Jinsi ya kutengeneza kashata za karanga tamu.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 мар 2023
  • kujifunza zaidi njoo Whatsapp
    0653463133

Комментарии • 91

  • @remigiachale
    @remigiachale 7 дней назад

    Asante kwa elimu umeeleweka sana, lakini cjajua vipimo vya hivo vitu 🙏🙏

  • @PriscaShammy
    @PriscaShammy 9 дней назад

    Umefundisha vizur

  • @jenniferhamis9315
    @jenniferhamis9315 9 месяцев назад

    Asante kwa mafunzo mazuri

  • @AthumanHamza-wo3ii
    @AthumanHamza-wo3ii 10 месяцев назад +3

    Umefudsha vizuri

  • @afrahmuhamed8568
    @afrahmuhamed8568 5 месяцев назад

    Shukran Kwa ujuzi

  • @JosephinaMwakalinga-sk6vd
    @JosephinaMwakalinga-sk6vd 10 месяцев назад +1

    pia ikiwa karanga nusu vipimo vya ngano, sukar na maji vinakuwaje?

  • @aishachande8612
    @aishachande8612 5 месяцев назад

    Asante

  • @user-xj6gz8gj4j
    @user-xj6gz8gj4j 2 дня назад

    Mm sipo mwalimu kwenye darasa lako

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  2 дня назад

      Hongera na Asante sana kwa kuchagua kujumuika nasi kwenye darasa letu .

  • @user-rv8zp9nb3h
    @user-rv8zp9nb3h 6 месяцев назад

    Mashaalw

  • @user-rd8vc7jk3k
    @user-rd8vc7jk3k 7 месяцев назад +2

    Mwalimu naomba tupe vipimo. Angalia Sasa wote tuliojaribu kashata zetu azijakauka

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  7 месяцев назад

      Njoo WhatsApp 0653463133

  • @Ummuruhya
    @Ummuruhya 9 месяцев назад

    Habari mwalimu mm sipo kwenye darasa lolote ila nilijalibu kupika kashata haziku kauka naomba msaada zaidi

  • @JosephinaMwakalinga-sk6vd
    @JosephinaMwakalinga-sk6vd 10 месяцев назад +3

    Asante kwa somo zuli, lakin mimi nimejalibu kutengeneza kashata za karanga hazikauki nimekosea wapi?

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  10 месяцев назад +1

      Ukihitaji kujifunza zaidi njoo Whatsapp

  • @CathelineWaluye
    @CathelineWaluye 7 месяцев назад

    Mimi numeona darasa lako,nikitaka kuanza kutengeneza kashata nianze na kilo ngapi?

  • @IreneMaragela
    @IreneMaragela Месяц назад

    MkO vizuri

  • @tatuuhassan-my1qf
    @tatuuhassan-my1qf Год назад

    Kashata zinapendeza kwa hakika

  • @user-cw3iz5xp5d
    @user-cw3iz5xp5d 9 месяцев назад

    Yes ticha nimefurai namapishi yakashata

  • @ummukuluthumumbowe8802
    @ummukuluthumumbowe8802 11 месяцев назад

    Mbna hujasema umetumia kiasi gan

  • @user-dv2np5gl6b
    @user-dv2np5gl6b 3 месяца назад +1

    Nicole kwenye daresay last ubuyu

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  3 месяца назад

      Hongera sana ,kwakuwa mwanafamilia wetu wa kweli👏👏

  • @pendonyakarungu5673
    @pendonyakarungu5673 Год назад

    Hongera ticha nipo kwenye darasa lako la vijora na darasa la sabuni

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  Год назад +1

      Hongera sana Kwa kuchagua kozi zetu na kupata elimu ...Mungu akupe nguvu ya uthubutu zaidi na akufungulie njia 🙏

    • @pendonyakarungu5673
      @pendonyakarungu5673 Год назад

      @@jiajiritz Amen

  • @user-yo4dv1ms5h
    @user-yo4dv1ms5h 7 месяцев назад

    😢woow

  • @neemakusenha2540
    @neemakusenha2540 2 месяца назад

    Waoooo

  • @ttt1826
    @ttt1826 6 месяцев назад

    😮😮

  • @SalomeJohn-dh4ze
    @SalomeJohn-dh4ze Год назад

    Karanga huzikaagi kwanza

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft 4 дня назад

    Mmmh karanga mbichi hazijamenywa na ngano juu 😅😅 hii ndo nimeona ila nimependa fainal 😅

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  4 дня назад

      Punguza u-sure😀...yaan kashata ambazo karanga hazijamenywa ndo umeona leo

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft 2 дня назад

      @@jiajiritz haki yamungu sitanii 😂

  • @Nuriathkassim-tj8ml
    @Nuriathkassim-tj8ml Год назад

    Akika ziko vizr

  • @mwandazifatma8210
    @mwandazifatma8210 18 дней назад

    Mm nipo zanzibar vitabu nitavipata vp na shida yangu vipimo

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  18 дней назад

      Njoo Whatsapp 0653463133

  • @user-gm1su8ne7w
    @user-gm1su8ne7w Год назад

    Naomba kuingia kwenye darasa la ubuyu🙏🙏

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 29 дней назад

    Mi nahitaj darasa la vijora ndugu inakuaje

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  28 дней назад

      Karib sana ...njoo Whatsapp 0653463133

  • @hadijasalim1652
    @hadijasalim1652 Год назад +1

    Karanga kilo moja sukar kias gan na ngano kias gan?

  • @user-bx9hd6mo1v
    @user-bx9hd6mo1v 5 месяцев назад

    Sawa, darasa lako zuri, je? Vipimo vipoje kuanzia karanga, ngano awamu ya 1/2

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  5 месяцев назад

      Njoo WhatsApp tafadhali

  • @sarahchacha6714
    @sarahchacha6714 10 месяцев назад +1

    Naomba kuungwa darasa lasabun

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  10 месяцев назад

      bit.ly/3yCPwyq

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  10 месяцев назад

      Njoo Whatsapp

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  10 месяцев назад

      bit.ly/3yCPwyq

  • @zakiamohamed7611
    @zakiamohamed7611 8 дней назад

    Hapo hawasemi vipimo wanaficha hapo tucione ndani ilitununuwe vitabu hivyo hiyo ni biashara lazimu unchanging darasa hawaachi wazi ukaelewa utumie akili yako tu

  • @besthonney3232
    @besthonney3232 Год назад +1

    Nipo darasa la ubuyu na ubuyu wa vipand

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  Год назад

      Oooh doctor Asya 🤗 ✅ enjoy our lessons

  • @LatifaMpeLa
    @LatifaMpeLa 8 месяцев назад

    Nipoticha najifuz

  • @user-xb2ty9se6o
    @user-xb2ty9se6o 4 месяца назад

    Niko Drs la ubuyu wa vipande

  • @ChristinaMathias-xr3tk
    @ChristinaMathias-xr3tk 2 месяца назад

    Samahani mwalimu huwez kuanza kukaangaa izo karanga kwanza

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  2 месяца назад

      Unaweza kuanza kukaanga

  • @user-fd9cy5lz4u
    @user-fd9cy5lz4u 2 месяца назад

    Nahitaji kitabu

  • @solitaaally8766
    @solitaaally8766 Год назад

    Vipimo mbna hujaeka?

  • @priscarwilliam2180
    @priscarwilliam2180 7 месяцев назад

    Me nilifnya ila zikukau je nifnyj

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  7 месяцев назад

      Njoo WhatsApp 0653463133

  • @sabelamjini1090
    @sabelamjini1090 8 месяцев назад

    Nahitaji kitabu cha usindikaji na jiajiri

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  8 месяцев назад

      Njoo WhatsApp 0653463133

  • @firstlady9848
    @firstlady9848 Год назад

    Mimi sipo katika darasa lolote

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  Год назад

      Karibu sana darasani ujifunze zaidi
      0653463133

    • @fadhirakindamba714
      @fadhirakindamba714 Год назад

      Najiungaje hapo darasani nataka darasa la pilipili

  • @araphaathman1871
    @araphaathman1871 Год назад

    Mbona wengine karanga zao znakuwa nyeupe kabisa, huwa wanafanyaje??

  • @JanethsamwelAbel-op4yd
    @JanethsamwelAbel-op4yd Год назад +1

    Hzo karanga n mbichi au za kukaanga?

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  Год назад

      Mbichi

    • @sikudhanialy5457
      @sikudhanialy5457 Год назад +1

      Swali nkilo taka kuuliza na mm

    • @samiraalharthy7606
      @samiraalharthy7606 10 месяцев назад

      Izo karanga ni mbichi wangine kwanza wanakaranga karanga wanatowa maganda kisha wanazipika ivo ivo kama vile uyu kaka kapika

    • @khamishamad5947
      @khamishamad5947 9 месяцев назад

      6:15 😢 6:19 6:20

  • @RamazaniKiza-zg6kp
    @RamazaniKiza-zg6kp Месяц назад

    Asante

  • @Ummuruhya
    @Ummuruhya 9 месяцев назад +1

    Habari mwalimu mm sipo kwenye darasa lolote ila nilijalibu kupika kashata haziku kauka naomba msaada zaidi

    • @user-dv2np5gl6b
      @user-dv2np5gl6b 3 месяца назад

      Abari mwalim niko kwenye daresay lako la ubuyu

    • @JumaMchuzi
      @JumaMchuzi 22 дня назад

      Habari mwalim Mimi nahitaji

    • @JumaMchuzi
      @JumaMchuzi 22 дня назад

      Mimi nahitaji vipimo

  • @besthonney3232
    @besthonney3232 Год назад

    Nipo darasa la ubuyu na ubuyu wa vipand

  • @Amina-rg2xb
    @Amina-rg2xb Месяц назад

    Asante

  • @Ummuruhya
    @Ummuruhya 9 месяцев назад

    Habari mwalimu mm sipo kwenye darasa lolote ila nilijalibu kupika kashata haziku kauka naomba msaada zaidi

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  9 месяцев назад

      Njoo WhatsApp 0653463133