Wema Sepetu Atinga Mahakamani Akinyeshewa na Mvua

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 май 2017
  • LEO Mei 2, nyota wa sinema za Bongo, Wema Sepetu, alipanda tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar kusikiliza kesi ya tuhuma za kutumia na kukutwa na madawa ya kulevya ambapo upande wa Jamhuri umekamilisha upelelezi wa kesi inayomkabili msanii huyo.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 38

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness 7 лет назад

    Pamoja sana global...

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 лет назад +1

    Dah pole wema

  • @ummyissa4622
    @ummyissa4622 7 лет назад +1

    pole dia yatakwisha ucjl

  • @eliasmsafiri7385
    @eliasmsafiri7385 7 лет назад

    pole wema cku zote ukweli humuwek mtu huru n ukweli waga haujifchi

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 7 лет назад

    jane Wacera anakunya keki anakojowa champaine anachuta pafurm sinimaajabu hayo

  • @mammiesjeyb4985
    @mammiesjeyb4985 7 лет назад

    kila.LA
    kheri

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 лет назад +9

    Nyinanyi kwani hafai kunyeshewa ananini Cha maana sana ,?????

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 лет назад

      Jane Wacera haaahaa kwan yy n sukari

    • @joleenmasha
      @joleenmasha 7 лет назад

      jane Wacera hata sijui pengine hafai kunyeshewa na mvua si ni wema sepetu

    • @janewacera7812
      @janewacera7812 7 лет назад

      Hiyo kichwa cha habari ni uchokozi tu, mungu yeye huleta mvua Hadi baharini kwenye maji Mengi zaidi sembuse wema kwani yeye hunya Keki !!!!!!!??????????

    • @rahmamteri5592
      @rahmamteri5592 7 лет назад

      Jane Wacera nashaangaa wanapenda kumpa kiki

    • @janewacera7812
      @janewacera7812 7 лет назад +1

      Ni views wana tafuta na ma subscribers waelewe wako kazini

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 лет назад

    huhuhu unachekesha kweli ww mtangazaji kwani yeye nani acnyeshewevua hahaha nimecheka mmm

  • @lilianmwinamila9506
    @lilianmwinamila9506 7 лет назад +1

    🙆

  • @alexandrinadomaino1085
    @alexandrinadomaino1085 7 лет назад +1

    Investigation inachukua mda gan?Mi naona mnamsumbua dada wa watu tu khaaa.

  • @ashamlosi1899
    @ashamlosi1899 7 лет назад

    BASHITE anakusubuwa

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 лет назад +2

    mi naona mnamsumbua tuuu kama mmeshindwa kuwa na ushahd wa kutosha muachen huru afanye mambo yake sio mahakaman kila siku

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 лет назад

    mbona kawa hv cku hz uko uson kulikon

  • @HassanAli-tx2wu
    @HassanAli-tx2wu 7 лет назад +1

    wema yote yatakwisha ni mitihani ya maisha mungu akutangulie sister

    • @joleenmasha
      @joleenmasha 7 лет назад

      Hassan Ali eti mungu amtangulie wajuwa ni watoto wangapi tz wameharibika na dawa za kulevya wew utasikiaje mtu akiuzia familia yako dawa za kulevya utasema mungu akutangulie sister kawaida mastar ama wakubwa wakifanya Mambo kama hayo hata hawachukuliwe sheria lakini wakae wakijuwa Mambo yanaenda yakibadilika

    • @HassanAli-tx2wu
      @HassanAli-tx2wu 7 лет назад

      joleen masha najuwa sana kuwa family yako wote wameharibika na madawa yakulevya pole sana mungu awatangulie wasipotoke zaidi

    • @sibawayhisalum2707
      @sibawayhisalum2707 7 лет назад

      Hassan Ali aamin

    • @joleenmasha
      @joleenmasha 7 лет назад +1

      hassani Ali hata mtu mmoja kwetu hakuna anayetumia dawa za kulevya lakini nasikitikia jamii zengine watoto wadogo wa mika 10, 13, 14,15, wameshahusishwa kwa madawa ya kulevya bila kujuwa sasa vile unavyo sapoti muuzaji unga ni kama vile unavyo msapoti mtu wa kurepu mtoto mdogo akipewa unga avute imebaki nini kurepiwa na kuiba naakikuibia si utamchoma na tairi je ni makosa yake na ni mtoto mdogo kwa hivyo siwezi kusapoti mtu eti kwa ajili ni star ama ni president ama anacheo kikubwa serikalini hata mzazi hukosea masikini atauza unga ja masikini ataenda kuiba ja haya mastar ama wakubwa wauza unga kwa nini?

    • @margaretpius6274
      @margaretpius6274 7 лет назад

      alikq

  • @bettylozie9038
    @bettylozie9038 7 лет назад

    #Kelvin acha tantarira wewe eti ananyeshewa na mvua kwani who is she? mpaka akinyeshewa pia ni munatpost? Andika kichwa cha habari kadri ya vile inavyotakika na sio kuanfika upuuzi acha kujiharibia #Cv wewe.....Aiii mm binafsi nimeangalia juu kumetajwa mahakama ila ungeandika...Ushuzi wa Mvua tuu sidhani kama ungenipata hapa. ..Kua serious na kazi #NKT...Anayeshewa na Mvua my foot😏😏😏😏

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 лет назад +1

    aiiiii kwan yy n nani wcha mvua radi hswaaa

    • @HassanAli-tx2wu
      @HassanAli-tx2wu 7 лет назад

      azh zha yassin kila muombea baya mara nyingi humpata yeye au family yake hiyo radi unayomuombea itakutafuta wewe au itatowa mtu kwenye family yake

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 лет назад +1

      Hassan Ali oooooh plz soma then ndio ujitoe faham ok

    • @hanadialabed8635
      @hanadialabed8635 7 лет назад

      azh zha yassin asome nn inamaanisha nn ivyo ulivyosema unaloo

    • @hanadialabed8635
      @hanadialabed8635 7 лет назад

      Hassan Ali ameen

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 лет назад

      Hanadi Alabed unajuwa hpa wtu wko kazi wnataka views tooo

  • @marynyangwini7689
    @marynyangwini7689 5 лет назад

    Wema bdlk ddang nikkw nkkbl ila kwa mmb unyfnya no mby br uixh na mind hktxhlz un tma ya wnum

  • @ccmchadema8107
    @ccmchadema8107 7 лет назад

    kumbe mavazi mnayajuwa kusudi yenu wema usivae nguo fupi

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 лет назад

    Wewe unge ikwepa? Moron!