😁 MACHOZI YA FURAHA WALIOCHAGULIWA FAINALI YA CHEKA TU COMEDY SEARCH 2021
HTML-код
- Опубликовано: 24 сен 2021
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#ChekaTu #ChekaTuComedySearch #WasafiTv - Развлечения
coy ni jaji mziri sana.napenda kicheko chake.mungu akupe maisha marefu mwanagu.🎉🎉🎉
Naombeni like za mc eliud😉
Eliud & Leonardo all the best guys wote mnajua kinyama 🤣🤣🤣🤣
Tangu nmjue koy Tena kwa kumuona kwenye cheka tu cjawah juta kumfaham nampenda na namkubal vbya mno uyu Kaka may God keep him alive atakuwa msaada kwa weng one day🙏
Said kanichekesha ad nguvu zimeisha so talented bro salute
Daaah Mr coy yaani icho kitu ulicho kifanya naona kama umenifanyia Mimi asante sana. Napia hii imenisaidia kuwa na kujiamin na kuto kukata tamaa atakama ni hatua ya mwisho asante sana coy mzungu na uwongoz wote wa Cheka 2
Baba levo akitaniwa uchawa dizaini kama hapendi hv..hahahahaha
Coy maneno yako.. Daaahhh hatari sana we mtu.. Ubongo wako uko na madini...
Dah nikwel
Leonardo hatari sana unajua kinomaa 🙌🙌🙌
Leonardo na asma, ewe MUNGU wajaalie washinde, Leonardo namba moja, asma namba mbili
Eliud very nice
Said leo ametisha sana, from today im your fun
Boom aende USA ama Europe yaani ataeleweka sana. He is very smart and talented.Yaani anaelemisha kuwa bangi ni ukichaa . Said na Asma nao wapo vizuri
Aisee amefanyaje
Mbona hawajasema nini tatizo
Me mwenyewe najiuliza kafanya nn kafanya mistke gn
Ile magic alofanya mwisho ndio iliyomuangusha lkn mwanzo alianza vzr
Anaujanja mwingi kuliko mazingaombwe yake ukikagua vizuri kuna vimshipi kavptsha vidore uzuri ata kama mazingaombwe yake feki ila kipaji cha ujanja anacho anajua kucheza ns akili za watu
Jamn mm Nina uhakika watu wangu wawili tuu leonado na saidi said mshindi number moja na number mbili mtakuja kuniambia maana hawa viumbe wanachuana n noma Sana💪
MC ELIUD PLS JITAHIDI BABA UR MY WINNER😍
Eliud apambane... Wakina Leornard , said said na asma ni moto wa kuotea mbali
Leonard he's the best 😍👏👏👏
❤❤❤❤
Leonard leo hana maaajabu Ndaro kaua sanaaaaa yaaaan😂🤣
Leonard,asma,na Eliudy yanii mi bomba sana
Dah! Boom Chakalaaa imeniuma kumpoteza Uyu mwamba
😭😭😭😭😭
Daah mo town....umetishaaa sna brother 🔥🔥
Leonard yupo poa ila asiwe kama msoma taarifa amiliki jukwaa kama jol master au erico, mo town amewaokoa waliotakiwa kuondoka na huruma za coy Mungu awabariki,
Baba levo yupo real ni mtu poa sana nae anakueleza uhalisia ili ujirekebishe na ni kamanda wa uvumilivu ameingia kwenye sanaa tangu mtoto ndio anatoka rasmi sasa. Nc tm
Coy..umefanya kitu Cha motivation Sana always Mungu azidi kuwa nawe....maana umenifundsha kuwa hata nyakati za kufeli ushindi unaweza patikana ndani yake💪🏽💪🏽💪🏽
Asma kama Asma kazi nzuri saaana!!! You nailed it girl!! Kaza buti!
hata mm nampenda Asma na Leonardo
Mimi sio mtanzania ila mimi nimu Africa big up saana wasafi .
Kweli kbs mume watimuwa wa wili ambao ni kweli kwako 🇨🇩❤️🔥 Napenda sana CHEKA TU COMEDY
Coy umeongea vizuri mungu akubariki. Baba levo jamani 🤣🤣🤣
Baba levo... Anazingua sn uwez mchek mtu.... 👏 👏 👏 Hata kam kashindw.... Hapo umezinguaa... BIGUP koy
Leo siloswagQ wa mwanzo nakubali cheka tuu..na wasafi kwa ujumla
ruclips.net/video/L0HUlvg01XA/видео.html
Leonardo always is the GREATEST
Well said
@@zaizaitwaha6633 hakika
Hakika ye mwenyew anajiamin Hana papara
@@elithadam2791 yes ofcourse he is fantastic
@@zaizaitwaha6633 jj5
Jaribuni mchekeshaji akiingia kwenye jukwaa awe angaa na salamu za kujitambusha… Za kuleta shangwe hivi. Otherwise you Are doing a good Job 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Said said ni mshindi wangu😂😂😂
kabsa yAni
Show Kali. Leonardo, Said na Boomchakala
Duh leonardo namkubal sana ila said said anakuja juu hatary, xo wanachuana vikal sana
Leonard ni moto wa kuotea mbali kam hawajamp hamn mwengine
Leonard Asma and saidi Mungu azidi kuwainua ,
Brother koi god bless you my brother
Leonardo u kill it, said said, ndaro wish u all the best
Nakupenda sana coy,yani una roho ya ajabu sana na hii nimeanza kuiona tangu nilipoanza kukuona
i love that judge in between the lady and baba levo ,,he is very kind he uses wisdom
His name is Coy Mzungu
Asma anatumia akili nyingi sana ..respect Dada!!
Nawaombea kwa MUNGU, asma na Leonardo wapate ushindi
Koi I love your life Experience and motivation bigup ✌️👍💪🔥🔥🔥
Aseeee eliudy umetisha
Asma she is genius
More love to her
@@aidanfrancis7209 🤜👍
AZABOI JAMAA YUPO VIZURI SAAANA...MSHINDI WETU AZABOI🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Said said&Leonardo mko pw sana, ila Leo leornado said kakufunika vibaya sana, kama unataka mpunga kaza sana mwshoni huku, said saidi pia kaza buti mumpe mtihani katka selection ya mshind chawa baba levo.
Boom shakala you will make it ma men,am your hard fun
Boom shakala… i believe in you bro keep it up show them fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu jamaa Coy Mzungu anafaa kuwa Consultant kabisa, I appreciate your efforts bro
Eliud is mastermind
ALIE GUNDUA SANYA ALICHAPIA BADALA YAKUSEMA NI KUKUMBUSHE AKASEMA NIKUKUMBUKE ALAFU CHAPU AKAIUNGANISHA KAMA AKIJATOKEA KITU 🤣🤣🤣🤣KAMA UMEELEWA ICHO KIUNGANISHI NIPE LIKE
Ila washikaji huyu Koi ni Binadam Sana. Mungu ambariki Sana
Eliud Performance Ya leo ni Nguvu. Keep it up
tupo wengi sana kwamuda huu🇨🇩🇨🇩
Headmaster is another level😍😍😍
Leonard and asma 🔥🔥
Said said,.. Ndaro, Leornado na Esma hawa wote ni balaaa🙌
Am team eliudi,eliudi kwenye hiyo 10 million,buku tu litanitosha
Jamaa ana huruma sana mungu amsimamie 🙏
coy una kitu mkali we ni mtu pekee upo tofaut sana💪
I like this guys ndaro,leonard,saidi and asma this guys wako poa sana😁
Daah kwamba headmaster hujamuona em nmuadd apo🔥🔥
leonard anachekesha tu jinsi alivo hata bila kuongea
Mc Eliud Ndo Mshindi Wangu Mimi
Nipopamoja nawewe
Same here
30:33 kibibi kafurahisha nahiyo story kwasababu inamgusa kutoka moyoni
Muliyo jaaliwa kuingia final ,ongezeni material musilewe sifa,kwa nyote muko vizuri lkn haya ni mashindano lazma tupate mshindi
Nawapenda sanaaaaa cheka tu
Nakupenda Asma Majid, ila ongeza zaidi material uchukue ubingwa.
Said said diserve to be the best✊
Real bro
Tukutane trh 1-10-2021 Mlmni- City
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Its the konde boy's instrumental teacher for me i love that song konde boooooy to the world 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kha wenawe
@@nlmnextlevelmsck9127 ssssssssssssssssssssssss
Napanga kikosi, cha ushindi tarehe Moja, wa kwanza, Said said, pili leonard, na tatu ndalo
.
Leornard number uno
Mbeya boy oyeeeeee....
Mc Eliud u killed it home boi
from Kenya cheka tu you are doing good thing congratulations 👏
Eliudi yuko poa sana, namuombea aweze kushinda
Alafu anachekucha kwa vitendo amechachuka hatari
@@khadijanjama8721 everyone has the right to choose who he loves as well as every human being has the right to be loved GOD exists
@@khadijanjama8721 everyone has the right to choose who he loves as well as every human being has the right to be loved GOD exists
Eliud killed it
Ndo mshind
Eliud noma
@@user-jk5ir4ke3z Hakika ana utamu wa pekeyake
Leonard 🔥
Dah love you brother coy 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 coz nimeanza kulia nimewahurumia sana ila kaka una moyo sana🥰🥰🥰
Nani kamuona baba levo alivyoloa kawa mdogo kama sisimizi kusikiya chawa😅🤦♂️
Said said umetisha 🤣🤣🤣
Aisee koi nimempeñda sanaaa! Much love to this humble man
Wow! Boom 🔥🔥🔥 wish you good luck
Namkubali sana Ndaro
Leonardo you kill it, bt acha mazoea ili uweze kushinda, don't relax my boy.
Asma ongeza nguvu dada utuwakilishe wanawak wenzio 🙏🙏🙏
Said saidi joke was crazy 😂😂😂😂😂
Huyu mc Eliud ni fundi saana aisee 😂😂🤣
Ndaro..saidi..asma..eliud..😮😮
leonardo nakupenda sn unauwezo mkubwa kiukwell yaan ww nasaid na Asma ngoma droo
The magician and comedian is a biggest star that guy has challenged me
Coi uyo ulimwambia I love you fundi ase
Humble man Koi nimeamini kweli wewe ni Mzungu
Nimefurahi wakati nimesikia watakuwa fainal raha sana Asante sana koy mzugu
Hata mimi
Eliud for life ❤❤😂
I love u coy am a biggest fan of yours so lovely NYC n sweet very courageous
😂😂😂 🎉nimemkumbatia mtumishi wa mungu🤣🤣🤣😘😘😘
Baba levo,,,jokes nyingi sana broo
Said Said na Leonard nan tumupe ushindi
Kiukweli nawapongeza majaji kwani mmefanya kazi nzuri maana kwa leo ata mimi nimeridhika na mlivyotoa mmefanya haki kabisa ,,hao wamearibu
Dahhh Coy Mzungu ana motivation sana!! Anafaa kuwa Councelor!!
Daaah uyo head anajua sanaaaaaaa😂😂😂😂
Azaboi anachekesha kwa akili sana alivyo anaweza kuitwa achekeshe hata mawazili wabunge huko mikutano ya serikali kakaa ki officially
Headmaster is next level
Ilove you coy kupitia kipindi chako najifunza kuwa makini kwa kile nnachofanya