MISHKAKI YA MAINI NA UROJO WA UKWAJU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 64

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar  4 года назад +1

    IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH KINDLY FOLLOW THIS LINK ruclips.net/video/HscgMbIVHwk/видео.html

  • @aminayaro5197
    @aminayaro5197 7 месяцев назад +1

    Salam alekum mashaallah ❤

  • @fatmamasoud1908
    @fatmamasoud1908 4 года назад +1

    Thanks.mm sio mpenzi wa miskak ya maini lkn nitajarib km ulivofanya ww maana inanukia mashallah,

  • @harunwaleed8877
    @harunwaleed8877 3 года назад

    Mashalla mungu hakuweke hunajuwa kupika

  • @safiyaalrawahi7526
    @safiyaalrawahi7526 4 года назад +1

    Ma Shaa Allah!!! Mishkaki inaonesha c ya kawaida inavutia sana. Jazaka llahu khair hbbti

  • @abbyjr164
    @abbyjr164 4 года назад +1

    Cyapendi maini lakini nitajaribu kuyapika mana yamenivutia sana sana asante habibty nakupenda sanaaaaa

  • @salmamussa6439
    @salmamussa6439 4 года назад +1

    Aah mashaallah mitamu hiyo

  • @zz.0128
    @zz.0128 4 года назад +1

    Maashallwah mungu akupe afya habibty

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 4 года назад

    MashaaAllah hapa nala mpaka nalala😋😋 InshaAllah nitajaribu mummy

  • @yasirfarah399
    @yasirfarah399 2 года назад

    Usipotee dadangu yummy

  • @hermandemello2200
    @hermandemello2200 3 года назад +1

    V nice n awesome results in Beef liver mishkakii. Plus Ukwajuu mix souce. Ty dear Aroma Zanzibar. I'm pleased n happy watching ur post from TANGA.

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 4 года назад

    Waalakum salam mashallah inaonesha nimitamu sana tutajaribu Inshaallah Allah akubarik

  • @satwanthoogan3155
    @satwanthoogan3155 3 года назад

    Mmmh! Wallahi! Mate😋 yananitoka...kuona uwo urojo wa ukwaju!👍❤ asante sanaaa,my dear kwa kutufundisha mapishi!

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  3 года назад

      Pole kwa kuteseka and thank you for your support😍

    • @satwanthoogan3155
      @satwanthoogan3155 3 года назад

      😂😂😂😂 asantee sanaa,my dear Fathiya kwa kunipa polee..mie mshabik wako mkubwa!👍 sikosi kuangalia mapishi yako,tuko pamoja sanaa,😍 inshaallah! Wallahi nakupenda,❤ maana umenifundisha mapishi mengi..nampikia mume wangu ananisifia!

  • @hanifamamta1267
    @hanifamamta1267 4 года назад

    MashaAllah MashaAllah ngoja na mm niijaribu maana yakaa sana shukran habbty

  • @MsBupe
    @MsBupe 4 года назад +1

    Yummy😋😋😋 inavutia sana👌🏾👌🏾👌🏾

  • @nassrarajab8876
    @nassrarajab8876 4 года назад +1

    Mashallah nice umenifnya nikapike tuu na mm 😋😋 allah barik🤲🏽

  • @yasirfarah399
    @yasirfarah399 2 года назад

    Asante sana mashalla

  • @ummafye2936
    @ummafye2936 4 года назад

    MASH ALLAH TABARAKA ALLAH

  • @a.856
    @a.856 4 года назад +1

    Shukran jazylah

  • @pandungozi1072
    @pandungozi1072 4 года назад

    wooooww yummmmy😋👍

  • @fatmasaleh2707
    @fatmasaleh2707 4 года назад

    mashallah nimeitamani...shukrani sana

  • @thehonesty6765
    @thehonesty6765 4 года назад

    Ma shaa Allah ni 😋😋 mashkooora ukhty alghalya👍🏻

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 4 года назад

    Mashallah nzuri

  • @aidaabdul4633
    @aidaabdul4633 4 года назад

    Mashallah nimependa habibty

  • @fatyfaty4259
    @fatyfaty4259 4 года назад

    Asante habibty kwa mapishi mazuri mazuri😍

  • @biubwasalim3460
    @biubwasalim3460 4 года назад

    Shukraan saana💕

  • @salmaamour7700
    @salmaamour7700 4 года назад

    Mashaallah shukran sana 🙏 aroma of zanzibar

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 4 года назад

    Yummy sis

  • @werubintalijuma3118
    @werubintalijuma3118 4 года назад +1

    Asalam aleikum sis, It's so yummy masha Allah. At least you have inspired me to love cooking. Allahu bariq in Sha Allah

  • @ruqiyooffice3664
    @ruqiyooffice3664 4 года назад

    Keep going 👈💞💞💞💞👍

  • @teresiaachachi4145
    @teresiaachachi4145 4 года назад

    Really love your cooking lessons,God bless the work of your hand lots of love from Kenya

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 4 года назад

    Superb Mouthwatering Thank you

  • @thehonesty6765
    @thehonesty6765 4 года назад

    Waalekum salaam habibty

  • @khadijanassor5730
    @khadijanassor5730 4 года назад

    Shukran Sana habibty Allah akubarik

  • @zubeidaalshaksy9379
    @zubeidaalshaksy9379 4 года назад

    Mashallah looks very delicious.am gonna make this today inshaAllah 😋😋

  • @ummukulthumabdulhafidh9516
    @ummukulthumabdulhafidh9516 4 года назад

    Mtamu mtaaamu sannnaaa nakupenda wallah🥰

  • @rakhmandettu6075
    @rakhmandettu6075 4 года назад

    MashaAllah napenda mno mapishi yako

  • @sadaalharthi7317
    @sadaalharthi7317 4 года назад

    Waooh 😋thank you aroma

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 года назад

    Mashaallah

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 года назад +1

    Shukran sana pia na wewe❤ 🙏🏻

  • @rizikisuleiman7820
    @rizikisuleiman7820 4 года назад

    Asante kwa kutufundisha mapishi mazuri 😘

  • @jacksonissack3037
    @jacksonissack3037 4 года назад

    🤤🤤🤤🤤😋😋😋😋

  • @kingangiejansie7731
    @kingangiejansie7731 4 года назад +2

    Unaweza kufanya hivyo kwa mishkaki ya nyama ya ng'ombe

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 года назад +2

      Ndio unaweza, nimeonyesha kwenye videp ya Zanzibar Mix part 3

  • @switmmy3717
    @switmmy3717 4 года назад

    😋😋

  • @sadaalharthi7317
    @sadaalharthi7317 4 года назад

    Aroma naomba utuletee jinsi ya kutengeneza juice ya ubuyu please, ninao unga wa ubuyu hapa lkn kila nikitengeneza inakua mbaya 😭😭please please please my sister 🙏

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 года назад +1

      Darling mie sina huo ubuyu intabidi nitafute kwanza

    • @sadaalharthi7317
      @sadaalharthi7317 4 года назад

      @@aromaofzanzibar inshaalah ubarikiwe sana dear 😊😘

  • @khadijayarock4458
    @khadijayarock4458 3 года назад

    HAKIKA HUNA MPINZANI,ALLA AKUJAALIE USHINDI WA HII YOU TUBE

  • @nassriyaissa5159
    @nassriyaissa5159 4 года назад +1

    Mashallah

  • @maryamomarswaleh4255
    @maryamomarswaleh4255 4 года назад

    Mashallah