@@lailatjohn5947 saa tatu yenyewe mama! Bora Hata masaa mawili au alfajir baada ya swalaa ,by saa kumi nambili waandaa ,Ila hautoharibika coz sio Khamira hiyo ,,
@@aromaofzanzibar thanks for type ya unga. I am still getting hard chapatis, I will try using unbleached Gold medal. I was using bleached one. Sijui ndio shida?
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH PLEASE FOLLOW THIS LINKruclips.net/video/a5GoaQTHbCM/видео.html
Samahan naweza kanda saa 3 usiku nkazichoma kesho yake asubuhi,je unga auwezi haribika
@@lailatjohn5947 saa tatu yenyewe mama! Bora Hata masaa mawili au alfajir baada ya swalaa ,by saa kumi nambili waandaa ,Ila hautoharibika coz sio Khamira hiyo ,,
Thxs mum 4 this! But mie nina shida na hicho kifaa chenye unatumia kupakia mafuta kwenye chapati, kinapatikana wap?!
We -
Asante dd umetuifazia ndoa zetu kwa mapishi bora m.mungu atakulipa kwa haya
Amin ya Rabb
My all the time Sis!! Kazi yako only Allah knows jinsi unavyochangia katika kuzihifadhi ndoa Zetu!! Nakupendaje!😇
Alhamdulilah, ahsante kwa mapenzi hayo dear
@@aromaofzanzibar Wallah nakupenda bure kwa mapishi. Allah akulinde
Asante sana Dada Aroma kwa maelezo yako urs most honestly h
Shukran
I’m so proud that you expose your children to Swahili culture
Always, and they love and enjoy every bit of it
Hizi nimezipenda sanaaa
Yaan huo unga ulivyokuwa mlaini 😍😍😍😍😍😍
Ubarikiwe sana
Ahsante sana
Chapati za kufana sana...
Nairobi tupo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwisha mambo!!! Chapati zinavutia mnoooo!! You did a fantastic job here
Mash Allah madam. Hakuna recipe sijapenda
Shukran
Yummy yummy 😋😋 napenda sana kufuatili video zako,, umenipa ujasiri eti maahine haina mapenzi ,🤸
Waouh 🥰🥰🥰😋😋napenda sana mapishi yako mumy napenda chapati sana 💖nitajaribu pia
Asante sana kwa kunifunza jinsi mpya ya kupika chapati.Nimefurahia sana video yako.Asante tena
Shukran
Asante sana you are the best God bless you...kindly I would wish to know the temperature of coconut milk and samli
Thank you so much, the coconut milk and samli were just room temperature. Thank you for your support
Napenda maelezo yako sana. Asante luv
Ahsante sana
Bless you Always!! napenda sana vyakula vyote unavotuelekeza jazzakhallahu kheir...
Thank you dear, amin
Mashallah mwenyezi mungu aibariki mikono yako 😘
Dada uko vizuri sana
Ahsante sana
mashaallah nzuri sana MUNGU akuzidishie ujuzi aamin
Shukran, amin kwetu sote
Mashallah mungu akuzidishie ujuzi...asante sana
Shukran, amin kwetu sote
Asante sana kwa kuniongezea ujuz wa mapshi
Very nice chapati recipe. Thanks for sharing, 💕💕
Most welcome 😊
Zinavutia mnooooo. Hongera kwa kua mpishi bora.
Puu"0ul0l7oula
ni Mzuri Sana 😋😋😋
Shukran habbty 😋😋🌹
Chapati zavutia sana Natamani nizile sasa hivi.Mapishi mazuri .Shukran
Maa Shaa Allah
Asante my nimeelewa vizuri
MashaAllah very creative na zaonyesha kua very tasty. Ooooh na zina kurasa visitor. Very impressive we luv u dear from Mombasa Kenya
Khadija Nassor mashallah dada yangu unafundisha vizurii cn hada mm najisikiy vema napend chapatii chapo nipo oman nimezipenda chapatii my love
Thanks for the love and support, be blessed!
Shukran,
Mashallah 😋😋😋👌
Masha allah 👍
Wonderful recipe.
Ukiyaweka mabonge pembeni yatulie usiku kucha, ni lazima uyaweke kwenye friji?
Kama utaweka usiku kucha ni vizuri kuweka kwenye fridge
Mashaallah nakupendaga buree
Mashaalah tabarakaallah nitajaribu inshaallah umeniacha taka kula pia.
Inshallah kher
Mashaallah chapatiy powa
Wow nakupenda sana maman yani sijui niseme nini mapishi yako
Ahsante nashkuru
Shukran Aroma of zanzibar.
Wow
Assalamu aleikum. Mashaallah kwa machoo tuu nimeziona tamuuuu 😋😋. Shukraaan mpenzii. Allah akuhifadhi
Hakika mapishi yako nayapenda sn maashaAllah
Shukran
U r golden heart, ur valuable time doesn't go unnoticed, knpw that am ur number 1 fan😘😘
Thanks dear , I appreciate your support and love too
Woow! I juxt fell in love with her very very clean hands!..without 4geting the chapati hah....nyc work!
You are funny, thank you!
ulikua wapi jamani yani nimemmiss vaa kula vako 😍😍😍
Nipo mie napost kila wilki
so lovely. the chapati pan so great. share the secret of where you get the cooking pots?
Thank you dear, my pan is from amazon its a Korean brand called HappyCall
Asante sana kwa kunielekeza vizuri
"machine haina mapenzi" Aroma of Zanzibar 2019
Yap hujawahi kusikia hivyo 💕😂
Tamu sana dada,hongera
Ahsante
Asalamu caleymum napenda vile wewe una funza watu kupika shukran
shukran
Masha Allah, zaonesha tamu
Masha Allah Dada asante Sana
Mashaalla
Maashallwah sana nzur
Shukrani sana Dada.
Umetisha
Mashaa Allah.in shallah leo ntazipika.
Asante kwa mafunzo mazuri
Karibu
Maa shaa Allah Tabarakallah best shabati
Mashallh shapati
love ur videos❤You should make a food blog🤗
MashaAllah iko sawa sana
Zavutia MashaAllah 👌
Mashallah nzuri
Hellow una sister Canada always
Love you
Thank you for the love, la sina sister
Yani iko powa Sister😋😍
Wow Mashallah
Perfect hun😋
mashallah aroma of Zanzibar
Chapati hizi zina kazi ..lakini zaonekana zenye ladha!👍🏾
Its worth it
Wow chapos with lots of ❤💚💜💙💛
Absolutely!
Kitafunwa icho me nakipenda sana hapo kwa maharage ebwanaeeee ndo hunigandui
Kweli kabisa na recipe ya maharage inakuja soon Inshallah
shukrani sana
Nzuri mashallah
Ahsante
Ati tutizame sasa ndani vipii 😁😁
Chapati tamu, umenifanya nimkumbuke mamangu, hupikaga kama hizooo 🤗🤗🤗
M/Mungu jaalia nipate mke fundi wa chapatii 😂😂😁
Amin
Asya Omar niombee
Inshallah Mu.Mungua akupe mke mwenye kheri na wewe hiyo ndio muhimu halafu mlete kwenye kurasa huu ajifunze
Aroma of Zanzibar haya sisy inshaalah
🤣🤣🤣
MaashaAllah
Nicee
Mashaallah
Machine haina mapenzi kabisaa tena yawatu wafivu wasio penda jiko yaani..😂😂😂shukran
Mambo ndio hivyo
Jazakallah khayr.
Wao l love them
Ma shaa Allah.
Asante sana.
Beatrice Mapembe maa shaa Allah mi sijawahi kupika chapati za nazi
Ma shaa Allah
Shukran 🙏
Maa Shaa Llahu
Best chapos ever
Thank you!
Aunt Unatumia Unga Gani?Brand Gani Gani Napata Tabu Vile Am New To U.S....Unga Gani Best Unatumia?Na Je Wapi Naweza Kupata Chuma Cha Mkate Wa Ufuta?
Mimi natumia unga unaitwa Wheat Montana unapatikana walmart au pia Gold Medal unbleached , chuma cha ufuta mie nimenunua duka la wahindi
Aroma of Zanzibar thanks Mami Ake
@@aromaofzanzibar thanks for type ya unga. I am still getting hard chapatis, I will try using unbleached Gold medal. I was using bleached one. Sijui ndio shida?
unanihamasishaa!
Plz dada nataka unifundishe mchuzi wa maharagwe
Mana na hizo chapati ushanitamanisha mombasa nami niko saudia
Maharage yanakuja inshallah
@@aromaofzanzibar jazakallah kher habibty
Mwenye zi mungu akupe afya na umri mrefu ya raabi
Shukran
Mapishi mazuri sana nipenda
Poa sana
But nntajaribu in shaa Allah
Inshallah
Inshallah kesho nitazipika
Award winning
Thank you dear
@@aromaofzanzibar mashallah ni mzuri sana Shukran habibty Allah akujaazi kher Amiiin
wallah napenda sana mapishi yako
Nataka kuona upishi wa matoke plzzzzzz
Sorry dear huku Marekani hakuna ndizi za matoke
Mashallah
Mashallah tabarakallah
Masha Allah
InshaAllah leo itakuwa ndo chakula cha usiku😅
Nikiongeza mayai itakuwaje
Mimi sijawahi kutmia mayai kwenye chapati, jaribu uone vipi utapenda
Ya Pili ndyo rahisi jamani
Samahani nauliza je tui nimoto ama nibaridi
Kawaida tu sio moto au baridi
Nzuri na fasta