Love pemba nawapa pole wanao kwenda ugenini wakakuzarau kwetu ila nase hakuna kisiwa chenye uziri wakila hali kama pemba ukarimu chakula chetu usiseme yani ata niende wapi sipati laza ya chskula chetu mungu tulindiye kisiwa chetu na utupe ukarimu uwouwo tuliyo wawo🤗💋🙏💪🔥👌👌👌
Hahaha nimewahi kukaa Pemba wana utamaduni wao bhana mzuri sana, lakini kubwa zaidi ni ukarimu wao na uaminifu, kiukweli ktk sehemu nyingi nchi hii nilizowahi kufika hakuna sehemu kwenye watu wakarimu na waaminifu kama Pemba
Mimi asili yangu ni Pemba.... Wazazi wote wanatoka Pemba.... Tunashukuru mpaka leo hii kuna Maadili mazuri sana na mavazi ya heshima sana ila Dunia ilivyo na watu wenye roho ya kiadui sana wanatamani hichi kisiwa kiwe na Laana za Dunia.... Mwenyezi Mungu kilinde kisiwa chetu na Hanasa za Walimwengu wabaya
Haha, wapemba msitunge wabongooo🤣🤣🤣, Bongo twawapenda sana tu. Lugha yenu burudaaani kabisa. Tuletee nyingi tu habari za Pemba Tanzania yetuuu. Asante kwa elimu ya Pemba, tutakuja kuwasilimu, Pemba inapendeza sana.😁❤✔
kwa maoni yangu tu , gari za abiria zibadiliswe. abiria ni mtu yoyote lakini je mmungu alio wapata mtihani wa ulemavu .Mjamzito wa miezi 8 je mlemavu wa miguu je mlemavu wa mikono je mtu mzima na ukija upande wa dini ni kusuguana kati ya wanawake na wanaume stara haipo enzi ya 79 yalikuwepo mabasi hasa ya abiria
Ndio mujue kua Hilo neno yakheee munaliongeza nyinyi wabongo maana mtu anajiona ili aongee kipemba lazima atie neno yakheee Sasa msikilizeni huyo wapi Katia neno yakheee
Pemba home najivunia sanaa kua mzaliwa wakisiwaa cha Pemba.
Hatamiminajivunia Kua mpemba
me too
اسنتا 👏👏👏
Me ni mpemba baba mama yani mpemba fyoko
Looh😂
Pemba wacha tu kuitwe pemba,chake chake wapo micheweni je na wete yake👍👍👍👍👍👍👍👍.
Love pemba nawapa pole wanao kwenda ugenini wakakuzarau kwetu ila nase hakuna kisiwa chenye uziri wakila hali kama pemba ukarimu chakula chetu usiseme yani ata niende wapi sipati laza ya chskula chetu mungu tulindiye kisiwa chetu na utupe ukarimu uwouwo tuliyo wawo🤗💋🙏💪🔥👌👌👌
Hahaha nimewahi kukaa Pemba wana utamaduni wao bhana mzuri sana, lakini kubwa zaidi ni ukarimu wao na uaminifu, kiukweli ktk sehemu nyingi nchi hii nilizowahi kufika hakuna sehemu kwenye watu wakarimu na waaminifu kama Pemba
Karibu tena pemba.. green island kisiwa murua cha watu murua
shukran kwa kuliona hilo .
xhukran ndugu
Dini inasaidia then roots n culture asante kwa pongezi
Mimi asili yangu ni Pemba.... Wazazi wote wanatoka Pemba.... Tunashukuru mpaka leo hii kuna Maadili mazuri sana na mavazi ya heshima sana ila Dunia ilivyo na watu wenye roho ya kiadui sana wanatamani hichi kisiwa kiwe na Laana za Dunia.... Mwenyezi Mungu kilinde kisiwa chetu na Hanasa za Walimwengu wabaya
Amin 🙏
Amin in shaa Allah
Aamiyn yaa rabbal a'lamiyn 🤲
Allah akidumishe daimu katika ile adili uzurii, nasikia raha sana
Amiin
Amin
Hongera sana milad kutusogezea kisiwa chetu love ll.
Kwa kweli nyumbani Pemba ni raha sana kweli kweli Allhamdullillah
Ng'oma mpaka upapatike kama kuku akichinjwa hahahahaaa
Mtu n kwao na mkataa kwao ni mtumwaaa oyooo kuzaliwa pemba ni degree toshaa 😍
Swadaqta chezea pemba wee,acha tuu.
Tumefurahi sana kwa kuitambua Zanzibar kua ni Jamhuri. Hongereni sana kwa kufika
Hongera sana Millard ayo kwa kufika Pemba karb sana Pemba.
Karibu pemba upembani kisiwa cha marashi ya karafuuu Nakupenda nyumbani kwetu
Milad ayo nimependa ulivo tukumbuka
Thanks to Millard Ayo for sharing this with us
Haha, wapemba msitunge wabongooo🤣🤣🤣, Bongo twawapenda sana tu. Lugha yenu burudaaani kabisa. Tuletee nyingi tu habari za Pemba Tanzania yetuuu. Asante kwa elimu ya Pemba, tutakuja kuwasilimu, Pemba inapendeza sana.😁❤✔
Asikuambie MTU Pemba kuzuri
naam kwa shelisheli la nazi na kombe, aaaa utapenda.
kwa maoni yangu tu , gari za abiria zibadiliswe. abiria ni mtu yoyote lakini je mmungu alio wapata mtihani wa ulemavu .Mjamzito wa miezi 8 je mlemavu wa miguu je mlemavu wa mikono je mtu mzima na ukija upande wa dini ni kusuguana kati ya wanawake na wanaume stara haipo enzi ya 79 yalikuwepo mabasi hasa ya abiria
nimeipenda lakini ingependeza zaidi ungeliingia mitaani zaidi ... WANAKUITA PEMBA MM NAKUITA NYUMBANI ...
Nimefurah kwa kutembelea nyumban👏👏😘😘🙏🙏
Nimefurahi sana millard oyooo😍😍
My beautifully island..pemba al mussalama.. Karibuni mje mjifunze ustaarabu.. ila mkija mje na adabu zenu
wakaa wapi ww
upo pemba sehem gani
@@abdul-bz1cy chake
@@abdul-bz1cy vp kushawah kufika chakechake
Ndio mujue kua Hilo neno yakheee munaliongeza nyinyi wabongo maana mtu anajiona ili aongee kipemba lazima atie neno yakheee Sasa msikilizeni huyo wapi Katia neno yakheee
Wabaguzi nyieee!sasa wabongo wamefata nn apo!
Milard mbona hukufiia wilaya zote asante kwa kufika pemba
Alipojitaja tu jina nlijua kuwa niwakaskazini maana watu wamichewen nashumba wanalipenda jina la bakari..asant millard ayo kwakuja nyumbani
Najivunia kuzaliwa pemba
KUZALIWA PEMBA NI DEGREE TOSHA
Masha Allah. Sweet home Zanzibar Pemba
Vp brooo kwema
Pemba nkwetuuuuu 🤣🤣🤣🤣
Home sweet home
Home sweet home # Alhamdullai,,,, Najivunia sana nyumbani kisiwani pemba ( mkoa wa kaskazini kojani)
Maa shaa Allah
Mashaallaaaaa
Hahahaha 😂 wambie hawajua hao
Ufafanuzi mazidhawa kabisa kutoka kwa maalim Bakar.
Hongera Sana Chuma nakukubali hahahaha 😂
Usafiri wa chai maharage
Proud my father
Jioni upo upepo unanukia Marashi ya Karafuu , Ma Sha Allaah
Sweet Home♥♥♥♥♥♥
Wakwanza naombeni like zenu wapendwa
Najivunia pemba yetu ❤
Alieskia KOFIA BORIDO🤣🤣🤣 , , uyu jama namkobali kwa kiswahili , ASANTEE TEAM CCK
Ilove you pemba💜💜💜
Mashaallah umejieleza vizur
Proud pemba boi
Waoooo pemba sichoki kumiss nyumbani
Wapili naombeni like zenu wapendwa
Vp ishu ya ubaguzi shekh ,,kwa cc watu wa bara?
my sweet home pemba
Pemba kwetu
Hatarieti twalaliya shiba hatulali bofulo jamani pemba raha kwaza wanasifa zote
Dah asikwambie mtu Pemba Raha sana na tunaipenda sana
Sio jamuri sem nch y Zanzibar
Wambie hawoo wabongo amiy ngomastarehe sikupapatika
Home sweet home 💕
Kabisa
Pemba ni home ov my Parents also for my self ,buh Pemba Island is not Tanzania, Pemba is part ov Zanzibar Arkipelego, thanks
Pemba nkuzurii
Nimeipenda hii tamthilia
Nimecheka sana unawaeka kofia yako borido
Wabongo wafujaji wa misamiat ya pemba . Fyuuuuuuu
Kisiwa kizur sana ila kasoro moja tu!mna ubaguzi wa kishamba sana!
@@bisunmwamini6993 wee hufirwii mpumbavu iyo kujiona umetoka katika ujinga uliona nao mshukuru sana mpemba mbwawee
Sema acheni maneno maneno hapo hamna mbongo ati apo ushamba Tu umewajaa
,,hahahahahahaha papatikaaaa
Sisi twala hasaa,,,, twanlalia shiba
Furaha yetu
Asante 🙏🙏🙏
NUNGWI CHINA YA OCEAN KUTAKUWA KUNA Oceanic trench YANI BONDE AU TUITE SHIMO NI HATARI SANA
Ndy ukatuona Twangara
Eti ndio ukatuona twangara hahahahah
Hm pemba
Gari
ruclips.net/video/r37SGXWQOtI/видео.html
Lve my hom pba
Saw
Hahahaha pemba
hahaha upapatike kuku achinjwae aisee nyumbani kutamuuuuu wallah narudi nyumbani
Nkweli wapemba hatugongewi mwiko
Yakheee 😀
Home sweat home
Mbn watu wanasem wabaguzi
Viumbe hatuezi kosa la kusema
Tayari eee😂😂😂
NIPO PEMBA.HIZI GARI KWA SASA ABIRIA HAWAZIPENDI MAANA SIKU HIZI WENGI NI WAFANYABIASHARA SIO ZA MAZAO.WATOFAUTISHE ABIRIA NA MAZAO
Kwema kaka?
Chai maharage
Masha Allah Jazira Ipovizuri Allah Ibariki Pemba Yetu Na Watu Wake ila anayehojiwa Alikuwa Baharia Huyo Kk
Masha Allah Wa Micheweni Mupo Juu Kwa Pemba Yetu Nawakubali Kwenye Misosi 😂🤣🤝🤝
Kung'ara mwilini si kwasababuyakula viyazi na sheli la Piki ni maumbile tu hayo kk ya kibina adamu tu
Corona company.
😃😃😃
😂😂😂 mkisifu ila siji ngoo
Home sweet home
Tayari 😂😃
Kyannakannaka!!!
Fanya ufike na pemba kusini sasa
Ok
Home sweet hime
Jmn imeisha harakaa
Wakojani hao
tunajivunia makabila na asili zetu
Hahaha😆kwa uchafu
Pemba
Ubaguz gn
Pemba nkwetu
Swafi
Hakuna kama zanzibar yetu
Home sweet home ❤❤❤❤❤
Kyannakannaka!!!