Tafadhali naomba usapoti channel yangu na kunitia moyo ili niendelee kupost video nyingi zaidi kwa kulike video hii,kucomment chochote ulichonacho hata emoji,kushea na ndugu ,jamaa na marafiki ili wao pia watazame video hii,pia naomba usubscribe kama hujasubscribe bado.
Mimi ni chef wa royal bakery and dood court, upo sawa but siku nyingne ongeza garam masala, ajino moto, swaum changanya ginger kidgo, utaenjoy sana, ila upo vzr👍
Maswali yote juu ya pilau nimeyajibu kwenye video hii,bonyeza kupata majibu yote ya maswali yako
ruclips.net/video/_CTOIoXCXpE/видео.html
Hongera kipenzi, inavutia hatariiii
@@estherlissu3970 nimependaa mapishiyako
Jegele inatkiwa iwe mbich
Umetumia viungo aina gan dear
@@adamumnyama647 to
Nimepika pilau tamu sana😋🥳, ahsante sana kwa kutupa ujuzi huu🥰🥰
You are not selfish Dear. thanks for ua knowledge.let God light ua ways..
Izo njegere ulikuwa umesha zipika bembeni au umeweka zikiwa mbichi and anyway is looking yummy
Unaziweka zkiwa mbichi
Swali zuri
Ameeka mbichi
Njegere inaweza ivia mvuke ndugu
Any can do,kulingana nami
Nakupenda sana wewe Dada.
Una sauti ya kubembeleza..
Kwa kwelii unajua kufundisha
Ohoooo😁🙃🙃
😋😋😋♥️♥️🇧🇮🇧🇮
Mmmm
Mashallah chakula kizuri Sana nilikuwa sijui lkn nimejua kupitia wewe watoto wangu na baba wame kipenda Sana chakula Asante sana mamy🤝
Aaaaaaw karibu sana dear,nafurahi sana kuskia ivo.
Asante sana kwa sapoti yako
Tafadhali naomba usapoti channel yangu na kunitia moyo ili niendelee kupost video nyingi zaidi kwa kulike video hii,kucomment chochote ulichonacho hata emoji,kushea na ndugu ,jamaa na marafiki ili wao pia watazame video hii,pia naomba usubscribe kama hujasubscribe bado.
Tamu
Njegere umechemsha au
Njegere ulichemsha Lanza?
@@shanearmarukusi4463 ajachemsha
nakupenda bure nimependa mapishi yako my
Mashallah kabla sijamaliza kuangalia nimependa sana upishi wako ongera sana dadaangu...mwanamke nimapishi🥰❤👌
Woooow MashaAllah🎉🙏🙏asante sana dear,kweli mwanamke jiko
Yani ndo Niko naipika now nitakupa mrejesho dada ❤️❤️👌💃💃💃💃
Simple yaan unajua mpaka unajua tena mamy❤❤
Aaaaaw Asante sana❤
Ubarikiwe nilipenda pishi lako kwakweli 💪 ntaenda kujaribu mana kweli wengi tunakaanga viazi na matokeo yake vinapasuka
Asante sana,baada ya kuangalia video yako, nimejifunza kupika pilau tamu
Nashukuru sana, my dear.
Hii pilau nzuri sana dada hongera nimepka tamu bhalaa
MashaAllah😍😍hongera pia
Unajua kuelezea hongera sana
M.anshalla.tunashukuru.kwa.kutu.elekeza.kujuwa.kupika..mwe.nye.zi.mungu.akujaliye.asate
Nimerudisha feedback 😂,nimepika leo pilau tamu hilo Alafu ndo mara ya kwanza 😊thank you baby 🥰❤️Naomba nione biriani sasa 😊
Ivi njegere unachemsha au unaweka mbichi sielewi
Daaaah nimeipenda hiyo😋
@@bokekaone2516 unaweka mbichi ukiwa unapalia
sikub ya kwanza kupika plau ilikua tamu inaitwa kujaribu
Pakua ssa uniletee🤣🤣🤣
Asante kwa mafunzo.hua najifunza mengi kutoka kwako
Asante nimeipenda kabisa na nitajaribu kupika Inshalah
Wooow nime pika pilau leoo asante kwa maelekezo
Karibu dear😘
Wow nashukuru na iman nimejifunza
Woow jamn nammi nitaenda kulipika coz limenivutia saaaan
Kwakwel pilau yako nzur nimeijarb ntakuwa napika hivyohivyo hadi kachumbal yko pia asante!
Mimi ni chef wa royal bakery and dood court, upo sawa but siku nyingne ongeza garam masala, ajino moto, swaum changanya ginger kidgo, utaenjoy sana, ila upo vzr👍
Hi
Nimependa sana vizuri sana nimepikaa kitamu haswaa
Safi sana
Wawooooo umepika vizuri sana mbk nimelipenda na mm nitapika
Naona pilau zuri hongera kwa mapixhi
Habari nimependa ukiweka binzari nyembamba nzimanzima itakuwa nzuri
Weka dear
Yaani Safi sana, simple lkn ni pilau Bomba, halina mambo mengi.
Vzr sana
walai۔۔۔namiss۔۔۔food yetu۔۔۔inakaa۔۔tamu۔۔۔۔دادن barikiwa۔۔kwa۔۔upishi۔۔poa
Naomba nione bilian mamy leo nimepkaa pilau tamuu sanaa thank u
Napenda unavyopika tafadhali upike bagia by Glory Jackson abel
Nimejifunza kupika pilau asante sana ❤❤
Unapika vizuri nimependa
Nimependa unaelezea vizur sana nimejifunza kitu nitajaribu
Salàm alekum mashallaah napenda sàna pilau
Ukiwa na mapish mwngn mbalimbali usisite kunitumia barikiwa sana
Asante maana ulisha nifundixha kupika pilau tamu sana❤❤❤
Alhamdullilah shukran sana dear..enjoy
Mmmm inaelekea hiyo pilau taaam sana . Asante kwa ujuzi .nimejifunza kitu Dada
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mafundisho safi.very nice
ntajaribu shukran sana
Pilau ni nzuli nami nitalipika hongera sana upo vizuli
Nimependa ni very simple ,nami naenda kupika Leo
Safi sana Dada yangu alafu una sauti nzuuur ya kuelekeza
Pilau ni zur sana yaan limenivutia
Mashallah nimejifuunzaa inshaallah namimi taapiik
Na mm nimepika pilau kupitia wewe dada asante sana
Nimeipenda sana acha na mm nijaribu
aisee Jana nmepika pilau tamu Sana kutumia njia hii thanks mpishi
Asante sana nimejifunza kitu
Mashallah uko swa
Habari
Nimekuja kukushukuru hili pilau nililipika siku ya eid ni tamu sanaaaa
Na leo nimelipika
Thank you dear
Aaaaw mashaAllah ❤ 😍 hongera sana dear,na Asante kwa mrejesho
Nimeweza asante kwa somo
Asante dada nimeweza
Hongera dada kwa upishi nimependa❤❤🎉
I love it so much and I will try to cook tonight❤
How was it?
Mashallah umeweza
Hongera sana niwatakieni heri ya Christmass
Ungeweka nyanya moja ingekuwa nzur zaid
InshaAllah..shukran sana
Pilau nzaul sana dadaangu Asante kwa.mafunzo.mazul
Waooooo linaonekan tan sanaa
Tamu hatari
Asante Sana kwa pishi zuri nimependa namim tapika nimependa pia wewe ni msafi kwenye mapishi yako Hadi raha...hongera Sana.
Uzile ndio nn
Dah nimejifunza sana mamaaaa❤❤❤❤
Hapo njegele unakua umeshazichemsha dr
Waoo asant San naamin kupitis we name natka vizur
Nimeipenda ni tamu haikinaish
Simple and clear nimeipenda sana
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
You are perfect🎉
Kiukweli plau n saf kabisa❤
MashaAllah pilau Ajabi dada
Hongera sana kwa mapishi
🌺🌺🌺🌺🌺 pilau taku sana
Leo lazima nimpikie mY mr pilau 😘😁
Hahahahahaa kabsaaa pishi zuri hilo
Hongera sister nimependa kuona kwa macho tu❤
Mashaalha inavutiya
Njengeree unachemshaa kidgoo au
Ilahalijavutiy vzr ujenikufundishe 😂😂
Kula sangu zote 10/10
Napenda pilau safi sana🤝
Ningependa kuuliza maswali
Ahsante Sana, kwan nlkuw nataman san kujua namna ya kupika pilau
Wooo!!!!nimependa
Aisee ongela sana kwamafunzo yapirawoo wanjegeri Leo nimeijari kupika irikuwa nitamu sana muno nauyo sarade yakutoreya wanang wamekula sana 🤣🤣😎👌🤗👐
Hongera sana dear..thank you for supporting
Upo.vzri Dada kwa mapishi
Amiin,Asante sana
Nakupenda.yaonekana tamu
Salàm alekum mashallaah chakula kizuri
Asante kwa elimu ubarikiwe sana
Amen,ubarikiwe pia
Hhhhmmmmm...naipenda jamani....yummmmmmy
Insonesha mzuri sana nitajaribu leo leo🌻🌻
Nitapika hivi asante
Safi sana
Asante kwa darasa 🙏
it would be more ready wen u put fire up and down little fire makes rice waooo
Nimeipenda ngoja nijaribu
Ahsante mpnz nimekuelewa sana
Duuuh hatariiii sana madam, asante sana
Ngoja nijaribu
Umepita vizuri vp njegere uchemshwa
Unaweza chemsha
Nimependa sana
Duuuh tamuu sanaa
Inaonekana tam Sana 😋😋😋