GOOBLESS LEMA AMUITA PAUL MAKONDA KUWA NI MCHEKESHAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2024

Комментарии • 19

  • @davidtupa6599
    @davidtupa6599 4 месяца назад

    Hukumu na kisasi ni juu ya Mungu Muda.utasema tu.

  • @kombidin..2583
    @kombidin..2583 4 месяца назад +2

    Lema ni mtaalam wa kulialia

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 4 месяца назад

    Siku mtaacha kumuongea makonda Vibaya ndio siku ntaona mmeanza kuwa na akili kila kesi makonda makonda makonda hamna Sera nyingine

  • @abednego3876
    @abednego3876 4 месяца назад

    Kiukweli Lema huna sera, ww na braza K wa Futuhi hamna tofauti.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 месяца назад +1

    ✌️👍👊.

  • @maembelaurent970
    @maembelaurent970 4 месяца назад +1

    Kweli Hali sio shwali ichi Iko pabaya

  • @raishahatibu7095
    @raishahatibu7095 Месяц назад

    Lema umechemsha tafuta pengine

  • @ayubumsigwa542
    @ayubumsigwa542 4 месяца назад

    Makonda mnapa umarufu mnapotajataja

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 4 месяца назад

    HUYU S NDIO ALIKUWA ANADHARAU BODA BODA HANA LOLOTE KO UNATAKA SOTE TUFANYA SIASA MBONA UNATAKA KUTUPOTEZA

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t 4 месяца назад

    Huyu mtangazaji ni kibaraka

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 4 месяца назад +3

    Makonda hana kero anayo weza kutatua zaidi ya kutumia ujinga na umasikini wawatanzania kutengeneza matukio ili asikilizwe na wananch masikini wasiyo jielewa

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 месяца назад

      Lengo la kila chama ni kushika dola, hivyo ufanye siasa soko lilipo. Tanzania inasumbuliwa ujinga, maradhi na umasikini hivyo fanya siasa kwa level ya hao watu.

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 4 месяца назад

    HATA WEWE LEMA UNA UHUNI NDANI YAKO...UMESAHAU ULIWAHI KUWADHARAU BODABODA KWA KIWAKEBEHI KTK KAZI YAO??

    • @allonjoseph5467
      @allonjoseph5467 4 месяца назад

      lema hana kebehi Alisema ukwel kwan unadhani walemavu wengi wametokana na nin?? tena vijana wengi nguvu kz ya taifa

    • @msabahaali758
      @msabahaali758 4 месяца назад

      bod boda si kazi ni umasikini ni ujinga kufurahia kazi hii

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 4 месяца назад

    Chadema.mmewafanyia nn wananchi ili tuwe na imani.na ninyi ninyi ni kubeza mnauwana wenyewe kwa wenyewe halafu mnsingizia wengine wewe mwenyewe una mabaya yako sio msafi na huyo mboe mwezako alikuwa anafanya kazi ya serikali huko jela sasa wewe sumbuka na wewe mwenye uwezo fanya basi

    • @williamgeorge-hd2tn
      @williamgeorge-hd2tn 4 месяца назад +1

      Hauna akili wew ni moja kati ya vilaza wakubwa nchi hii..chedema lini imeongiza nchi hii???

    • @Zaikadena
      @Zaikadena Месяц назад

      Acha upumbavu ww kwani chadema imewai shika madaraka mpaka use me imewafanyia nn wananchi?

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 4 месяца назад

    Uyu jamaa lema mpumbavu haijawah tokea