Chino Kidd Ft Daway - Binadamu (Official Lyrics Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 апр 2024
  • Chino Kidd Featuring Daway Perfomancing - {Binadamu} Official Music Video . Producer by Sky, (C) 2024 exclusively licensed Under (Waaman Gang). The Music Video was shot at Dar es salaam, Tanzania Directed by Dalllas enock
    Connect Digital Technician : Michael Charles Chali
    / digital_tanzania
    Stream/Download Click here:ffm.to/ndege
    Connect with Chino Kidd on Social Media :
    / chino_kidd7
    / chinokidd
    profile.php?...
    / chinogreat
    Listen to Chino Kidd on Digital Platform :
    BoomPlay: www.boomplay.com/share/artist...
    Audio Mack : audiomack.com/chinokidd7
    MKITO: mkito.com/artist/chinokidd
    iTunes: / chino-kidd
    Spotify: spotify.link/wIS2hX8SLyb
    Deezer: www.deezer.com/en/artist/1639...
    Subscribes | View | Share on Channel Account : / @chinokidd
    +For More Information Booking Chino :
    Contact : +255712562397
    Email : chinokidd06@gmail.com📩
    #Chinokidd #Binadamu
    ©2024 Chino Kidd All rights reserved.
    Music in this video
    Learn more
    Song
    Binadam
    Artist
    Chino Kidd
    Licensed to RUclips
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,3 тыс.

  • @chinokidd
    @chinokidd  2 месяца назад +245

    I'm here (Charting with me) 👇

    • @Bms_jMs
      @Bms_jMs 2 месяца назад +29

      Wa Kwanza mimi hapa kuchati na Chino 😂❤❤❤❤

    • @messifans13
      @messifans13 2 месяца назад +10

      Wapili mimi😂😂😂😂😂

    • @boniroman1545
      @boniroman1545 2 месяца назад +5

      ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @praygodisacksalmon7843
      @praygodisacksalmon7843 2 месяца назад +5

      Wanaman

    • @tominizertz2223
      @tominizertz2223 2 месяца назад +3

      Hukosei bro

  • @Bitika-wo7cg
    @Bitika-wo7cg 2 месяца назад +61

    Chino anajua Sana kama unakubaliana na Mimi dondosha Like yako hapo chini

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 2 месяца назад +26

    Huyu DAWAY aangaliwe kwa jicho la 3,anajua sana 🔥🔥

  • @oshaimuafrica8398
    @oshaimuafrica8398 2 месяца назад +15

    Kama wewe unaamini watu wabaya ndo wanaturudisha nyuma comment nyingi kwa mwamba Ila like nyingi Sana kwake tuwaombee Dua waache roho mbaya binadamu tusupoortiane wote tufanikiwe pita kwangu pia unisupport pia Kama unaamin ipo siku nitakuwa star Kama Chino na wewe Kama unaamini iko siku utawashinda wenye roho mbaya show love uwezavyo kwa ma hustlers sema 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zumainc7229
    @zumainc7229 2 месяца назад +19

    nimesikiliza nyimbo hii nime repet zaid chino kid unakitu kipo ndani yako anza kukitumia sasa mashabiki zako tunazidi kukuombea kila siku You HAVE GOD VOICE CHINO KID🙏🙏🙏🙏👌👌👌👌

  • @user-yl5op7qn3i
    @user-yl5op7qn3i Месяц назад +3

    SAFI SANA respect bro naku follow na like kazi yako haina uchafu so simama bro😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rechoemmanuel8773
    @rechoemmanuel8773 2 месяца назад +8

    Chino sikupingii mr kwa hlii mwenyew nakukubalii zidi kupasua miambaaa😢😢

  • @Madmax_unb
    @Madmax_unb 2 месяца назад +1

    Chino motoo zaidi ya marioo

  • @stephanofyulla8448
    @stephanofyulla8448 2 месяца назад +10

    Hapa sasa ndo nimeamin kama chinno kidd unakupajii❤❤ zaman nilikuwa naona kama janja janja flan hiv za beat za mapiano😊

  • @gazzomaster9462
    @gazzomaster9462 2 месяца назад +10

    Kumbe Chino NI fundi kila kona wameishaaa

  • @TEVINMwangi-tq3pm
    @TEVINMwangi-tq3pm 2 месяца назад +9

    Chino umeua kweli kweli💯💯💯💯

  • @ellyone6273
    @ellyone6273 2 месяца назад +9

    Kaka chino tuzidii baba.....karibu show kenya kaka❤❤❤

  • @MagaxPeter
    @MagaxPeter 2 месяца назад +7

    Chino we ni mkali bro

  • @user-un6hz7yv9r
    @user-un6hz7yv9r 2 месяца назад +7

    Morogor itazidi kupand chinno noma🎉

  • @WilondjaAlenga
    @WilondjaAlenga 2 месяца назад +2

    Na kukubali chino kidd from USA🇺🇸🇺🇸

  • @beatricemafie5780
    @beatricemafie5780 20 часов назад

    Nakubali Sana chino wanaman

  • @ojaystephen
    @ojaystephen 2 месяца назад +9

    From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 chino good work my brother, I see future is bright 🎉

  • @stevenckanumba7
    @stevenckanumba7 2 месяца назад +6

    Bro naamini sasa kuwa unakipaji big up sana umenigusa huu wimbo 🙏🙏😭😭

  • @robathalbertonamunda9762
    @robathalbertonamunda9762 2 месяца назад +1

    𝐖𝐚𝐧𝐚𝐦𝐚 𝐟𝐢𝐫𝐞...𝐦𝐰𝐚𝐤𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐦𝐳𝐞𝐞🔥🔥

  • @ibrahimbaraka5262
    @ibrahimbaraka5262 2 месяца назад +5

    Achia kitu Chino ❤❤❤❤🎉

  • @user-fc1xq6mt1g
    @user-fc1xq6mt1g 2 месяца назад +5

    Chino honge bro namauwa yako hayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @BLACK-BOYKIBAMBA-cm5kc
    @BLACK-BOYKIBAMBA-cm5kc 2 месяца назад +7

    Kitoko ❤🇨🇩🙏🇨🇩

  • @SurprisedAlligator-iz5km
    @SurprisedAlligator-iz5km 2 месяца назад

    Chino one man we jamaaa unabalaaaaaa

  • @Subsribed
    @Subsribed 2 месяца назад +2

    Chino bwana tumpe maua yake ❤❤❤

  • @jackdemonicah6020
    @jackdemonicah6020 2 месяца назад +5

    NOMA SANA,hii bro ni ya moto kuna muda inafaa kushukuru tu kila kinachotokea ni hatua pia.

  • @juliusouko6882
    @juliusouko6882 2 месяца назад +5

    Kali sana🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @user-cn4uy9rj3b
    @user-cn4uy9rj3b 2 месяца назад

    Niliwai kusema chino ni noma ❤❤

  • @countrybwouy_steveke
    @countrybwouy_steveke 2 месяца назад +2

    Hii Nyimbo Imeniliza Sana😭😭😭💔💔💔>>>

  • @HastleStylish-xq6ju
    @HastleStylish-xq6ju 2 месяца назад +54

    Oa wa kwanza nipeni like zangu

  • @platbmanu5360
    @platbmanu5360 2 месяца назад +3

    Chino umetisha 🔥💯 kaka 😱 Ngoma Kali sana

  • @user-hg1np1cn5s
    @user-hg1np1cn5s 2 месяца назад

    Daaah unanifanya nilie chino kidd❤

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 2 месяца назад +1

    Binadamu 🔥🔥🔥💪

  • @Ostica..Omie..junior
    @Ostica..Omie..junior 2 месяца назад +16

    Aweee big up bro..salute chino achia ngoma iyooo...team chino gusa likes..for new song from our lovely brother chino£¥#💥💥🤞

  • @hoseamakaine9502
    @hoseamakaine9502 2 месяца назад +20

    Wanao ikubali hii ngoma kali like zenu😊

  • @user-jw2yu3no9b
    @user-jw2yu3no9b 22 дня назад

    Wanadamu si Watu niaya yao ufe mbele wamsahau mungu ndo chief

  • @saddyomary1741
    @saddyomary1741 2 месяца назад

    Ngoma kali sanaa🔥tisha chino kidd

  • @MateiPs-kr9tg
    @MateiPs-kr9tg 2 месяца назад +20

    Jmn hv m siqakwanzaa kama umeelewa hii ngoma like chap P1 chino🔥🔥

    • @God12365
      @God12365 2 месяца назад

      Binadam wabaya sanaa

    • @God12365
      @God12365 2 месяца назад

      Goma Kali sanaa

    • @God12365
      @God12365 2 месяца назад

      Linabalaa sio poa

    • @God12365
      @God12365 2 месяца назад

      Sio kawaida

    • @God12365
      @God12365 2 месяца назад

      Wanaman gang

  • @ThomasMayala-bg2ow
    @ThomasMayala-bg2ow 2 месяца назад +5

    Ngoma Kali sana umeua mwana, sema Nini ungetoa video inayobeba uhalisia wa maisha ambao unaendana na nyimbo ungeua sana

  • @FrankMbundu
    @FrankMbundu 2 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉🎉 kaka chino nakubali sana❤❤

  • @WilondjaAlenga
    @WilondjaAlenga 2 месяца назад +1

    Chino umetisha💪

  • @Nelly-oc7yy
    @Nelly-oc7yy 2 месяца назад +4

    Si amapiano Haya hip hop hawatoi draw💥💯

  • @MohamedJumbe-xn5sx
    @MohamedJumbe-xn5sx 2 месяца назад +13

    Asante kwa wimbo wenye hisia kubwa kwenye maisha na marafik zetu

    • @God12365
      @God12365 2 месяца назад

      Sana kaka

    • @God12365
      @God12365 2 месяца назад

      Wimbo umenigusa sanaa

    • @God12365
      @God12365 2 месяца назад

      Unabalaa sio poa

    • @God12365
      @God12365 2 месяца назад

      Maajabu hatar

    • @God12365
      @God12365 2 месяца назад

      Moyoni

  • @chuppaboy_
    @chuppaboy_ 2 месяца назад +2

    Chino unajua unachange vibe

  • @saisipistyles
    @saisipistyles 2 месяца назад

    Salute Goma na nusu ❤🔥

  • @issaathuman2447
    @issaathuman2447 2 месяца назад +4

    humu umepga KO ngoma kali saana

  • @perfectjbo913
    @perfectjbo913 2 месяца назад +8

    Chino we mkali achana nao mabwege hao anaejua na kukujua ni MUNGU TUUUU

  • @Maady_is.
    @Maady_is. 2 месяца назад

    Daaah chino umeuwa sanaa mzeeh 🙌🙌🙌🫡🫡🫡

  • @AdramMachum
    @AdramMachum 2 месяца назад

    Respect dam yang kazi nzuri

  • @Wakuyatimba
    @Wakuyatimba 2 месяца назад +3

    Big up brother piano today in bongo flavor 🎉🎉🎉🎉🎉 CHUKUA maua yako kk

  • @user-zx2ny5fw4h
    @user-zx2ny5fw4h 2 месяца назад +4

    Mamake uyu mtoto chino sio kitoto💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @sanarelendava3198
    @sanarelendava3198 2 месяца назад

    Hakikaaa broo unani inspire sana salute

  • @MryonieFanshion
    @MryonieFanshion 2 месяца назад

    Uhakika san chino💯💯💯💯💯💯💯🇧🇮

  • @luckyboy_ke
    @luckyboy_ke 2 месяца назад +5

    Richmsafi Aliachia kionjo fainally iko out🙌🙌💥💥💥💥💥💥

  • @samsingeli4603
    @samsingeli4603 2 месяца назад +3

    Mauaji anko🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 #binadamu

  • @TynerGodfrey
    @TynerGodfrey 2 месяца назад +2

    Chino 🎉🎉🎉🎉 your the best broo 😅 Bunadamu wabaya kwel

  • @NaftaryLeonald
    @NaftaryLeonald 2 месяца назад

    Ngoma kali broo jino ❤❤

  • @Smailmudabado
    @Smailmudabado 2 месяца назад +3

    Ukianza kufanikiwa ndo maadui wanajitokeza ili uwajue kwa sura zao mungu tulinde

  • @adohwise
    @adohwise 2 месяца назад +4

    Binadamu sijuw wanataka mtu uweje...
    Ukikosa watakucheka..
    Ukipata watasema unajitenga...
    Ukiwasaidia shukran zao ni kukusema tu...
    Bid up brothers..
    @CHINO FT DAWAY

  • @user-ii4jb5ed8c
    @user-ii4jb5ed8c 2 месяца назад

    Eeeh mwanetu ngoma hio yakwenda kbx

  • @TariqAziz-sc1lb
    @TariqAziz-sc1lb 2 месяца назад

    Bonge la wimbo chino❤

  • @official_dontonny
    @official_dontonny 2 месяца назад +9

    Big up my fellow musician like hapa kwangu kutoka Seychelles ❤❤❤

  • @erastokimaro1755
    @erastokimaro1755 2 месяца назад +3

    Chino kidd umehua sana kamanda kuishi na binadamu Kaz sana

  • @Koffian254-nc1hb
    @Koffian254-nc1hb 2 месяца назад +2

    Ngoma kali sana,daway anajua sana😇😇

  • @djmaxmnyamaglobal7744
    @djmaxmnyamaglobal7744 2 месяца назад

    Hiiii ngoma ya motoooo

  • @davidmbwele7536
    @davidmbwele7536 2 месяца назад +4

    Chino uko vizuri ili doba ni kali straight outta 254🔥🔥🇰🇪

  • @MRCHARLES277
    @MRCHARLES277 2 месяца назад +4

    Huu wimbo jamani

  • @RashidyAlly-ly1fv
    @RashidyAlly-ly1fv 2 месяца назад +1

    Oya chno wana man ameuwa hiii ngoma yan huwezii aminii ameyagusa maisha yng yote hongera sn boy

  • @OmbagoBwoyofficial-jm9es
    @OmbagoBwoyofficial-jm9es 2 месяца назад +4

    Ngoma kali sana

    • @godey_tz
      @godey_tz 2 месяца назад

      Uhakik mzee

    • @godey_tz
      @godey_tz 2 месяца назад

      Trending song

    • @godey_tz
      @godey_tz 2 месяца назад

      Inabalaa

    • @godey_tz
      @godey_tz 2 месяца назад

      Sky anajua

    • @godey_tz
      @godey_tz 2 месяца назад

      Dunia chungu

  • @RichMavoko-nx8cn
    @RichMavoko-nx8cn 2 месяца назад +5

    Wa kwanza nipe like zangu 🇲🇼🇲🇼🇲🇼 Chino kidd always proud of you well done ✅ Ramadhan Kareem done ✅

  • @user-nu9we8kr2l
    @user-nu9we8kr2l 2 месяца назад

    Chino na kuku bali sana ngoma mnzuri mungu akusima mie

  • @philobliver6621
    @philobliver6621 2 месяца назад

    Hapa umeua sana so deep

  • @UdakuKingdom
    @UdakuKingdom 2 месяца назад +29

    Ngoma ya kuleta Tuzo Mwaka Huu 2024 Like 👍 Apa Kama Unamkubali Chino

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      Street song

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      Sanaa

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      Inatugusa sanaaa

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      Kwel aseeee

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      Good music

  • @chibo666
    @chibo666 2 месяца назад +3

    eti wanatangaza una kiburi chino.daaaaah. here we Gooooooo.chino

  • @khamzdady7977
    @khamzdady7977 2 месяца назад

    Bora wali nyama kuliko walimwengu, #RIP #SAM WA UKWELI Nimeskiza huu wimbo zaidi ya mara 3 icho ndio kitu kimenijia #walimwengu.... Binadam wa baya sana,mzazi tu ndio mwenye kufurahia mafanikio yako.
    SO NO GIVE U... LETS PUSH HARD, TUNAKULA NAO TU NA UBAYA WAO
    #Goodmusic
    #Nicemelody
    #Perfectlyrics
    🔥🔥🔥

  • @Chrissiradukunda
    @Chrissiradukunda 2 месяца назад +4

    News songs 2024 Big up brother chino 🙏🙏💪

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад +1

      Wema umeniponza

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад +1

      Niliishi vizuri na ndugu zangu

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад +1

      Machungu ya dunia

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад +1

      Imagine

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад +1

      Sifuri

  • @user-nv2bp5oc6g
    @user-nv2bp5oc6g 2 месяца назад +8

    Wa sita leta like🎉😂

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      Uhakik

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      Hatar

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      Ukwel mzee

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      Uhakika hiii

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      Dunia chungu

  • @user-uw5fr3lu2v
    @user-uw5fr3lu2v 2 месяца назад

    Dah 😭 😭😭 hii ngoma

  • @barakabukeke2249
    @barakabukeke2249 2 месяца назад

    Bonge Moja la ngoma

  • @user-zx2ny5fw4h
    @user-zx2ny5fw4h 2 месяца назад +3

    Mi skupingi dam yetu🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂

  • @jonmabestee6662
    @jonmabestee6662 2 месяца назад +2

    Ngoma Kal gonga like kama umeikubal

  • @user-zh9ok9vw7x
    @user-zh9ok9vw7x 2 месяца назад

    Nmependa beat chino producer anajuwa chorus jamaa kaua

  • @Ostica..Omie..junior
    @Ostica..Omie..junior 2 месяца назад +1

    So cool & good musician..chino kidds 4real

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. 2 месяца назад +30

    Nishatokea jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      😢😢😢😢

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      So sad

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      Fumba macho fumbua

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      Hasso

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад

      ❤❤❤❤

  • @user-jl1uu1uv9o
    @user-jl1uu1uv9o 2 месяца назад +5

    Chino wan man team tupo Hapa gonga likes ❤

  • @RobartAssey
    @RobartAssey 2 месяца назад +1

    Ngoma kali sana 🔥🔥🔥

  • @Hamis72
    @Hamis72 2 месяца назад

    Mzeee wanguuuuuuu

  • @lodybrown3045
    @lodybrown3045 2 месяца назад +7

    TEAM WANAMANI GANG💱 TUJUANE KWA LIKE 🎉 hata 10 tu😢🤞🏻

    • @Young-Dav
      @Young-Dav 2 месяца назад +2

      Sisi WANAMANI Nawatambulisha wa Congo 🇨🇩

  • @YasiniMtilaki
    @YasiniMtilaki 2 месяца назад +4

    Naomba like nyingi sana hapa

  • @laxmajor
    @laxmajor 2 месяца назад +1

    Ngoma Kali sanaa

  • @michaelchris365
    @michaelchris365 2 месяца назад +7

    Kama unaamini daway huu ni mwaka wake wa kutoboa gonga like apa

  • @Beiyaduba2002
    @Beiyaduba2002 2 месяца назад

    Ngoma Kali sana wanamani

  • @SilvanusDenis-hr4rp
    @SilvanusDenis-hr4rp 2 месяца назад

    Kaka umetisha sana vocal za maana sana umepita nazo❤❤

  • @Steven3.
    @Steven3. 2 месяца назад

    Mambo ni 🔥🔥🔥🔥

  • @user-vw5cd2ll6u
    @user-vw5cd2ll6u 2 месяца назад

    Usiache Chinno keep doing

  • @user-fr7kt1nj9r
    @user-fr7kt1nj9r 2 месяца назад

    Umetisha sana chino

  • @user-zv4ul2ky6n
    @user-zv4ul2ky6n 2 месяца назад +1

    Chino on fire 🔥 let's move broo

  • @johndemunga2903
    @johndemunga2903 2 месяца назад

    Duhh Chino bwana iyi kahuwa brother

  • @user-yh8ub1gg7p
    @user-yh8ub1gg7p 2 месяца назад

    Nakubali sana❤

  • @ezekielyakobombeyacty1tang711
    @ezekielyakobombeyacty1tang711 2 месяца назад

    ngoma Kali Sana mwanangu chino wanaman

  • @nanadimpozy7730
    @nanadimpozy7730 2 месяца назад

    Wabaya sana kaka,