Wakulima wa karanga Katavi waiangukia Serikali kuwatafutia masoko, Wasimulia vishoka wanavyowaumiza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 май 2024
  • Wakulima wa Zao la Karanga Manispaa ya mpanda Mkoa wa Katavi wameiangukia serikali kuwatafutia masoko ili waweze kunufaika na zao hilo.
    Wamesema wamekuwa ukosefu wa masoko umekuwa ukiwalazimu kuuzwa kwa bei ndogo isiyolingana na gharama kubwa wanayoitumia kwenye kilimo.
    Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi Mei 4,2024 wamesema uhaba wa wanunuzi na kukithiri kwa vishoka wa ununuzi wa zao hilo imekuwa changamoto kubwa ya wao kunuafaika.
    Mmoja wa wafanya biashara wa karanga kutoka mkoani Mbeya aliyefika kununua zao hilo , Wazaki Said ameiomba serikali kuweka bei elekezi ili mkulima aweze kunufaika kuliko ilivyo sasa bei wanayoitaka wenyewe kitu ambacho kina muumiza mkulima.

Комментарии • 1