Biriani/Biriyani ya Zanzibar - Kiswahili

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2016
  • Ingredients: Kwa kiasi watu 6-8
    For marination
    5 lb vipande vya miguu na mapaja 12 pcs au kuku mzima alokatwa
    Vijiko vikubwa 3 mtindi mzito
    Vijiko vikubwa 4 tomato paste
    Nusu 1/4 kikombe tomato ilosagwa
    Vitunguu vikubwa 4
    Vijiko 3 vikubwa vya thom & tangawizi ilosagwa
    Ndimu/limao 1-2
    1/2 Nusu kifungu majani ya kotmiri/gilgilani
    1/4 kifungu majani ya nanaa
    Pilipili za kijani 2 au zaidi
    Vijiko 3 vikubwa bizari ya biriani ya kinyumbani au 2 garam masala
    Vijiko 2 vikubwa chumvi
    Vikombe 3 mafuta ya kukangia vitunguu
    Nusu 1/2 kikombe mafuta ya ( kwa kuroeka kitoeo)
    Zaafarani kidogo
    Mbatata 2-3 kubwa kama utapenda
    Mataarisho ya wali
    Mchele mrefu wa basmati vikombe 5
    mdalsini mzima vijiti 2
    Hiliki nzima 5 pods
    bay leaves 2
    Karafuu nzima 3
    Star anise 1
    Kijiko 1 kikubwa pilipili manga nzima
    Robo 1/4 kikombe vitunguu vilokaangwa
    Chumvi kiasi
    Zaafarani kiasi
    Robo 1/4 kikombe maji ya mawardi ( sio lazima, kama utapenda)
    Vikombe 7-8 maji ya kuchemshia wali
    mafuta ya moto vijiko vidogo 6-8 kumwagia kwenye wali
  • ХоббиХобби

Комментарии • 1,1 тыс.

  • @tiamo726
    @tiamo726 7 лет назад +180

    am from mombasa but live in london uk this woman i learn my native food from her i learned chapati from her people like it i swear shes is such a good teacher people thought have been cooking chapaties for years but i only learned once but i keep coming here alot thanks for teaching me how to still keep in contact with my home food alot of africans here have forgotten how to cook their food. i know shes from zanzibar but it just makes me want to go back home man am going to attempt this next week pray for me hope i get it lol

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад +12

      Tia Mo thank you so much for this wonderful comment am really grateful to Allah for giving me the strengh to be able to share what I love. Kenyan food and Zanzibar food is very similar some dishes are identical and this channel was meant to help and assist many like myself who live far from home not to loose touch we food that we grew up with x Do not stress about the biriani its very forgiving x be blessed

    • @tiamo726
      @tiamo726 7 лет назад +1

      Aroma of Zanzibar what majani ya banaa and the colour you said you added did you add it in the safron and water and what amount please

    • @tiamo726
      @tiamo726 7 лет назад

      Aroma of Zanzibar is that yoghurt and whats the the grinded spice you have ther

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад +4

      Here's the list of ingredients I used for the dish, its in the description box
      Ingredients:
      Serves 6-8
      For marination
      5 lb leg & thigh 12 pcs or full cut chicken
      2-3 table spoons yogurt
      3 table spoons tomato paste
      1/4 cup crushed tomatoes
      4 large red onions
      3 tbs Garlic and ginger paste
      1-2 lemons
      1/2 bunch coriander leaves
      1/4 bunch mint leaves
      1 Green whole chilies (optional)
      3 Tbl biriyani spices (home made) or 2 Tbs garam masala
      2 Tbs salt (or as per your taste)
      3 cups vegetable oil for frying the onions
      1/2 cup oil
      pinch saffron
      2-3 large Potatoes (optional)
      For the rice
      5 cups basmati rice {Indian LONG grain rice}
      2 sticks cinnamon
      5 pods cardamom
      2 bay leaves
      3 cloves
      1 star anise
      1 Tbl black peppercorns
      1/4 Cup golden fried onions
      1 ½ table spoon salt (as per your taste)
      1 pinch saffron
      ¼ cup rose water (optional but recommended)
      7-8 cups water for boiling the rice
      6-8 tsp hot oil or ghee to drizzle on the rice
      .

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад +4

      These are the spices are used, thats the link on how to prepare them and the measurements will be in the description box ruclips.net/video/GvThvELD0iU/видео.html

  • @ahmedali0333
    @ahmedali0333 5 лет назад +6

    Ok Asante sana kwa kutupatiya elimuuu nzuri kabisa ok Allah atupe kilalakher katika maisha yako inshallah ok 😃😃 ok

  • @beijoozessence1048
    @beijoozessence1048 6 лет назад +6

    PROUDLY TANZANIAN/ZANZIBAR! PROUDLY SWAHILI

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 10 месяцев назад

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Yummy Yummy 😂

  • @ismailabdelfatah941
    @ismailabdelfatah941 4 года назад +1

    Mashaallah....nitajaribu kupika biriani kwa familia yangu hapa Misri....Asante dada ♥️

  • @niathairu6625
    @niathairu6625 5 лет назад +14

    Thank you for the lessons. I'm kikuyu so mapishi ya kwetu sio as appetizing as this. I try to make dishes from all over the continent but this channel has made me a winner in my household. ❤❤❤❤

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 лет назад +1

      My pleasure, congratulations for the efforts you have made and I am glad you are enjoying the recipes x thank you for your support

  • @khamiswilangali9500
    @khamiswilangali9500 3 года назад +1

    Maashaallah Asante sana dada yangu kipenzi, umenifanya nianze kukufuatilia kwa karibu zaidi... Kuanzia leo nimekuwa mwanafunzi wako wa mapishi tuletee madini kama haya mara kwa mara yaanii unajuwa sana ikiwezekana fungua college kabisa we ni professional wa hii kutu aisee

  • @ashasaid3182
    @ashasaid3182 6 лет назад

    Allah akupe nuru katika maisha yako uweze kuwafahamisha watu namna ya kupika

  • @monicagingimatias9046
    @monicagingimatias9046 6 лет назад +8

    habali Dada yan nilikuwa siwez ata maandaz ila kupitia aloma of zaziba nimeweza adi bilian mungu akubaliki Dada yetu

  • @tahiyaseif1853
    @tahiyaseif1853 7 лет назад +6

    I I learned my cooking from her so beautiful cooking

  • @tibekabaka8127
    @tibekabaka8127 5 лет назад

    Yaani we dada ni mtaalamu sana.Ubarikiwe sana kwa kutufundisha mapishi kwa Roho moja.

  • @lattiewilliams4636
    @lattiewilliams4636 6 лет назад +3

    😂😂😂😂 ni kweli unasema okay sana ila ni nzuri... I like ur tutorials.. Blessed hands

  • @abubakarkhamis3884
    @abubakarkhamis3884 4 года назад +3

    Biriani Mashaallah

  • @maimunahassan5047
    @maimunahassan5047 6 лет назад +6

    I just love this woman,she's made me the best cook,shukran sana ukhty,may Allah bless you,I'm from kenya

  • @albaitalaneeqfurnitureltd1458
    @albaitalaneeqfurnitureltd1458 6 месяцев назад

    Aroma of Zanziba A very lovely lady with lots of respect in her way of talking. I enjoy your recipes with all my heart. Thank you for being generous and sharing all your recipes with us.

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 года назад

    Mashaallah dada jiko limepata mpishi nimependa sana yaan nimekufuatilia kitambo sana wallah

  • @puputang12
    @puputang12 5 лет назад +5

    I have been waiting for this all my life. Thank you so much for the recipe. Keep them coming.

  • @Efrouwa
    @Efrouwa 7 лет назад +54

    not only do I like your cooking...I find your voice really soothing.

  • @husnaismail9886
    @husnaismail9886 6 лет назад +1

    nice nafurah kila siku kujifunza mapishi mingi zaidi thanks Allah akubarik

  • @evelinemassam3378
    @evelinemassam3378 3 года назад

    Jamani Wewe Mama.Nakushukuru sana ...Nilipika Biriani Tamu sana kufuatisha mafunzo yako.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  3 года назад +1

      Ahsante sana, na hongera pia kwa jitihada zako

    • @evelinemassam3378
      @evelinemassam3378 3 года назад

      Sema chapati nashindwa Mimi zina kaa ngumu ila nikizipasha zina lainika...Sijui nakosea wapi.. 😣 please teach me

  • @kimberleywarshow3955
    @kimberleywarshow3955 7 лет назад +18

    I want to thank you sana as i used to HATE HATE COOKING.. but after coming across your tutorials and great explanations on how to make dishes from nyumbani i love cooking.. asante sang dada..

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад +2

      Thank you for taking time to write this wonderful comment and am so touched and humbled. I delighted to know that I have managed to get you cooking and hopefully you are enjoying the recipes just as much x than you, have a wonderful weekend

  • @YayannnAdina
    @YayannnAdina 7 лет назад +11

    mashaAllah. im from malaysia..love love love this biryani..ive been try alot of biryani version. i think this is one of the best too😍👍👍

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад +2

      Thank you so much for the kind words, thank you for your support

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 6 лет назад

    Ahsante sana bibie mashaallah kila chkl unachotufundisha bc tukipika kinakua kizuri Mungu akupe ujuzi zaidi.!

  • @edwardkhatiya4561
    @edwardkhatiya4561 5 лет назад

    Zafarani, mbatata, etc. ni vizuri kutimia majina ya kiingereza kwa baadhi ya viungo ndipo tuelewe vizuri. Hata hivyo shukrani sana kwa elimu ya mapishi.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 лет назад

      Waswahili kila siku wanatichamba kwa kuchanganya lugha hapendi wanataka nikisema kiswahili ni kiswahili pekee, hapa kuna version ya English utapata ingredients zote kwa kiengereza ruclips.net/video/ToXULIDxuvc/видео.html

  • @farhatfatma12
    @farhatfatma12 7 лет назад +3

    nimependa upishi wako. Na hasa ulipotumia mbinu ya kuvipunguza mafuta vitungu maji kwa kuvikamua kwenye kitchen towel. safi sana.

  • @amadirazak
    @amadirazak 6 лет назад +24

    Asalam aleikum just wanted to say you are a big inspiration to me. I tried doing a biriani on a rice cooker because of this recipe I even deep fried onions and potatoes in the rice cooker the results were amazing. Jazakh Allah kheir sis may Allah SWT bless you always Ameen

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 лет назад +1

      Mashallah thats wonderful to hear that you found the technique that works for you Alhamdulilha, glad you enjoyed the biriani

    • @user-lk1rp4mx3y
      @user-lk1rp4mx3y 7 месяцев назад

      ​@@aromaofzanzibar
      P

  • @rmmulei8531
    @rmmulei8531 5 лет назад +2

    Shukran aroma nimepikia mume wangu Leo aniambia nimekula kitu Tamu Leo ebu na kessho pika Tena.....Asante saana Allah hifdhu.i love your cooking

  • @ummusahili6399
    @ummusahili6399 7 лет назад +1

    Nikweli kabisa nakini ni mchemsho tu namafuta hupunguwa kwakiasi nimeipenda zaidi kuliko ile yakukaanga vyote mafuta huwa nimengi

  • @rechaelelisha6630
    @rechaelelisha6630 6 лет назад +6

    hv nyie mnaodislike hapo juu knawakera nn mbn somo zur sana?achen wivu

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 7 лет назад +4

    ddaty leo nimepika birihan yako mashaallah si kwa hutamu huo mashaallah Allah akupe afya ameen nimependa saana chakula yako😘😘😘😘😘

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад

      Mashallah, nimefurahi sana kwa kusikia mameno matamu , amin kwa dua zako na ahsante kwa kwa support

  • @abuhaniyaruqya
    @abuhaniyaruqya 3 года назад

    mashaAllah Allah akujaze na akulipe kwa haya mafundisho

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 5 лет назад

    Mashallah uko vizuri mama hila kwa muonesho ningependa kila unacho kigusha na jina lake zaidi mwelewa hapate kuelewa vyema japo kunao wengine wanajua.lkn nimejifunza kupika biri

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 лет назад

      Ahsante , hiyo ni video ya zamani sana nimebadili mengi sasa

  • @MohamedHassan-tp2wf
    @MohamedHassan-tp2wf 7 лет назад +43

    hapo nimekula online kweli aaah chakula kitamu kweli .Allah akujalie mama kwani umenifunza kupika biriani ..Mashkuru na nakusihi uendelee kutusaidia kwa mafunzo .Ahh kweli ndo manake nahitaji mswahili ka mke wangu

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад +1

      Shukran, Mumgu atakujaalia mke utakaye mpenda in every aspect Inshallah

    • @saumubarua2291
      @saumubarua2291 7 лет назад

      Mohamed Hassan Tawakkal ala Allah فصالحۃ قنتاۃ حافضاۃ............

    • @MohamedHassan-tp2wf
      @MohamedHassan-tp2wf 7 лет назад +1

      Hapo sawa kweli mbona hata mimi nisha ila online

    • @evansatambo2675
      @evansatambo2675 6 лет назад

      Mohamed Hassan

    • @mbogabahati8599
      @mbogabahati8599 6 лет назад

      Mohamed Hassan hahahaa

  • @abumasoud1996
    @abumasoud1996 7 лет назад +6

    mashalah baraqallah fih

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад +1

      Amin

    • @shikuimmah1598
      @shikuimmah1598 5 лет назад

      +Aroma of Zanzibar wee mwarabu ama..maana majina mengne nikama nimezoea kuskia huku gulf countries

  • @macklinabenjamini4247
    @macklinabenjamini4247 3 года назад

    Nzuri sana unajitahidi dada yang allah akufanyie wepesi

  • @halimakadir6755
    @halimakadir6755 2 года назад

    MashaALLAH wjua kueleza vzuri mtu akaelewa

  • @salmadashlaquimanelaquiman4427
    @salmadashlaquimanelaquiman4427 6 лет назад +3

    Asant

  • @dully4276
    @dully4276 7 лет назад +3

    your such an amazing channel thanks for sharing ur cooking knowledge. I am requesting a video of jinnsi ya kupika mchuzi wa kawaida wa kuku au wanyama please. Thanks.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад +1

      Thank you dear, am glad you appreciate that. Inshallah nitkueletea mchuzi wa kawaida, ngoja tumalize hizi harakati za Ramadhani na Eid Inshallah

    • @fatihiasalim8753
      @fatihiasalim8753 5 лет назад

      Aslkm hbbty,mashallah we are proud of u,Mabrouq dear,Allah akubarik na Kaz yako,ameen

  • @nuwayla7624
    @nuwayla7624 11 месяцев назад +1

    مشاءالله تبارك الرحمن ❤️❤️🌹🌹💎💎👑👑

  • @neyfttyyagwa2531
    @neyfttyyagwa2531 4 года назад

    Nakupenda bureee

  • @aleonm5197
    @aleonm5197 4 года назад +23

    We're at 1million views!!! Congratulations!
    (100 are mine 😂)

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 года назад +1

      Yes indeed! Thank you for the love ❤💕💕

    • @ghaniyemaulid75
      @ghaniyemaulid75 4 года назад +1

      Hi naomba utufundishe mikate ya ufuta hatuijui

    • @ghaniyemaulid75
      @ghaniyemaulid75 4 года назад

      Naomba utufundishe mikate ya ufuta

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 года назад

      @@ghaniyemaulid75 mikate ya ufuta nimefanya zamani sana, tafuta humu kwenye chanel yangu utaona

  • @gonjadunus8000
    @gonjadunus8000 6 лет назад +4

    saut hiyo mama zuriiii

  • @shazdelacruz9800
    @shazdelacruz9800 5 лет назад +1

    Mashaaalllaah asannte wow

  • @imatheboyimatheboy9714
    @imatheboyimatheboy9714 4 года назад

    Asalam alaikum napenda unavyo ongea sauti mashallah hata mapishi pia ni mtoto

  • @Lav_A
    @Lav_A 5 лет назад +4

    i feel like i have a big sister. Much love from Kenya!

  • @f.almansour7240
    @f.almansour7240 7 лет назад +9

    Mashallah your awesome cooking nakula na macho tuuh 😋 bless u🙏🏽

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад +1

      Thank you dear....usile kwa macho tu, ingia jikoni sister lol ;)

    • @alimgeniali594
      @alimgeniali594 7 лет назад

      Fida Alman

    • @samiapeter1262
      @samiapeter1262 6 лет назад

      +Aroma of Zanzibar dada mi ntumie videos iyo watsaap ili ninunue viungo ivyo ili npike kma wee

  • @rachelelias5031
    @rachelelias5031 3 года назад

    Masha Allah Habipty uko vzr sana

  • @joharichristopher9824
    @joharichristopher9824 7 лет назад +2

    mashallah najihisi nimerudi tunguu

  • @madinahassan6246
    @madinahassan6246 7 лет назад +3

    this dish is nice mashallah

  • @mshella74mohammed74
    @mshella74mohammed74 7 лет назад +3

    masha Allah...pishi zuri.(OK)...hehe

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад +1

      Shukran, thank you for your support OK...;)

    • @nuznaz356
      @nuznaz356 7 лет назад

      Aroma of Zanzibar kclhkvlb

    • @aisaheisa6661
      @aisaheisa6661 5 лет назад

      Abdallah Mohammed mmm umenifurahisha kweli

  • @taraagire6176
    @taraagire6176 6 лет назад +4

    I love Biriyani!!! Yani u know so many different food.

  • @zainabmoshi1086
    @zainabmoshi1086 7 лет назад +1

    mashaallah Allah akuzidishie ujuzi

  • @alriefication
    @alriefication 7 лет назад +4

    Watched this before going out for lunch. Too delicious. 12 minutes of torture.🙈

  • @tifasharjy8220
    @tifasharjy8220 7 лет назад +3

    Nlikua sijui wapi pakucoment sory dear. Yaan nimekupenda my dada. Masha Allah habibty wangu. M/Mungu akuzidishie Afya njema, furaha na kila la kheri ktk maisha yako. Aaamin.

  • @gracejulius5000
    @gracejulius5000 7 лет назад +2

    nmefurah kujua kupika,ahsante

  • @wacanyusuf6452
    @wacanyusuf6452 2 года назад

    My favorite RUclipsr manshaalah I laern everything I need my allah bless you sister

  • @bettymorris7859
    @bettymorris7859 7 лет назад +4

    Nashukuruu kwa recepie hii....ntapika na mimi...yako rahisi kuliko nyingine ziko complicated sanaa.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад

      Thank you for your support

    • @salickrawahy9962
      @salickrawahy9962 5 лет назад

      Sasa anty nikuulize kama kuku wakienyeji unafkiri wataiva kuwaweka usiku mpaka asubuhi et lakini unafundisha vizur sana mpaka unafahamu

    • @salickrawahy9962
      @salickrawahy9962 5 лет назад

      Thank yor zidi kutifahamisha habbty

  • @fatimasaid4193
    @fatimasaid4193 7 лет назад +3

    mashallah mashallah nzri😘

  • @rukiahhdbdn4798
    @rukiahhdbdn4798 6 лет назад

    Maa shaa Allah habibty baaraka llah

  • @aminatwaa1696
    @aminatwaa1696 5 лет назад +1

    Mashaalaah, nitajaribu na mie

  • @nyanzalakaporo4219
    @nyanzalakaporo4219 6 лет назад +5

    ASANTE SANA NIME JIFUNZA NA NIME PENDA SANA RECIPES YAKO YA BIRIANI

  • @nabi4881
    @nabi4881 7 лет назад +3

    you need to show us kate ya mayaye and its cooked with mince meat, eggs and flours but I dont know how to mix it

  • @sarahkitindi3420
    @sarahkitindi3420 3 года назад

    Nimepensa asante

  • @habibuhamis5656
    @habibuhamis5656 4 года назад

    Mashaallah hongera sanaa

  • @santoshsantanayak4585
    @santoshsantanayak4585 7 лет назад +8

    Thats a great video. Any chance you have the ingredients in English?
    Kwasababu Swahili yangu sio nzuri saana (?) -- heh. :) Asante saana!

  • @waziriwaziri12
    @waziriwaziri12 7 лет назад +7

    hata mm najuwa kupika biriyani ya kisomali hahaha

  • @mohammedrashid9606
    @mohammedrashid9606 4 года назад

    Nayafatilia mapishi yako ni mazuri sana na unaelezea vizuri sana Allah akubariki kwa kuelimisha jamii inshaallah utafanikiwa

  • @abrahim4861
    @abrahim4861 8 лет назад +1

    mashalalh asante kwa recpy.... 😘😘😘moza

  • @lawsofsucces5784
    @lawsofsucces5784 7 лет назад +3

    sawaa nimeshakaribia kwenye Chanel yako tupo pamoja

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar  8 лет назад +25

    Am not sure hiyo mix spices ina nini to be safe tumia za pilau

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 лет назад +1

      You are welcome

    • @manga8401
      @manga8401 7 лет назад

      Aroma of zanibar..... You are very beautiful and wonderful eyes. Do you speak Arabic Language

    • @tiamo726
      @tiamo726 7 лет назад

      Aroma of Zanzibar have you done bajia za kunde recipe

    • @asiahassan9687
      @asiahassan9687 7 лет назад

      Aroma of Zanzibar

    • @kissniss4107
      @kissniss4107 7 лет назад +1

      Aroma of Zanzibar mie penda sana mapishi yako mama

  • @maryamhassan1627
    @maryamhassan1627 7 лет назад +2

    Looks yummy Mashalla I like it

  • @joycehahn1423
    @joycehahn1423 7 лет назад +1

    asante sana kwa biriani nimejaribu tamu sana

  • @zamsaid9071
    @zamsaid9071 4 года назад

    MASAHALLAH I will try In Sha Allah

  • @moonladysoona7979
    @moonladysoona7979 7 лет назад +2

    Looks yummy Masha Allah

  • @faizaomary3226
    @faizaomary3226 6 лет назад +1

    nimeitamani mash allah

  • @abdullahsaqer5375
    @abdullahsaqer5375 7 лет назад +1

    woow....always so simple to follow...💖👍👌

  • @esthermuthoni3763
    @esthermuthoni3763 2 года назад

    Sauti nzuri.will try this

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Год назад

    Maa shaa Allah

  • @wangechiish
    @wangechiish 5 лет назад

    wow thanks , I will try it!

  • @nasraiddy8164
    @nasraiddy8164 5 лет назад

    Mashallah ukhty nilikua sijui jinsi yakuipika nikasema kimoyo acha nikutafute Aroam of zanzibar huenda ikawa ulishaifundisha wallah huwez amini jinsi najiskia furaha kukuta mafunzo yako humu Allah akupe afya na moyo huo huo wakujitolea habibt insha Allah kesho nitajaribu nami nitalitoa kama lako insha Allah

  • @asyashaib9040
    @asyashaib9040 3 года назад

    Naipenda sana recipe hii na ndo nnayoitumia, maashallah Allah akulipe dada

  • @sherynasreen789
    @sherynasreen789 6 лет назад

    Woow i lyk it..U teach well aunt

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 6 лет назад

    shukran kw ujuz hakika nimejifunza mengi kupitia ww and i wish one day niwe mwalimu kama ww , mola akuzidishie ujuz zaid

  • @imanmohamed2215
    @imanmohamed2215 5 месяцев назад

    Allahumma Barik

  • @mariamjumaswalehe635
    @mariamjumaswalehe635 5 лет назад

    Hii ni tamu zaidi asantee Sana sis

  • @elsiesawayi4369
    @elsiesawayi4369 5 лет назад +1

    Nmeipenda kabisa, ok!ha

  • @efftahkhamis5689
    @efftahkhamis5689 4 года назад

    Nimeipenda

  • @sadahramathan519
    @sadahramathan519 2 года назад

    Nimeyipenda sana nimejinza nayitwa sada

  • @amourssasa3819
    @amourssasa3819 5 лет назад +2

    Je salive tellement c'est bon le riz et une bonne sauce c'est la base.

  • @ummyissa4622
    @ummyissa4622 7 лет назад +1

    woow yummmiiiii🙌🙌na kama huna mahutaji hayo yote pia itafaa

  • @creativemoh821
    @creativemoh821 4 года назад

    Sauti nzuri kweli...

  • @sofiaseif845
    @sofiaseif845 7 лет назад +1

    asante sana aunt yangu nakupenda sana napenda sana kuangalia sn mapishi yako kwa kweli unatufunza vzr mapish mbalmbal jazakallah kheir..

  • @marymaiko6605
    @marymaiko6605 5 лет назад +1

    nitajaribu kupika napenda sana nilikuwa sijui kupika asante nimeelew sasa

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 5 лет назад

    Mashaa Allah habibty Allah atuhifadhi ujuzi wako

  • @zuhurahaji3605
    @zuhurahaji3605 6 лет назад

    mashallah dada kwa elimu hio

  • @nassoryahya7635
    @nassoryahya7635 4 года назад +1

    Asalam aleykum.shukran sana habbty kwa mapishi ya biriani nakushukuru sana mungu akuzidishie kwa kutufundisha.nimefurahi sana niliingia ktk mashindano ya kupika biriani nimeshinda nikapewa zawadi.yote sababu ya kuangalia mapishi yako.shukran sana sana

  • @zennaabdullatwif7718
    @zennaabdullatwif7718 6 лет назад +2

    Maa shaa Allah, I appreciate you mom

  • @jennyjayne5745
    @jennyjayne5745 6 лет назад +1

    Jameni,yummy 😋

  • @aminasaid5568
    @aminasaid5568 5 лет назад

    Wawo nimeipenda hio

  • @aminaabasi2791
    @aminaabasi2791 4 года назад

    Nc birian