leonardo jikaze baba napenda uwe mtu wamwanzo Asma wa2 nawakubali jitaid kipaji choko kizur sana kwanza akili unayo mashaaallah nakuombea ufanikiwe umetumia ujasir mkubwa Allah akutangulie leonardo
Once again team 1:Asma 2: Mama Nyonzo, tuko pamoja japo, ametoka lakin Nina Imani kubwa Sana nawewe, Mimi nishabiki yako mkubwa, mtaani patakuimarisha Zaid , #seeyouAtThetop🔥🔥🔥🔥🔥
Eliud umeshinda baba umegusa maisha yangu nimecheka balaa kila siku unanichekesha Mungu akubariki najua safari ni ngumu na hayo nimashindano naamini kwa kipaji chako Mungu akusimamie uhakika broo sichekagi ovyoo umeua umeua umeua tena 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Namkubali Sana chief judge nimtu mwenye kutia watu moyo na muda wote anaongea point Sana pia mimi imeniuma sana Sana kwa waliorudi nyumbani they're going to give up mwanzo baba levo ameongea vibaya Sana alivyokua anasema "wanakaa hotelini Hawa kwa hyo kuna gharama" hyo kwanza inamfanya mtu aone aibu na machoz yamenitoka sijapenda maneno yake anatakiwa kua WIZE mwanzo busara inatengeneza amani na kukubali😔😭😭😭😭
Coy mzungu kazi iko kwako kujaji ila vijana wako vizuriiii Leonardo,Saidi Saidi,Asma,Professor,Headmaster nk Yani ni shidaaaa Natamani hata wachukuliwe washiriki wote tu maana kila mmoja ana upekee wake
Nawapongeza sana majaji kwa matokeo mazuri hamumpendelei mtu mko vizuri sana na has jajji kohl mvungu anavyowapza toho yaani kwa hisiya hadi rahahaswaaaa kwa kweli nimeenda sana huyo kaka MMungu ambariki inshaallah
Kwanza nimpongeze baba Levo, ni mkweli na jasiri sana yupo kazini kweli kweli.
Pili niwapongeze wote washiriki, na wa andaji kwa kazi nzuri.
Eliud umejua kutufurahish watu wq mbeya big up bro we love you so much mbeya city
Djkxblcbkpl boy no bm pm zAiol
Daaaahhhhh am in love with asmaaa.....MUNGU akujalie Asma ..nje ya hilo nakupenda asee
leonardo jikaze baba napenda uwe mtu wamwanzo Asma wa2 nawakubali jitaid kipaji choko kizur sana kwanza akili unayo mashaaallah nakuombea ufanikiwe umetumia ujasir mkubwa Allah akutangulie leonardo
Sema Leonardo mtu mbad Sana salute bro 😂😂😂 nimecheka kifala Sana
Bidiuk 😄🔥
Mc Eliud amefanya vzr leo let's hope ametoeka kwene danger zone.❤❤❤#teammbeya.
Oyaaa hii show hivi kila baada ya siku ngap niliimisi sana😂😂
Once again team
1:Asma
2: Mama Nyonzo, tuko pamoja japo, ametoka lakin Nina Imani kubwa Sana nawewe, Mimi nishabiki yako mkubwa, mtaani patakuimarisha Zaid , #seeyouAtThetop🔥🔥🔥🔥🔥
leonard na Asma mmetisha sana
Leonard.. Asma.. Ndaroo wanajua
Eliud umeshinda baba umegusa maisha yangu nimecheka balaa kila siku unanichekesha Mungu akubariki najua safari ni ngumu na hayo nimashindano naamini kwa kipaji chako Mungu akusimamie uhakika broo sichekagi ovyoo umeua umeua umeua tena 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Head master Yu good tuliaa kwa voice ya mamaa
Umetisha eliud mpaka tunatamani uwendelee kweli vitu ndio ivyoooo www nimkali
Leonardo we ni genius broo kama muasisi wa hilo jina leonardo da vinch. Pia Ndaro, saidi, mc ellioud, boom chakala, azaboy na nox m mnaweza sana
Wako poa sanaaa
Kipindi chenu kimenoga sana baada ya kumuondoa yule mzee wenu zembwela alikua hafai hata kdg kwenye kipindi chenu
Punguza makasiriko
Amini kweli sitanii
uko sahihi
Mmetisha sana
Juma huwa nampenda bure na vichekesho vyake😂😂
We Nisha unataka kujifanya kama Salama eti hucheki macho kwa Zarau
Coy Mzungu is indeed a good guy😊
Leonard mm ni shabik yako big up Allah awe pamoja nawe
Hata mie
Namkubali Sana chief judge nimtu mwenye kutia watu moyo na muda wote anaongea point Sana pia mimi imeniuma sana Sana kwa waliorudi nyumbani they're going to give up mwanzo baba levo ameongea vibaya Sana alivyokua anasema "wanakaa hotelini Hawa kwa hyo kuna gharama" hyo kwanza inamfanya mtu aone aibu na machoz yamenitoka sijapenda maneno yake anatakiwa kua WIZE mwanzo busara inatengeneza amani na kukubali😔😭😭😭😭
Semeni tuh ukweli dah yule leonard yani kila akija ni balaa yani mwanangu wakimnyima ushindi watanzania tumchangie ni bonge la kipaji
Leonard is very contented
Leornad is genius 🤣🤣🤣
ruclips.net/video/Smu7gj2od5Y/видео.html
Ndomana spend mashndano Nina presha pia naumia kwa haraka Zaid 💖chimamy pole pia dear!!
Nisiwe mnafiki ,Leonardo ndio bingwa mpaka muda huu
Hata mie nimeona hivyo hivyo
Coy mzungu kazi iko kwako kujaji ila vijana wako vizuriiii Leonardo,Saidi Saidi,Asma,Professor,Headmaster nk Yani ni shidaaaa Natamani hata wachukuliwe washiriki wote tu maana kila mmoja ana upekee wake
Well done
Zungu usije ukalia una roho nzuri sana ubarikiwe🙏🙏🙏🙏🙏👈
Big up to all participants have done well
Mimi ushauri wangu sehemu kama hiyo wawepo firstaid redcross ili likitokeya tatizo wawepo kuwasaidiya ni muhimu sana ktk mikusanyiko ya watu
Nawapongeza sana majaji kwa matokeo mazuri hamumpendelei mtu mko vizuri sana na has jajji kohl mvungu anavyowapza toho yaani kwa hisiya hadi rahahaswaaaa kwa kweli nimeenda sana huyo kaka MMungu ambariki inshaallah
Asee dogo leonald lazima achukue mpunga wafany vvote dogo anatisha
All the participants are so special
ruclips.net/video/Smu7gj2od5Y/видео.html
Sanaaaaaa
Saidi killed it
Said fundi
Mama Nyonzo umepitia wakati mgumu, katikati ya mashindano ulimpoyeza baba yako mzazi. Wakati wako unakuja my love. Keep it up❤️❤️❤️
Jamani mie nikimsikiliza Asma nainjoy sana kwakweli anajua vibaya mno. Asma popote ulipo bigup sana
Leonald the winner
Leonard ten million zako izo amin ivyo kaza
Leonard 🔥🔥🔥🔥💥
Umeona eeeh
Ndaro,said,Leonardo ,nox M na Mc eliurd ndo top 5 yangu
na azaboi
Uyu Leonard naona kashapta..
Asma ndio mshindi ❤️
leonardo fundi na ndio bigwa wa 10 milion
Jamani naomba hii shooo iendelee angalau kwa mwaka hata mara tatu jamani duh kiukweli washabiki tunaenjoy
Baba levo ww ni mcheshi sana nakupenda tu unafanya kazi yako kwa ubunifu.
Eliud has done well
head master 😂😂
Leonald
Honestly LEONARDO is my namba one fan...👏👏👏
1. Leonard
2. Eliud
Leonad unauwaaa🔥🔥🔥🔥🔥💞💞😘
Ndaro noumaaaaa....🙌
Josephat kaaga kiume👏👏👏🇧🇮 Kdo
Lenado chukua pesa uondeke
Eliud Ni Nomaa
Leonard your the best 🔥🔥
Said said, leornado, headmaster mpo vzr
Baba levo naona mshindi wake ni Leonardo
Leonard he is real and funny
sanaaa
Fact
Saidi is the best
Leonard anajuaaaa
Leonardo 😅😅✌
Eliud..leo..nox..head..🤣🤣
Leonard is the Best
Ningehuzunika Headmaster kutoka leo katisha sana
Mc mboneke ww mbn haupoo mie nakubalii kua dalalii
Leonardo...said...asma...boom...
Bidiuk 😄🔥
Ndaro & headmaster ar ma favourite
Piga kelele kwa said said 🔥🔥🔥
Fundi
Said ni moto San@
Eliud u killing dem 🔥
TX ruclips.net/video/ObkUUy3PWpw/видео.html
pendo nyonzo vizur sana
Asante Mc Eliud na Asmah
Leonard ni mtu na nusu
head master yani wew katika wote wew ni talented alafu una jua kucheza na stage. Uko poa sana komaa mkali una jua
HEAD MASTER AMENIUA NAKICHEKO😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Head master ameuwaa ila shida zaidi n kwayule Dogo bernad
WHAT YOU DONT KNOW ABT LEONARD ..HE HAS BEEN DOING THIS FOR A MINUTE...
ruclips.net/video/Smu7gj2od5Y/видео.html
Sema mwanzoni patamu mwishoni maumivu uwii
Baba Levo ni bonge la judge aisee anatoa kavu yaani black and white.... Safiiiii
Eliud kaperform vzury Leo ckutegemea mmmwaaaa
Nmeumiaaaa sanaaa kwamaneno ya chimamy mnatoka sehem mbalmbal mnazoeanaa alafuu mnaachanaa inaumaa kwakwel😭😭😭😭
Leonardo is the genius
leonardo nampenda kipaji chake huyo kaka namuombea apite yeye yaan yupo vizur sana
eliud umetisha kwakwel
kama umemkubari Eliud gonga like
Leonard🙌🙌
Eliud daah unajua kutuwakirisha WANYAKYUSA pamoja sana bro
Baba Levo tunakupenda Sana unajua kazi
Had master umenivunja mbavu jamani 😂🤣😂
Leonadi ni noma
Leonardo...azaboy...... Mamb ni moto
REONARD bwana ata alivyo utaceka tu
Said kama said
Leornad is the genius
Nimependa jinsi josephat alivyoaga👏👏👏inaonyesha anakipaji sana😭
Sjawahi kukoment lakini Leo duh? Big up leonard
Eliud na Leonard wako pouwaaah
Leornad is best per formas
Ndaro,Asma ,said, Leonard, headmaster,Boom,eliud ,mmeuwaaaa
Ths z so amazing
LEORNARD AND SAID SAID ARE THE WINNER🔥🔥🔥🔥
Wote wanzr San lkn mmoja ndioo mshind et cjui nani hpo@
Melissa anaekti comedian nzuri Sanaa😆😆
1:32:07
Upo makini😂😂😂😂😂
Tunaomba siku moja mumuharke na mboyoyo/ maneno kumi
Big up Mc Eliud
Asma ni mbunifu mno
Mnatakiwa kuwa na medical emergency team, msifeli hilo
You guys are growing to something, keep it up 💗💗💗
Headmaster, kwa vyovyote vile wewe ni genius.
ruclips.net/video/Smu7gj2od5Y/видео.html