Nyinyi waTz mna ndoto ndogo sana maishani. Kuingia US army ni kitu ya mtoto wa miaka 17-20 akimaliza high school hata akifeli mtihani. Watu waafrica wamesoma shahada za nguvu na nyinyi ni kuota ndoto za kiushenji tu. Hasara tupu nyinyi mtabaki kuwa mkia kwa East Africa..
Nina miaka 22 sasa ninasomea cyber security and digital foreinsic engineering Tanxania udom natamani kuishi marekani kwa maisha yangu yote kaka EBM naomba unisaidia kwenye hili natamani niingie kwa njia ya jeshi
Acha kusasilit taifa lako ww hv kweli unasubutu kusema nataka kuishi malekan kwa maisha yanga yoteeee pumbavu sana ww tena ww sio mzalendo Yan unasoma kwa Kodi zetu alf utumikie taifa lengine
@@miltonmachage2462acha chuki wewe...kila mtu ana ndoto zake. Isitoshe huko TZ vinaja hawana kazi wapo mtaani baada ya kusoma degrees zao. Sasa wakipata chance waache kwenda nje? Acha chuki wewe
Muongo, the reason watu hujiunga na majeshi ya marekani au any western military ni kutafuta status ya ukaazi, yes at some point unatakiwa kuwa na status, but possibly hata mwanafunzi you might be able ku switch na kujiunga na Jeshi and eventual kupata status ya mda mrefu
Kujiunga na jeshi la US ni kupoteza muda. Unaweza kufanya kila kitu na zaidi bila kwenda huko jeshini. Wengi wameenda jeshini na sasa wapo mtaani wanapambana na hali zao huku maisha yamewachapa. EBM makes informative videos ila kuna kipindi anaiabudu sana US kupita kiasi.
@@Arnolvel Sahihi kwa lipi? Nini ambacho vet anafanya ambacho mtu mwingine hawezi? Kazini kwangu vets kibao wapo chini yangu wapo wapo tu hadi nawaonea huruma walienda kupoteza muda wao tu huko jeshini.
Sasa nambie mbona nasikia eti ukipokea mushala auluhusu kutumana pesa kwenu kumazilikio ata ukituma eti kuna hela fulani auezi kuzidisha tupe ukweli kwaico kitu
Dah ahsante sana kaka yetu kwa ujumbe walio na vigezo wachangamkie fursa iyo me napenda jeshi ila kaelimu kadogo ila napenda sana
Nakupata Brother EBM nafatilia vyema kutoka Dar Es Salaam Now time nipo kazini I'm Bajaj Driver... Thank you...
Mungu akupuganie ndugu.
Kuna kipindi ulisema wasiokuwa na High School kuna mtihani maalumu wanaufanya, hii imekaaje ndugu..?
Ahsante EBM Swahili Kwa Elimu ✊
Nyinyi waTz mna ndoto ndogo sana maishani.
Kuingia US army ni kitu ya mtoto wa miaka 17-20 akimaliza high school hata akifeli mtihani. Watu waafrica wamesoma shahada za nguvu na nyinyi ni kuota ndoto za kiushenji tu. Hasara tupu nyinyi mtabaki kuwa mkia kwa East Africa..
Hilo ndilo pekee uliloliona?
Na uyo mbona ajawa mkia
Asante. Je ulikaa jeshini kwa muda gani? Na je unaweza kustafu muda wowote ukihitaji?
God Bless America
Maisha marefu brother Mungu na Akubariki
Good 👍 advice brother
Nina miaka 22 sasa ninasomea cyber security and digital foreinsic engineering Tanxania udom natamani kuishi marekani kwa maisha yangu yote kaka EBM naomba unisaidia kwenye hili natamani niingie kwa njia ya jeshi
Acha kusasilit taifa lako ww hv kweli unasubutu kusema nataka kuishi malekan kwa maisha yanga yoteeee pumbavu sana ww tena ww sio mzalendo Yan unasoma kwa Kodi zetu alf utumikie taifa lengine
@@miltonmachage2462 fala were anasomaa Kwa ela ya mama yako
@@miltonmachage2462 sasa kama nchi yake haijampatia nafasi ya kulitumikia katika jeshi afanye nini?!
Saf kijn elimu yako ni nzuri sana..nakuombea utimize ndoto zako..maisha popote,usidanganywe na kivuli cha uzalendo utakufa masikini😂
@@miltonmachage2462acha chuki wewe...kila mtu ana ndoto zake. Isitoshe huko TZ vinaja hawana kazi wapo mtaani baada ya kusoma degrees zao.
Sasa wakipata chance waache kwenda nje? Acha chuki wewe
😂😂EBM 11:36 maisha ya africa ni boot camp toshaaa
Nimejibika apa🙏
Jeshi la U.S A raha sana
Muongo, the reason watu hujiunga na majeshi ya marekani au any western military ni kutafuta status ya ukaazi, yes at some point unatakiwa kuwa na status, but possibly hata mwanafunzi you might be able ku switch na kujiunga na Jeshi and eventual kupata status ya mda mrefu
Kwiyo ukiwa Na certificate ya Coz example account je unakubalika?
Sio kwamba unajiunga tuu inabidi first kufanya mitihani yawo
✊
Kaka @EBM je mtu wa diploma anaweza kwenda jeshi la Marekani ???😊
Hahaaaa maisha ya Africa ni depo tosha dah!
Hahahaha Maisha ya Africa ni depo tosha😆
🙏
Kujiunga na jeshi la US ni kupoteza muda. Unaweza kufanya kila kitu na zaidi bila kwenda huko jeshini. Wengi wameenda jeshini na sasa wapo mtaani wanapambana na hali zao huku maisha yamewachapa. EBM makes informative videos ila kuna kipindi anaiabudu sana US kupita kiasi.
Umarekani ushamuingia huyu
@@Arnolvel Sahihi kwa lipi? Nini ambacho vet anafanya ambacho mtu mwingine hawezi? Kazini kwangu vets kibao wapo chini yangu wapo wapo tu hadi nawaonea huruma walienda kupoteza muda wao tu huko jeshini.
@@mbuvamedia195 Kabisa. Jamaa anaiabudu sana US. Anafanya watu waamini hakuna maisha zaidi ya US.
vip wewe upo us?
@@ellymia5555 Ndiyo.
Kwl kabisaa maisha ya africa ni jeshin kamil hahahahahaha
JESHI GANI HIYO HADI USHOGA INAFANYIKA 😂😂NA IMERUHUSIWA .
Unaweza kunisaidia kuhusu kujiunga na IDF
Sasa nambie mbona nasikia eti ukipokea mushala auluhusu kutumana pesa kwenu kumazilikio ata ukituma eti kuna hela fulani auezi kuzidisha tupe ukweli kwaico kitu
Jiunge mkuu uende Afghanistan 🇦🇫
Tunaomba ututafutie na jinsi ya utaratibu wa kujiunga na jeshi la urusi
Tafuta wa tanzania wanaoishi urus watakuambia
Je kujiunga ni bure au inakuje
Ukitaka kusomea ujasusi ama intelligency unasoma course gani?,ninge penda kufanya kazi n'a Nasa, ama CIA, FBI etc...,
Sasa kwanini veterans wanaishia kutumia madawa na suicide kama kuna mambo mengi kama haya
Hujasikia memory kwenye miti hakuna wajenzi?
Mimi ninaipendasanaiyokazi
🙏🏿🙏🏿
.
🇹🇿
mwamba wewe ni tajiri aisee umetoboa
Je katika upande wa elimu nina elimu ya form four na nilipata divison 4 point 29 je inakubalika kujiunga
Si umeambiwa kuwa unatakiwa atleast uwe umefikia high school au hujaelewa
@@arafathussein7910 yaani watu hawasikilizi video vizuri
Wewe ni opportunist sana mpaka una ingia jeshi LA USA sio mzalendo kabisa!!!!!
😳😳
Kwani Kuna mtu duniani sio opportunisty?bro ebm eh! Endelea kusaidia watu wako sio lazima tujazane humu
@@veraisaria imma eeeh 👍
Ww nmuzarendo
Zawadi×'...wewe baki na kauli hiyo,hiyo ya kufanya watu mabwege eti uzalendo pumbav sn ..wenzio wanyoosha mambo yao wenye nchi🤣