GODBLESS LEMA AMPANDIA JUU ALLY HAPI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 36

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 9 месяцев назад +7

    Ally Happi nimemshangaa sana hakuna anayehitaji huruma ya CCM. Tunahitaji haki tu na sio huruma ya mtu yoyote yule.

  • @frankremishoy5778
    @frankremishoy5778 9 месяцев назад +8

    Lema your always rght.mjinga hataelewa itachikuwa mda kumuelewesha

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 9 месяцев назад +1

    Safi sana Lema. Umeongea vizuri

  • @JamesKalomba
    @JamesKalomba 9 месяцев назад +1

    Angalia mlivokuwa kama mnamsiba hahhaha michizi iyooo

  • @percypanga8074
    @percypanga8074 8 месяцев назад

    Mimi natamani viongozi,wangu wa ccm,wawe wenyeji busara,hivi kumbe wanafanya hivi,Bwana Yesu tusaidie,ukiwa mbaya ndy unapewa nafasi?hivi Nchi hii yuko Askofu Thomas Laizer, Askofu Kweka, Askofu Shoo, Askofu,Bagonza, Askofu Mugiza,jmn,kuna kizazi kinakuja,haya Bwana Yesu tuokoe tena watanzani

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 9 месяцев назад +3

    Mzee Pigania Katiba.

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 9 месяцев назад +5

    Safi sana Mheshimiwa Dr, Lema una akili sana mbunge wangu

    • @Jal210
      @Jal210 8 месяцев назад

      Akili za kipumbavu anazo hana adabu huyu Lema wako

  • @Jal210
    @Jal210 8 месяцев назад

    Ungekuwa na busara huwezi kula kwenye sahani hiyo na kunyea hapo Hapo mjinga mmoja Wewe.

  • @percypanga8074
    @percypanga8074 8 месяцев назад

    Good massage

  • @alonivicent9393
    @alonivicent9393 9 месяцев назад +1

    Wajiga haoo

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 8 месяцев назад

    Mwambie haelewi

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 9 месяцев назад +1

    Tunataka KATIBA MPYA HATUTAKI KUTISHWA SISI WANANCHI SIO MAZWAZWA

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 9 месяцев назад +1

    Lema vip mbona umekosa watu

  • @MURLIJuma
    @MURLIJuma 8 месяцев назад

    Lema kura umepata

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 8 месяцев назад +1

    Sijawahi kuona jitu jinga kama ww Rema shoga taja sera za chama chako unaaza kuwa sema watu ushachanganyikiwa au unataka upate sababu za kupata ukumbizi

  • @MURLIJuma
    @MURLIJuma 8 месяцев назад

    Lema kma huna akili hutamuelewa huyu jamaa

  • @MeryMangu
    @MeryMangu 8 месяцев назад

    Hap saw

  • @ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl
    @ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl 9 месяцев назад +1

    shida ya lema ni matusi kwa lazima atukane ndio aeleweke ustaraarabu F

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 9 месяцев назад

    Shida kubwa iko palepale.
    Upuuzi uliofanyika 2020 na Rais wa Sasa alikuwepo.
    Siamini kama mchezo mchafu uliofanyika hakuujua na aidha alishirikishwa.
    Sasa je kweli inaingia akilini hizi 4R anaongeleq zina ukweli??
    Katiba mpya Tume Huru mengine baadaye.

  • @gaudencemhagama7216
    @gaudencemhagama7216 8 месяцев назад

    sasa lema unavyomwambia mwenzako mpumbavu ww mwelewa mbona unatembelea kiki za watu ongea sera sio kuropoka

  • @dinnocelestin1894
    @dinnocelestin1894 8 месяцев назад +1

    Haikua lazima kutukana.

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 9 месяцев назад

    Lema Kiboko

  • @daudisalum9574
    @daudisalum9574 9 месяцев назад

    Tupo pamoja sana Lema

  • @dicksonmwidin7566
    @dicksonmwidin7566 9 месяцев назад

    kwanini matusi yamekutawala kama ukiwa kiongozi nchi inaweza kuwa sodoma, ufai kuwa kiongozi hata kidogo

  • @mustaphazayumba4422
    @mustaphazayumba4422 8 месяцев назад

    Kwahiyo ww una uhakika kesho utafika? Mpumbavu wewe lema na bado hujajijua km ni mpumbavu. Muda wa kuwagalagaza katika mabox ya kura unakaribia endeleni na siasa za maji taka.

  • @KidijeiNuru
    @KidijeiNuru 9 месяцев назад +1

    Kumtukana mtu bila sababu je inakuongezea kura? 😮

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 9 месяцев назад

    Mbona umekosa watu lema itabd uhamie ccm

  • @KidijeiNuru
    @KidijeiNuru 9 месяцев назад +2

    Aly hapy hakutukana mtu yeyote aliongea Kulingana na sera Yao ya CCM je wewe kutukana inakuongezea kura? 😢

    • @godfreymushi6966
      @godfreymushi6966 9 месяцев назад

      Covi19 i hope will come back na kufanya yaliyo mema

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 9 месяцев назад +1

      Huyu jamaa alitakiwa asikie Dr. Nchimbi amesema nini kwenye kumbukumbu ya Baba wa Taifa

    • @bernardmarco4978
      @bernardmarco4978 8 месяцев назад +1

      Matusi hayajengi hoja ya kujenga taifa la umoja jenga hoja.