Bando MC Feat Daway - Sir God (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 мар 2024
  • #SIRGOD#NewMusic#Bando# #EpicJourney#
    (C) Slide Digital
    Bando MC Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.bio/1kqop5
    Written & Performed by Bando MC & Daway
    Get ready to embark on a journey through soundscapes and storytelling with our latest release, "SIR GOD"! 🎶
    🌟 "SIR GOD" is more than just a song; it's an epic tale woven through melodies and lyrics that will take you on an unforgettable musical adventure. With powerful vocals, captivating instrumentals, and thought-provoking lyrics, this track is bound to resonate with listeners on a profound level. 🎤🎸
    💥 Prepare to be immersed in a world where imagination knows no bounds and where the lines between reality and fantasy blur. "SIR GOD" invites you to explore themes of strength, resilience, and the journey to self-discovery. It's a reminder that within each of us lies the potential for greatness and the power to overcome any obstacle in our path. 💪🌌
    🎬 Accompanied by stunning visuals, our music video for "SIR GOD" brings the narrative to life, enhancing the listening experience and adding another layer of depth to the story we're telling. 🎥✨
    🔥 Whether you're a long-time fan or new to our music, we invite you to join us on this adventure as we unveil "SIR GOD" to the world. Hit play, turn up the volume, and let the music take you on a journey like no other. 🚀🎧
    Don't forget to like, comment, share, and subscribe to our channel for more updates, behind-the-scenes content, and future releases. Thank you for your support! 🙏✨
    Video shot in (Dar es Salaam, Tanzania )and Directed by Deo Abel
    Follow Bando MC On:
    Instagram: bando_tz?igshid...
    Facebook : web. bandomcoffic...
    Twitter: mussabando?lang=en
    TikTok: www.tiktok.com/t/ZM2Rv917o/?t=1
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 7 тыс.

  • @BandoMC
    @BandoMC  2 месяца назад +272

    KARIBUNI KUSIKILIZA WIMBO WANGU MPYA NAAMINI UTAWEKA ALAMA CHANYA SANA
    BANDO FT DAWAY -SIR GOD
    ruclips.net/video/ic04D3RccZs/видео.html

  • @nicholausmathiasshibiliti4639
    @nicholausmathiasshibiliti4639 2 месяца назад +49

    Wimbo mzuri hivi harafu views wachache hivi shida nini? Au ndo kusema wengi wanapenda nyimbo za mapenzi da tunafaeli sana, wimbo huu mzuri tena wenye mahadhi ya ki Mungu

    • @Polepole1
      @Polepole1 Месяц назад +3

      Ni mshangao mkubwa sana🤔

    • @abduljembe6608
      @abduljembe6608 24 дня назад +1

      Kaka wabongo wanataka mpaka aimbe Diamond au Kiba kama sio Harmonize ni watu wa kukariri tuna vipaji vingi ila wanasikiliza wale wale tu wakibadilisha basi J Melody,Mario, Jux au Barnabas wamemaliza

    • @user-ze5ps6uc8m
      @user-ze5ps6uc8m 19 дней назад +1

      Wakiumwa ndo wanazijua nyimbo za Mungu

    • @ntullyjanga33
      @ntullyjanga33 15 дней назад

      Imekopiwa kwa burna boy wimbo wake wa common person

    • @JosephMwasamwene
      @JosephMwasamwene 3 дня назад

      Nyie tena wajua kacopy na wew uturetee tusikirize ​@@ntullyjanga33

  • @priscusaudifas9936
    @priscusaudifas9936 2 месяца назад +58

    Huu wimbo nimeuskiliza mara 25 kwa leo, kiukweli umetisha sana, kama na wewe unakubali huu wimbo gonga like tujuane.....one love💪

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 2 месяца назад +15

    Hii combination wakiiidumisha watavuka mipaka ya Africa niamini....ipo siku mtakuja kuikumbuka hii comment❤.

  • @SteylaPol
    @SteylaPol 28 дней назад +2

    Ujumbe mzuri sanàa
    Hakika sir, GOD anablesss Kila leooo

  • @aridythomas421
    @aridythomas421 2 месяца назад +47

    Bando anastahili pongezi kwa kuleta wimbo kama "Sir God" ambao unachochea mazungumzo na uelewa miongoni mwa jamii za Kiislamu na Kikristo. Kazi yake ni ya kuvutia na inaleta matumaini kwa mustakabali wa umoja wa kidini.
    Kama una amin Huna roho ya kutu niunge nipe 👍 like

  • @Kennycreated-vh4yp
    @Kennycreated-vh4yp 2 месяца назад +14

    Nice nice my favorite songs on this month 🤞🏼👊🏼

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 месяца назад +1

      Thanks

  • @edgaremmanuel5160
    @edgaremmanuel5160 Месяц назад +3

    Mziki mzurii culture

  • @saleh9997
    @saleh9997 24 дня назад +3

    Nyimbo nzuri sana

  • @Platwhite_Tz
    @Platwhite_Tz 2 месяца назад +71

    Daway ameuwa sana humu ndani Kama unakubali hili gonga like yako tu support ngoma

  • @Mwanasconcho_
    @Mwanasconcho_ 2 месяца назад +33

    Aliyeimba chorus ndo kafanya niusikilize huu wimbo mpk mwisho hata mchanaji hujaniangusha 🔥🔥🔥🔥

  • @Maligisa12
    @Maligisa12 2 месяца назад +13

    Uliye mwazima kiatu leo, kesho anaweza kukukata mguu.
    Shy Town Boi.

  • @user-ei3xu5pf2l
    @user-ei3xu5pf2l 27 дней назад +2

    Wenetu mmeuwa sanaaa kwenye hii nyimbo

  • @dasmoon225
    @dasmoon225 2 месяца назад +16

    Sasa nimelizika ahaa kaka bando Sina den na ww kiukwel unajua nn tunataka mashabiki na kwa wakati Gani hivyo umekuja wakat sahihi kabsa kazi nzuri hatujutii kukushabikia maan tuna pata tunachostaili kila la heri _Sir God

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 месяца назад

      Asante sana

    • @dasmoon225
      @dasmoon225 2 месяца назад

      Pamoja kk nipo nyuma yako

  • @Hamadison_Ad
    @Hamadison_Ad 2 месяца назад +7

    Ngoma kalii xana aixeeh🔥🔥

  • @ramadhanikondo-zm6kz
    @ramadhanikondo-zm6kz Месяц назад +32

    Bando tumetoka mbali embu piga like apa

  • @FredrickKimambo
    @FredrickKimambo 2 месяца назад +2

    Aiseee hii Ngoma ni Kali San jamaa uyo aliepiga kolasi azingatiwe anavocal Kali San anasound Kam marioo flan iv pia beat Kali flow waooooh 🔥 najua bando anamistar flani Kam contawa uchok kumsikiliz all in all Ngoma Kali San jaribu kupush hii ngoma izid kwenda kutok moyoni ngoma nmeipenda mno... congrats kwako

  • @Colestyezz47
    @Colestyezz47 2 месяца назад +18

    Noma sana
    NGOMA MPYA
    BANDO MC UMETISHA
    Sir God ..🎺

  • @winnerbigmass9411
    @winnerbigmass9411 2 месяца назад +6

    BIG BANGER 🔥🚀🚀

  • @EmaelYusuph
    @EmaelYusuph 13 дней назад +1

    Kama ningeweza kukutana na huyu Jamaa ningefurahi sana ,melody tamu mpangilio wa mashahiri hatar sauti usipime Big up bando mc keep it up

  • @heismiyraj255
    @heismiyraj255 2 месяца назад +2

    Kipaji makin mistari imetuli✊🏾. Have more blesses bro #hustler-on-top📌

  • @user-sx7kl9bh5f
    @user-sx7kl9bh5f 2 месяца назад +5

    More money, more bless,more success 🙏🙏🙏

    • @godey_tz
      @godey_tz 2 месяца назад

      More dollars

    • @roney5584
      @roney5584 2 месяца назад

      Tumuombeee🥰🥰

  • @Bighopethb1
    @Bighopethb1 2 месяца назад +5

    Bravo j'aime cette belle mélodie🎉🎉, nime kubari sana tokea Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉

  • @user-nn5lv6nb6i
    @user-nn5lv6nb6i 24 дня назад +2

    Nyimbo naipenda san hii jmn

  • @ericsamuel2217
    @ericsamuel2217 14 дней назад +2

    huu wimbo utafika mbali sana kaka, GOOD SANA
    ACHANA NA MAMBO YA KUTUNGA KUHUSU POMBE NA MAPENZI PENZI UTAFIKA MBALI🙋‍♂️

  • @hajuki21
    @hajuki21 2 месяца назад +5

    Bando umetishaa 💪💪san time will tell

  • @roshanTz6
    @roshanTz6 2 месяца назад +5

    Fire ❤❤❤🎉🎉🎉

    • @godey_tz
      @godey_tz 2 месяца назад

      On🎉🎉

  • @johnbanzi884
    @johnbanzi884 22 дня назад +1

    Tanzania my country ❤aiseee bonge la nyimbo ujumbe mzuri,sana

  • @juliusmswaki9830
    @juliusmswaki9830 7 часов назад

    The best inspirational Song ya mwaka. Kazi nzuri sana

  • @emmanuelpius6387
    @emmanuelpius6387 2 месяца назад +5

    Aseee huyu Daway amenyoosha haswa kwenye chorus..... Sir God bless us

    • @God12365
      @God12365 2 месяца назад +1

      Verse kali

  • @frankthedon
    @frankthedon 2 месяца назад +7

    BANDO MC ni kati ya wasanii wachache wanaotoa nyimbo zenye maadili na ujumbe mzuri. Nakupongeza Kaka kwa kazi yako nzuri straight outtab Mombasa, Kenya ,🇰🇪🇰🇪

  • @ayomaamediaa9011
    @ayomaamediaa9011 2 месяца назад +12

    Uyu Kuma aloimba kitikio kaua sana

    • @user-ib2dq4ru3b
      @user-ib2dq4ru3b 2 месяца назад +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @ClementFranci
      @ClementFranci 21 день назад

      Daaah watu Wana akili fyatu sas k ya nn sas??

  • @wiremeshmurume006
    @wiremeshmurume006 Месяц назад +14

    Nawakilisha Kenya hapa wapi upendo

  • @goldpdancerofficial1540
    @goldpdancerofficial1540 2 месяца назад +5

    🎉🎉🎉 fire 🔥🔥

  • @FredJames-ev4vl
    @FredJames-ev4vl 2 месяца назад +4

    Umeua kinoma

  • @respikius3685
    @respikius3685 2 месяца назад +8

    umekaa ukaaandika nyimbo nzuli san🇹🇿💯👈💥💥💥💥💥💥

  • @JAYLABELS
    @JAYLABELS 2 месяца назад +2

    Hii nimeimbiwa mimi 🎉🎉🎉🎉 shout out brothr Bando, Na bando lngu utakula sanaa shy town bway

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 месяца назад +1

      Sio poah

  • @abdulazizmnyika
    @abdulazizmnyika 2 месяца назад +14

    uliemuazima viatu leo kesho ndo anaweza kukukata mguu👐🔥

  • @Mta_b_whizy
    @Mta_b_whizy 2 месяца назад +4

    Let's goo brother

  • @JamesReuben-gt8up
    @JamesReuben-gt8up 17 дней назад +4

    Kwelii mzikii ni nyota ngoma kalii kama ina views wchache kwelii sioo hakiii tuache kubagua wasanii

  • @angelmarcelina5336
    @angelmarcelina5336 Месяц назад +1

    Nakueleza some of us if not for God yani our situations could not be explained .
    I love you God

  • @jose_willy79
    @jose_willy79 2 месяца назад +4

    daway & bando you killed it 🔥

  • @jumakimtanange8177
    @jumakimtanange8177 2 месяца назад +6

    Fireeeeeeeeeeee

  • @Cute_baby.922
    @Cute_baby.922 2 месяца назад +2

    Sir god anablesa

  • @HadijaHassan-cm6bi
    @HadijaHassan-cm6bi Месяц назад +1

    Wimbo huu aliyeuimba anafaa apewe maua yake.ongera sana umenigussa yote hayo nimeyapitia.Mwenyeezi mungu atuepushe nayo Aamiina.

  • @goddymemberg3155
    @goddymemberg3155 2 месяца назад +9

    Nakubali mzee baba mabadiliko ni makubwa na tulipotoka Tisha sanaaa 🎉🎉

    • @roney5584
      @roney5584 2 месяца назад

      🔥🔥🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼hatr

    • @roney5584
      @roney5584 2 месяца назад +1

      Oaaaa eee hiii nyimboooo ni Kali Sanaa🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻

  • @FadhiliMadiwa
    @FadhiliMadiwa 2 месяца назад +5

    Bandooooooo🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DekelvaSoujaboy
    @DekelvaSoujaboy 2 месяца назад +3

    Ngoma Kali mistari kama yote unyama mwingi love from Drc Congo Lubumbashi ❤❤❤

  • @richatforty8883
    @richatforty8883 2 месяца назад +2

    Bando ananipendeza kwa staili yake ya kurappu kuhusu mambo ya dunia na kumhusisha mungu kama suluhu. Nyimbo zake zina ujumbe wa kipekee

  • @TaqboyTz-xm8zf
    @TaqboyTz-xm8zf 2 месяца назад +6

    Brother uuuh mzigo unastaili 🥇

  • @kadokazi
    @kadokazi 2 месяца назад +14

    ShyTownBoi 💥💥✊✊

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 месяца назад +1

      Kado

    • @Chibertv
      @Chibertv 2 месяца назад

      Nitampa dada 😂😂😂

    • @Chibertv
      @Chibertv 2 месяца назад

      Mwamba anajua kwa hip-hop tu hkn kama yeye

  • @MacHarveyCollections
    @MacHarveyCollections Месяц назад

    Eeeish generations showing off with Jesus 🎉🎉I loooove it🔥🔥🔥❤️Sir God ndio maana nipo hapa 🔥🔥

  • @EvelineNamajojo
    @EvelineNamajojo 2 месяца назад +2

    Nyimbo mzur xn hiiiii🤜🤛💫💫

  • @rashidikiduduye9326
    @rashidikiduduye9326 2 месяца назад +14

    akubari wimbo wa kupendwA na watu wote❤❤

  • @kingrazzhippo6650
    @kingrazzhippo6650 2 месяца назад +28

    Huyu jamaa kaigongaaa iyo korasiiii 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @dayana-js7ep
    @dayana-js7ep 2 месяца назад +2

    God anabless

  • @user-gm7es7eu6n
    @user-gm7es7eu6n 24 дня назад +1

    Wah am in love with song big up bro together listening this song at kenya nairob🎉🎉🎉❤❤ keeping,, big up broh pamoja sana bonge la nyimbo❤❤

  • @vickie_2035
    @vickie_2035 2 месяца назад +15

    Bando unampango gan na sisi sio kwa hitsongs hizi❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @roney5584
    @roney5584 2 месяца назад +5

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿daway una balaaa

    • @godey_tz
      @godey_tz 2 месяца назад

      Mzukaaaa

  • @Tbag15
    @Tbag15 2 месяца назад +7

    Chorus kali

  • @geraldmanumbu5793
    @geraldmanumbu5793 19 часов назад

    Wimbo umetulia sana sana i love it.

  • @roney5584
    @roney5584 2 месяца назад +10

    Daway Ana hatri sanaa🔥🔥🔥🔥sir god

    • @godey_tz
      @godey_tz 2 месяца назад

      Bless 😂😂

    • @godey_tz
      @godey_tz 2 месяца назад +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 месяца назад +1

      Shukran

    • @goldpdancerofficial1540
      @goldpdancerofficial1540 2 месяца назад +1

      🇯🇲 sir god bonge la Ngoma wanahitaji mau yao ngoma ya mwak

  • @benzohtz4527
    @benzohtz4527 2 месяца назад +15

    Nipo nmekaa kwenye kiti cheupe nangoja ngoma nyeupeeee SIR GOD daaaah uuu mwaka ni wa shaytown bongeee😂😂🔥🔥🔥🔥

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 месяца назад +1

      Nakukaribisha kusikiliza na kutazama video ya wimbo wangu mpya 🙏🙏🙏
      @bando_tz X @dawaystar
      SIR GOD 👇
      ruclips.net/video/ic04D3RccZs/видео.html …

    • @goldpdancerofficial1540
      @goldpdancerofficial1540 2 месяца назад

      Sir god 🙏 ana bless ndo maan nip hapa leo

  • @user-fh1jk9qq5y
    @user-fh1jk9qq5y 2 месяца назад +2

    SIR GOD 🙏🙏🤲🤲

  • @esterkatonkola4489
    @esterkatonkola4489 12 дней назад

    Da mnatisha Sana kwakweli Mpo juuu Mna Maua yenu Kwa Mungu

  • @OmahRee10
    @OmahRee10 2 месяца назад +8

    Killing verse my brodah
    Kaza msuli ukipata juu✊✊✊

  • @FredJames-ev4vl
    @FredJames-ev4vl 2 месяца назад +4

    💥💥

  • @chingyleee756
    @chingyleee756 Месяц назад

    Mziki hauna mwenyewe,ngoma kali tu! Big up mzee ngoma kali sana❤❤❤

  • @NyemoChonanga
    @NyemoChonanga 9 дней назад

    Msisahau na Hawa nao wajengewe masanamu Yao❤❤❤❤

  • @Deezingotz
    @Deezingotz 2 месяца назад +6

    Huna baya kaka mkubwa 🔥🔥🔥🔥💯 sir god

  • @swagaton-ke
    @swagaton-ke 2 месяца назад +4

    Bro you are big thing much love from Kenya 🇰🇪 looking forward working with you

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 месяца назад +1

      Can't wait!

  • @brirasta74
    @brirasta74 3 дня назад

    Bonge moja la chorus na verse za ulimwengu💪🏽Big up Guys God 1st bro🤝🏽

  • @isabhatototwin6542
    @isabhatototwin6542 8 дней назад

    Bando kama bonge la bando🎉

  • @MCG_TZ
    @MCG_TZ 2 месяца назад +4

    Anabless sana sir God

  • @wakunatahafai1969
    @wakunatahafai1969 2 месяца назад +3

    Killing verses💣💥

  • @Appetizertz
    @Appetizertz 12 дней назад

    Bonge la bang mmeua kinomaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Franc-Isjk
    @Franc-Isjk 19 дней назад

    National anthem Kenya🎉🎉 salute you guys fellow artist - AMBIA GOODLUCK.

  • @user-kiddfuture1i
    @user-kiddfuture1i 2 месяца назад +7

    Sir God Hatar shwaaa✈️✈️✈️

    • @ChangeBtz
      @ChangeBtz 2 месяца назад

      Trending song aseee

  • @emmanuelezekiel3462
    @emmanuelezekiel3462 2 месяца назад +4

    Kazi ya kwenda....🔥👑

  • @mgmail-lj7mo
    @mgmail-lj7mo 2 месяца назад

    Sir god to the world 🔥🔥🔥

  • @justbea836
    @justbea836 Месяц назад +1

    this song is everything🙌. Good work Bando MC & Daway

  • @DullahXella-xb4cz
    @DullahXella-xb4cz 2 месяца назад +4

    Noma ❤❤❤❤🎉 sir god

    • @godey_tz
      @godey_tz 2 месяца назад

      Hatar sanaaaa

  • @user-hv5pt2ov6n
    @user-hv5pt2ov6n 2 месяца назад +5

    Nakubr kaziii safiii

  • @grace-zj6sq
    @grace-zj6sq 9 дней назад +2

    Nimeusika kwa radio nikasema nije kuona kabisa, wimbo mziri kinoma

  • @moibraTiles7024p
    @moibraTiles7024p Месяц назад +1

    Upo makini sana huu wimbo

  • @roney5584
    @roney5584 2 месяца назад +8

    Oaaaa eee iiiii nyimbo Kali sana

  • @donalfa1850
    @donalfa1850 2 месяца назад +14

    Huyo daway ni mnoma kinoma💥💥💥

  • @christinakibena7125
    @christinakibena7125 Месяц назад +1

    Bando muacheni apewe mauwa yake anajuwa sana miye Hadi saizi huuwimbo nasikiliza TU Toka asubuhi huyu bwana anajuwa sana

  • @yusuphally6939
    @yusuphally6939 2 месяца назад +12

    Nawakilisha MWANZA naomba like 50

  • @slavemaster0867
    @slavemaster0867 2 месяца назад +21

    Kwa hii chorus Kali ....Naombeni like zangu 20 tuu Ilitwende sawa ....maana hii chorus ni ya mwaka

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад +1

      Mtoto anajua sanaa

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад +1

      Apewe Kijiji chake

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад +2

      Amesogea ivyoo

    • @Jumaloke
      @Jumaloke 2 месяца назад +2

      Haikua laisi

    • @slavemaster0867
      @slavemaster0867 2 месяца назад +1

      Hatar aisee

  • @user-hv5pt2ov6n
    @user-hv5pt2ov6n 2 месяца назад +5

    Kaz.kaliii saa

  • @EVELYNEPETERKAROLI
    @EVELYNEPETERKAROLI 9 дней назад

    Ama kweli wimbo ni mzuri vya kutosha

  • @dr_donye
    @dr_donye Месяц назад +1

    Goma la moto sana 🔥🔥🔥👑

  • @StalonTeo-jb2td
    @StalonTeo-jb2td 2 месяца назад +5

    Keep moving

  • @goldpdancerofficial1540
    @goldpdancerofficial1540 2 месяца назад +11

    Kali sana hii sir god

    • @roney5584
      @roney5584 2 месяца назад

      😞😞😞😞🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Petro635
    @Petro635 2 месяца назад

    Sir God ✈️✈️✈️🔥🔥🔥

  • @mgmail-lj7mo
    @mgmail-lj7mo 2 месяца назад

    Song ipo makini sana big up br🎉👏👏

  • @StalonTeo-jb2td
    @StalonTeo-jb2td 2 месяца назад +3

    Bando keep going

  • @user-kiddfuture1i
    @user-kiddfuture1i 2 месяца назад +5

    Ngoma Kali sana respect my broh

    • @God12365
      @God12365 2 месяца назад

      Bado lingine linakuja linaitwa SIR GOD remix

  • @burundianknowledge3404
    @burundianknowledge3404 Месяц назад +1

    Romantic song ❤❤love frm🇧🇮🇧🇮🙏