Kauli ya mbunge wa upinzani ‘wana-CCM wenzangu’ yaibua vicheko bungeni

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 май 2024
  • Mmoja kati ya wabunge 19 wa Viti Maalumu wa nafasi ya Chadema ameibua shangwe bungeni baada ya kusema sisi CCM alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, jijini Dodoma leo Mei 27, 2024.
    Kauli hiyo imetolewa na Hawa Mwaifunga alipokuwa akilalamikia kiasi cha fedha walichopewa Tume ya Mipango na Matumizi Bora ya Ardhi.

Комментарии • 2

  • @danielndam5997
    @danielndam5997 21 день назад

    Unapokelewa vzr ukitokeawapi?

  • @user-nf1tg3kt3y
    @user-nf1tg3kt3y 21 день назад

    Kweli kabisa hujakosea kuwa wewe ni CCM kwa sababu chadema wameshawafukuza