazi nzuri sasa mimi mwasibu nikija hapo nawadanganya mchimba chumvi nipate the best women.... Akina dada hapo hamna akili kabisa

    • @SangaliPower
      @SangaliPower Месяц назад

      @@isayamwanjoka3958 ukipanda hapo ni vizur ukaongopa kuliko kuwa muwazi kwenye maisha yak

    • @LuluMtaita
      @LuluMtaita Месяц назад +1

      Hawajielewi kabisa hao,wanataka wenye kanzi nzuri wao wanazo, me mme wangu aliniambia yeye ni mvuvi na nilimuelewa kumbe ni mtu na kazi yake nzuri tu,wanaume saivi wanataka mwanamke bora sio bora mwanamke❤

    • @Tunu-p6i
      @Tunu-p6i Месяц назад

      😅😅 nenda kawadanganye alaf mwisho unasema sjaona mwanamke wa kuendana na mi hapa , uone watakavonunana

    • @TausiBwashi
      @TausiBwashi Месяц назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t Месяц назад +7

    Kijana Yuko saw🎉🎉🎉🎉

  • @RoseGeofrey
    @RoseGeofrey Месяц назад +5

    kwanza nasikitika coz hapo wote wanasira mbaya kuliko mr right akili za hao mabinti zimeganda sana ushamba umewajaa mno huyo mwanaume yupo smart sana hi show nimeipenda sana❤❤❤

  • @emmyofficial2199
    @emmyofficial2199 3 дня назад +1

    Wa nyumbn kabsa uko vzr broo

  • @EmmanuelMwambaji-g9s
    @EmmanuelMwambaji-g9s Месяц назад +67

    Hawa warembo hawana Vision,wanafikiri mtu akiwa na bachelor degree lazima awe na kazi nzuri,lakini jamaa kaacha degree zake anajituma.laiti wangefunuliwa maisha ya mbeleni.when you do what you love money will always follow...

    • @rehemashinsi
      @rehemashinsi Месяц назад +6

      kwanza hawajielewi hawa wanawake hasa hiki kizazi cha 2000 hawana wanakijua ktk maisha ote chenga tu

    • @mercychepteekilovethismovi912
      @mercychepteekilovethismovi912 Месяц назад +4

      Very true hawa warembo wajielewi

    • @HilaryChulla
      @HilaryChulla Месяц назад +2

      Wana mimba changa

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 Месяц назад +1

      Hawa ni mashetani wajina huwa hawaelewi hata wanachokitaka ktk maisha yao

    • @sectioncompany8139
      @sectioncompany8139 Месяц назад +1

      @@rehemashinsi why kizazi cha 2000 ??? mbona kunatuliozaliwa 2000 na tunamaisha pia tunapambana kuliko hat nyie mnaojiona mmekuwa sana

  • @JosephertKhumbele
    @JosephertKhumbele 28 дней назад +1

    You are such a great man❤❤

  • @DoreenNiver
    @DoreenNiver 27 дней назад +1

    Nimeipenda hiiiiiiiiii❤❤❤❤❤❤ nipatie huyu mkakka

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly Месяц назад +52

    Bora ww kaka umekosa maana hapo ungejibebea bomu 😂

    • @MerianiMrwanda
      @MerianiMrwanda Месяц назад +1

      Achana mayo hayo majtu ya tamaa hayo hmna mwanamke hapo ukyaambya bilionea yanajibebsha majnga hayo yanazeekea hapo

    • @aminaramadhan8750
      @aminaramadhan8750 Месяц назад +3

      Mm nipeni namba za uyo kaka nina hitaji wa hivi

    • @SaraphinaMwakalinga-g9k
      @SaraphinaMwakalinga-g9k 29 дней назад

      ​@@aminaramadhan8750mm pia😂😂

    • @SiaMinja-rs8cw
      @SiaMinja-rs8cw 5 дней назад

      Tena la nyuklia

  • @YunisZakaria
    @YunisZakaria 25 дней назад +2

    Mkaka Yuko vzuri sana 🎉🎉🎉🎉

  • @habimanaadrienofficial8290
    @habimanaadrienofficial8290 Месяц назад +12

    This man is very gentleman

  • @irenejessicamushy
    @irenejessicamushy 7 дней назад

    Kaka nimekupenda bure❤❤❤❤

  • @SalimDidie
    @SalimDidie Месяц назад +7

    Wanawake hawa watajuta sana maana asiyejua maisha basi usimfundishe maisha duuh hawana good life ya kudumu kam Mr right na atapata mke bora ambaye anaendana nae sio wasio jua maish

  • @BALIGEOSWARD
    @BALIGEOSWARD Месяц назад +4

    Hamna mrembo yeyote mwenye content kabsa wote Bado wako na utoto wa maisha kabsa mungu awaongoze sana aisee

  • @rachelmajura3810
    @rachelmajura3810 Месяц назад +1

    Bravo 👏👏 Mr right...I like it

  • @WilliamMshahara
    @WilliamMshahara Месяц назад +4

    Warembo hawapo tayari kwa maisha bado waendelee kudangua

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere Месяц назад +5

    Mkaka yuko vzr sana ❤

  • @ZwainhOman
    @ZwainhOman Месяц назад +14

    Nampenda mkulima mm bro duh Njoo tutalime

  • @HalymaSaid-ke4se
    @HalymaSaid-ke4se 2 дня назад +1

    Akikosa mtu nitunzieni mie nimempa tafadhar 🙏 naombeni mniunganishe mie😢

  • @MaxIsy-q6h
    @MaxIsy-q6h День назад

    Hawajielewi vizuri

  • @Matunzo_Classic
    @Matunzo_Classic Месяц назад +6

    Ingependeza sana kama mrembo anaemuwashia taa mr right awe anatoa profile yake nayeye maana ili kuwe na usawa hawa wadada washatumika sana pia wanamambo mengi wana machaguo mengi kiufupi mchagua jembe si mkulima ushauliwangu waangalie vigezo vya msingi waondoke apo maana wengine umri ushawatupa mkono

  • @NdewiriomoKimei
    @NdewiriomoKimei 29 дней назад +1

    Bro me nimekupenda ❤

  • @ZulfaMema
    @ZulfaMema 2 дня назад

    Jamani kweli hayo au

  • @EsterRayan
    @EsterRayan 12 дней назад

    ❤❤❤❤❤sanaa ww kak

  • @mariamhakim1463
    @mariamhakim1463 11 дней назад

    Namuona husen machozi hapo ❤❤

  • @HunguZambia
    @HunguZambia Месяц назад +7

    😂😂😂😂 hapendi nyashi kama mimi sipendi hizo vitu

  • @eunicemwende5079
    @eunicemwende5079 Месяц назад +18

    Hawa wadada wamenikera sana sasa mnatakaje....wengine tunatafuta kama huyu kila siku hatupati...sababu hazijanyooka 😢

    • @jumajumajoseph98
      @jumajumajoseph98 14 дней назад

      @@eunicemwende5079 🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @LithaBrighton
    @LithaBrighton 28 дней назад +1

    Nimempenda bure ni vile cko hapo ❤

  • @jimmykampate78
    @jimmykampate78 4 дня назад

    Nawafutilia sana kuna mambo najifunza sana apa Mungu awape nguvu ya kuendelea

  • @ZillahLeo
    @ZillahLeo Месяц назад +3

    hapo ni sehem ya pata potea so mungu piah afanye njia ty

  • @AminaSaidi-y3g
    @AminaSaidi-y3g 7 дней назад

    Kaka yupo vizuri sana

  • @PatianusChrispin-dn4ol
    @PatianusChrispin-dn4ol 3 дня назад

    Kweli Fatma ni kiazi asee😊😂😂

  • @SadahMohammed-c3e
    @SadahMohammed-c3e Месяц назад +3

    Pendekezo wajieleze na wao awo warembo

  • @DeogratiasSalvatory
    @DeogratiasSalvatory Месяц назад +4

    Mwanaume bora anastahili mwanamke bora na mwenye akili ya maisha hawa bado ni wa kuishi nao kwa muda hakuna wa kuwaoa hapa

  • @ChristinaTipp
    @ChristinaTipp Месяц назад +1

    My brother, smart 😍

  • @NeripherIssaya-k7f
    @NeripherIssaya-k7f 8 дней назад

    Jamn huyu s aje tu hat kwangu tuanze maisha maan hawa hawaelewi wanatak nn 😂😂 sema nina gubu 🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌

  • @YusuphYahhi
    @YusuphYahhi Месяц назад +1

    Bravo sana broo wadada wapuuzi sana

  • @MaryJoseph-d1i
    @MaryJoseph-d1i Месяц назад +2

    Yaan hapo akienda mmewangu walah atatoka na warembo wote🤓🤓🤓🤓

  • @ruthjeptoo2118
    @ruthjeptoo2118 23 часа назад

    Wow!!!uyo ndio mwanaume aliye kamilika walai

  • @NagalAdam-z9o
    @NagalAdam-z9o 3 дня назад

    Hao wadada most of them awajitambui na awajui uhalisia wa maisha yako je, pili apo most of them hamna mwanamke wa kujenga the future.

    • @NagalAdam-z9o
      @NagalAdam-z9o 3 дня назад

      Alafu wale wadada wote walio toa maoni Yao ambayo hayana kichwa wala miguu Yan wote ni wabaya hawana ata sifa mzur na yakuvutia mwanaume.

  • @LenashaNgulo
    @LenashaNgulo Месяц назад +4

    Vinajishauwa kumbe malaya ndmana wamekuja hapa , wakwendreer😅😅😅

  • @MwanaharusiAhmad
    @MwanaharusiAhmad Месяц назад +5

    Agnes no mrembo❤❤🎉

  • @Rerehemasamweli
    @Rerehemasamweli 19 дней назад +1

    Jamani hao wadada kama hawana akili wote

  • @Valentinemirehane-nv4zk
    @Valentinemirehane-nv4zk 23 дня назад

    Mleteni huyu nimpende na kumenzi much love from kenya 🇰🇪 hawa wadada hawajakomaa kimawazo

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r Месяц назад +1

    Hao wote gals thr far much far frm him,dats y cnt chose him,sio level yao,ni aibu,infact kila mtu hapo,ametetemeka,gd boy Leonard,apana yr match,u smart n brilliant,kp it up🎉

  • @peteriSimsokwe
    @peteriSimsokwe 5 дней назад

    Wakapende waendesha ndege bs awo warembo hawajajua bd maendeleo

  • @Janeth-q7l
    @Janeth-q7l 6 дней назад +1

    Jamani uyu kaka ni nzuri tuuuu Yani awa wadada wanalinga sana, mi nimempenda buleeee

    • @Mikameshiliekikivuyo
      @Mikameshiliekikivuyo 4 дня назад

      Mbona nyie Wana wake munawachagu wanaume wenye PESA kwani nyie Muna izo ela munayo taka Muna kera

  • @KhamisSheha-s4c
    @KhamisSheha-s4c Месяц назад

    Mkaka mzuri

  • @EvaristeTchinkoma-oi5rq
    @EvaristeTchinkoma-oi5rq Месяц назад +1

    ❤,nimeipenda ila profile za warembo ndo azijulikani.
    Vipi tukizijuwa pia?

  • @ZulfaMema
    @ZulfaMema 2 дня назад

    Naomba mnielekeze sem wanakuwaga nikashuhudie na mm

  • @HappinessCosmas
    @HappinessCosmas Месяц назад

    Honger brother wako yupo tu rud nyumban uta pata sahihi kwan mjin mazarau mengi we ni wa nyumban sipendi mtu kumsema mtu angal humjui vema ila yote mapito ila nime kubali maneno yako waqama sie hem mua wanqa asant

  • @SaudaKhamisi-vb8uv
    @SaudaKhamisi-vb8uv 19 дней назад

    Lulu diva wachesha anuke jasho kbs😂😂😂

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga Месяц назад

    Aaliyah❤🎉sounds good

  • @Ididish
    @Ididish Месяц назад +2

    Anipe namba yake mm nko serious natafuta bwana alie serious about relationship ❤❤❤

    • @SangaliPower
      @SangaliPower Месяц назад

      Ningejitolea mie ila we tayari ushawahiwa na yesu 😂

  • @immanueltimothy1873
    @immanueltimothy1873 Месяц назад +22

    Kaskazini stand up mazee, im so proud kutokea kqskazini na kuwa muiraq

    • @elizaboster9479
      @elizaboster9479 Месяц назад

      @@immanueltimothy1873 hahaha irqutu laway haya mauzo ya madada kama nyanya anir irqutoo altlawaka. Dah!

  • @SabinaChacha-dy2yg
    @SabinaChacha-dy2yg 26 дней назад

    Wadada wa 2000 wanapendwa kudanganywa wako ovyooo😊😊😊

  • @salmaomary7463
    @salmaomary7463 23 дня назад

    Naombeni no zake

  • @hellenmosses2834
    @hellenmosses2834 12 дней назад

    Jaman njoo huku mm nimekuelewa

  • @EnezerMarithanga-ks6rv
    @EnezerMarithanga-ks6rv Месяц назад +7

    Hawa wakinadada wanakera Sana nimelia sana😢 vichwa box

    • @AllyjumaSwadi
      @AllyjumaSwadi Месяц назад +1

      Wanataka vichaaa haoooo emu wekeni utaratibu na vigezo vyakuangalia wadada walioko serious na maisha 😢😢😢😢😢

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 Месяц назад +2

    huyu fatima nae hovyoooo😢😢😢mambo km huyajui uliza sasa analima heka zote hixo ili ale au???au hujui kilimo piya ni biashara wewe unaenda sokoni kununuwa bidaaa zinatoka wapi km siyo kwenye kilimo msenge sana wajna

  • @antoinekatembo8520
    @antoinekatembo8520 Месяц назад +1

    Jamani nawezaje kupata mawaliano ya huyo kijana?

  • @GraceMwendapole
    @GraceMwendapole 28 дней назад

    Mbona kaka status yake iko vzr

  • @Saleem_nabhany21
    @Saleem_nabhany21 6 дней назад

    Unajua haya maswali maswali unaweza kuona simple lakin yanaweza kukukosesha mrembo ambae alitaman kuwa na wew

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 Месяц назад

    Kumbuka yupo wapi? Tumemiss maneno yake😃😃

  • @NoraNnko-l9g
    @NoraNnko-l9g Месяц назад +1

    sema unaongea vizur leonard❤

  • @Awlo-g6d
    @Awlo-g6d Месяц назад

    Kazi ipo😂😂😂

  • @ZainabuMoody
    @ZainabuMoody 27 дней назад

    Yes he will get a right one

  • @ModesterMartin-w8z
    @ModesterMartin-w8z Месяц назад

    Aje. Kwang jmn me mwenyew mwirak jmn n❤❤❤❤

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 5 дней назад

    Wairaq ni walimaji wazuri sana Tena wanaupendo awaachi wanawake ovyo ovyo

    • @doreenpandit9373
      @doreenpandit9373 День назад

      @@marthageorge5043 wanaume wairaq hawajitambui… majukumu mengi wanaachikia wanawake..

  • @WANDOTO_FILM
    @WANDOTO_FILM Месяц назад

    Mm NapitaTu Jmn ❤❤❤❤

  • @sizyathom-qq5cx
    @sizyathom-qq5cx 5 часов назад

    Awosiyoo

  • @FaudhiaHashim-x4d
    @FaudhiaHashim-x4d Месяц назад

    Nipen no zake please

  • @nemmythobias7976
    @nemmythobias7976 Месяц назад +3

    Fatuma ni takataka 😅😅

  • @HirdaKahimbi
    @HirdaKahimbi 6 дней назад

    Yani wadada hawa wanatia hasra san na hawajoelewi wote ata kidgo
    Kaaaah wanakela na wanaboa

  • @fugakwamalengo707
    @fugakwamalengo707 Месяц назад +5

    Hiyo midada mijinga sana ukiwasikiliza unaona ujinga wao

    • @georgeascona5457
      @georgeascona5457 Месяц назад +1

      mizigo hao hawana msaada wowote katika jamii

  • @frorenceetoile3016
    @frorenceetoile3016 7 дней назад

    Wanaweke wote wapo hapo akili zipo chini ya miguu yao eti kilimo si biashara😂😂😂😂🤣🤣🤣

  • @CECILIAMAGANGA-sk8md
    @CECILIAMAGANGA-sk8md Месяц назад +1

    😂😂😂😂. Jmn Hadi raha

  • @LeonardChiluya
    @LeonardChiluya 14 дней назад

    Mr Leonard kkkkk ❤️🇿🇲

  • @msangiridhiwan1969
    @msangiridhiwan1969 Месяц назад +10

    Hawajielewi hao wadada

  • @LucknessPeter
    @LucknessPeter Месяц назад +4

    wadada wa hovyo sana hao

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 Месяц назад

      Hawajui hela ilipo hawa wadada

  • @TinnerDevid-oj9od
    @TinnerDevid-oj9od 26 дней назад

  • @SusanWangoi-l3r
    @SusanWangoi-l3r Месяц назад

    Jamani mbona hawa warembo jamani 😮😮nakosa maneno mm

  • @WanyagaJamesa
    @WanyagaJamesa 19 дней назад

    Niwajinga awa wadada

  • @LalarEmaxmam
    @LalarEmaxmam 28 дней назад

    Kiukweli. Huyu kaka nimempenda sana ningekuwepo ninge ondoka nae jmn

  • @hawababy120
    @hawababy120 Месяц назад +2

    Hao wadada hawajielewi wallai kijana mzuri kazi sawa tu ila warembo hawafai kbsa

  • @haryanyawu640
    @haryanyawu640 Месяц назад

    Dam!! Sisi ndo wairaq😋😋😋😋

  • @adamsimba4886
    @adamsimba4886 Месяц назад

    Me nishawqzibua sana mademu piga mbaya

  • @LucyEliringia
    @LucyEliringia 10 часов назад

    Kwanza achilia yote huyu mwamba anatoa vitu hadi utafugha mbwa huyu mwamba kwa wtt wallai ni kioo watoto wazuri all over the world 🎉🎉🎉🎉😂hawajui wakitakacho
    Mm ni vile tu ni mkubwa kwake lkn mmmmm nimemuelewa

  • @NeemaKigocha
    @NeemaKigocha 14 дней назад

    Mtuwekee na Wachumba wa kizungu

  • @allybaru
    @allybaru 14 дней назад

    Lulu uwo mpaja jaman😂😂

  • @RebinaNdumeRASHIDI
    @RebinaNdumeRASHIDI Месяц назад +2

    Umeongea kweli, akuna mwenye iko na vision kama ya kwako

  • @sulleRuth
    @sulleRuth Месяц назад

    Wairak wazurii bn

  • @RasooEdward
    @RasooEdward Месяц назад +1

    Mr Right njoo kwangu aky apo hkuna kitu😢😢😢

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj Месяц назад +1

    Mapepo hayo

  • @PaskaziaJohn-iu8yh
    @PaskaziaJohn-iu8yh Месяц назад

    Mwiraq mwenzangu

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale Месяц назад

    Hiv gischana nivisenge walah 😂😂😂😂 duuuu

  • @FaudhiaHashim-x4d
    @FaudhiaHashim-x4d Месяц назад

    Jamn huyoo kaka nimempenda jamn

  • @VeronicaKikoti
    @VeronicaKikoti Месяц назад

    Naomba mnisaidie namba ya huyo kaka sina nyashi mimi😂😂

  • @saidalshaibany4986
    @saidalshaibany4986 6 дней назад

    GaraB umeongea japo muhimu sana na kuwaelimisha wengine kwenye kipindi hiki. Kiukweli watu wengi hawajielewi sana sana hawa wanawake wanaokuja huku, Wanawake wengine wanasema maneno hovyo. Huyu anasema Ukulima sio Kazi mwingine ninataka matajiri wengine wanasema wanataka kimolo, yaani hawajielewi