SIMULIZI YA MTANZANIA ALIERUKA UKUTA KUTOROKA JESHI,ANAEISHI NA KUFANYA KAZI AMERICA 🇺🇸PART ONE.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 139

  • @ArrivalTv
    @ArrivalTv  Год назад +4

    *SHOSHANA AFRICA COMPANY*
    Habari ndugu mdau wa masuala ya kimataifa ,hii ndio njia ya kutumia kufanya malipo ya usaji wa kuhudhuria tukio letu la tarehe 15 February
    Lipa Namba yetu ni hii *5781214* majina ni Shoshana Africa company ni lipa namba ya mtandao wa voda kiasi ni dollars 25 sawa na elfu 62 ya Tanzania ukishalipia tuma hiyo sms ya mwamala kwenda WhatsApp namba hii +14253642418
    Asante na tuonane tarehe 15 February venue utatujulishwa kabla ya tarehe 13 February

  • @efministry
    @efministry Год назад +2

    Bless bro🔥🥊

  • @JajaRestaurant
    @JajaRestaurant Год назад +1

    Honger

  • @dougherty8732
    @dougherty8732 Год назад +4

    Daaamn! Mtangazaji hakuona kua kuna baridi?! Interviewee was shivering to death.! No winter jackets, nothing..😩😩😩

  • @mustapherabel8471
    @mustapherabel8471 Год назад +1

    Nzuri sana iyooo

  • @MagdalenerpaschalMwamba
    @MagdalenerpaschalMwamba 11 месяцев назад +1

    Hongera Mie npo huku kwa wazinza wenzako wazee wa mbwenu

  • @deborambosa3109
    @deborambosa3109 Год назад +1

    Confident❤

  • @mkingageorge2641
    @mkingageorge2641 Год назад +2

    Hii video ni tamu flan afu umeikata juu Kwa juu

  • @cathbertkilingo4472
    @cathbertkilingo4472 11 месяцев назад +1

    Jamaa anatetemeka na baridi mbaya

  • @innocentlusajo9303
    @innocentlusajo9303 Год назад +4

    Huyu jamaa angekua mNigeria ungeona wanavompongeza na kumsifia kwa mema yake ,
    Ila wabongo ni kutafuta kasoro , yani kasoro kasoro kasoro. Yani mnaacha yoooote ya maana mnatafuta kasoro. Mara baridi , mara Jakaya, mara mkimbizi. Acheni uchawi

  • @mkingageorge2641
    @mkingageorge2641 Год назад +3

    Ok tunaiwait

  • @vhiedkc859
    @vhiedkc859 11 месяцев назад

    Nimekaa hapa nakuheshimu sana kumbe unataka kua nesi 😮😮😮

  • @zahirallyzorro3940
    @zahirallyzorro3940 Год назад +2

    Umetokea Masanzawana

  • @mariamchannel9234
    @mariamchannel9234 Год назад +1

    Faza Kama Faza 😃😃

  • @salumsalum8866
    @salumsalum8866 Год назад +2

    washington state pazur

  • @manatsonsalewa4080
    @manatsonsalewa4080 Год назад +1

    MzeeBaba Nest Mido ya Boli Jitu La Mtumba 👊🏽👊🏽

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk Год назад +2

    Hongera kijana kwa kutusua

    • @ernestladislaus552
      @ernestladislaus552 Год назад

      Babaaa kutusua bado tunakomaa

    • @rappertinno4184
      @rappertinno4184 Год назад

      @@ernestladislaus552kibongo bongo ukifika mbele naukaweza kuishi huko we umetoboa💪

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 Год назад +2

    Sawa sawa Timanya ila sengerema nikubwa nimtaa gani unatokea

  • @SalimhchialaAtilio-qj5cs
    @SalimhchialaAtilio-qj5cs Год назад +1

    😅😅❤❤❤

  • @journeywithjesus
    @journeywithjesus Год назад +1

    Hana winter jacket kweli??

  • @kelvinnjawike1808
    @kelvinnjawike1808 Год назад +1

    Dah aseh mwanang uliachaje golden chance kama hiii

  • @devoutermwalupanga63
    @devoutermwalupanga63 Год назад +2

    Haha 🎉 realistic Tanzanian,, tunasubiri utuambie safari ya usuaso na kilimo..

  • @jumaabas6837
    @jumaabas6837 Год назад +4

    Analeta ubishooo kwenye baridiii kwa nn asivae nguo za kuzuia baridiii

    • @ernestladislaus552
      @ernestladislaus552 Год назад

      😂😂😂oya ameniotea tu, mitaa yangu apo natoka kazini. Kuonana ni challenge sana

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 Год назад

      @@ernestladislaus552 nakubaliiii mwambaaa

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 Год назад +17

    Nachoweza kusema naona umetoa usukuma Mwanza Tz na kuupeleka USA . Mimi naishi Switzerland naijua winter na mavazi yake .huwezi kufanyiwa interview kama uko summer huo ni ushamba mtangazaji tuletee mwendelezo baada ya hii interview huyu pengine alienda emergency kwa kuumwa. Yaani unaachiwa kifua kwenye minus fulanii😮😮😮!! Mpaka sauti inakakakamaa kwa kumeza baridi shingo haina kitu no jacket wasukuma jamani .kijana kataka kuonyesha snow anaganda bila mavazi ya winter wazungu hapo ndio wanatudharau kwa uzuzu

    • @danielamicheal4680
      @danielamicheal4680 Год назад

      kwanza naona hii ni kamera trick vile mtu huezi hata kusimama hivi kwa dakika moja

    • @emmanuelzwallo3933
      @emmanuelzwallo3933 Год назад +5

      Sasa yeye kaweza Sasa na mpk Sasa yupo.Harafu sizani kama Kuna mtu ameuliza wewe unaishi wapi kwa Sasa,na kudharauliwa na wazungu hata kama uvae jacket Tano watakidharau tu.Maneno yako ni yakejeli hata hayapendezi

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk Год назад +1

      Mbona kama una makasiriko ayo maisha yake Sema tyuu isije kumdhuru maanaciyo baridi insignia kwenye mifuba balaa atakuta kulipata badaaae hiyo kityu ya sno siipoa

    • @souvenirweber7169
      @souvenirweber7169 Год назад +1

      @@LucyKapinga-fg4dk my dear sio makasiriko tuna elimishana maana naijua winter na summer .ni hatari kuvumilia baridi sababu ya Camera pia lazima uitwe mshamba kwani unachezea ugonjwa wa kujitakia

    • @SusanWanjuki-fj2vz
      @SusanWanjuki-fj2vz Год назад

      ​@@LucyKapinga-fg4dksee

  • @iddymlezi8994
    @iddymlezi8994 Год назад +1

    Ulifanya vizuri kutoroka mm nipo geita

  • @kenyre697
    @kenyre697 Год назад +1

    That thumbnail picture is me in lamu tukiwa mazoezini umenikumbusha mbali sana

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  Год назад +1

      Oh really?

    • @kenyre697
      @kenyre697 Год назад

      Yeah

    • @kenyre697
      @kenyre697 Год назад

      I know you got it online

    • @kenyre697
      @kenyre697 Год назад

      It was taken during Field Artillery training with the US army

  • @King-Buda
    @King-Buda Год назад +2

    Wazinza ndugu zetu wasubi wa Biharamulo

  • @AminaMgenzi
    @AminaMgenzi Год назад +1

    Erenest ww jamn tz lini ww 🎉

  • @wisdommbalila732
    @wisdommbalila732 11 месяцев назад +1

    2014raisi alikuwa kikwetee

  • @abednego3876
    @abednego3876 Год назад +8

    Kwani si muingie ndani ya gari kama mmefukuzwa ndani.

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Год назад

    Barafu

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz Год назад

    Kwa nn umemfanyia interview nje Kuna winter ☃️, si mngekaa ndani.

  • @trybznyn1817
    @trybznyn1817 Год назад +1

    Kwa wale wakenya hamjaelewa JKT huku kwetu ni NYS.

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 Год назад +3

    Leo unamuoji Ernest wajinawangu nimejiskia vixuri san kama unamuoji Mimi. APA nimevutiwa San na maujiano aya. Ongera sana brow

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 11 месяцев назад +1

    Hivi JPM Alikuwa madarakani 2014

  • @msuzann6005
    @msuzann6005 Год назад

    Kavae winter jacket bro

  • @iddymlezi8994
    @iddymlezi8994 Год назад

    Mwangu ulifanya vizuri kutoroka safi mm nipo geita

  • @nathanontegi3222
    @nathanontegi3222 Год назад

    Vit vit kwa interview.

  • @sammykaranja2642
    @sammykaranja2642 Год назад

    Mwanajeshi ni mkenya

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Год назад +2

    Kwanini hajaweka shingoni hata skafu baridi Kali

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Год назад +1

    H ata lugha yao ninailewa😮

  • @Nurdinimohamedy
    @Nurdinimohamedy 11 месяцев назад +1

    Mbona mwaka huwo alikuwa kikwete madalakani

  • @allykomsonde7813
    @allykomsonde7813 Год назад

    Jesh niswala lakitaifa linahitaji uzlendo

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 Год назад +4

    Huyu ni muongo Magufuli alikuwa Rais kuanzia 2015 na siyo 2014 na kama ni maaamuzi yangekuwa 2017

  • @kdpretoria780
    @kdpretoria780 Год назад +2

    huyu mshamba anataka kujiua soon mapafu yatajaa maji kama ataendelea na ujinga wake huu kipindi cha baridi.😅

  • @francisnyaji5000
    @francisnyaji5000 11 месяцев назад

    2014 raisi hakuwa Magufuri raisi alikuwa ni J.Kikwetee,pia kama ni mwaka 2014 iyo ilikuwa ni intake OP Muungano kwa jkt..

  • @isackjokata
    @isackjokata Год назад +1

    Mwamba ni mkibinzi uyo alipitia makambini nyarugusu camp hipo kigoma kasulu makele

  • @eryclassictz6011
    @eryclassictz6011 Год назад +1

    iendeleee isichelewe kama story kal ivii

  • @amoskagika8884
    @amoskagika8884 Год назад +1

    Tunasubiri muendelezo Chief

  • @streetconatv100k
    @streetconatv100k Год назад +1

    2015 mkuu

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 3 месяца назад

    2014 BADO MZEE MAGUFULI HAKUWA RAIS.RAIS ALIKUWA KIKWETE.

  • @Essau-s6k
    @Essau-s6k 11 месяцев назад

    Aise nisaidie no ya huyo jamaaa tulikuwa wote jkt Ruvu 2014

  • @WilliamNgazija-cd7cs
    @WilliamNgazija-cd7cs Год назад +1

    Mwozo wa guma

  • @Essau-s6k
    @Essau-s6k 11 месяцев назад +1

    Kaka tulikuwa wote Ruvu

  • @nzegeatv6355
    @nzegeatv6355 Год назад

    Weka pat 2

  • @faustinedeogratias4337
    @faustinedeogratias4337 Год назад +4

    mitaa ya GAZA pale SUA ndo mara ya mwisho kusomana aisee

  • @niyonkurufreddy1984
    @niyonkurufreddy1984 Год назад +1

    Nyinyi inci zenu hazina upendo ubaguzi kwa watu siyo wazaliwa wa Tz sasa kwa nini munakwenda kwa inci zingine zawatu?

  • @daudiydaudi8357
    @daudiydaudi8357 Год назад

    2014 mzee alikua bado wazir kaka kumbuka vizur

  • @gidionrevelian564
    @gidionrevelian564 Год назад +1

    Aaaai magufuli aliingia madarakan 2014 au 2015

  • @batihubadiy3106
    @batihubadiy3106 Год назад +2

    Huyu Mbna km muongo 2014 MAGUFULI CO RAIS W TZ 😅😅😅😅

    • @sumatraveler1957
      @sumatraveler1957 Год назад +1

      😅😅😅kweli bhn Magu aliingia 2015 tena mwishoni

    • @beliasjacob6024
      @beliasjacob6024 Год назад

      Hyu namfaham nimepiga Nae kozi JKt

    • @batihubadiy3106
      @batihubadiy3106 Год назад

      @@sumatraveler1957 Mwambien atafute uongo mwengne huu tumeustukiaaa

    • @MainethWella-zl9ux
      @MainethWella-zl9ux 11 месяцев назад

      ​@@beliasjacob6024😅😅

  • @mwamwajaonline1881
    @mwamwajaonline1881 Год назад

    2014 ni enz ya Jakaya sio Magufuli

  • @IdrisOmar-i6h
    @IdrisOmar-i6h Год назад +1

    2014 alikuwa magufuli au kikwete???

  • @isackjokata
    @isackjokata Год назад +1

    Uyu mwamba ni mkibinzi

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 Год назад

    Mbona mnahojiana ktk baridi

  • @benedictmhina4819
    @benedictmhina4819 11 месяцев назад

    Hapo kwenye 2014 kwa Magufuli umekosea shekhe

  • @mbwanaoch9886
    @mbwanaoch9886 11 месяцев назад

    Kwa 2014 alikuwa magufuli duuh msenge hyyu

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 Год назад +1

    2014 magufuli akua madarakani

  • @omarmaina756
    @omarmaina756 Год назад

    Baridi linamuua anatetemeka mpaka vuzi

  • @ipyanamwimbe6484
    @ipyanamwimbe6484 Год назад +1

    2014 magufuli hakuwa rais

  • @asalitamu5182
    @asalitamu5182 11 месяцев назад

    2014 Magufuli si alikuwa bado ajaingia madalakani?

  • @godfridaymichael4126
    @godfridaymichael4126 Год назад

    Wadanganye wengine

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 Год назад +2

    2015 atakuwa amechanganya

    • @thehunter5920
      @thehunter5920 Год назад

      Ni 2014 hajakosea,kakosea hapo kwa rais tu

  • @hassanMahmoud-i4l
    @hassanMahmoud-i4l 11 месяцев назад

    mbn kama ana patical za usenge huyu

  • @hassanmassaga2476
    @hassanmassaga2476 Год назад +1

    Magufuri aliingia madarakani 2015 sio 2014

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Год назад +1

    Mimi ninalifahamu hilo kabila la wazinza tena saana

    • @innocentlusajo9303
      @innocentlusajo9303 Год назад

      Kibongo bongo mtu akikwambia anakujua anamaanisha mabaya yako

  • @hamisihassankengejr4375
    @hamisihassankengejr4375 Год назад

    Hiyo ilikua ni ya kikwete aliita crash

  • @IgnatiusSanya
    @IgnatiusSanya Год назад +1

    Kiswahili ni tamu kwa comedy peke

  • @EmmmaTembo
    @EmmmaTembo Год назад +1

    Hivi huko freji inafaida yoyote

    • @marrypius576
      @marrypius576 Год назад

      Ndani ni joto kuwasha friji ni lazima kwaajili yakuhifadhi vyakula vinavyoharibika

  • @godfridaymichael4126
    @godfridaymichael4126 Год назад +1

    Wee muongo magufuli alingia madarakan 2015 mwishoni

  • @abduliabdallah9197
    @abduliabdallah9197 Год назад +1

    Muongo

  • @baizoboy1719
    @baizoboy1719 Год назад +1

    Jamaa namkumbuka tulikuwa wote pale tulikaa mwezi mzima nikaamua kuacha na kurudi chuo ushirika..

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 Год назад

    Ss umelazimishwa kuongea kwenye baridi

  • @TheBinaW
    @TheBinaW Год назад

    Kwani usa huna first name middle name na last name? Hayo sio majina matatu. Usipotoshe . Sana sana tz middle name yako ni first name ya baba yako na last name yako ni last name ya baba yako. Huoni system ya tz imekosea?

  • @ericmellau3783
    @ericmellau3783 Год назад +2

    2014 sai ungekua captain kama ungefanikiwa kaka

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Год назад

    Wewe unafikili sifa kuachia kifua wazi gonjwa utakalopata utajuta baridi sio madhala yake nomaa

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk Год назад

      Haswaaa iyo kunababa alikuwa anapumulia mashine inaingia kwa mifupa atari sana

  • @KhadijaMiteya-hh8xl
    @KhadijaMiteya-hh8xl Год назад

    Uongo hakuwa marehemu bwana usitudanganye anza upya maelezo yako.

  • @costakaduma1326
    @costakaduma1326 Год назад +1

    Kwanini munamuonea Sana magufuri 2014 hakuwa magufuli madalakani achauongo msukuma wewe

  • @tradamus4158
    @tradamus4158 Год назад +1

    Kuna kabila la wazinzi au vip

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 Год назад +1

    Sweta hamna wewe