Jinsi Ya Kupika Pilau La Nyama

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 42

  • @MisosimitamuC
    @MisosimitamuC  15 часов назад

    VIUNGO:
    1/2 kikombe cha mafuta (ghee)
    Vikombe 4 vya supu
    Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g
    Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa
    Nyanya ya maji
    Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi
    Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi
    Kijiko 1 cha unga wa coriander
    Kijiko 1 cha mbegu za cumin
    Vijiti 2 vya mdalasini
    Iriki nusu kijiko cha chai
    Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima
    1/2 kijiko cha karafuu nzima
    Nyama 400g

  • @Fatma-g3o
    @Fatma-g3o 4 дня назад +2

    Mashallah Allah bless you❤❤❤

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  4 дня назад +1

      Habibty karibu misosimitamu. Adante sana wangu kunisupport. Ubarikiwe sana sana

    • @Fatma-g3o
      @Fatma-g3o 4 дня назад +2

      @MisosimitamuC asante kipenz

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  4 дня назад +1

      🥰

  • @MisosimitamuC
    @MisosimitamuC  7 дней назад +1

    Wapendwa mahitaji na vitu nilivyotumia. Ukibonyeza hapo kwenye neno “more” chini ya video. Utaona maelezo na kila kitu. Asanteni sana sana

  • @robertjoseph8968
    @robertjoseph8968 4 дня назад +1

    Wooow pilau nzuri sana na tamu na kutamanisha watu hadi raha

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  4 дня назад +1

      Asante sana ndugu yangu. Karibu sana misosimitamu

  • @RizikiMbarikiwa-j5m
    @RizikiMbarikiwa-j5m 16 часов назад +1

    Wow mbon hutaj viongo

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  15 часов назад

      VIUNGO:
      1/2 kikombe cha mafuta (ghee)
      Vikombe 4 vya supu
      Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g
      Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa
      Nyanya ya maji
      Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi
      Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi
      Kijiko 1 cha unga wa coriander
      Kijiko 1 cha mbegu za cumin
      Vijiti 2 vya mdalasini
      Iriki nusu kijiko cha chai
      Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima
      1/2 kijiko cha karafuu nzima
      Nyama 400g

  • @CollinsMtita
    @CollinsMtita 2 месяца назад +5

    Mahanjumati ❤

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  2 месяца назад +2

      Karibu jirani uje na kachumbari

    • @CollinsMtita
      @CollinsMtita Месяц назад +1

      @@MisosimitamuC Nagonga mlango hata sikaribishwi, au umemaliza chakula?

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Месяц назад +1

      Tumehairisha kula titakula jmosi

    • @CollinsMtita
      @CollinsMtita Месяц назад +1

      @@MisosimitamuC Really? Unanibania tu wewe..!

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Месяц назад

      @CollinsMtita hihihihihi

  • @MaryKapaliswa
    @MaryKapaliswa 4 дня назад +1

    Wow

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  4 дня назад

      Asante sana kipenzi. Karibu sana misosimitamu

  • @RizikiMbarikiwa-j5m
    @RizikiMbarikiwa-j5m 16 часов назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  15 часов назад

      Asante sana dear. Karibu sana misosimitamu

  • @AnithaMwenda-j4f
    @AnithaMwenda-j4f 11 дней назад +2

    Nice

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  11 дней назад

      Asante sana dear. Karibu sana misosimitamu

  • @MisosimitamuC
    @MisosimitamuC  8 дней назад +1

    ruclips.net/video/tUIHzsh8SR4/видео.html pilau lililotajwa viungo link hii hapa. Alafu ukitaka kuangalia vipimo angalia kwenye description box. Wapendwa mahitaji na vitu nilivyotumia. Ukibonyeza hapo kwenye neno “more” chini ya video. Utaona maelezo na kila kitu. Asanteni sana sana

  • @jacklineloyani2688
    @jacklineloyani2688 Месяц назад +4

    Taja majina ya viungo

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Месяц назад

      Mdarani, binzari nyembamba, iriki, pilipili manga na karafuu. Alafu chini ya video kuna viungo vimeamdikwa

  • @BarakaLeonard-k2e
    @BarakaLeonard-k2e 4 дня назад +1

    N viungo vp hivooo

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  4 дня назад

      Habari kaka. Karibu sana sana misosimitamu.
      VIUNGO:
      1/2 kikombe cha mafuta (ghee)
      Vikombe 4 vya supu
      Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g
      Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa
      Nyanya ya maji
      Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi
      Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi
      Kijiko 1 cha unga wa coriander
      Kijiko 1 cha mbegu za cumin
      Vijiti 2 vya mdalasini
      Iriki nusu kijiko cha chai
      Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima
      1/2 kijiko cha karafuu nzima
      Nyama 400g

  • @StevenKitali-u6m
    @StevenKitali-u6m 7 дней назад +2

    Mbn utaji viungo

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  7 дней назад

      Salama kaka yangu . Mzima wewe. Ukiwa unaangalia video chini kuna neno more. Ukibonyeza hilo neno utaona viungo vyote
      VIUNGO:
      1/2 kikombe cha mafuta (ghee)
      Vikombe 4 vya supu
      Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g
      Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa
      Nyanya ya maji
      Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi
      Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi
      Kijiko 1 cha unga wa coriander
      Kijiko 1 cha mbegu za cumin
      Vijiti 2 vya mdalasini
      Iriki nusu kijiko cha chai
      Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima
      1/2 kijiko cha karafuu nzima
      Nyama 400g

  • @HappyMdogo
    @HappyMdogo Месяц назад +1

    Mbn hujataja majina ya viungo?

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Месяц назад

      Salama dear mzima. Karibu misosi mitamu ukiangalia chini kwenye discription bix utaona majina ya viungo na vipimo vyote

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Месяц назад

      1/2 kikombe cha mafuta (ghee)
      Vikombe 4 vya supu
      Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g
      Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa
      Nyanya ya maji
      Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi
      Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi
      Kijiko 1 cha unga wa coriander
      Kijiko 1 cha mbegu za cumin
      Vijiti 2 vya mdalasini
      Iriki nusu kijiko cha chai
      Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima
      1/2 kijiko cha karafuu nzima
      Nyama 400g

  • @DanielJohn-rc3bd
    @DanielJohn-rc3bd 7 дней назад +1

    Ko viungo hauvitaji majina mm n8tajuaje aanh

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  7 дней назад

      Salama kaka yangu. Karibu sana kwenye channel yangu. Samahani kwa usunbufu. Viungo ni hivi
      VIUNGO:
      1/2 kikombe cha mafuta (ghee)
      Vikombe 4 vya supu
      Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g
      Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa
      Nyanya ya maji
      Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi
      Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi
      Kijiko 1 cha unga wa coriander
      Kijiko 1 cha mbegu za cumin
      Vijiti 2 vya mdalasini
      Iriki nusu kijiko cha chai
      Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima
      1/2 kijiko cha karafuu nzima
      Nyama 400g

  • @FatmaMustafa-m6h
    @FatmaMustafa-m6h 10 дней назад +1

    Mbona hujataja viungo

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  10 дней назад

      Salama dear. Karibu sana misosimitamu. Ukiangalia chini ya video kuna mahitaji yote nimeandika.
      VIUNGO:
      1/2 kikombe cha mafuta (ghee)
      Vikombe 4 vya supu
      Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g
      Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa
      Nyanya ya maji
      Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi
      Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi
      Kijiko 1 cha unga wa coriander
      Kijiko 1 cha mbegu za cumin
      Vijiti 2 vya mdalasini
      Iriki nusu kijiko cha chai
      Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima
      1/2 kijiko cha karafuu nzima
      Nyama 400g

  • @BenadethaPaul-s4n
    @BenadethaPaul-s4n 8 дней назад +1

    Tutajie majina ya viung mbn hivo lkn

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  8 дней назад

      Mpenzi salama. Karibu na asante sana kua hapa. Viungo hua naandika kwenye video chini. Ukiangalia video kwa nini wameandika more kuna kila kiungo. Nitaanza kuandika kwenye video
      VIUNGO:
      1/2 kikombe cha mafuta (ghee)
      Vikombe 4 vya supu
      Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g
      Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa
      Nyanya ya maji
      Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi
      Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi
      Kijiko 1 cha unga wa coriander
      Kijiko 1 cha mbegu za cumin
      Vijiti 2 vya mdalasini
      Iriki nusu kijiko cha chai
      Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima
      1/2 kijiko cha karafuu nzima
      Nyama 400g

  • @FaudhiaIssa-d2e
    @FaudhiaIssa-d2e 9 дней назад +1

    Tatzo dada hautaji viungo gani unatumiq

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  9 дней назад

      Mpenzi salama. Karibu na asante sana kua hapa. Viungo hua naandika kwenye video chini. Ukiangalia video kwa nini wameandika more kuna kila kiungo. Nitaanza kuandika kwenye video
      VIUNGO:
      1/2 kikombe cha mafuta (ghee)
      Vikombe 4 vya supu
      Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g
      Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa
      Nyanya ya maji
      Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi
      Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi
      Kijiko 1 cha unga wa coriander
      Kijiko 1 cha mbegu za cumin
      Vijiti 2 vya mdalasini
      Iriki nusu kijiko cha chai
      Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima
      1/2 kijiko cha karafuu nzima
      Nyama 400g

  • @MohamedMussa-v7x
    @MohamedMussa-v7x 18 часов назад +1

    Sorry dada iyo kama vitu vinaitwaje

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  17 часов назад

      a yangu . Mzima wewe. Ukiwa unaangalia video chini kuna neno more. Ukibonyeza hilo neno utaona viungo vyote
      VIUNGO:
      1/2 kikombe cha mafuta (ghee)
      Vikombe 4 vya supu
      Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g
      Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa
      Nyanya ya maji
      Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi
      Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi
      Kijiko 1 cha unga wa coriander
      Kijiko 1 cha mbegu za cumin
      Vijiti 2 vya mdalasini
      Iriki nusu kijiko cha chai
      Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima
      1/2 kijiko cha karafuu nzima
      Nyama 400g