KINACHOENDELEA BAADA YA KIMBUNGA HIDAYA KULIBOMOA VIBAYA DARAJA HILI LINDI/WAZIRI ATOA TAMKO JIPYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 май 2024
  • Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha anasimamia timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na makandarasi, kuhakikisha wanakamilisha kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi - Dar es Salaam ndani ya saa 72.
    Waziri Bashungwa ameeleza hayo, leo tarehe 6 Mei 2024 Nangurukuru wilayani Kilwa wakati akikagua na kusimamia zoezi la urejeshaji wa mawasiliano ya barabara yaliyokatika kwa kuharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha zikiambatana na kimbunga Hidaya.

Комментарии • 6

  • @rajabukipara3008
    @rajabukipara3008 Месяц назад

    Ila we Jamaa M Nakuelewa Sana
    Pga kaz Mzee

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  Месяц назад

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 Месяц назад

    Nilitaka.kushangaa bila.kushukuru wakati.sisi ndo.walipa.kodi.haahammm

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  Месяц назад

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @user-rj2kt5qg5y
    @user-rj2kt5qg5y Месяц назад

    Tangia juma mosi jamani watu tulikaa hapo siku zima lakini hakuna hatakiongozinalikuja na juma pili hakuna da

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  Месяц назад

      Asante Kwa Kutufuatilia