JINSI YA KUPIKA NYAMA KAVU TAMU SANA
HTML-код
- Опубликовано: 3 янв 2025
- Hi Lovies
Nawatakia Ramadhan Mubarak In Advance 🥰🥰
Ramadhan recipes 2021
• Ramadhan recipes 2021(...
Ramadhan recipes 2022
• Ramadhan 2022
Hapo hutakosa idea moja ama mbili All the best ukiwa na swali anytime niulize kwa comment nitakujibu kipenzi❤
Like na pia share the video Muhimu Sana Kusubscribe😍
To All My subscribers Thank You All❤❤
Hi Lovies
Nawatakia Ramadhan Mubarak In Advance 🥰🥰
Ramadhan recipes 2021
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDDeF-kRL1X226btzJdX_r0v
Ramadhan recipes 2022
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDD5fGLDOP9StrLovA03YLzz
Hapo hutakosa idea moja ama mbili All the best ukiwa na swali anytime niulize kwa comment nitakujibu kipenzi❤
Like na pia share the video Muhimu Sana Kusubscribe😍
To All My subscribers Thank You All❤❤
Nimepika tamu sn nimekula na ndinzi za kukaanga just yummy 😋 Asante sn dd 🙏
Nyama yako inakaa ni tamu sana naipenda nyama yako
Asante sana
Mwaaah wajua xana kupika❤❤❤
Hongera sana
Nimependa 🎉MashaAllah
Nakupenda bure na Allah akubaliki sana nimejifunza mengi sana kupitia ww, RAMADHANI njema kwa wooote
Nakupenda pia kipenzi na ramadhan njema kwako pia asanteee❤❤🤲🤲
Nimefurahi
Fbbff😊ff😊ffff😊d😊fd😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊c😊😊😊😊😊😊😊dffddddddddddddd
@@ReginaNassoro-sj9gz ikosawa sana
@@HadijaSheban I ....
Hongera Dada sio kwa nyama hiyo
asante sana na karibu
MashaAllah amaizing share💖💝🤲
Hongera kwa pishi hilo kweli ni taamu
Asante sana
Wow so nice 👍👍❤️❤️❤️
Ndio naanz kujifunz 😍😍
karibu sana
tamu sana dada nimeipenda😃😃
asante sana
Looking delicious enjoy yourself
Leo umetuamulia habibty. MashaAllah 😋😋. BarakaAllah Feek
Haha mpenzi si unajua ramadhan inakuja nataka muanzw kupata ideas🤗🤗❤❤
Hiyo nyama iko 👌👌👌
Thanks dear
Mapishi bora, napenda hiyo
Asante sana
shukrani unaweza kutuelezea kupika chapati kanduri--nadhani naelezea poa
My first Swahili culinary video and loved it.
Thank you so much 🙂
Looks delicious ❤
This ...this is Contect 🔥🔥
Thank you
Asante kipenz
nimeipenda sana
Asante sana
Unajuakupika❤❤
Asante sana
Yaani apa ninapoishi London, Uingereza, hata nyumbani nikija sijawahi kula nyama tamu kama hii. Asante dadaangu
aww karibu sana my love
Ma sha Allah uqti
Tabarakallah Habibty
Nashkuru sana dadangu Asante kwa mafunzo yko
Karibu sana kipenzi
Nimeipenda
Asante sanaaaa
Shkrn mpnz❤❤❤😊
afwan love
Waohhh Nice
thanks
Wow so yummy 😋
Asante sana napenda mapishi yako
Karibu sana
Na pilipili imeweza looks so delicious mine i will na ka ugali na kachumbari 🤗😋
Plus kasamaki😂😂
Jamani jaribuni kueka na asali 🔥
i will try shukran
Asali unaweka muda gan
@@aminah.5580 mwishoni hapo unapokaanga pale mimi naeka lime vinegar Alafu unaeka na asali Sio nyingi kidogo tu inaleta ladha nzuri sana Alafu unaendelea kuikaanga
@@aminah.5580 mwishoni hapo unapokaanga pale mimi naeka lime vinegar Alafu unaeka na asali Sio nyingi kidogo tu inaleta ladha nzuri sana
Alafu unaendelea kuikaanga
Inakaa yummy asanti
Sanaa karibu
Mashallah this so nice ❤❤🥰🥰🥰🇰🇪🇰🇪
Mashallah Mashallah Mashallah...hapo kwa wali n mchicha wa nazi pia yummy
Haswaa hapo umemaliz na pilipili ya kukaanga usisahau na kajuice unakula unabebwa😂😂😂😂
Hadi mate yanataka kutoka kwa uchu wamuonekano wanyama hii👍
Mashaa ALLAH
Kiukweli sikuwa najua kupika umenifunza meng allah akubalik sana
Ameen my love asante
Napenda vdeo zako ni chap chap, hazichoshi
Asante sana na napenda kufika kwako hapa
Masha allah
Tabarakallah
Nice video 📹
Thanks ❤️
Salam alekum mashaallah
Nimeipenda ....sana .....naomba na video ya kupika roast ❤
okey sawa
Keep going
Wow ubarikiwe sana
Shukran kipenzi
Nice receipe, thank you...
Thanks dear
Asalamualeikum WarahamatLLAHI Wabarakatuhu, MashaALLAH ALLAH humma Barik. Inaonekana Taamu saana lakini sikualikwa ninge kula na Haamri, nikamaliza
waalykhm mussalam ni tamu sanaa
Asante hila Kama upendi spices ni lazima kueka
sio lazima
Bado kasima kadogo tu na kachumbari mchezo kwisha🤣🤣🤣👌👌👌
Weeeeeh yaani umegonga ndipooo bila kusahau pilipili zahuku kwetu🤣🤣
Soysauce vinegar onion paprika ginger manjano
Ginger, cinnamon and salt
Nice❤❤❤❤❤
Thanks 🤗
Nimipenda
Asante sana
Mashallah
This looks soo good will try it flavourful recipe I like how you fried in the onions
Thanks you
@@HadijaShebanggg
Dada nyama yako iko tamu 😅😅😂.nyama yako❤❤
🤗🤗
Umeila sangapi yake? 😂 acha siasa wewe hyo ni nyama ya ngombe
Maa Shaa ALLAH! Delicious ❤
Shukran love
Nitamu 😊😊God bless you
Ameen and thank you
Waalaikum salam warahmatullah wabarakatuh poa Alhamdulillah
❤️❤️
Mambo matamu sanaaaa❤️
Sana kipenzi
The lessons are good kudos to you khadja👌👍
Thanks dear
That Swahili is another level
Awww asante sanaa
Wow I love so much and so yummy
Thanks♥️♥️
Nimependa dada
Shukran mpenzi ❤️
Yammmy
Thanks
Maa Shaa Allah
MashaAllah Hadija yummy
Tabarakallah ❤️
Marshall ❤❤❤
Tabarakallah
I like this recipe and it's delicious eat and enjoy. Just new in your channel ❤❤
Hongeraa sna
Asante sana
lk 🌹🌺nice
delicious😋😋😋🤤🤤🤤
Sanaa
Nice
Thanks
Kama sins je viungo😮😮😮
Ni lazima utumie uliyoyatumia weye
Ukuje unipikie
Sawa
Hizo recipes ungezi mention mojamoja
Okey
Mashaallah yummy
Santee mpenzi
This is Tz Swahili? 😅 Pole sana kupika mchomo sweet 🌹 From Kampala city ❤
Asante sana hapana mimi wa Kenya
Eid Mubarak
Minael faizeen
Bora kichocheo hiki ambacho napenda sana
Asante sana
So delicious and yummy
Asante sana
Mmmh❤
Hua napika mpaka kitungu iwe golden brown iko na taste tamu try
Tamu sana
Yummy 😋🤤!!!
Asante
Alternative ya soy sauce hua nini?
Sio lazima soyasauce ila waeza eka ukwaju
So delicious thank you be hadija kwa ku share ❤❤
Karibu kipenzi
Mungu akubariki uzidi kutufundisha ishaallah napenda sana mapishi yako
Muda kuwiva hiyo nyama
Yummy
Nimepnda naomba unifundsh mapish😅
Me that when frying my meat will test half of the meat 😢😢😢😢I need to try this with my masked mouth
😅😅😅
Nitajarbu
Jmn ivo viungo ni kipina kipi
Mbona husemi ugali kwa options
Any can work
Nilikupika yangu hilikuwa tama sana❤
pika kwa mapenzi
@@HadijaSheban Thanks
Nyama Yako ama ya ngombe
hehehe😂😂😂😂
Kindly translate it to different languages inorder for those who dont know your language to learn . Pleas🙏
Wow
Delicious meat, thanks dear. God bless you.
Aneen most Welcome