KILIMO BORACHA KARANGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 мар 2021
  • Jifunze namna bora ya kulima zao la karanga, mbegu bora ya karanga, wadudu na tibazake, magonjwa ya karanga na namna ya kuyazuia..
    USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANEL YETRU UPATE MAKALA NYINGI ZAIDI

Комментарии • 19

  • @claudjohn
    @claudjohn 2 дня назад

    Na mkoa wa iringa inakubali

  • @edwardmadembwe1431
    @edwardmadembwe1431 Год назад

    Nakubal kaz nam namuomba mungu anijalie msimu 2022 nipande karanga eka 12 shamba lipo Tayar linaendea kusafishwa na kulimwa

  • @josephjulias4149
    @josephjulias4149 5 дней назад

    MITANDAO YA KIJAMII INAYOTOA ELIMU YA KILIMO BORA CHA MAZAO MBALIMBALI YA CHAKULA .NI NEEMA KWETU SISI WAJASI.IA MALI.

  • @rabiaagenda3617
    @rabiaagenda3617 2 года назад

    Hekari Moja naweza kupanda karanga kiasi gani

  • @dorminantgene5489
    @dorminantgene5489 3 года назад +2

    Maelezo mazuri , ni mbegu gani naweza kupanda pwani? Nambari yenu ya simu

    • @kilimopesa27
      @kilimopesa27  3 года назад +1

      0656258254 mbgu nzr kwa pwani ni Red mwitunde na Nyota

  • @nyemondagalla608
    @nyemondagalla608 9 месяцев назад

    Dawa gani inafaa kwa palizi?

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 Год назад

    Unaweza kulima garanga kilimo Cha kumwagilia?

  • @kamilimaisha5982
    @kamilimaisha5982 2 года назад

    Hekari moja inaweza kutoa karanga gunia ngapi au kilo ngapi?

  • @princessdickson6900
    @princessdickson6900 2 года назад +1

    Mbegu zuri ya karanga upande wa iringa ni ipi msaada

  • @stephengalinoma8590
    @stephengalinoma8590 3 года назад

    Asante

    • @kilimopesa27
      @kilimopesa27  3 года назад

      sawa endelea kufwatilia makala zetu