PENEZA ANASEMA CCM OYEEEEE,,,,UZINDUZI WA KAMPENI CHADEMA GEITA MJIINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 сен 2020
  • hayaa sasaa!!! Upendo wa CHADEMA azindua kampeni zake kwa kuwasalimia wananchi CCM OYEEEE!!!!!
    AMESEMA ANALAZIMIKA KUSALIMIA HIVYO KWAKUWA ANATARAJIA KUCHAGULIWA NA WANANCHI WA VYAMA VYOTE NA ATAKAPOENDA BUNGENI ATAWATETEA WANANCHI WOTE BILA KUJALI VYAMA VYAO.

Комментарии • 23

  • @greysonsJeremiah
    @greysonsJeremiah 18 дней назад

    Kumbe alikuwa akimaanisha kwakuwa yalikuwa ni matarajio yake

  • @evelina9621
    @evelina9621 11 дней назад

    Kweli.nduni.hada

  • @johnjmussa4153
    @johnjmussa4153 3 года назад

    Mungu akutangulie dada yangu

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 Месяц назад

    CCM oyeeee,ukweli ni kwamba ilikuwa inatoka moyoni " kinachotoka mdomoni,ndicho kilichokuwa moyoni " amedhihirisha hilo mwaka huu.

  • @PhilipoMwita-ge2oj
    @PhilipoMwita-ge2oj 2 месяца назад

    Dah huyu dada nimbwa tu
    Naomba chadema WaWez makini

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 3 месяца назад

    Huyu ni Msaliti Sana kumbe ni Fisadi Kama Mafisadi wengine

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 2 месяца назад

    Yani mwanamke nihatari Sana kuwa kiongozi Yani mi siwaminigi kabisa

  • @oberdymagombolla6621
    @oberdymagombolla6621 3 года назад

    Nimekukubalii sanaaaaa

  • @oberdymagombolla6621
    @oberdymagombolla6621 3 года назад

    Inaonekana unawezaaaa

  • @conasmalale1073
    @conasmalale1073 3 года назад

    I love you upendo peneza kura yangu ushaipata

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Месяц назад

    Tanganyika bwna 😂😂😂😂 inawatu waajabu sana wanaweza kukuuza bila wewe kujijuwa

  • @mapandabagiligwa6426
    @mapandabagiligwa6426 3 года назад

    Hiz ndizo kampen zahekima bira kutishana

  • @evelina9621
    @evelina9621 11 дней назад

    Achagua.mtu.anaye.faa

  • @user-dz9nd6ec7g
    @user-dz9nd6ec7g 4 месяца назад

    Unataka bungee sahau

  • @dismasvalerian6165
    @dismasvalerian6165 3 года назад

    Kazuri

  • @shabelibashili2064
    @shabelibashili2064 4 месяца назад

    Kumbe usaliti aliuanza zaman

  • @user-hd6il8ni2f
    @user-hd6il8ni2f 2 месяца назад

    Uongo hauwezi kubadilika,,, msaka tonge kwa wajinga..

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 Месяц назад

    Huyu useless sana