PROF. KABUDI AGEUZA BUNGE KUWA SHULE, SHANGWE LARINDIMA "UHURUBA MAANA YAKE NINI?, TUBADILIKE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 май 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Комментарии • 26

  • @nevermwambela3719
    @nevermwambela3719 25 дней назад +4

    Machango mzuri sana Prof Kabudi, Tafiti za maana na zenye manufaa kwetu hazifadhiliwi lazima serikali Igenge Fedha za kutosha Jada eneo la Tiba hilo ndio litatuoa kwakua tayari tuna utajiri wa mimea dawa🙏👏🏻🇹🇿❤️

  • @bangigaspar123
    @bangigaspar123 23 дня назад +1

    Anajua sana prof kabudi

  • @fikirimguye4461
    @fikirimguye4461 25 дней назад +2

    Nondo za Mbunge wangu wa Kilosa. Hongera

  • @petromwamlima4120
    @petromwamlima4120 25 дней назад +1

    Huyu mwambaa anajua sanaaa. Ni mtaaluma haswaaaaa.

  • @user-lc5nm4ee5b
    @user-lc5nm4ee5b 25 дней назад +1

    Prof. Siyo mwanasiasa dhahiri, kawapiga shule sana taaluma imekaa

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 25 дней назад +2

    Dawa ziko nyingi za magojwa, ambazo zinatibu na pia ni uchumi. Kila kabila lina mmea linayotumia.

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 25 дней назад

    Kweli kabisa, mimea dawa ni muhimu Sana kulilo dawa za viwandani, Asante kabudi

  • @alimbwana5396
    @alimbwana5396 25 дней назад +1

    Dah sasa neno ukuruba ndo geni jamani

  • @yasini5794
    @yasini5794 25 дней назад +1

    Mzee yuko vzr saaana 💪

  • @daudibukwimba4226
    @daudibukwimba4226 25 дней назад

    Project planners waunganishwe na engineering kwenye hiyo ukuruba.

  • @IsakwisaMwalisu
    @IsakwisaMwalisu 25 дней назад +1

    Hongera sana kabudi

  • @ashasaidi1895
    @ashasaidi1895 25 дней назад +1

    Mzee umetisha kwa kiswahili

  • @LoyceFundi-qf7iw
    @LoyceFundi-qf7iw 25 дней назад +1

    Sawa mzee baba.

  • @jafarikideghesho6509
    @jafarikideghesho6509 25 дней назад +1

    Ukuruba na utabahari

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 25 дней назад +1

    Hatushangai India wanatoa Tanzanite Tz, wanatajirika kuliko sisi. Tatizo la msingi nini

  • @colmanmwero7473
    @colmanmwero7473 25 дней назад +1

    Ukuruba wa taaluma ni muhimu

  • @user-hj4sy9fy4g
    @user-hj4sy9fy4g 25 дней назад +1

    Mbunge darasa la saba, dereva kidato cha nne ! Na ndie mtunga sheria bungeni! Hii ni akili au matopee?

  • @jacksonsawe2301
    @jacksonsawe2301 24 дня назад

    Madagascar haa haaaaaa

  • @user-hj4sy9fy4g
    @user-hj4sy9fy4g 25 дней назад +1

    Tusidanganyane,kila anaeongea hapo mjengoni , haonekani ana akili, bali, lazima achomekee 'kimombo" ! Musione watu wote ni wajinga!

  • @colmanmwero7473
    @colmanmwero7473 25 дней назад +1

    Umesema vyema mtaalau wetu umetusaidia kuchakata mambo chachacha

  • @user-hj4sy9fy4g
    @user-hj4sy9fy4g 25 дней назад +1

    Kiswahili hakijitoshelezi ktk maarifa au elimu! Maarifa yote, na elimu, ipo ktk lugha za kigeni; kiingereza,kifaransa n.k.

    • @smarty1064
      @smarty1064 25 дней назад

      umewahi kuwaza wachina/wakorea na wajapan wataalam wa sayansi lakini wasiojua kiingereza??

    • @user-lc5nm4ee5b
      @user-lc5nm4ee5b 25 дней назад

      Hapa Kuna shida

  • @msamanga2277
    @msamanga2277 25 дней назад +1

    Archives. Ila nice speech. Tutaorudia 2038

  • @andersonkigen545
    @andersonkigen545 2 дня назад

    😂

  • @stevenghambi3471
    @stevenghambi3471 25 дней назад

    Kabuki kigeugeu