KADUARA ATOA MAELEKEZO KWA WANAOHARIBU MISITU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 июн 2024
  • DAR ES SALAAM: Wazir wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar, Shaibu Kaduara amewataka wananchi kote nchini kuacha tabia ya kuharibu mazingira ikiwemo kukata miti ili kuepusha madhara yatakayojitokeza katika uharibifu huo.
    Ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati akifunga Mkutano wa 8 wa Mwaka wa nchi 34 za Afrika Wanachama katika Mkakati wa Uongoaji wa Ardhi na Misitu iliyoharibika.
  • СпортСпорт

Комментарии •