Assalam Alleyhkhum/Hi Lovies Asante sana kwa kufika hapa ukitaka video za Biashara ya chakula Link⬇️ ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5 ◼️Ukitaka snacks⬇️ ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDD90kR30GpB_AyFVjkPPMuL ◼️Halfkeki za kila aina⬇️ ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDBUDZIeZrA-DiOgliRi_uqo ◼️Vyakula vya kiswahili⬇️ ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDD5fGLDOP9StrLovA03YLzz ✅️ Ramadhan recipe 2021 ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDDeF-kRL1X226btzJdX_r0v Thanks for stopping by please Subscribe Road to 100K Subs💃💃 #roadto100K
Thx dear sasa nimejua kutengeza hayo makaratasi coz hapo nyuma zilikua zinanisumbua hadi nachana nayo nakimbia kununua zile ziko ready then nafunga tu but now sitaenda kununua nitatengeza zangu
Sister you can taste like put your finger in the spoon and let taste be on your tongue not let go through your throat I have listened to this sheikh saying we can taste the food
Assalam Alleyhkhum/Hi Lovies
Asante sana kwa kufika hapa ukitaka video za Biashara ya chakula Link⬇️
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5
◼️Ukitaka snacks⬇️
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDD90kR30GpB_AyFVjkPPMuL
◼️Halfkeki za kila aina⬇️
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDBUDZIeZrA-DiOgliRi_uqo
◼️Vyakula vya kiswahili⬇️
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDD5fGLDOP9StrLovA03YLzz
✅️ Ramadhan recipe 2021
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDDeF-kRL1X226btzJdX_r0v
Thanks for stopping by please Subscribe Road to 100K Subs💃💃
#roadto100K
hello mbona samosa zangu hua zatoka ngumu
Sijui size ya kukanda unga😢😢
ukiachilia kujua kupika, unajua kuelekeza. kazi yako naipenda bure. simple, quality and delicious.
Asante sana nimefurahi dear
Nakupenda jmn
Kwenye unga uweki mafuta
Niunga wa nini muogoau ngano
Masha Allah nice sambusa batch ya pili ndio the best sambusa
Santee lovee
Masha Allah sio tukupika ndo unajua ata kipaji cha kuelekeza watu unaco🥰
Mashallah 👌😍 baraka llahu fiik, thanks for sharing
Most Welcome
Mashaallah habibty
Tabarakallah ❤️
Napenda sana sambusa
Mashaallah good snacks samusa
So nice ❤
Maashaallah Maashaallah Shukran sana ubarikiwe😘🥰 I'll try this In Shaa Allah
Ameen my love asante sana
Ma shaa Allah habibty...upate tuzo ya ualimu....wajua kuelekez haswaaa mtu akaelew❤️
Aww nimefurahi sana my love shukran
Nimekupenda buree..unaelekeza vzr
Asante my love nakupenda pia
Maa sha ALLAH
Tabarakallah
asant sana
Thanks for sharing this amazing recipe, we call them samosa Nairobi. At least umefanya kutengeneza ikae rahisi.
It's easy sis asante
Maa Shaa Allah jazakillah khayran❤
Afwan love
Kazi nzuri
Asante sana
Thank you will try today...ya kwanza is the best 👌
Most wlcm my love
Mashallah ni nzuri sna
Asante kipenzi
Asante sana!
Kazi nzuri Dada hadija.
Nakupenda sana na iyo sauti yako inanipa hamu ya kuangalia pishi lako
mashallah dadaa
Santee kipenzi
Uko vizuri sana dada kueleza
Asante kipenzi
Mapema ndio best nishafika
Eeh mpenzi
Samosa nzur
Maasha'Allah jamn had mate yanitoka
Tabarakallah❤️
Asante sana kwa somo zuri,nakufatiliya toka DRC yaani unaelekeza na mtu akaelewa sema sisi wengine sijui tunakwama wapi,kama kwenye ukandaji sijui
Sambusa hazikandwi sana kipenzi unachanganya tu
Wow delicious
Asante sana
I love it nimeelewa uzur jmn ur so perfect
Asante darling
Shukrani Sana kipenzi
Karibu my love
Shukran Kwa recipe dear ❤️
Karibu sana
Ma sha Allah ❤❤
Tabarakallah ❤️
Nimeipenda style iyo ya upishi
Asante daa Khadija nlikuwa nasubr hii❤❤❤❤❤
Karibu sana
Nice unafundixha vizur
asante
Shukran habibty.❤😍
Afwan love
Iko pow
My favorite snack. Umezipika safi sana. Nimependa🥰🥰
Nakutumia percel🤣
❤️❤️❤️❤️
Asante sana hadija. Mimi napenda zaidi manda zile ndefu.
Mimi pia nitaleta pia hio
Unajua kuelekeza jaman ❤❤❤❤
Asante sanaa
Hey looks delicious yum and beautiful
Thanks soo much😘🤗
Mashallah
Nice
Asante
Mashaallah ❤
MaAshallah twangoja za pojo
InshaaAllah
Saafi
❤️❤️
Basi mimi niko tofauti,napenda zaidi sambusa za pele.😋😋😋😋
woow nice
🎉
😋😋😋😋😋😊
😘😘
Maashallah,much ❤from Embu Kenya siz
Aww thanks My people ❤️
You are so talented 😍😍I will definitely try this
Thanks babee
Nimepend kiswahili Cha Mombasa 🇹🇿
Aww sante babees
Delicious 😋 😋 😋 😋 😋 😋
Thank you 😋
Love your content new sub here
Good job sister keep going 🎉❤✅💯👌
Thank you, I will
❤❤❤
Naomba recipie ya sambusa za viazi
Ikey noted
Nyama Nikias gan
Thx dear sasa nimejua kutengeza hayo makaratasi coz hapo nyuma zilikua zinanisumbua hadi nachana nayo nakimbia kununua zile ziko ready then nafunga tu but now sitaenda kununua nitatengeza zangu
Wooow that's good Love
Ueki amira sambusa
Dada shikamoò unajua kufundishaaa dear ngoja nisascribe kabisa
Asante sanaa
Nimeelewa kupika samosa
Mm. Natakujua kupika kaimati za mraba
Hongera sana dada,natamani ningekuw na ww hapo jikon
karibu sanaaa
They turned out so amazing and look delicious 😋🤤
Thank you love
nitapika na mm umeshanipa ujuz uwo
New Subscriber kutoka Canada. Please list ingredients. Also do you have English version since my Kiswahili is not too good. Asante sana.
Assalam alaikum habibty me nkipika sambusa lazima ziingie mafuta ndani,nakosea wapi, niambie
Assalam aleikum dear...
New subscriber hapa....pls nisaidie namba na pia location....Jizaak Allahu kheir
Waaleykhm mussalam njoo insta Didashebbs_Kitchen au tiktok
Naomba shoorba pls unifundishe❤
Okey love
Unamtamanisha jaman senk you
welcome
Hello hapo kwa unga hua kwani changanya hua manda zatoka ngumu mbona
How to cook calmat
Nimejifunza dear
Mi nataka kijua mpendwa.iyo nyama unaifanyaje adi inakuwa ivo?
Nimependa kila kitu, ila swali hy nyama hutilii mafuta?????
Hasnte dada kw mapish
karibu sana
Sister you can taste like put your finger in the spoon and let taste be on your tongue not let go through your throat I have listened to this sheikh saying we can taste the food
Shukran ❤️
Lazma ubebanishe wakati wa kuchoma ukochoma moja moja je!!?
Mimi natamani kujuwa kupika vitobosha
utajuwa dear
Ya pili ndio inavutia zaidi
Santee love
hi khadija unatumia amira kiasi gani kwa kilo moja ya unga
Wah hakuna amira
Use corn starch it will not stick to each other than flour
Thank you
Sawa lakini by the time i finish the first batch the oil is too hot,what do i do ??
Nomesema kwa video unaongeza mafuta au unazima kwanza
Leo nimejikuta napika sambusa baada yakuona zako instagram ila manda nlinunua 😅😅😅 saahi ndio nimepata time yakuangalia hpa RUclips
Nimefurahi umepatana nayo
Assalam alaykum
Nyama 1kg natoa sambusa ngap?
Waaleykhm mussalam angalia recipe ya sambusa za biashara hadija
Haha eti map ya wapi
😂😂😂
Pia dada tupikie za pojo pls
Ok kipenzi nimekuskia nitapika
@@HadijaSheban sawa
Sambusa hizo unaweza kuuza shingap ngap?
Yategemea uko wap
Nyama unasaigia nn jaman wengine tupo kijijin
Chemsha kisha twanga kwenye kinu itasaidia
Ni nyama gan hio cjaelewa
Yakusaga
samosa hua zatoka ngumu😢😢
Nusu kilo ya kima yatoa sambusa ngapi
yatagemea
so kumbe hatutakiwi kuanza na mafuta ? 🥲
Hauweki mafuta wakati wa kutengeneza manda
Mandha haiwekwi mafuta
Mambo wapenzi nauliza ukikanda unga wa sambusa utumii mafuta kukandia
Hautumii
Ni poa
sana
Pambe
Masha Allah sio tukupika ndo unajua ata kipaji cha kuelekeza watu unaco🥰
Maa sha ALLAH
Tabarakallah
❤❤❤