SIRI YA KUPIKA PILAU TAMU NA YA KUCHAMBUKA//MASWALI YOTE KUJIBIWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 485

  • @Vailethn
    @Vailethn 2 года назад +6

    Kwenye shughuli zetu wachaga huwezi kukosa hii saladi ni taamu mnooo ina test kwa pilau ni😋😋😋😋

  • @ukhtyzainab7254
    @ukhtyzainab7254 2 года назад +4

    Maa shaa Allah,namie ntajaribu in shaa Allah

  • @zainabsalim7361
    @zainabsalim7361 3 года назад +6

    Mm huwa siweki nyanya kwa pilau na huwa tamu aki nakwambia 😘🥰

  • @ZuhuraAthuman-u2i
    @ZuhuraAthuman-u2i 9 месяцев назад +4

    Pilau Kwa macho tu ni tamuuu. Jee ukila SI utajing'ata dole,,hongera mpishi upo vizuri jikoni

  • @salmakibari5093
    @salmakibari5093 3 года назад +9

    Nakupendaga Sana najifunza meng San kwako kupitia wew nmefany biashara na inanilipa vzur tu

  • @KabijSaib
    @KabijSaib Год назад +1

    Supu ndo inayolainisha,au kuivisha viaz,njege,namchele,aksanteamiii❤

  • @CatherineSeleman-v5v
    @CatherineSeleman-v5v 6 месяцев назад +2

    Asante nilikuwa sijui kutengeneza sarad nilijaribu na pilau kama hilo tamu had raha

  • @NassariKengia
    @NassariKengia 10 месяцев назад

    MASSHALLAH. NIMEIPENDA🥰👏

  • @MosiMcheche
    @MosiMcheche 10 месяцев назад +1

    Asante mumy nimejifunza na nmejaribu ni tamu sanaa

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  10 месяцев назад

      MashaAllah 😘 hongera sana,na Asante kwa support

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 9 месяцев назад

      ​@@kekiplus1andonlynaomba namba yako ya simu ikiwa hutajali

  • @edinachrispat2122
    @edinachrispat2122 2 года назад +18

    Jaman dada Asante na me nimepika hili pilau kwa maelezo yako jaman ni Tami Sana uwii sijawah pika pilau tam Kama like jaman🙏

  • @DamarisGerald
    @DamarisGerald Год назад

    Wow nice recipe nmeipenda sana be blessed ❤

  • @marthajohn6532
    @marthajohn6532 3 года назад +5

    We dada umenikosha pilau yako ni amaizing nimeipenda, hongera.

  • @kajumbayusufu4967
    @kajumbayusufu4967 Год назад

    Ku- pikka ningummu, watching from uganda Kampala ✊ ✊ ✊ ✊

  • @BenyMwenda
    @BenyMwenda Год назад

    Aimed nimeipend xana😊😊😊😊hongera

  • @GenevieveVincent-zc9vy
    @GenevieveVincent-zc9vy 3 месяца назад

    Asante sana somo limeeleweka

  • @janewamboo4361
    @janewamboo4361 Год назад +1

    Naipenda sana kupika vyakula kitamu asanti kwa kutufunza

  • @mariamMgela
    @mariamMgela 6 месяцев назад

    Asante kwa mafundisho ya pishi tamu❤❤

  • @sarahrutto7935
    @sarahrutto7935 3 года назад +1

    Asante mum omen funza nitaijaribu Leo Amen..

  • @lucycharles1043
    @lucycharles1043 3 года назад +9

    Mashallah asante kwa maelekezo mazur yan ni kama unamwelekeza mtoto homework unaelezea in deeply hata kama MTU kachoka lazima awe interested kukusikiliza yan nakupenda sana we Dada nataman siku uweke video na picha yako angalau nikuone una roho nzuri japo hatufahamian mungu akutunze

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +3

      Alhamdullillah🙏🙏🙏🙏🙏asante sana sana dear,MashaAllah una roho nzuri sana pia,ni wachache sana wanaokubali kazi ya mtu na kumwambia kwa upendo...InshaAllah iko siku nitafanya ivo kipenzi ili mnijue pia🙏🙏
      Asante sana kwa support yako,nafurahi kujua naeleweka kwa asilimia kubwa😘😘😘😘

    • @luciaisaac2066
      @luciaisaac2066 3 года назад +1

      Nikweli huyu Dada anamaelekezo mazur nimejifunza keki juz kwakufuata utaratibu jaman nimepika keki tam na kupamba vizur nampenda Sana huyu Dada🥰

    • @dayanathomas6742
      @dayanathomas6742 3 года назад +1

      Nimekuelewa

  • @FranciscaKanini-f9f
    @FranciscaKanini-f9f Год назад

    Asante kwa maelezo yako

  • @hadijabashiru5146
    @hadijabashiru5146 2 года назад

    Asante nimepata kitu kipya mpz

  • @kawtharal_amin5503
    @kawtharal_amin5503 3 года назад

    Yaan upishi wako exactly like ma mom...ad mm nmezowea pika ivy😍

  • @shadiyashabankabe5499
    @shadiyashabankabe5499 2 года назад +3

    Nimependa pishi lako asante

  • @aminaamish242
    @aminaamish242 3 года назад +1

    Supu hakika Akona ladha ya nyama 👍👍👍👍

  • @EvaKirambo-bw5ct
    @EvaKirambo-bw5ct Год назад

    Asante nimependa pishi lako

  • @nurukhamisi7038
    @nurukhamisi7038 3 года назад +9

    Mashallah rafiki pilau nzri snaa nitampikia mume wangu
    Na juice ya passion

  • @berthakanyita1108
    @berthakanyita1108 2 года назад

    Waooo asant saaan dada anguu kwa kwel weee fundiii

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 года назад +1

    Asante sana nimejaribi saiyi 🙏🙏

  • @maruunyange1091
    @maruunyange1091 3 года назад +3

    My kwako mm sinaga swali make unatoa maelezo kanq kwamba uko ktk ufahamu wangu,,,, pilau hilo kibokooo na idd litanikoma, cm pembeni nagelezeq mpaka kieleweke. Barikiwa my love

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +3

      😘😘😘alhamdullilah🙏 kipenzi changu ,kwanza MashaAllah dear kwa kuelewa kila kitu..
      Shukran sana kwa support yako,yaaani nakupenda kupita maelezo,uwepo wako kwa channel yangu nauthamini sana,unanipa faraja na tumaini kubwa sana kupitia comment zako,Allah akuongezee furaha katika maisha yako kama unavyoongeza furaha katika maisha yangu..
      Asante sana kwa kila kitu..nakupenda sana,sana

  • @YohanaVegula-z3c
    @YohanaVegula-z3c 2 месяца назад

    Dada Asante sanaaa

  • @lydiayonah1740
    @lydiayonah1740 2 года назад

    Ubarikiw mpishi nimekupenda

  • @justusjuma
    @justusjuma Год назад

    Alafu dada nataka kujifunza mengi sana kutoka kwako asante

  • @floravenance4931
    @floravenance4931 2 года назад

    Asante kwa darasa la mapishi ubarikiwe

  • @salamaamini
    @salamaamini 2 года назад +1

    Asante Kwa pishi mzuri

  • @hamisalomba3902
    @hamisalomba3902 2 года назад

    Asante kwa ujuzi was pilau

  • @Rahmayusuph-j1z
    @Rahmayusuph-j1z Год назад

    Mimi nimewahi na kiukwel nitama atary❤❤

  • @alphoncengotio4351
    @alphoncengotio4351 2 года назад

    Asnt ubarikiwe Kaz yako Ni njema nakupend snaa.

  • @DannyC304
    @DannyC304 10 месяцев назад +1

    Tutajie ivyo viungo kwa kingereza🙏

  • @Maua-j7d
    @Maua-j7d Год назад

    ❤❤ nimependa pishi

  • @ruthmzava7320
    @ruthmzava7320 3 года назад

    Hakika pilau yoko imenivutia dear na inaelekea nitamu kuliko maelezo. Hongera sanaaa

  • @SaraphinaMichael-ff2df
    @SaraphinaMichael-ff2df 9 месяцев назад

    Nimekupenda kbx

  • @lovemeck7580
    @lovemeck7580 Год назад

    Asantee kwa somo zur

  • @dancanebacha-od7op
    @dancanebacha-od7op Год назад

    Wow, nmependa mapishi

  • @VeronicaSteven-h7k
    @VeronicaSteven-h7k 11 месяцев назад

    Ni nzuri nataka kuuliza kuhusu tuu la Nazi unaweka wakati gani

  • @justusjuma
    @justusjuma Год назад

    Nime pendasana pilau Yako Asante sana

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 9 месяцев назад

    asante dada kwa maelekezo yako maana kuna wengine ilo pilau ukipikiwa utacheka 😅😅pilau maji😂😂 na maarage

  • @annasilayo7883
    @annasilayo7883 2 года назад

    Asantee kipenzi

  • @margaretwesonga8966
    @margaretwesonga8966 3 года назад

    Asante Sana mipishi bomba...hongera

  • @dorcasnekesa625
    @dorcasnekesa625 Год назад

    Wow very nice good job

  • @husseinchea5524
    @husseinchea5524 3 года назад +14

    Una sauti tamu kushinda hiyo pilau😁😁...ila ahsante kwa kutufunza upishi🙏

  • @juliusmuuo2041
    @juliusmuuo2041 2 года назад +2

    Asante sana dada kwa kujitolea kutufunza hapa mtandaoni...mimi mwenyewe ni mpishi pia lakini kuna mengine sikuwa najua lakini sasa hivi nina huwezo wa kuandaa pilau tamu saana....shukrani kwa hiyo

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  2 года назад

      Karibu sana mpishi mwenzangu, na Asante sana kwa sapoti yako

    • @tunumakila2220
      @tunumakila2220 2 года назад

      Mm vipimo ndio vinanishinda kama Michele kg 1 unatumia unga pilau kiasi gani?

  • @mamairene-y3s
    @mamairene-y3s Год назад

    Wooooooh ni nzuri

  • @rayanivan3844
    @rayanivan3844 2 года назад

    Shukran sana naenda kupika kesho

  • @honoratamafala6968
    @honoratamafala6968 Год назад

    Asante.nimeshiba.

  • @NanaNasra-w1u
    @NanaNasra-w1u 2 месяца назад

    Nzuri sana

  • @chantalshimi9619
    @chantalshimi9619 3 года назад +2

    Nimejifunza sana. Shukrani✅❤️

  • @estherakisa3162
    @estherakisa3162 9 месяцев назад

    Wow jamani nikirudi Kenya nitapikia mume wangu hivyo hivyo nimependa venye unapika ❤

  • @imanimwakinga4934
    @imanimwakinga4934 2 года назад +3

    Supu ya nyama inafanya pilau inakuwa na ladha nzuri mno tofauti na maji

  • @tanzmaica
    @tanzmaica 8 месяцев назад

    Nice one ila umefanya haraka kuweka njegere wakati wa kupalia ndio unapaswa kuweka ili isiwe na rangi mbayana kulegea zaidi

  • @damariswangui3490
    @damariswangui3490 3 года назад

    nyama, vitunguu, pilau masala,

  • @JamaMohammedMaalim
    @JamaMohammedMaalim 9 месяцев назад

    Jee unaweza kuweka vitunguu saumu vingi

  • @anethbundala1206
    @anethbundala1206 2 года назад

    Uko vizuri pia je kama nataka kuweka zabibu naweka mda gani pindi napika

  • @AMMARVILLEPROPERTIES
    @AMMARVILLEPROPERTIES Год назад

    Shukran kwa mafunzo

  • @francywambua4210
    @francywambua4210 Год назад

    Very nice keep educating us

  • @benetsonbenezeth6184
    @benetsonbenezeth6184 2 года назад +1

    Good job👊👊🤝👍

  • @nurually8292
    @nurually8292 3 года назад

    Chakula kimoja mapishi mbali mbali poa upo vzr

  • @selafinianjelo3299
    @selafinianjelo3299 2 года назад

    Umejitahid sana dada

  • @habibaamani3947
    @habibaamani3947 2 года назад

    Linaoneka tamu sana mimi sijaiona hiyo salad irudie

  • @rosemarymene5193
    @rosemarymene5193 3 года назад

    Bizari nyembamba initwa aje na kizungu tafathali Asante.

  • @joyfullykilewa8992
    @joyfullykilewa8992 3 года назад

    Njegere hizo za mkoa gani mmmh maaana nahofia Mimi haziwezi kuiva

  • @lucymacha1853
    @lucymacha1853 3 года назад +1

    Asante kwa maelekezo Id imekaribia nitapika hivyo

  • @abduhalhamidy8180
    @abduhalhamidy8180 2 года назад

    Nimependa

  • @FatumaCollette-mp3qq
    @FatumaCollette-mp3qq 4 месяца назад

    Jamani napenda kupika sana mimi mwenziyo😊😅

  • @esthermalala5560
    @esthermalala5560 3 года назад +6

    Wow now got the full recipe so nice

  • @RehemaNgalembula
    @RehemaNgalembula Год назад

    Nimeipenda sana

  • @agatharingia379
    @agatharingia379 3 года назад +1

    Wooow inakaa tamu nitajaribu inshallaah

  • @AdamuLucas
    @AdamuLucas Год назад

    Sawa kabisa

  • @MikeMajola-xn8dg
    @MikeMajola-xn8dg 2 дня назад

    Woooi nzuli

  • @AsiaMtulia
    @AsiaMtulia 9 месяцев назад

    Asante sana yaani unajua ❤❤❤❤

  • @subirashaban8577
    @subirashaban8577 3 года назад

    Ameizing hiyo Dada ila hiyo saladi namm nishatengeneza iko vyemaaa tuu

  • @serahminjire9135
    @serahminjire9135 3 года назад

    👌👌nadodokwa na mate.hicho chakula ni kitamu

  • @yassirmkadam5223
    @yassirmkadam5223 3 года назад +3

    Mashaallah nimeipenda sana hii resipy

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 3 года назад +3

    MashaaAllah my love nishaeka kwa ile menu yangu ya eid😘😘shikamoo njegere

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban 3 года назад +1

      MashaaAllah mmoja mmoja mchele😋😋carrots love napenda sana hii pilau nitumie tu😝umenipa mtihani sanaa.. Hio salad ni pambeee

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +1

      Njegere noma sana

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +1

      Hahaha,inakufuata iyo sasa hivi😂😂😂ila itafika imeoza🙆🙆🙆

    • @rozaliaakoth9206
      @rozaliaakoth9206 3 года назад

      @@HadijaSheban need

  • @JULIUSCHACHA-wu1up
    @JULIUSCHACHA-wu1up Год назад

    Uko vizuri mke wangu amependa na anafatilia Kwa ukaribu sana

  • @zainabuhussein3487
    @zainabuhussein3487 3 года назад +1

    Mashaallah napend Sana kupika vizri

  • @dianasimon7202
    @dianasimon7202 3 года назад

    Hongera mrembo jamani nitam sana hatakwa macho

  • @SwabrinaKea
    @SwabrinaKea Год назад +1

    Salami alekum

  • @reyluse2028
    @reyluse2028 3 года назад

    Pilau zuri mama

  • @zulekhabarakat2656
    @zulekhabarakat2656 3 года назад +3

    Mashaallah
    Nimependa na napenda nijifunze mapishi kutoka kwako😍

  • @boazmwashemele4937
    @boazmwashemele4937 3 года назад +1

    Nimekupenda kwa mafundisho mazuri

  • @munaassenga3390
    @munaassenga3390 3 года назад

    Huo ni muchele upi maan ni mrefu kama basimat embu tuambie dear

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 3 года назад +1

    Mmm pilau ajab taamu, lakini dada umesahau kusema moto kiasi gani nathani wengi wana choma sufuria kwa kuweka moto juu , kwahivyo tafadhali waeleze pia kiasi ya moro asante.

    • @lilianuto5990
      @lilianuto5990 2 года назад

      Thanks dear but kindly can you translate in English especially the spicies

  • @merikiraba726
    @merikiraba726 3 года назад

    Nzuri sana napenda vyakula vizur kama hivyooo

  • @shukranialmasi7559
    @shukranialmasi7559 2 года назад

    Una weza ku upload picha za viungo pls

  • @azizaabdul1240
    @azizaabdul1240 3 года назад

    Ahsante

  • @abaakandekombo2918
    @abaakandekombo2918 3 года назад

    Huu mchele nii huu huu au kuna mchele tofauti

  • @joycesengo3976
    @joycesengo3976 3 года назад +2

    Keki plus utabak mawinguni masomo yako huwa yanaeleweka kwangu Mungu akutunze utufundishe zaid

  • @AnnaKawogo
    @AnnaKawogo Год назад

    asante dada nani kexh napika

  • @catherine2621
    @catherine2621 3 года назад +13

    Can't wait to try so simple

  • @zamdashamsa8886
    @zamdashamsa8886 3 года назад

    Thanks kwa maelekezo