Jamaa yuko positive sana kwenye kuelezea yaan syo kamati ya roho mbaya kama EBM anavosemaga, nafurahia sana kupata information kabla sjafika hukoo, naamin one day ntafika nacheza Dv lottery lkn nafnyia kaz njia zingne, nikifika hukoo naingia sector ya afya sion noma kuwatawaza wazee ni stage tu ya maisha💪💪Much respect Mwanakwetu
Jamaa nimemkubali sanaa hiyo 2014 ilikuwa mwakawetu pia Kiukweli wale waloenda jeshi kipindi kile walitudhoofisha kusaikorojia kwa kiasi fulani But kukomaa katika maamuzi ndio jambo la msingi… Safi sanaa never give up tusiyumbishwe na vitu visivyo katika njia tuliyo amini
Hilo life la ku BET ndio ule hata mimi nilishawahi kuliishi,Ilikua balaa,siku nikimnyoosha muhindi napata hela ya kutumia hata wiki 😢 haya maisha acheni tuu sio poa
Jamaa yuko right sana, interview yake nimeipenda na kuielewa sana kwa sababu anaeleza ukweli. Nimefurahi mno kutuletea huyu mwana Sengerema mwenzangu🙏👍💪
Ubalozi wa marekani wanatumia lugha 2lugha ya kingereza la lugha ya wenyeji wa nchi husika mfano Tanzania Kiswahili na kingereza ni lugha ambazo unaweza kutumia kufanyiwa interview
Noumah sana Bro,, hustle ni fire 🔥
Jamaa yuko positive sana kwenye kuelezea yaan syo kamati ya roho mbaya kama EBM anavosemaga, nafurahia sana kupata information kabla sjafika hukoo, naamin one day ntafika nacheza Dv lottery lkn nafnyia kaz njia zingne, nikifika hukoo naingia sector ya afya sion noma kuwatawaza wazee ni stage tu ya maisha💪💪Much respect Mwanakwetu
Safi sana mzee
Jamaa anajua hyu hata presentation ya story yake ameitoa kisomi 🔥🔥🔥👏🏿👏🏿👏🏿
Ebna mm nimekubali sana kweli njia ya mafanikio mungu hupangaa big up sanaa broo
such a powerful inspiration, Mungu akubaliki sana
Hiyo kazi ya kunyunyiza mbu niliifanya kwimba , big up sana Ernest Timanywa . America nitaingia .
Jamaa nimemuelewa Sana. Ana deserve icho alichonacho. One day mungu atanibariki na mm nitakuwa huko.
Umetisha sana mzee😄
Very inspirational
Kazi nzur sana bro
Ok
Inspired❤
Jamaa kasahau shida huyu hongera 💪🏽💪🏽 bro una tu motivation
Shida hazisahaulik mzee
@@ernestladislaus552 shida hazisahulik ila kw hatua hyo nikujipongez bro
Mungu akitaka kukubariki akuandikii barua ❤❤❤
😮hata huyo ndalahwa Unamzid Hela yan dadek... Big up sana na ukija bongo utambe... "Na hapa ipo"
Hongera sana kwa kupambna
Asante
Hongera sana
Lovery bro.......❤❤❤kama dada mkubwa nakuombea
Jamaa nimemkubali sanaa hiyo 2014 ilikuwa mwakawetu pia
Kiukweli wale waloenda jeshi kipindi kile walitudhoofisha kusaikorojia kwa kiasi fulani
But kukomaa katika maamuzi ndio jambo la msingi…
Safi sanaa never give up tusiyumbishwe na vitu visivyo katika njia tuliyo amini
Hongera nataka nije nauli ngapi boss
Sehem mbaya kelele nyingi tafran
🤛🤛
Uko vizuri sana kka yangu hata mmi naishi uarabuni niko miaka kumi ssa nashukuru mungu anasaidia ❤
thanks so much brother for this information ❤
Kilolo nimesoma shule ya msingi unitafute brother 🥰
Nakubar sana bro mm mwenyewe huwa nahitaji nije America na nauli ninayo
Pamoja
Big up shemelaaaa
Mwanamtwa
Ndalahwa mjinga sanaaa acha wapambane
Brother uyo wa nyumbani kabisa sengerema
Cha roho mbaya leo umetuletea story yetu shukran asee
Mbona wewe kama mchawi wewe acha ujinga tafuta maisha acha kusumbua
Nimejifunza vingi aisee
Kumbe tanzania kuna pesa bana sema mchongo tu naconnection
Wami ❤❤❤ hostel za wala bata
Balaaa babaaa
Hilo life la ku BET ndio ule hata mimi nilishawahi kuliishi,Ilikua balaa,siku nikimnyoosha muhindi napata hela ya kutumia hata wiki 😢 haya maisha acheni tuu sio poa
😂😂😂hatar babuu
Nilipotoka home ndo nlijua nn maana ya kubet 😂😂
Dah kweli huyu jamaa kamuita jamaangu nae alitoroka jeshini anaitwa ndalawa tulizama mgodini sana nayeye dah
Angekua level ya captain MWAMBA,ila akaamua kuhustle ulaya maisha yaupweke daah😂
Popote kambi babaaa,Mungu pia hupanga
Kwann unakaa kwenye kelele mbona sio sehem iliyotulia
Jamaa yuko right sana, interview yake nimeipenda na kuielewa sana kwa sababu anaeleza ukweli.
Nimefurahi mno kutuletea huyu mwana Sengerema mwenzangu🙏👍💪
Lutamanya wanguma mdugu
Mwanetu tuwekee namba za simu hapo za mwamba
Location ina makelele kweli kweli
Tulikuwa tunaisubiria party 2 🎉
Enjoy
Interview ya kwanza ya kiswahili ya lisaa ambayo haijaboa
Usisahau kuwekeza home mzee Nest uje uone wana huku
Naomba email ya huyu jamaa
Am the first today, I needs your like.
Andika kiswahili, ingependeza..
Kiukweli unatupa moyo sana
Ogopa😂
Jamaa kuna u roma fran hv ndani yake
Umejuaje ?😆😆
Kaka tunashukuru
Msuaso
Keele nyingi jamani
Mwanangu nina visa interview mwezi wa tatu, nijiandae sana kwahiyo au ni Mungu tu?
Au Mungu ndo nini
Mtangulize Mungu katika kila jambo lako unaweza ukawa na kila sababu na ukapa au ukakosa kama ujamtanguliza Mungu anza na Mungu leo
Jiandae na muombe Mungu
Buroh
NATAFUTA NAFASI YA KUSOMA MAMBO YA ZIMAMOTO MAREKANI
Nesi msenge ww
usijari pamba
Sauti mbovu, usifanye video tena sehem ambayo haina utulivu.
BONGE MWENYE DHARAU ZAKE😂
Bado ujeshi unao ndani yko Kuna neno la kijeshi umelsema kibangala jesh halidanganyi mzee
Joel timanya yukowapi
Kaka umepambana
Ww mzinza nimekusoma
Karibu uwekeze Arusha viwanja vipo, nitafute
kama mtu ajasoma ata kidogo anaweza pata kazi
Nani km mm inayomboa neno mzee kila akiongea mzee
nauli ni shingapi
Kwe in
Million tatu
Kwenda na kurundi
Kuja marekani bila kujua kiingereza unafanyaje intervie sasa unalozini si unaweza ukanasa hapo wenye uzoefu nifahamisheni hili
Ubalozi wa marekani wanatumia lugha 2lugha ya kingereza la lugha ya wenyeji wa nchi husika mfano Tanzania Kiswahili na kingereza ni lugha ambazo unaweza kutumia kufanyiwa interview
Kaka nime sikiliza kwaumakini wahali yajuu napia nime weza kuerewa jambo
❤❤❤ hongera bwana weusha toboa brother@@ArrivalTv
Na tumepata ila hyu mwamba ametisha