This is my favorite Kenyan dish. We toured Kenya & I loved this dish so much so I memorized the name. We ate a variety of Kenyan dishes but this one trumps the rest. Can't wait to try the recipe. Thank you for posting this recipe.
Juliet Lamba. Kwa taarifa yako hizo njegere ziliiva vizuri sana tena kama waziona hapo. Na hiyo chumvi kwangu ilikuwa sawa tu, na pia sijapeana kipimo cha chumvi kwa mtu .
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 sikua na nia Mbaya kwa sababu mie nikipika njegere hivo zinakuwa mbichi. Na chumvi niliona Kama unaweka nyingi labda macho yangu itabidi niende kwa dactari wa miho.
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Now yr talking. I usually use fresh beans no wonder they take time to cook. Knowledge is power. Thank you from now on will buy frozen. The food iooked delicious for sure .
Napenda kufatilia video zako za mapishi! Ila unapo sema viongia binzari na curry powder, natafuta tafsiri yake sipati. Naishi ughaibuni na kila nikitafuta tafsiri ya binzari, jibu nalopata ni curry powder....naomba ufafanuzi tafadhali.
Hello nice recipe my family loved it but could you try and put english subtitles my friend is deaf but loves cooking or at least the recipe thank you. Keep adding more recipes
Feiy anif Thanks for watching. All my old videos have English subtitles but you need to switch on the caption. But new videos you don't need to do that.
If you would like to watch this recipe in English 👉 ruclips.net/video/lnHAFEOA1c0/видео.html
hey i love your cooking pots naweza zipata vipi nikitaka kununua asante
@@velaniorina248 Asante sana. Nilinunua online @Amazon 2 years ago
Ulibonda nyanya ama ulikaanga kando
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723
Ongera
. V
This is my favorite Kenyan dish. We toured Kenya & I loved this dish so much so I memorized the name. We ate a variety of Kenyan dishes but this one trumps the rest. Can't wait to try the recipe. Thank you for posting this recipe.
Most welcome and thank you for your support. And welcome back again to Kenya 😘
Chakula iko juu LAKINI,,, CHUMVI...... WEEEEE
@@simonogada3685 Wala haikuwa mingi, ni ile chumvi nyepesi
Nimetokwa na mate kibao. Sister uko vizuri. Nakupenda sana
Asante sana 😊
Imagine going home to this on a cold afternoon like today!
🤣🤣🤣🙈
This looks yummy!! I'm making it for dinner tonight. I know my family will love it. Asante sana!!
Thanks for your support dear
Wa'alaykum Salaam Warahmattullah Wabarakattuh.
Jazaki Allahu Khairaan Kathiraan kwa Pishi Muruwa.
Shukran habibty 🥰
Mashallah mashallah 😋 😋 😋 👌 yaani hapa balaa
Utamu kama wote sista 😋
Mashallah very nice,shukran dear
Masha Allah thuzi thuziiii...Allah akuzidishie mpnz😘😍
@@muhahabiby2655 Shukran
Rukia laltia napenda sauti yako nahata vinye unapika hongera sana Dada angu
Nipo jikoni na RUclips ya Binti Tajiri hapa. Alafuuuu, mchuzi unakuja vizurii kuzidi. Asante na Shukurani kwako.
Karibu na Asante sana.
Jaman hakuna group la mapish,, nahitaji group nijfnze mapochopocho😋😋
Yaaan tokeaa nimeingiaa Kwa mapish hukuu RUclips nmekuaaa mpish mzurii sanaaaa asnte be bless dear ❤🎉😂
Looks tummy,tuonyeshe ulipikaje spinach
World class cooking👍👍
I do however get goose bumps on that salt quantity 🤭🤭it seems alot😅
Asante sana ubarikiwe.nataka nierewi jina ra mafuta hiyo samahani kwa kuuriza.🙏🙏🙏
Nimetumia mafuta ya kawaida tu dear, tumia yoyote yalio karibu na wewe😘
mmmmmmh sio kwa sotojo hilo,hongera mamaa
Good skills, am almost out of school, and mum needs me to know how to cook...
Thanks teacher tajiri👍
Most welcome dear
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
now, guess who's mbuzi gon slap from now on, content like this. big shout out
🤣🤣🤣👍
I think you're good teacher I like your lesson
Thank you so much
Mashaallah. Lkn kucha my ukate znashusha hadh ya chakula chako. Hongera
The Swahili pilawo and nyama ya mbuzi sauce wawooo I congratulate you mama for teaching
Thank you so much
Very delicious food hadi nikaitanani kuikula sai😊😊
Mashaallah mpaka nmejing'ata
Mapishi mazuri kweli .Hongera.
Hii stew nipewe na chapo😋😋😋thank you chef👩🏽🍳
Na wajulia tu sana🤣🤣🤣 most welcome
Hongera sana i like and i try do it
Yani wanaweka wote wa wanzungu ni kupika tu khaaa mie hapana niko buss job 😀😀😀😀😀🙏🙏
DA BEST 😍😍 I made this multiple times and it always comes out good, thank you so much Mami
I'm so happy to hear that 👍most welcome dear ❤
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 ❤️ god bless you always mami
@@deannairie4825 Ameen🙏
Na spinachi tufundishe kuipika it's lovely
Ok I will hun
Njegere zitakuwa mbichi. Tafadhari usiongeze chumvi. Umepika vizuri sanaa.
Juliet Lamba. Kwa taarifa yako hizo njegere ziliiva vizuri sana tena kama waziona hapo. Na hiyo chumvi kwangu ilikuwa sawa tu, na pia sijapeana kipimo cha chumvi kwa mtu .
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 sikua na nia Mbaya kwa sababu mie nikipika njegere hivo zinakuwa mbichi. Na chumvi niliona Kama unaweka nyingi labda macho yangu itabidi niende kwa dactari wa miho.
@@Kwazulu1 I explained my beans was frozen beans, but kama watumia fresh you need to boil them first dear.
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Now yr talking. I usually use fresh beans no wonder they take time to cook. Knowledge is power. Thank you from now on will buy frozen. The food iooked delicious for sure .
@@Kwazulu1 Thank you too, hun
I tried this one today and OMG i cant even tell the taste😋😋its soo yummy
Congratulations 😊
Asante dear nilipika mumewangu alinisifu sana
Karibu na pongezi sana
Ass alykm tajir kitchen l'm Khadija from unguja l love your cooking l learned more from kitchen mashaallah
I love you so much my dear mummy may Allah bless you and be with you. Thanks alot for this lesson
Khadija Nambua Thanks for your support dear. Ameen🙏
@@khadijanambua1463 Waaleikum musalam❤
Good asante sana kwa darasa zuuri kwa mke wangu
Dah imenivutia sana..😋😋upo vizuri
Nimependa nimependa nimependa tena ndo iftar ya leo In sha Allah
Shukran sana 😍
Nimependa sufuria mashallah tamtam
Shukran 🙂
Huo mchuzi umenipendeza na bila shaka nitapikia wageni wangu Kesho majaliwa. Asante
Love it..be blessed
Mashaallah tabarak rahman Allah akuhifadhi
Ameen kwa sote
Napenda kufatilia video zako za mapishi! Ila unapo sema viongia binzari na curry powder, natafuta tafsiri yake sipati. Naishi ughaibuni na kila nikitafuta tafsiri ya binzari, jibu nalopata ni curry powder....naomba ufafanuzi tafadhali.
Nimeandika recipe in English katika description box
I am gonna cook this next week. Can't wait
Hello nice recipe my family loved it but could you try and put english subtitles my friend is deaf but loves cooking or at least the recipe thank you. Keep adding more recipes
Feiy anif Thanks for watching. All my old videos have English subtitles but you need to switch on the caption. But new videos you don't need to do that.
Feiy anif. This video has English subtitles already. Or what do you mean by that? Everything is on screen.
Like spices..curry powder, bizarre ndo nini
@@cathymunyua4944 Curry powder that's the English name garam masala same, binzari is cumin. Only binzari is the Swahili name. Thanks for watching.
Mashaallah.Pls next tym do kitchen tour and how you budget for the kitchen.Thanxs
I love it. Thanks for sharing 😍😍
Aisha Ahmed ok Insha'Allah
Yani mm naangalia huku mate yanidondoka wow😍😍nice
🤣🤣🤣
Tabaraka Allah very nice . Jazaka Allahu khairan
Shukran sana
Mashalah hadi mate yananitoka
This is very good. Nimeipenda sana hii
Asante sana
Hapo mama umeweza kabisa yummy.
Me nimeshiba kwa pichaa😋😋
Adi naskia njaa ahhhh ni alike kwako 😭mapochopocho si haba
Asante Mwalimu mzuri.
Jamani uwe unaonesha kopo za viungo Asante
Ewa mambo yangu hayo god!
Waah! Chumvi nyingi Sana🙆
Umeambiw utaweka saiz yako so nae ndio saiz yake dear
Chumvi ni size yako mmh
Nabushawo Doreen. yummy thanks a lot dear I love it 💞
Most welcome dear😘
Looks yummy 😋,good job sonko aka tajiri😊
Thank you so much dear
Asante....Mpo? Mimi nipo!!!! Saaaana!❤
❤❤❤
Thanks so much am cooking for my woman tnyt
Waongea kiswahili kinaeleka mama mchuzi tamu sana huo👌
🤣🤣🤣Asante sana
😋😋😋hiyo na ugali iko saw
@@AmAm-xt1og Wajulia 😋
Sisi waganda tusema "webale nyo" Asante sana 😘.
Karibu sana dear ❤
Mashallah umeniwai na lunch hii shukran da kwa upishi
Karibu sana 😋
Daa!! Hiyo rojo imekuwa tamu kabla sijala dada.
Mashallah really niceeeeeee. Jazakul Khayroon
Limau!? Pili Pili mboga.... Hehe. Ntajaribu hii. Recipe asante
🤣🤣🤣Karibu sana
Yummy, I will try it on Sunday , Thanks a lot dear
Most welcome dear
Mashaalah napenda mapishi yako
Shukran sana
Nzuri sana, hadi mate yani dondoka.
Naomba nikutembelee kwako nije kutia baraka 😊😊
Nimependa pish lako la lost ya nyama naenderea kujifunza asant
It’s looks so delicious but I wish if you had recipes written
Stella Hahn Thanks for watching. I will do that.
Napenda hiyo stew , niletee recipe ya wali wa nazi
Iko tayari dear
Immaculate Njeri. Hii hapa ruclips.net/video/Opxpb5zl7RQ/видео.html
Asante sana napenda mapishi yako
@@immaculatenjeri9929 Asante sana sister
Mhh.nyam nyam
Tamuu❤
Waaauuuh it yummy and delicious 😋 😋 😋 wewe ndo yule mpishi hodari
Shukran sana
MashaAllah very nice recipe 👏
Thank you
THANK FOR THE RECEIPT
Most welcome 😘
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 hizo spice ni zipi
Receipt?😂😂😂😂😂
Nimeipenda
Masha Allah umeweza
Mabrook sweetheart🤩🤩🤩
Thank you 🥰
Tanzanian people know how to cook, food there is so delicious
Even Kenya
And are you a Kenyan dear
Both
Love the videos, however cant get notifications since cant click on the bell. Keep up the good worl
Thank you so much. But why you can't get it? That's wired, keep trying plz🙈
Nitamu
Thanx so much for the samosa recipe. You simplified the method.
Most welcome dear❤
Kupika raha sanaaaa😍
Tena sana
Have tried this today ..sema mautamu tu😋😋😋
Hapo ni Mautamu kuruka 🤣🤣🤣 thanks for the feedback.
Just had to subscribe as I was sipping my water as I admired the meal💔💔💔💔😂😂😂😂
Thank you so much for your support 🥰
🎉👍👏 good teacher I 🤔🤔
My favourite cook
MashaAllah very good
Hadi jaa imezidi...
🤣🤣🤣
MASHALLAH,LAKINI MIMI
HUWA NAPENDA NIKIWEKA
NYAMA NA VIUNGO
NIVIACHE HATA DK5.
Yeah, hata hivyo ni sawa pia. Ni vile nilichemsha na viungo pia. Asante sana.
umepika vizuri sana nimejifunza nanitapika na mim
Asante sana
binzari hizo kuwen makin sana
ma sha llah
Binzari zina nini?
nzuri dada wala hazna tatzo kabsa wala usiofu
Allah akuongoze
nmetaman tu mapish matamu kabsa
haha
safi kabsa
kusaskrab
ni kusabskraib# kusaskrab
nmefuarah ukısema hiyooo
ongera dada in sha llah
Allah akuongoze
Ameen shukran sana
Sema msos mmoja pish tofauti
Wow mashallah 👌👌👌
Pishi zuri sana❤❤
Inakaa tamu nice work
Thank you
Waoo tena leo naipik hii km nilikuw vile kuchek
Njegere umechemsha kidogo au umeweka mbichi?
Kuna tofauti gan kat ya beef masala na carry powder
@Fatumahamisi-cw2vj Sijawai kutumia beef masala. Curry powder ni natural ingredients
Chomwe la chumvi😊