Maisha ya Marekani: Kukaa ndani, Upweke, Nyumba, Magari nk

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 697

  • @henrymuiruri813
    @henrymuiruri813 2 года назад +51

    Napenda kuskia watanzania wakiongea Kiswahili 🇰🇪

    • @salymkitumbika8644
      @salymkitumbika8644 2 года назад +6

      Pia napenda kuskia Wakenya Wakiongea Kiswahili sahivi nipo Kenya nainjoy kiswahili chenu I'm from Tanzania

    • @polytarimo324
      @polytarimo324 2 года назад +2

      Mimi pia napenda kiswahili cha Kenya big up

    • @hashimshaban4675
      @hashimshaban4675 2 года назад +2

      Hata mimi hasa nikisikia wa Mombasa wakiongea napenda sana

    • @Kreedo1110
      @Kreedo1110 2 года назад +3

      Napenda kuskia Watanzania na Wakenya wakiongea Kiswahili pia - kutoka Marekani ❤️

  • @edwardchege2623
    @edwardchege2623 2 года назад +87

    Lived here for ten years, true it's a very lonely place. Came back to Kenya and I am really happy, I feel more fulfilled. Working at a gas station was my favorite coz I met loads of people from all walks of life, from drug dealers to doctors, criminals to business people, most people just needed to be listened to coz for a matter of fact they are lonely, I shared about Christ coz some never really heard about God.

    • @mosesodhis365
      @mosesodhis365 2 года назад +1

      So they still have a lot of drug dealers with all the rules?

    • @Jesusisable-t7q
      @Jesusisable-t7q 2 года назад

      He is not a kenyan @Moses Odhis

    • @edwardmukama9607
      @edwardmukama9607 2 года назад +6

      Great ! we should tell them about Jesus for their salvation

    • @pauladero1756
      @pauladero1756 2 года назад

      @@mosesodhis365 5

    • @edwardchege2623
      @edwardchege2623 2 года назад

      @@mosesodhis365 watch Dayz of Noah- clipper ships and you will see the bigger picture on the subject

  • @MM-oe2eo
    @MM-oe2eo 2 года назад +2

    Thanks bro. Video nzuri sana. Mtu kabla Mungu hajakuchukua inatakiwa uishi Marekani angalau kidogo.

  • @peterkanyi1525
    @peterkanyi1525 2 года назад +24

    Live and die in Africa. I love this continent. I have been out to europe but i missed my Africa.

  • @newtonsimba7930
    @newtonsimba7930 2 года назад +6

    Very nice. Umetuelimisha vyema. Barikiwa ❤️🇰🇪.

  • @_kandybill
    @_kandybill 2 года назад +41

    Am an introvert, can live in such a place with full peace of mind...I hate crowded areas with all my heart,i love deserted greeny places

  • @marthakimia4075
    @marthakimia4075 2 года назад +6

    Nakupongeza sana tunajifunza mengi kutoka kwako hasa utamaduni wa wenzetu. Mungu akubariki sana

  • @mwanikimburu
    @mwanikimburu 2 года назад +21

    Shukran ndugu MTz kwa kuelezea hali ya maisha hapo Marekani. Kweli maisha hayo ni bills na pweke chungu nzima. Sidhani kama nayaweza hayo maisha, napenda hapa kwetu Kenya. Pia shukran kwa kuelezea chanzo cha jina meli. Hilo sikujua... kazi nzuli lakini and keep it up brother

  • @fundieddy9164
    @fundieddy9164 2 года назад +4

    Habari za namna hii huwa zinaongeza ufahamu na kutegua baadhi ya vitendawili vya ughaibuni.
    Asante sana, ninakutakieni kila lenye heri.

  • @Bagenzi4life
    @Bagenzi4life 3 года назад +14

    Ninapenda the way unavyo tupa habari kwa habari unatufafanulia vizuri maisha ya uko ulipo asante sana baba
    Love from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  3 года назад +1

      Nashukuru sana

    • @nasoroliheka9311
      @nasoroliheka9311 2 года назад +1

      Tunashukuru unatupa mwanga

    • @hamzamafita4025
      @hamzamafita4025 2 года назад +1

      Tupe dawa the great makulilo nimeijua marekani kama vile nipo huko.kupitia EBM.endelea baba.

    • @ruhangamunyaneza6551
      @ruhangamunyaneza6551 Год назад +1

      Ndugu yangu asante sana kwa kutupesha habari nzuri tunakuombea uzidi uwenamafaanikio mdawako wote asante

  • @jovovichmedia9424
    @jovovichmedia9424 3 года назад +8

    Safi Sana nyumba ipo vizuri na mazingira pia nimepapenda

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  3 года назад +1

      Nimefurahi kusikia hivyo

  • @sharifukilongo2565
    @sharifukilongo2565 Год назад +3

    Hayo maisha ni mazuri sana,coz hakuna umbea

  • @willydugilo3258
    @willydugilo3258 Год назад

    Asante Kwa muda wako!! Wewe ni rafiki tusiejuama!! Unafanya Kwa upendo na sisi wenye matarajio ya kufika huko tuwe na picha!! Ubarikiwe ndugu

  • @maryjohn1436
    @maryjohn1436 2 года назад +2

    Asante saana nimesoma geni leo kuhusu meli.congratulations

  • @fungukamedia4545
    @fungukamedia4545 2 года назад +1

    🇹🇿nakupata Sana barikiwa brthr
    Tunajifunza vingi kupitia wewe

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 года назад +10

    Everything is clean and organized here, beautiful

  • @kamanda007
    @kamanda007 2 года назад +10

    Hakuna upweke hapo, maisha mazuri sana hayo...PRIVACY!!!

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 2 года назад +6

    Marekani naipenda mnoo asa kwa watu weus wenzangu Atlanta kwakwel kunanikosha katika maisha kuish nkiambiwa nichague Jimbo ni Atlanta Georgia 😍💞🤦

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 2 года назад

    Hongera sana Mashaallah MMUNGU akubariki sana na azidi kukupigania unaroho nzuri sana unatueleimsha wala hujivuni ubarikiwe

  • @harunamwaholi6551
    @harunamwaholi6551 2 года назад +3

    Asante sana kutufungua maisha ya huko marekani from mbeya Tanzania

  • @lucasmfaume6673
    @lucasmfaume6673 2 года назад +4

    Hongera sana kaka kweli maisha yanaitaji kuvumilia pia

  • @xingho3990
    @xingho3990 2 года назад +2

    Kaka hongera kwa maisha ya ng'ambo umeyapatia umepigana vyakutosha Mungu akubariki. Lakini nyumba hukutuonesha ndani.

  • @petertimothy7882
    @petertimothy7882 2 года назад +3

    Safi sana. Endelea kutuelimisha hali halisi huko. Nimefurahia sana mazingira unayokaa na jinsi ulivyofanya bidii kuwa na nyumba nzuri hiyo. Endelea kupiga kila Sehemu na kutuelimisha. Tutafurahia ukituonesha mitaa ya New York, Texas, Washington, Los Angeles n.k.na kutuelezea maisha ya kila Sehemu husika na changamoto zake. Hata kama hutapiga picha Sehemu hizo nilizotaja, unaweza kupata picha safi toka vyanzo vingine na kutupia humu. Let people know about Amerika na Ulaya Maisha na Changamoto.
    Pili, wengi hatujafika huko.Tunahitaji kuona palivyo na Changamoto zake. Well-done bro🙏

  • @ceciliakioria3357
    @ceciliakioria3357 2 года назад +13

    Thanks
    From Kenya
    Keep on posting to educating our African people

  • @machumujuma6399
    @machumujuma6399 2 года назад +2

    Maisha yetu huku Tanzania na Africa ni mazuri sana japo hatuna kitu ila ni ya furaha sana na umoja wa hali ya juu. Mm binafsi maisha hayo hayo ya kujifungia ndani siyawezi

  • @gradnessshitindishitindi4881
    @gradnessshitindishitindi4881 3 года назад +4

    Waooooooo nmewapenda bureee mnavowajari viumbe wengine naona ndege wana enjoy sana

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 2 года назад +5

    Asante sana umenipa Somo kubwa sana wabongo wengi wanamtazamo eti kila aliye marekani ana mahela kumbe sivyo

  • @miltonmachage2462
    @miltonmachage2462 2 года назад +2

    Namshukuru xn
    Mungu kwa kuzaliwa tanzania Mana maisha ya bongo ya matamu cna xx mm niishi uko Bila mchanganyiko

    • @nyembomajidi3027
      @nyembomajidi3027 2 года назад

      lakini yeye ka sema utamaduni wa marecani lakwetu utamaduni africa kuwa wamoja mtaani hakuna kosa yeyote kila watu na utamaduni wao.

  • @fanwellmwalukasa9123
    @fanwellmwalukasa9123 2 года назад

    Mi mkali nimekukubali sana uko vizuri naomba uwe unatujuza kwa staili big up sana hongera

  • @lolohbreezy
    @lolohbreezy 2 года назад +2

    Dah brother nimeipenda hii natamani siku moja nije huko ughaibuni 👐❤🇹🇿

  • @ettienewand9850
    @ettienewand9850 2 года назад +12

    Duh, the place is so clean and green.I love it!

  • @salhakundawi3066
    @salhakundawi3066 2 года назад +1

    Wewe ni mtu mzuri ata the way unavyoongea then nimeona uko simple bro Makulilo, love from tz.

  • @mercymeriy7851
    @mercymeriy7851 2 года назад +2

    I just like the way He explain it in details...

  • @bas2823
    @bas2823 2 года назад +1

    Hi! How r u all🤝 my first time to Arrived in AMERICA! n Stay was in Saint Louis Missouri. Near the Missouri Big Arch, Missouri big Lake. Then we moved to Edward Vile, I Illinois n then we ending in Florida to Collage States in USA. Now im in Oman, In the Sultanate of Oman👌

  • @simbarichards
    @simbarichards 2 года назад +15

    Yeah! A friend of mine told me that US is a very lonely place. You may not want to live there in the first place. Yaani huna mtu wa kuongea na yeye😂😂 sitaki, wacha nishi Kenya

    • @maureenauma7397
      @maureenauma7397 2 года назад

      mimi natamani kuenda tu kuwork ,since huku kupata job ni noma

  • @alexkabazo5388
    @alexkabazo5388 3 года назад +20

    Teach them people in Africa to know about life in America sio paradise is on earth epant diers I'm alex from congo moba tanganyika iliving in America 🙏 God bless

  • @barakamsungu5260
    @barakamsungu5260 3 года назад +7

    Upo vizuri brother na hongereni manzari ni kijani kibichi na tulivu,pia asante kwa taarifa kama hizi ili tuweze kujua wenzetu wanaishi vipi,one love brother 🙏

  • @junenadine6512
    @junenadine6512 2 года назад +32

    The fact that many american homes are not gated or fenced like kost aftican homes gives me anxiety,aso due to this issues addressed,the level od depression,loneliness and schizzophrenia is very high,
    God bless our african family values,neighborliness and togetherness
    Love from Nairobi

    • @ROLLWITHLIZ
      @ROLLWITHLIZ 2 года назад +1

      I hear you on that very true, Africans are so warm and you feel a sense of belonging and that’s why depression is not common or suicide

    • @janendegwa5462
      @janendegwa5462 2 года назад +1

      You don't need a fence coz none can walk to your yard or step on your grass it's trespassing,the only people who come to your door are people you know or Jehovah's witness , or postal workers ,f you have a crime emergency the police arrive in 5 minutes so a tence is not necessary in Kenya a fence is a must to make t more difficult for thieves

  • @mbuvibetty1116
    @mbuvibetty1116 2 года назад +4

    Asante kaka kwa kutujuza.Natamani maisha ya utulivu kama hayo.sometimes living one's life without alot of interractions with people can be enjoyable and peaceful.

  • @muhammadmochenje1409
    @muhammadmochenje1409 2 года назад +3

    Proud to born in Africa najivunia kuwa muafrika twaishi kwa tangamano na ujirani hatuna upweke

    • @melissaporter5928
      @melissaporter5928 2 года назад

      Apparently you don't know a lot of African Americans.Because there is no such thing as lonely in the African American communities Especially in the South in the smaller towns where most African Americans treat each other as family.Don't speak on something you don't know

  • @oldtech8221
    @oldtech8221 4 месяца назад

    Great bro umeelezea vizuri

  • @somediscovery5988
    @somediscovery5988 2 года назад +16

    I can't understand Swahili but the video is adorable

  • @andrewl3039
    @andrewl3039 2 года назад +2

    Awesome review, very informative 👍. Asante ndugu

  • @jeromemwenda2702
    @jeromemwenda2702 2 года назад +1

    Kongole EBM!
    Maelezo mazuri sana, asante kwa kutuelimisha!

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 года назад +6

    Apomimi nimepapenda sana naweza kuishi 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @davidnyabuga3119
    @davidnyabuga3119 2 года назад

    Maisha mazuri bro thank you..

  • @rosembaga2658
    @rosembaga2658 3 года назад +2

    Unapadaa na mbogaaa weee nimekupenda😀😀😀😀

  • @thabitimkufi7388
    @thabitimkufi7388 2 года назад

    Dahhh nimekukubali Sana kaka ahsante kwa kutupa mwangaza nimekubali chanel yako

  • @charlesongiri1617
    @charlesongiri1617 2 года назад

    Am very much happy. I would like to more about America 🇺🇸

  • @MamuMichael
    @MamuMichael 2 года назад +2

    Big up nimeipenda sana truth to be told. 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa 2 года назад +1

    Tunashukuru Sana Kwa kutufundisha utofauti wa maisha Kati ya markani na Africa. There is big cultural differences between Africa and America or Europe. Thanks

  • @charleslwanga6317
    @charleslwanga6317 2 года назад

    Umenielimisha sana mkuu. Big up

  • @eriqabisai3079
    @eriqabisai3079 2 года назад

    Nimechelewa sana kuona hii video... very interesting...keep it up bro

  • @ChrisKibuku
    @ChrisKibuku 2 года назад +1

    I really like your explanation. watu wengi hawawezi kuelezea hivo.

  • @megb4914
    @megb4914 2 года назад +2

    It's so boring in the states..I can't wait to go bk home soon in my lovely country kenya

  • @janeyphersuma1316
    @janeyphersuma1316 2 года назад

    Umetafasiri vizuri pia kiswahili kizuri na madhari nzuri nimependa video

  • @hassanjoseph2398
    @hassanjoseph2398 2 года назад

    Nakubalii Mkuu napenda sanaa unachofanya

  • @robertwakhu
    @robertwakhu 2 года назад +7

    This is quite enlightening!

  • @bensonnyaga2852
    @bensonnyaga2852 2 года назад +5

    I love it.from Kenya

  • @zaphaniaambuka7192
    @zaphaniaambuka7192 2 года назад

    Shukrani kwa kuangazia swalahilo

  • @CalmWhiteNoise5
    @CalmWhiteNoise5 2 года назад +1

    Asante kwa video hii.

  • @hammelmoussa2158
    @hammelmoussa2158 2 года назад +3

    Salama brother 🙌🙌
    hapo sawa kwa musmamo unao marekani
    sikuegine tufafaurie maisha ya kawaida ina endereaje
    siku kwausiku. Asante 🙏

  • @frankbunini9898
    @frankbunini9898 2 года назад +6

    Endelea kutujuza zaidi kiongozi. 🤝🙏

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 3 года назад +4

    Heeeeee siyo Tanzania watu hawaishi barabarani kutwa kutembea,wengine bila sababu yoyote.asante kaka kwa kutujurisha

    • @modestmkali3436
      @modestmkali3436 2 года назад +1

      Hayo ndio maisha sasa, kutoka unakutana na watu, huwezi kuelewa kwasababu huyaishi, maisha ya Marekani magumuuuuu

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule 2 года назад

      @@modestmkali3436 sio Maisha ni vile tu huku ujobless mwingi

  • @ngeisimon2701
    @ngeisimon2701 2 года назад +1

    Wooh God bless u ata kama cjafika america nimeona vyenye kuko.

  • @ishengomanelson
    @ishengomanelson 2 года назад +1

    So helpful. I am glad umeongea ukweli mtupu. Wengi wanatumia movies kuimagine.

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 2 года назад

    Wow mimi na penda maisha ya huko wow nice life 💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼

  • @samuelopati7916
    @samuelopati7916 2 года назад +1

    Content Safi ndugu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nelsonmrutu371
    @nelsonmrutu371 3 года назад +9

    Mimi naifatalia Sana Marekani na pia naipenda Sana iyo Nchi , tatizo linalonisumbua ni Lugha ya kingereza ila kwa kupitia chaneli yako nimefunguka zaidi , Mungu akubariki sana

    • @nyembomajidi3027
      @nyembomajidi3027 2 года назад +2

      tukae Africa kaka hata sisi twaweza ila sisi wafrica jeuri sana tukisema tu fanyeni usafi tutazakuilaumu serekali, wezetu walijitoa mpaka limependezwa leo tuna litamani.

    • @sebastianbarayata7698
      @sebastianbarayata7698 2 года назад

      Unapataje uraia huko, na ukifanikiwa je, kwenda huko

    • @sudaissaid8428
      @sudaissaid8428 2 года назад +1

      sio lazima kengereza nenda2...

    • @Awatee
      @Awatee 2 года назад

      @@sudaissaid8428 🤣🤣🤣

  • @MB_7G
    @MB_7G 2 года назад +1

    Big up bro, your are okay,,. Thanks for exposure

  • @PabloIify
    @PabloIify 2 года назад +2

    You're so friendly... nitakuona endapo nkija marekani..Yehova akipenda iwe hivyo.

  • @albertogwankwa799
    @albertogwankwa799 2 года назад

    Waaaaa kazi mzuri

  • @leaymwagilu7494
    @leaymwagilu7494 3 года назад +2

    Unaerewekaa vizuri kaka

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 2 года назад +2

    😁😁😁😁 Nimefurahi sana, all the way from Minnesota. Tanzania moja.

    • @eustacelukindo2172
      @eustacelukindo2172 2 года назад +1

      mkuu naomba nomber yako mimi ni track Driver Tanzania

  • @ayoubmhagule248
    @ayoubmhagule248 2 года назад +2

    Nimekuelewa sana Brother.. keep on updating us, wenzio tuishie kuona tu.. ila kumbuka kutufanyia connection tu.. mm nikipata ya kufagia tu... nitashukuru!!

    • @modestmkali3436
      @modestmkali3436 2 года назад +1

      Mhmhm, maisha ya marekani sio marahisi hata kidogo, raha ya maisha ipo nyumbani, usitamani kabisa maisha ya marekani, maisha ya upweke sio marahisi kabisa

  • @hillarykirwa7558
    @hillarykirwa7558 2 года назад +1

    Cheers bro Makulilo
    Watching from Kenya...I have been following you through this platform and for sure your stories are inspiring.Thank you so much for taking your time informing us about US lifestyle.Indeed everything is nice there...Wishing you the best Ndugu...Nikija huko majaliwa nitakutembelea

  • @jubleszablon3724
    @jubleszablon3724 2 года назад

    Safi sana bro

  • @nicolastitus568
    @nicolastitus568 2 года назад

    Hongeleni mna maisha mazuri sana

  • @hassanmdoe8425
    @hassanmdoe8425 2 года назад

    Aisee uko vizuri,naomba mawasiliano yako.

  • @petrobenson2932
    @petrobenson2932 2 года назад

    Ok ,umeelezea vizuri

  • @jamessoke4454
    @jamessoke4454 2 года назад

    Vizuri sana nimejifunza Mambo ktk hii video yako

  • @sekibibibatume4719
    @sekibibibatume4719 2 года назад

    Love from Michigan

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 2 года назад

    Nashukuru sana

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 года назад

    Jamani ndugu yangu kaka nitafutieni hata kazi yakutosha vyombo majumbani mitashukuru

  • @Nature_corner254
    @Nature_corner254 2 года назад +14

    No wonder wazungu wanapenda kuja holiday Africa.warm climate,warm socialization

    • @pamelawanderaofficial6257
      @pamelawanderaofficial6257 2 года назад

      Yes they actually save for that.

    • @jejo4569
      @jejo4569 2 года назад

      Who said USA doesn't have warm weather's? California, Nevada, Florida , Texas are sunny states almost all year around just like Adrica.

  • @mohamedkitwiko3675
    @mohamedkitwiko3675 2 года назад

    Wanautalatibu .zuri sana

  • @focuserick6162
    @focuserick6162 2 года назад

    Hongera sana ukoo wa makuriro

  • @hassanmussa3664
    @hassanmussa3664 2 года назад

    Umetuelimisha kaka hongera mungu akubarik

  • @chiddybest71
    @chiddybest71 2 года назад

    Safi bro

  • @johnmedia9756
    @johnmedia9756 2 года назад

    Kwe Mungu akubaliki

  • @AKASH-Posh911
    @AKASH-Posh911 2 года назад

    Ninakuelewa sana Bro.

  • @aulamongi2020
    @aulamongi2020 2 года назад

    so cool environment

  • @sydinemasibo
    @sydinemasibo 2 года назад

    God bless you so much am your fun I hope one day I will see you

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 года назад +2

    Vizuri kutujulisha maisha ya marekani

  • @africangirllifestyle7686
    @africangirllifestyle7686 2 года назад +2

    Marekani Ni sehemu napaogoap sanaaaaaaa

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 2 года назад

    Bro upo sawa sana nimekuelewa sana

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 2 года назад

    Asante sana kwa hii video. Imetupa uelewa ili tuache kudanganywa

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 2 года назад

    Hii channeli ni nzuri sana. Utapata watazamaji wengi

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 2 года назад

    Asante sana kutuelimisha

  • @joshuakinabo6861
    @joshuakinabo6861 2 года назад

    Nzuri sanaaa one day yes