Hapa Ndiyo Marekani Vijijini 🇺🇸

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 377

  • @jackwausa
    @jackwausa  Год назад +31

    Please SUPPORT Me By Joining Here!
    patreon.com/JackWaUSA

    • @ToyiJean-bl1ps
      @ToyiJean-bl1ps Год назад

      Sasa Mtu Wng Ukiwa Napesa Ukiitaji Nunuwa Kiwanja Hau Nyumba ; Inaweza garimu Kiasi Gani Ya Pesa.....?

    • @aliykhamisi1431
      @aliykhamisi1431 Год назад +1

      I was born in Zanzibar Island 🏝 na kuwatch nikiwa Kuwait 🇰🇼

    • @derrickmwita5894
      @derrickmwita5894 Год назад

      Hello jack nauliza kama gari aina ya proboxzinapatikana 🇺🇸🇺🇸??

    • @mnazicomedytz
      @mnazicomedytz Год назад +1

      Hapo sawa

    • @AthumaniAthumani-yw6fv
      @AthumaniAthumani-yw6fv Год назад +1

      Jack mi naomba kujua we ulifika marekani kwa ajili gan,maana wengine pia tunawaza kutimba lakn nashndwa cha kwenda kufanya

  • @allenk7491
    @allenk7491 Год назад +6

    Ni Anestus Mujuni nafatilia kutoka Kampala Uganda. Shukrani sana #Jack kwa kazi zako nzuri sana naenjoy mnoo. Siku ukirejea Tanzania toa taarifa ili angalau tufanye utaratibu wa kukupokea Airport kaka.

  • @princessmontana7303
    @princessmontana7303 11 месяцев назад +3

    Quality yako ya video iko juu...loving it from 🇰🇪 🇰🇪

  • @harrisonkariukigachago5786
    @harrisonkariukigachago5786 Год назад +12

    Mr Jack your video always teach us soo many things and i salute you 👍

  • @MagrethThomas-f4o
    @MagrethThomas-f4o День назад

    Watching this video from Kigamboni Tanzania.Thanks

  • @Kiwambakiwamba
    @Kiwambakiwamba Год назад +2

    Kijijini ni zaidi ya masaki big up sana mimi nipo home mzee jack Tz

  • @madinakheri487
    @madinakheri487 10 месяцев назад +1

    Asante kazi nzuri

  • @malikikasambula8719
    @malikikasambula8719 Год назад +1

    I'm watching this video from Dar Es Salaam Tanzania 🇹🇿

  • @nizigabosco3359
    @nizigabosco3359 Год назад +1

    Asante sana niko Burundi thanks.

  • @jonathannyamweya4940
    @jonathannyamweya4940 Год назад +2

    Kazi safi bro. Maendeleo marekani iko hali ya juu. Hiyo kijiji imetulia sana, na barabara zao ziko hali ya juu. Nakutazama kutoka Nairobi, Kenya.

  • @umelamedia
    @umelamedia Год назад +1

    Live from Sumbawanga Tanzania 🇹🇿

  • @yaluclile566
    @yaluclile566 Год назад +1

    Jackson mungu abaliki kazi yako. Jackson niyonkuru Burundi mugara

  • @gregorygumbo7128
    @gregorygumbo7128 Год назад +1

    Watching this video from Upanga Dar es salaam-Tanzania

  • @FredrickWilson-z8t
    @FredrickWilson-z8t Год назад +1

    Natizama video zako nyingi napenda sana mungu akubriki sana. Naomba tuwasiliane

  • @IDDIMANDI
    @IDDIMANDI Год назад +2

    Jack jack jackiiiii mungu aendeleee kukulinda nakusiiliza nikiwa singda singda✔️

  • @alfredjoshua8625
    @alfredjoshua8625 7 месяцев назад +1

    kazi nzuri ndg jack.

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel Год назад +1

    Wekweli mbishi
    Tbt Moja Mshua tuko pamoja sana

  • @kingkunta007
    @kingkunta007 Год назад

    Jack, nakutazama kutoka Kenya, nairobi . Natokea mtaa wa Githurai 44! Napenda sana vlog zako.. Nipe ata shout out angalau, naitwa Karis! Kariuki

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 Год назад +1

    Mwanza Mwanza region bro, pamoja sana

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 Год назад +1

    Thx bro fresh nacheck video hii Tz Zanzibar hivo vijiji Haitwa Sehemu gn broo

  • @HaizanRojas
    @HaizanRojas Год назад +1

    safi sana mr jack nachek video nikiwa Dar es saalam.

  • @AhmedMuhembele
    @AhmedMuhembele 2 месяца назад

    Napenda sana video zako,from 🇹🇿

  • @AliNIssa
    @AliNIssa 7 месяцев назад

    Umetisha sana kaka jack watching from Zanzibar 😮😊

  • @suleimanmohamed6694
    @suleimanmohamed6694 Год назад +1

    Mie naitwa suleiman toka sinza vatcan nimependa unavyo tutembeza nice bro

  • @ElisioVicenteMadimba
    @ElisioVicenteMadimba Год назад +2

    Safi sana nimependa hii video niko 🇲🇿 Pemba

  • @saidiamisiwilondja3999
    @saidiamisiwilondja3999 7 месяцев назад +1

    Apo powa nikufata kutokea south africa kaka ❤❤❤❤ one love

  • @simdalosudi6228
    @simdalosudi6228 Год назад +2

    opo ni lokesheni brother tumpeleke village

  • @DanielMwampote
    @DanielMwampote 7 месяцев назад

    Mdogo wangu na kukubali santa,hizo halakati zako poa sana,be blessed,nakutazama nikiwa mbinga,tz

  • @JumaAjali-u5f
    @JumaAjali-u5f 22 дня назад

    Nakufuatilia bro
    Dar Tz
    Mbagala moja hiyo

  • @Kessy-ts1su
    @Kessy-ts1su 6 дней назад

    Umefanya vzur jack ongeza juhudi

  • @younglee0972
    @younglee0972 Год назад +1

    Kaka uko poa sana Allah akubark kwa kutufikisha marekani me younglee kutoka tanzania zanzibar

  • @francomkandawile8572
    @francomkandawile8572 3 месяца назад

    Watching from Tanzania Dar es salaam

  • @adammashiba244
    @adammashiba244 8 месяцев назад

    Asante kwa taarifa! Safi sana kk nitumie namba zako ninajambo langu tuongee bro

  • @GlennMarshall3
    @GlennMarshall3 Год назад +1

    Safi sana 🎉.....🇹🇿

  • @AllyMbarouk-q4h
    @AllyMbarouk-q4h 21 день назад

    Kaka kaz nzuriii xanaa

  • @bakarirajabu3783
    @bakarirajabu3783 Год назад +1

    Hongera sana jack nakupata nikiwa tz kigoma

  • @yunusramadhan2546
    @yunusramadhan2546 Год назад +13

    Kijana mtanzania mwenzangu nikiwa saudia arabia

  • @leoniapaulo7752
    @leoniapaulo7752 Год назад +1

    Hi Jack.. watching from Ngorongoro Tanzania.

  • @stevenmrama3123
    @stevenmrama3123 2 дня назад

    Daa ongera.sana unatuburudisha sana,mimi natoka manispaa mpya ya dhahabu.

  • @VanesaMaombi
    @VanesaMaombi 10 дней назад

    Wooooooooooooooooooooooooooooooooooooow 👌 namimi naenda

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche Год назад +2

    Safi sana mm nipo mozambique

  • @saidkilima6485
    @saidkilima6485 Месяц назад

    Mimi natazama sana video zako nikiwa visiga kibaha mjini besti

  • @AugustinoMhewa
    @AugustinoMhewa Год назад

    Naiangalia hii video nikiwa njombe umetisha sana kk

  • @polycarptarimo5141
    @polycarptarimo5141 Год назад +1

    From Singida Tanzania nakupata

  • @ernestmasanja4641
    @ernestmasanja4641 Год назад +1

    Hapa ni mwanza tanzania

  • @kelvinpius-ne9rz
    @kelvinpius-ne9rz Год назад +1

    kazi nzuri kaka

  • @melkizedekoliech7859
    @melkizedekoliech7859 Год назад +1

    Hi jack...i always enjoy ua videos alot..coz they are jst too diverse... I get to learn USA🇱🇷🇱🇷🇱🇷at a distance.. I'm hoping 2 meet you soon in YUES.. following u from Nairobi kenya❤💜💙💋

  • @marcomhuli8756
    @marcomhuli8756 Год назад +1

    Big up kgoma Tz Moja broo

  • @allymuhunzi
    @allymuhunzi 8 месяцев назад

    Safi...naangalia video hii nikiwa Lindi kusini mwa Tanzania

  • @FaridaNerima
    @FaridaNerima Год назад +1

    Niko saudi Asante kutuonyesha❤

  • @Difrnd-t2c
    @Difrnd-t2c 11 месяцев назад +1

    Jack Kama Jack My Friend How ?"

  • @gwandumimwailemale7788
    @gwandumimwailemale7788 Год назад +1

    Safi Sana, nakutazama nikiwa Tanzania

  • @N.T.KDigitalCreation
    @N.T.KDigitalCreation 5 месяцев назад

    You're doing great brother, can you show us were your living and your neighbours.

  • @davidsillo916
    @davidsillo916 9 месяцев назад

    Good job jack from Tz Arusha

  • @hosianadomisian3091
    @hosianadomisian3091 10 месяцев назад

    Bro nahitaji support yako

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 Год назад +1

    Nakubali 🥂💯💯💯

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 8 месяцев назад +1

    Marekani vijijini kuzuri.😊

  • @ntezealoyce7043
    @ntezealoyce7043 Год назад

    Musoma pande za nyasho,jack fresh nataka mpaka mashambani kwao tujue maisha Yao ya ndani

  • @N.T.KDigitalCreation
    @N.T.KDigitalCreation 5 месяцев назад

    Watching fom Dar es salaam.

  • @zenagilaluma4754
    @zenagilaluma4754 Год назад

    Umtisha Sana Jack natazama video hii nikiwa tabora tz

  • @newagecommunications7258
    @newagecommunications7258 Год назад +1

    Big up Sana..

  • @elmackrambo487
    @elmackrambo487 Год назад +1

    Kk na kucheki sana apa congo

  • @Timothymchomi
    @Timothymchomi Год назад +1

    jack natazama nikiwa mwanza buswelu nakupata sana mmarekeni mwenzang

  • @jabibama
    @jabibama Год назад +2

    @Jack video yako ukieleza jinsi ulivyokwenda huko USA

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 Год назад +1

    Unatisha sana home boy

  • @kenethwilbert8743
    @kenethwilbert8743 Год назад +1

    I'm looking this video in TZ

  • @giftsokolo3
    @giftsokolo3 Год назад +1

    Aiseee ☺️☺️ mbn kuzuri ivo 😮ndo kijijini huko😳😳😳tena kutanifaa, km posta ya Dar huko😁😁😁

  • @Bensogamingmods
    @Bensogamingmods Год назад

    kazi safi,umetufikisha usa virtual,keep up bro

  • @tajomedia
    @tajomedia 27 дней назад

    Nakupata nikiwa kijiji cha Nyakanazi wilaya ya biharamlo mkoa wa kagera nchi ya Tanzania ok Asante

  • @bahatijonasi-k6b
    @bahatijonasi-k6b Год назад +1

    From kigoma, panafanana na manyovu kigoma

  • @JaqlineKihongo-ox3vj
    @JaqlineKihongo-ox3vj Год назад +1

    Kijijini kupo pw hivo jack

  • @MaishaSafari-wp7cq
    @MaishaSafari-wp7cq Год назад +1

    Sana jack nakuchek kutoka mbeya

  • @paulodhiamboliech518
    @paulodhiamboliech518 Год назад +1

    Pamoja sana niko 🇬🇭 Ghana

  • @MomadeAndurabe-ip5ek
    @MomadeAndurabe-ip5ek Год назад +3

    Amazing 👌🇲🇿

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t Год назад

    Nitafutie kazi huko broo

  • @fedianfredy2631
    @fedianfredy2631 Год назад +2

    🎉 Amazing

  • @elimbotoraphael3940
    @elimbotoraphael3940 Год назад

    Kutoka Tanzania 🇹🇿. Hongera sana

  • @BarackyMgenimgeni
    @BarackyMgenimgeni 11 месяцев назад +1

    Bwana fresh sn me nipo Morogoro

  • @bigruwas81
    @bigruwas81 Год назад +1

    Bedsitter Yani studio beigani mwezi

  • @KeroseneKimbunga
    @KeroseneKimbunga 16 часов назад

    ❤p 1 brother jembe salut

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu7337 Год назад +1

    Pako smart kiliko Karen 😂😂

  • @augustinburoni7104
    @augustinburoni7104 Год назад

    All the way from Burundi

  • @seifalkan_tanzania3986
    @seifalkan_tanzania3986 Год назад +1

    Oya pa 1 sana at Morogoro

  • @kadumaIssa-zi9mx
    @kadumaIssa-zi9mx Год назад +1

    Kijana Mimi nipo songea Ruvuma tunakupata Uzuri Sana Hongera Sana

  • @allydjuma8645
    @allydjuma8645 Год назад +1

    From Bujumbura burundi

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 3 дня назад

    Ni nje mji au kijijini?

  • @JumaNambali-qk6ru
    @JumaNambali-qk6ru Год назад

    Jack just answer my question how much appartment in village

  • @BarackyMgenimgeni
    @BarackyMgenimgeni 11 месяцев назад +1

    Ubarikiwe na ww

  • @Coachsamwel
    @Coachsamwel 8 месяцев назад

    🔥

  • @omaryjumambwego9001
    @omaryjumambwego9001 Год назад

    Natazama nikiwa kariakoo mtaa wa Lindi na Nyamwezi hapa Jack

  • @malilitz
    @malilitz Год назад +2

    Wahh🎉

  • @BayaKwicha
    @BayaKwicha Год назад

    Uko juu.

  • @emmanuelparadise3131
    @emmanuelparadise3131 9 месяцев назад

    jack na shida Sana wewe

  • @MarliusMajani-q4w
    @MarliusMajani-q4w Год назад +2

    Zambia Lusaka

  • @RaphaelJohn-qb7fo
    @RaphaelJohn-qb7fo Год назад +1

    Ok

  • @DavidShuly
    @DavidShuly Год назад +1

    mimi naitizama nikiwa kahama mkuu umetisha kamandangu

  • @Wilisonolekuyanolekuyan
    @Wilisonolekuyanolekuyan Год назад

    Nakupatasa sana jack nikiwa,jiji

  • @rukinishathadeo7215
    @rukinishathadeo7215 7 месяцев назад

    Kazi nzuri Jack.nsomba Jackson unipe email yako ili tuwasliane inbox.mimi thade mzee wa mara TZ

  • @shawn-the-first.1643
    @shawn-the-first.1643 Год назад +1

    ❤❤

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 Год назад +1

    Sema nakuelewa sana mwana unatuneshaga mambo ambayo wengine hatujawahi kuyawaza