Hongera sana sister Mungu akubariki na Mungu asikupungukie na wanaofikiri sister ni mke wa padre siyo kweli na siyo mpango wa Mungu, sister anaishi kama mchumba halisi wa Yesu Kristo Bwana wetu
Cjapenda coz huyo ROBERT now atakuwa na familia yake, na still unasema utamtumia hiyo Crip it means bado mnawasiliana hakuna mwanamke anapenda mumewe aendelee kuwasiliana na ex wake, utakuja sababisha mtafaruku kwenye ndoa za watu
Kwa mwanamke mwenye akili atackiliza vizuri nakuelewa kuwa Mungu kampa mume wahaki maana sister ameeleza uhalisia wa mume aliyekuwa na subira so kila mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikononyake mwenyewe na sio mtu awaye yote mke mwenye akili atakaza kumpenda Mumewe nakumuombea sister ili mapenzi ya Mungu yatimizwe kwake nasio kuwaza upuuzi.
Unapata wapi ujasiri kuandika hivyo? Ulaaniwe ww na kizazi chako chote kuanzia baba yako hadi uzao wa watoto wako Zaburia 109 Isome ujue laana itakayokupata
1Wakorintho 11:11 Yule mume Mungu alikuletea ili akubariki lkn mashetani wana nguvu ktk mwili sasa hakikisha unaokoka ama sivyo mambo ya dini na sakramenti havitakuoa na moto wa jehanamu
SAWA KWA MSIMAMO LAKINI MUNGU HAJAKATAZA MTU KUOLEWA AU KUOA 1 TIMOTHEO 4:1-5,NDUGU ZANGUNI WAPENDWA ASIYETAKIWA KUOLEWA NI YULE ALIYEKWISHA KUINGIA MBINGUNI NA KUPEWA MWILI WA ROHO AMBAO HAUNA KANUNI ZA KUOA AU KUOLEWA NA PIA HANA KANUNI ZA KUZAA.
Tafuta interview ya kufundisha neno la mungu wafundishe . Ni kwa namna gan mtu atapona na nguvu za Giza na masister wafundishe watu . Namna ya mtu kufanya maombi ya tofaut na vitabu. Muunin anawezaje kumshinda mganga ; mchawi: msoma nyota. Ww ukafika hatua tukakuandkia kua wema wenu ni uovu mbele yangu . Man achana na izo habar kabsa
read Matthew 19:12 "For there are different reasons why men cannot marry: some, because they were born that way; others, because men made them that way; and others do not marry for the sake of the Kingdom of heaven. Let him who can accept this teaching do so.”
Man achana na habar ya kuwaoji masister hao ni wanadamu akiteleza katika kuongea au akaongea uongo ni hatar Sana tafuta habar nyingne na ukiendelea kuwafanyia interview ni kosa mbele ya mungu' nakuhahid siku ukimfanyia sister interview ya namna hii tofaut na neno la mungu nitalituma neno la mungu likukumbushe-
Midia hawawezi kumhoji mtu bila ridhaa yake. Yawezekana Sister mwenyewe ndio .amependa kushea Na watu. Lakini mtazamo wangu naona Kama huyu Sister anahisia za mapenzi au hisia za kuolewa. Na kama mawazo yangu yako sahii iko siku ataolewa na atazaa watoto wake.
Hizo ndizo masharti nilimpatia mwenzangu wa ndoa kabla tuoane. Nilienda kwao kujua tu watu wake na sikulala kwa ile nyumba yake ya vijana pale kando! Alikubali.
My best friend in high school,iknew u would land here,very shy and humble,mungu akujalie Rose
That's my niece. Am proud of u my toto. Mungu akupe nguvu uzidi kumutumikia💪💪💪💪
Kumtumikia Mungu ni jambo muhimu na la kipekee. Hongera sister na Mungu akubariki
ukiolewa uwezi kumtumukia Mungu?
Anajua analofanya,huo ulikuwa wito wake.hongera Sana sir.
Hongera kwa uutumishi. Yesu awe Bwana na mwokizi wa maisha yako
Uko vizuri sister,unastahili kuigwa katika jamii zetu
Hongera Rose.kumtumikia Mungu ni baraka.
Hongera san sister MUNGU akuongoze kwa kila jambo🙏🙏🙏
Hongera sister
That's how it should be. Rules must govern our relationships.
Mungu akubariki sana sister
Hongera sana sister Mungu akubariki na Mungu asikupungukie na wanaofikiri sister ni mke wa padre siyo kweli na siyo mpango wa Mungu, sister anaishi kama mchumba halisi wa Yesu Kristo Bwana wetu
😏😏😏😏😏😏
Very inspiring story of good redeñce
A very touching story indeed🥰 Mungu azidi kukuongoza katika huduma.
Hongera sana sister
@@jameswanyancha5940 🙏🙏🙏
Sister una msimamo hongera
Huyo ndio msimamo wa mcha mungu Asante dada mungu akubaliki sana
Roho wa Mungu akujaze Sana!! Superwoman
Sister Rose jipe moyo uimalize safari ya wito huo mtakatifu.Mungu baba atamalaki maisha yako.
Hakika wewe mungu alitaka umtumikiee
Kazi ya mungu wa iendelee😮
Mungu.azidi.kukupa.mguvu..sister..barikiwa..sn..
Hongera sana sister
Hongera Sana Kwa wito
Mh?? Kwa iyo amajitunza hajaguswa, safi sana
Asanteni Sana Jugo Media 🙏🙏🙏
Nimekupenda sister kwa kuwa dada aliyekuwa na misimamo isiyoweza kutingishwa na lolote. Barikiwa zaida maishani unapoendelea kumuhudumia mungu 🇰🇪
We.are proud of you sister.
Hongera Robert Kwa uvumilivu na upole.
Alimtafuna bhana
@@renatusmahimbalipigahaosta4811 🤣🤣🤣🤣 au sio
Cjapenda coz huyo ROBERT now atakuwa na familia yake, na still unasema utamtumia hiyo Crip it means bado mnawasiliana hakuna mwanamke anapenda mumewe aendelee kuwasiliana na ex wake, utakuja sababisha mtafaruku kwenye ndoa za watu
😅
Tabu sana hapo kaluka kipengele Cha kupiga shoo
Hajamtaja bhana...akina Robert wapi wengi...angesema na ukoo wa Robert ndo ingekuwa mbaya
Kwa mwanamke mwenye akili atackiliza vizuri nakuelewa kuwa Mungu kampa mume wahaki maana sister ameeleza uhalisia wa mume aliyekuwa na subira so kila mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikononyake mwenyewe na sio mtu awaye yote mke mwenye akili atakaza kumpenda Mumewe nakumuombea sister ili mapenzi ya Mungu yatimizwe kwake nasio kuwaza upuuzi.
Kutoka Burundi Nami ningeyaweza🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
"Mungu akujalie moyo mkuu"
Bora ungeolewa na Robert angetoa mahari ingemsaidia Mama kuliko kumpelekea sukari padre alambe bure
Unapata wapi ujasiri kuandika hivyo?
Ulaaniwe ww na kizazi chako chote kuanzia baba yako hadi uzao wa watoto wako
Zaburia 109
Isome ujue laana itakayokupata
@@moyolameck555 tunaishi nao mitaani tunawaona na siyo masister tu hata mapadre wana na watoto mitaani kabisa na wanawake wamewapangia na nyumba
huna adabu
1Wakorintho 11:11 Yule mume Mungu alikuletea ili akubariki lkn mashetani wana nguvu ktk mwili sasa hakikisha unaokoka ama sivyo mambo ya dini na sakramenti havitakuoa na moto wa jehanamu
Happy to see you Sr Roselyne 👏Homie 🙏🙏
Webuye team tupo hapa
Nyeupe nyeupe na nyeusi nyeusi sio kweli hawa hawaingiliwi maisha yao yote no nakata kata kata duniani mpaka mbinguni
Kwa Mungu kila Jambo linawezekana
Hongera wajina Mungu azidi kukuza kile alicho anzisha ndani yako
Hamna kitu hapo
La'ana iyo
Sister be the blesd maan nimependa saan maneno yako
Life is by chance and choice 🙋💐🔥
Hongera sana dada
Nice story simama imara
Congratulations sister vs robart
Mahojiano mazuri
SAWA KWA MSIMAMO LAKINI MUNGU HAJAKATAZA MTU KUOLEWA AU KUOA 1 TIMOTHEO 4:1-5,NDUGU ZANGUNI WAPENDWA ASIYETAKIWA KUOLEWA NI YULE ALIYEKWISHA KUINGIA MBINGUNI NA KUPEWA MWILI WA ROHO AMBAO HAUNA KANUNI ZA KUOA AU KUOLEWA NA PIA HANA KANUNI ZA KUZAA.
Ukimtumainia Mungu hakuna kisichowezekana kwake .
Hiyo ni Kali, lakini kuna mashaka mahali Fulani kwa maoni yangu pengine hiyu kinjana alikua na msichana mwingine mahali Fulani, maoni yangu tuu.
Sister mungu akubariki %%
🙏🙏🙏
The SR seems to to have some family feelings, at one time she might get married. Watch the space
What for,
Mmeharibikiwa..........
Nakama mungeoana mungezaa watoto wacha Mungu waviwango vya juu sana
Mm nisingeweza kabisaaa
Let us anandagama Against Rains!!
Ukipenda Mungu chochote kinaweza kutokea
Busara ni muhimu sana
Mtawa hongera. Lakini iwapo baadaye ulivunja n.a. uko unajisifia public ju hatukujui Mungu akuhurumie
Kiswahili kitamu...angelikuwa pia mwanahabari, mwalimu hodari.
Ni mwanahabari
Wazungu wamewazeza sana! Ukiachana na ushoga hii pia ni njia moja wapo ya ku control population!
Hapo ziwezi,mwenye alifanya hivo alikufa 1996
robert au nani?
Mimi ninaweza
Maria alikuwa sister
Mama ilikuwa ananiambia hongerasana mama nifikishie salama zangu kwa dada yake Na mjombawako
Tafuta interview ya kufundisha neno la mungu wafundishe . Ni kwa namna gan mtu atapona na nguvu za Giza na masister wafundishe watu . Namna ya mtu kufanya maombi ya tofaut na vitabu. Muunin anawezaje kumshinda mganga ; mchawi: msoma nyota. Ww ukafika hatua tukakuandkia kua wema wenu ni uovu mbele yangu . Man achana na izo habar kabsa
Sister Mungu akubariki kwa msimamo wako( kweli tafuteni ufalme wa Mbinguni, hiyo ndiyo dili sahihi).
Sister Mungu akubariki kwa msimamo wako( kweli tafuteni ufalme wa Mbinguni, hiyo ndiyo dili sahihi).
Sijapenda sister unayofanya.Natamani usingeyafanya kwa mtandao.
Anawafundisha wengine
Ukijitoa sadaka,jitoe kweli na mtumikie Mungu kweli
Shida nikwamba wanaliwa na ma badree
Sista na mitandao wapi na wapi.shetani kakuvaa
Siwatanganyi Mimi ni ngekuwa oyu mwanaume singewrza😂😂
sio lazima kuzaa mkuu wala kuolewa au kuoa sio lazima na hakuna dhambi kutokuwa na ndoa
Umekosea sana sikupenda
Mimi siwezi
Hahaaa kwa nini hujapenda
Samahani ningefanya nini my violeth?
Mbona unaleta unamaana ga😊😊
Robert where are you??. I think you still have a chance
Stop having a foolish mindset wakati wewe n msomi
Sister read the bible 1timothy 4:1-4 unafaa uoleke dini imepoteza wengi
read Matthew 19:12
"For there are different reasons why men cannot marry: some, because they were born that way; others, because men made them that way; and others do not marry for the sake of the Kingdom of heaven. Let him who can accept this teaching do so.”
Na tazama kutoka Stockholm..Upplands -Väsby....ecce sacedot magnus ,,,qui ediebus suis!
Sio Robbery tu bali mimi nilikuwa na Kujua majina huyu mlulya kamili .ubarikiwe sana
Shopping 🛒🛒🛒🛒🛍️🛍️
Umeona eehh
Basi mtangazaji,kamtafte robert tuskie side yake ya story
Hivi sasa kuna mtawa bikra?
Mi nisingeweza masharkt hayo
Robert hupo wapi Kwa sasa
Kweli ndoto yako ilitimia
Hapo sijakuelewa sister. Hapo ulikuwa unachumbiwa ukiwa shule au ilikuwaje. Maana kisheria hairuhusiwi kuchumbiwa ukiwa mwanafunzi.
Wewe siyo mwelewa, amesema Robert alikubali kumnunulia kila hitaji asome vizuri ili hapo baadae waje oana.
@@othmarluwawilo8308 Asante kwa kumkosoa Robert.
Huyo FADHA ndio ALIEKUA anakutafuna acha uongo ukaona ili uwenaye KARIBU uwe mtawa
@@JumaMuhenga-bs8vmusihukumu, ili usihukumiwe kaka. Heshima sio utumwa
Congratulations sister uko wapiii jaman sisters nilipotezaga number yako
Man achana na habar ya kuwaoji masister hao ni wanadamu akiteleza katika kuongea au akaongea uongo ni hatar Sana tafuta habar nyingne na ukiendelea kuwafanyia interview ni kosa mbele ya mungu' nakuhahid siku ukimfanyia sister interview ya namna hii tofaut na neno la mungu nitalituma neno la mungu likukumbushe-
Midia hawawezi kumhoji mtu bila ridhaa yake. Yawezekana Sister mwenyewe ndio .amependa kushea Na watu. Lakini mtazamo wangu naona Kama huyu Sister anahisia za mapenzi au hisia za kuolewa. Na kama mawazo yangu yako sahii iko siku ataolewa na atazaa watoto wake.
😂😂😂
Hizo ndizo masharti nilimpatia mwenzangu wa ndoa kabla tuoane. Nilienda kwao kujua tu watu wake na sikulala kwa ile nyumba yake ya vijana pale kando! Alikubali.
Hii ya sister ni kwa sabab alitaka awe mtawa ila kinyume na hapo hamna ambaye angehangaika kukufuatilia eti
Mmm mmm
Naomba kujua utawa linapatikana ktk kitabu kip
Soma Injili ya Luka 18:18-30 zingatia hasa aya ya 29-30. Kwa neema ya Mungu utaelewa
Hao ni mayowashi wa kujifanya wenyewe, Biblia inasema
Msimamo unatakiwa katika maisha
Hayo masharti naweza kuyatimiza
Iyo ngumu sst
.........🤔
KWA NJIA YA KUSALI SANA INAWEZEKANA
Hivi ukristo hauruhusu hawa masista na padri kuoa na kuolewa au?
Sister naye binadamu mpaka kufika kiwango flani lazima uive nakupongeza kwani wewe sio malaika ,hakika yote unayo sema Mungu akupe nguvu
Dear robart fight uwe padre na uwe paroko wake heshima iongezeke😂😂😂😂
Usinge kubali kuyaongelea kwenye mitandao
Huyu namjua sana na picha zake
Kwa hivo Robert aliwaste mda na hela zake ni sawa tu
Robert mwenyewe anasemaje wakuu😅
Kazi ya mungu haina makosa sr rossyne Sylvester hapa mtumikie mungu kwake Kuna raha
Nilipe MB zangu aisee ujinga tu
Uongo ni mbaya?
Ona sasa una bwana