IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH PLS FOLLOW THIS LINK ruclips.net/video/fyxN4P9f7d4/видео.html JINSI YA KUPIKA MKATE WA KUSUKUMA ( CHAPATI) ruclips.net/video/ke92xZiScjQ/видео.html
MashaAllah Tabarakallah... leo ndo nimejua Mapishi ya Maini yana wenyewe. Miaka yangu yote leo ndo najua Maini yarowekwa na Maziwa Siki ama Ndimu kutoa Uchafu na wa ndani.. shukran sana Allah Akujaze
Nashukuru sana dada kwa recipe hii nzuri sana ya maini, ambayo sikuwahi kuipika, yaani jinsi ulivyoelekeza kwa kweli dada yangu wewe ni mzuri kwenye mapishi, yaani kuloweka maini kwa maziwa nilikuwa sijawahi lakini nilivyopika yalikuwa mazuri yaani yalinukia vizuri kwa viungo maridhawa pia hayakuwa na metalic taste kama hapo zamani nilipokuwa nikiyapika yaani yalikuwa lainiii. Kwa kweli tulifurahia na familia kwa wali wa nazi. Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa kutuelimisha na akutunze kwa afya njema ili uzidi kutuelimisha
Pili pili zetu limau yetu hebu tuone maini yetu kama iko tayari nusu haikurudi kwa sufuria yani dada wewe mmmh sawa bana "asante kwa mafunzo mazuri ya upishi"
Napenda kupika maini na kula pia , najitahidi yanatoka laini na matamu , lakini tatizo watoto wangu hawapendi kabisa maini , utahangaika kupika utakula mwenyewe , wanasema yanakinaisha . Asante kwa recipe nzuri sana .
In Shaa Allah nitapika kama wewe ni mapishi mazuri nimependa na ninakubali hayana harufu Allah akupe khair kwani hii ni sadakatul jaria,mtu akifanya biashara ya chakula na akifaidika na wewe unapata thawabu ameen
So tasty but i cant relate the english names of most of the engriedients .Kiswahili kingumu mama. Ungetuandikia as you say them in swahili. Love the video
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH PLS FOLLOW THIS LINK ruclips.net/video/fyxN4P9f7d4/видео.html
JINSI YA KUPIKA MKATE WA KUSUKUMA ( CHAPATI) ruclips.net/video/ke92xZiScjQ/видео.html
Aroma of Zanzibar Allah akuzidishie
البحث
May Allah bless you Sis.
Aroma of Zanzibar
swahili gospel
MashaAllah Tabarakallah... leo ndo nimejua Mapishi ya Maini yana wenyewe. Miaka yangu yote leo ndo najua Maini yarowekwa na Maziwa Siki ama Ndimu kutoa Uchafu na wa ndani.. shukran sana Allah Akujaze
Shukran, Amin kwetu sote
Woow lovely,One day will try this JzkAllah khair
Upishi wako ni mzuri sana kwanza unavutia machoni pili bila ya kula unahisi ni chakula kizuri sana ahsante aroma of zanzibar
Ahsante sana
Wooow very nice I love it!sikujua unaeza osha maini na maziwa evn dimu thanks sana will try this😛😛😝
Masha Allah recipe nzuri😋❤
MashaaAllah huu ni ujuzi mpya nimejifunzaa Allahibariqfii habibbty
Mashallah dear napenda sana kuangali mapishi yako na leo nitapika naamini itakuwa tamu sana allah akuzidishie
Shukran dear Amin
asante dada nimepika leo yamekua mazur pianakupenda sana kwakua najua kamasijaelewa nikikuuliza waweza nijibu shukran sana ndugu
Waoooooooo Asanteeeeee sanaaaaaaaaaa dadake Tunashukuru sana nimefurahia pish la leo
Nashukuru sana dada kwa recipe hii nzuri sana ya maini, ambayo sikuwahi kuipika, yaani jinsi ulivyoelekeza kwa kweli dada yangu wewe ni mzuri kwenye mapishi, yaani kuloweka maini kwa maziwa nilikuwa sijawahi lakini nilivyopika yalikuwa mazuri yaani yalinukia vizuri kwa viungo maridhawa pia hayakuwa na metalic taste kama hapo zamani nilipokuwa nikiyapika yaani yalikuwa lainiii. Kwa kweli tulifurahia na familia kwa wali wa nazi. Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa kutuelimisha na akutunze kwa afya njema ili uzidi kutuelimisha
Hongera kwa jitihada zako pia, nimefurahi kuwa umejaribu na umependa na kuona tofauti yake.
Bwana, hongera kwa mapishi matamu
Somo yangu mzito mzito..... thanks for coming through with this. Mine were always tough....will try this soon in sha Allah
Inshallah utapenda
Asante sana kwa video yako nzuri mrembo
Huwa sili maini but I'll definitely try this recipe. Love from 254
Mremboooo wa mimi, nimerudi, tena kwa main mimi, aaaah umenikunaaa, asante sana Dada. Ubarikiwe.
Karibu sana, ulipotea
Ma shaa Allah.....lazima nijaribu hii aina ya upishi. Nnavyopenda maini si kwa udenda kunitoka!😚😚😙
Mashaallah nimependa
Pili pili zetu limau yetu hebu tuone maini yetu kama iko tayari nusu haikurudi kwa sufuria yani dada wewe mmmh sawa bana "asante kwa mafunzo mazuri ya upishi"
mungu akubarikii dada ukowapi angalauu unifundishee upishi wako naupendaa sana
Nie nipo America
uuuuwiii yaani Mimi napenda jama nimependa sana mapishi yako
We mdada nakupenda unajua kuelekeza
Ahsante sana
Yaaani Dada hongera sana Leo nimekula chakula kitamu sana barikiwa sana endelea kutupa maujuzi
Ahsante sana, hongera pia kwa jitihada zako
Asante
woow sikua najua kma waroeka kwa maziwa na hzi method zote shukran
Video yangu imenipita Leo nimechelewa kuangalia,mashallah Asante Sana nice
Hujachelewa bado , thanks for your support
Hongera
Maaaasshaaallaaah.. Chakula kitamu na sauti tamu..ushindwe tu kunenepa
Kunenepa ndio shida kweli
Asante sana somo zuri naomba kujua siki ni nn na kingereza
While vinegar
Napenda kupika maini na kula pia , najitahidi yanatoka laini na matamu , lakini tatizo watoto wangu hawapendi kabisa maini , utahangaika kupika utakula mwenyewe , wanasema yanakinaisha .
Asante kwa recipe nzuri sana .
Watoto ndio walivyo wakiwa wadogo rahisi kuwa control chakula lakini wakisha kuwa mambo ndio hayo , sipendi hichi
@@aromaofzanzibar
Please naomba nijibu niliuliza kuhusu viungo ,
Unaandaa viungo na kuuza ??
Kama ndivyo vinapatikana wapi ???
@@chayogasperi9783 mie nipo marekani dear
@@aromaofzanzibar
Okay , nilidhani upo Znz . Asante .
Maini huenda vizuri sana na ugali😀👍🏾!
Sanaaa na ugali na juice ya baridiii unasahau shida za dunia kidogo
Nop, chapati
Inapendeza sana
@@catykyz7668 ni hatari utamu wake hauelezeki
O
Masha Allah napenda sana kufatilia mapishi yako hongera sana mamy
Nimekubali my dia
Nimependa sana tena nimepika nimatam jmn dah ahsante
Karibu sana
MashaAllah mummy Ahsnt my nimepata na ufundi wa maziwa mummy nashkuru bwana Hata akila nyumba kubwa kama hajala kwangu hashibi
Mashallah!
Nikuerewa nzuri sana
Ahsante sana
Mashallah I wish ungekua jirani yangu ningekua na enjoy mapishi Bora yenye afya mate yanitoka mwaaah Asante kwakushare
Karibu dada it's a very simple meal to prepare
Very nice
waoh nice sana dadaangu
Your hubby is soo Lucky..
Yummy yummy Lakini hio kitunguu hujakata kidogo vile waeleza 😀😀😀😀😀
Mashallah nzuri kweli habibti ntajaribu kupika hivyo shukran
ukovizuri dd
Safi my, Yaan imenikuna hapa nilipo Full Maudenda kumwagika
Pole kwa maurenda itabidi uingie yikoni haraka😂
Hujambo dadangu?Nashkuru sana kwa mafunzo ya upishi wa maini 👏👏👏👍🙌🙌🙌
Alhamdulilah , karibu dear
Unga wa giligilani unaitwaje kwa kingeleza
@@naimamussa9778 cumin powder, samahani ndio kwanza naona hii comment
@@aromaofzanzibar shukran dada
Nakukubali
Nilijaribu it was delicious thanks alot madam
Ahsante sana 😍
Hongera dada kwa kutuelimisha.pia hebu tufundishe jinsi ya kupika dagaa tonge la kupaka. Wengi linatupiga chenga tunalifuruga tu.
Inshallah nitajitahidi
Yummyy tabarakkallah
Bismilah 😋
Maa Shaa Allah
Sauti ya sister fey hiyo
Usually I trade cooking liver but I followed this recipe it was mwaa.
I'm glad you like it
Asanti kwa mapishi hayo yamenisaidia sana
Ma Shaa Allah,i tried the recipe and it came out perfectly...thank u soo much
Most welsome dear, glad you enjoyed the recipe
Mashallah
In Shaa Allah nitapika kama wewe ni mapishi mazuri nimependa na ninakubali hayana harufu Allah akupe khair kwani hii ni sadakatul jaria,mtu akifanya biashara ya chakula na akifaidika na wewe unapata thawabu ameen
Nzuri sn kwa mapshi mamy zuu v
Hii ni nzuri sana hongera dada
Ahsante sana
Shukran Allah akulinde na adui wasiokupenda.
Amin kwetu sote, shukran
Nice madam
Maa shaa Allah habibty najifunza nikiwa lebanon Allah akujaalie umri mrefu Aamiiyn
Shukran, ahsante kwa support
yummy nitapikia mume wangu inshallah
I love that👌
Me too!
Asallaam alykum. Shukran sana kwa pishi. Nimepika leo alhamdullillaah. Maini yalikuwa Matamu.
Mashallah mashallah nime enjoy kwa kweli
Nzr
Shukran habibty kwa mapishi mazuri maini nilikua siyapendi lakini kwa upishi huu Inshaallah yanaonekana na matam nitajaribu Inshaallah
Inshallah, sio watu wengi wanapenda maini
Hongereni kwa mapishi aroma mpo juu
Asante Masha Allah
Safi sana maini mi ningekula na mkate wa boflo tamu sana
Mashallah mie napenda maini lakini nikipika yanakua dry ishallah nitajaribu hivi
MashaAllah 😘 shukran... tuwekee jinsi ya kupika honey comb bread please
Inshallah mbona hiyo recipe imejaa kila mahala, nikipata fursa nitaleta
Aroma of Zanzibar in shaa Allah
I will try this soon. Looks yummy
Hope you enjoy
Machallh 👍
Nakupenda dada aroma natamn niwe mwanafunzi wako tyuuuh
Mie nafundisha mapishi yote hapa ukifuata kwa makini itakua tu
Asantee san kwa mapish yko mazur
Shukran
AISHAKHALIDI AISHAKHALID
Napenda kupika sana asante nimepata channel yako
Shukran
Jamani Nimependa sana naitaji shule
I have become such a fun.my kitchen now is heaven thanks to your recipes.thank mammy
Most welcome thank you for your support
Love you aroma
Good job mama 👏
It tried it it was amaizinggg
Thanks for your feedback, glad to hear you enjoyed it
Mashallah ntapika kwa style hii nimeipenda
Utasababisha tufungueee muda usio sahiii😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Usitinitie mie 😂😂
Assalam alaikum upo sehem gani dd napenda mapish yako mashaAllah upo nchi gan
Aleikum Musalaam, mie nipo Marekani
Nichukue na mm nije marekani jamaniiii
Nice
Shukran auntie kwa recipe hii Allah akujaze Kheri
Ahsante sana
Thank you so much Allah akubarik
Most welcome, you have my mother's full name Munira Mohammed ❤❤
@@aromaofzanzibar hahah wow
Leo nimejua new method ya kusafisha maini ,nilikuwa. Sikujua kama waeza kutumia maziwa 😂 tnx am your fan
Sam Sal me pia sikujua
Assalamu aleikum. Mashaallah yummy mate yadodoka 😋😋 shukraaan habibty 😍
Pole itabidi ukimbilie jikoni sasa
Tamu sana.Tutajaribu upishi wako Shukran.
Inshallah
Asante
Aa mpendwa,so nice mashaAllah naja kuishi kwako mieee😘
Karibu
MaashaaAllah kwa chapati
Mapishi mazuri
Ahsante
Woow na nmeandaa maini this evening nngejua nngeangalia b4 I cook thou sio mwsho I will try next tym
Thanks sis😍
So tasty but i cant relate the english names of most of the engriedients .Kiswahili kingumu mama. Ungetuandikia as you say them in swahili. Love the video
There's an English to every recipe, the link is on the top
Dah hata kama hulagi main kwa mapishi hayo lazma ule hongera sana
MashaAllah ukhty looks yummy... Will try this
Mashallah ❤❤
Ma shaa Allah nimeipenda sana
Asante sn dada
ur the best sis love u alot
Thanks for your support
Daaaah nipo Sweden ilaaa kiukweli unanisaidia xn Ytube #Ubarikiwe
Nimefurahi kua umeweza kujifunza hapa
Asante sana mamy nakupenda sana dada
nice dada
hongera sn nimepnda rost ilo