Vaileth Mwaisumo-Nenda na Mimi (Official Music Video) SMS: Skiza 5441206 to 811
HTML-код
- Опубликовано: 1 фев 2025
- MUNGU ndio kiongozi Mkuu wa safari yetu yenye mambo mazito na magumu lakini akitembea nasi safari ni nyepesi, wimbo huu ukukumbushe kuwa unamuhitaji MUNGU kwa kila hatua unayopitia maana bila yeye hautafika popote wala hautaweza kushinda
#VailethMwaisumo #NendaNaMimi #MusicVideo.
Any team strong here am dedicating this song to us,,,,, nenda na sisi bwana
Amen
Amen
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✋ if you are a Kenyan and you would like to see Kenyans rising like this woman mwaisumo, let's give her a million like like so that God bless us too. It's cost nothing to give a like.
Thanks much
✋
@@roselydahsamba2903 God bless you
nenda na mm bwana angalia mapito yangu ninayo pitia pekea angu siwez 🙏🙏🙏 nakuomba nenda na mm bwana
Much love from Baringo Kenya,I remember on 12 Jan 2020 when I first listen to this song it really filled my heart with holy spirit,and from that date my life has really changed ,o lord bless your servant valieth whenever she is
Nenda n mimi bwana napitia mengi katika maisha familia wakina bwana wanitaki cjuwi n kwann mungu nipe jibu😢😢
Enda na mimi bwana,nakuachia maisha yangu,na kila jambo nitakalo lifanya,kila step ya maisha yangu enda mimi bwana
Amina
Yaani sometimes I just get wivu,but wivu mzuri ule wa Mungu,,, sometimes uwa ninaimagine tu ni Mimi ninamtumikia Mungu kwa hii jia mzuri hivi, dada ogera kwa kazi mzuri ya Mungu unayoifanya. Na ubarikiwe Sana.
Thanks mtumishi, nabarikiwa kwa nyimbo ,zako,,najua mungu atanitendea kupitia ujumbe wako, maombi yako,maombi yangu ,ubarikiwe kwa kipaji na neema ya uimbaji,,mungu akubariki na akuinue zaidi!!Amen,,,...
Maisha magumu eeh mungu trngeneza njia yangu niende na wewe kila mahali nguvu za giza zilizofunga baraka zangu baba una nguvu ya kuzimaliza nenda na mimi nishinde baba🤲🤲🤲
Amina
Tangulia mbele yangu Adui wangu wasinimezs, nenda na Mimi Bwana😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲
Amen
😢when is already relating with my life 😢, Nenda na Mimi Bwana
Love from kenya 🇰🇪 May God continue loading your soul with revelation 😊🥺🙌🙌🙌🙌🙌🙌wakenya let’s show her some love
Amen
was really waiting for this song
Is this Njoki from kahuguini ama??
@@dinah_wanjohi 😜yah 🥰🥰🥰
@@njokiwajesus8907 Waah!!!! Milima tu ndio haiwezi ikapatana 😂😂
Mungu akubariki sana mtumishi,kupitia kwa wimbo huu naomba mungu anitangulie kwenye njia zangu maana yeye ni mwaminifu si kama mwanadamu
Babaaaa yangu nenda namiiii.... anyone reading this may you have prosperity in whatever your doing,may you find peace and heal in everything that hurt you....nenda nasisi bwana....usituache
Amen
Amen
Amen
Amen
Oh yes nenda baba tangulia mbele juu ya watoto wangu baba baba baba nenda baba tangulia baba kwa watoto wangu,fungua mlango baba fungua mlango wa kibarua baba nenda nao,nimekuwachia baba😭😭😭😭😭😭
Amen
Oooh my Lord nenda na mimi mambo yamekua magumu sana Kila siku ni mimi mbona lakini jioneshee kwangu wajue upoo baba binguni🙏🙏🙏🙏🤦🤦🤦😭😭😭😭🧎🧎🧎🤷🤷🤷
Amina
Amen nyimbo nzuri sana,barikiwa mtumishi.
Hongera Sana mistari inanigusa sna nenda na kimimi
hipo siku mungu atakukumbuka,,husikate tamaa,endelea kutenbea Kwa imani
Oooh lord, 🙏🙏🙏😭😭😭😭nime tokwa na majosi kwa Yale nayapitia ooh lord 😚😚😚nenda na Mimi bwani hii song n Mimi kapisaaa thenks 🙏🙏
Kupitia kwa wimbo huu nashukuru mungu umbali amenitoa naninamtumainia kwa umbali natazamia anifikishe,nitamtukuza siku zote
Ama kwa kweli,,,Baba Nenda na Mimi 🙏🙏🙏,,,ujumbe mzito na wenye matumaini tele😔😔😔,,, MUNGU Akuzidishie Tena Tena mama,sauti nzuri ,, nimebarikiwa.
Amen
Hakuna rafiki mzuri kama yesu tembea popote yeye atakupa nguvu usonge mbele ndo maana hakuna wakufanana nae ee mungu nenda nami 🙏🙏
Amina
Huu wimbo umezungumzia maisha yangu🙏🙏sitamuacha Bwana hadi mwisho wa dahari na sitashindwa na chochote,nenda nami Bwana.Barikiwa sana darling💓
Amen
Nenda na Mimi Bwana 2023
Amen
Nenda namimi bwana
Amen
Njiq ina miiba Baba yangu enda na mimi🙏🙏
Oooh mungu wangu ,,, nmelia vya kutosha nenda nami😭😭😭
Amen
Nenda nami yesu safari yangu c rahisi n ya changamoto mingi...kuna milima na mabonde nenda nami Baba nisije nkabotoka njiani na watambue uko nami Hadi mwisho wengi wananikashivu wakisema ninakuomba na bdo nko na mashida😥😥😥😥😥nionekanie babaaa🙌🙌🙌🙌🙌
Amen
Nenda na mimi bwana, wipe my tears , change my story ooh Lord Jesus 🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Amen
😭😭😭😭 Timely..Baba yangu nenda namimi 😭
Amen
Wimbo huu nikama uliandikwa na kuimbwa kwa ajili yangu..Hongera Mama,Mungu akuzidishie na zaidi kwa kila hatua ya huduma hii,Akupe heri/baraka.
Amina
Nenda nami Yesu wangu 😭😭😭jikweze kwa maisha yangu Yesu ili wajue ninae Mungu wa mbinguni usiniaibishe 😭😭😭🤲Mungu wangu we ndo tegemeo langu
Amen
Dear God nakuombatu uenda na mimi❤❤❤
Pia mm naomba nenda mm bwana
Dear God...nakuomba tu uende na mimi popote niendapo ufike mbele hii maisha ni ngumu sana nenda na mimi bwana nshikilie na usiniache bwana congrats mommy🇰🇪🇰🇪
Amina
Asante sana Dada imenibariki sana wimbo wako
Huu wimbo amenifanya n sawa alikuwa na stress
Napenda songs zako mama huninguza sana .....Expecially hii song aki ......😢😢
😭😭😭 NENDA NAMI BABA , KILA KONA NI VITA 😭😭😭 MAADUI WANGU NI WENGI, HUU WIMBO NI WANGU HAKI .
Amina
Bab nenda na mimi bwan kila kukicha matatizo jmn 🙏🙏🤷🤷🧎🧎
MUNGU anaweza
Eee bwana enda na mimi kila siku imekuwa kilio nimechukiwa ata na wazazi sasa niende wapii mungu enda na mimi
MUNGU aende na wewe Amina
@@vailethmwaisumo niombee sana
Kusema kweli mungu amekupa kipawa Cha kuimba nyinbo zako zinanibariki sana mungu akuzidishie kipawa in Jesus name amen 🙏
Amen
Hallelujah Mtumishi wa Mungu,,,,ubarikiwe sana popote ulipo.Kupitia nyimbo zako zinanitia nguvu. I can't wait oooooo.
Hallelujah Jehovah Nenda Na Mimi 🙏🙏🙏
Asante dada barikiwa Sana huu ni wimbo wa wakati kwa maisha yangu...Walisema sitafika December yesu nenda nami nifikishe, nivushe mwaka salama waaibishwe wafedheheshwe, naijukikane kwamba wewe yesu waenda nami maana kinywa changu chanena uhai kwa jina la yesu.... nenda nami bwana yesu
Amen
Nasikia nikiwa saudia Arabia. Kumbe ukikataliwa unaenda na baba❤❤❤❤❤nakupenda bure mami asante sana❤❤❤❤❤
Nangojea kwa hamu najua kupitia wimbo huu ntabarikiwa
Amen
Nenda mimi Bwana wangu unishike mkono n unitie nguvu kwenye safari hii ngumu ya maisha unipe ushuhuda🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️👏
Amen
This woman is a blessing to this generation may God bless you so much you always make me broken down on my knees and cry to God 🙏🙏🙏🙏🙏najua Kenyans in gulf wanajua what I mean anapoimba Hadi tunalilia God 🙏 wapi likes zake
Amina
Nataka kwenda mbali baba yangu henda na Mimi bwana
Ubarikiwe sana na Bwana.you never disapont mama. The creativity is on another level. Kama unabarikiwa onyesha like👍
Thanks much
Amina kubwa kubwa nilikuona mafinga shule ya mjimwema nilikua katika stress nilipita nikizubaa nikaenda polini kusikiliza nyimbo zako nikasema nikapata ujasir wakusimama nakuachilia nikamuachia mungu anisaidie
Ungenisalimu
😭😭after a tough night kumekucha and i came to listen to this song..Nenda Na Mimi Bwana
Kwa kweli bila Mungu safari zetu ni bure kabisa. Asante sana dada Vaileth
God is working through you Vaileth.... Mungu azidi kukuinua na kubariki kazi yako... akupe haja ya moyo wako
Amen
Amen
Amen...Glory to God
Ak imenigusa hi wimbo
Ameen,nenda na mimi baba 2023🙏🙏
Amina
Nyimbo zako hunitia nguvu sana nikumbuka watu walivyonitendea nashukuru Mungu mahali nimefika
Amina
Me too hizi songs... waaah.May God bless you
Mungu naomba usiniache naomba uende na mimi nataka kukuona kwa viwango vingine
Amen
Nyimbo zako zinanibariki sana na kunitia nguvu wakati nimefika mwisho na kukata tamaa ya kuendelea kupambana kam mfanyikazi wa ndani..keep it up 👏
Amen
Amen enda nammi safari nilio kwenda usipo kwenda nami siwezi peke yangu barikiwa kwa wimbo huyo dada yangu kipenzi
Amen
Huu wimbo una ujumbe mzito sana,ubarikiwe dada yangu,may your olive oil never run dry 🙏🙏🙏
Amen
Glory to our GOD, Kweli mungu ukienda nami ni baraka tele na mafanikio wala hakuna kushindwa, ameeeni mtumishi wa mungu.
Nothing beautiful on this earth 🌎 like praising God 🙏. God bless this.
Amen
Kwa akika nimebarikiwa sana waja mungu ahitwe mungu, sifa na utukuvu simrudiye bwana.
Mungu nenda na Mimi 😭😭🙏🙏🙏
Amen
Enenda nami Bwana ,Nyoisha mapito yangg🙏🙏🙏
Am waiting for you my Lord!!! 🙏 🙏 🙏 He's a faithful God 🙏 🙏
Amen
Naupenda sana huu wimbo niuskiza nikiwa down unaninua barikiwa sana
Hallelujah🙏Praise the lord🙏Bring it on already Mummy we're waiting to be blessed,u won't dissapoint,May the good Lord continue to bless you and take you to another levels🙏Tiktok family kama mnangoja hii acha nione likes kwa Mama,WAKENYA TWAKUPENDA MUMY🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕💕💕💕💕💕🙏
Shukrani sana
Wakenya hatuchelewi
Nampenda bure
Watatafutana kumbe Baba Yuko nam kila sehemuuuu nenda baba bless my mamy fika mbaliiiiiii
Amen
Be blessed my sister vaileth wow beautiful worship 🇰🇪🇰🇪Kenya tukupenda sana
Shukrani sana
Enda nami yesu,ili nipate kushinda😢😢😢
God don't let them to think that you are fare away from us,,,, mungu nenda na Mimi🙏🙏🙏
Amen
Bwana nenda nami,bila wewe siwezi ,nishike mkono baba nionyeshe njia🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amen
Naomba Mungu Nenda nami katika kila jambo maana bila Wewe siwezi 🧎♀️🙏🏻
Nyimbo zako ni za nguvu humpa mtu matumaini kwa maisha , Asante Dada pokea Neema zaidi katika Utumishi👏👏
🎵❤
Amen
Nenda nami baba yangu 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤mungu akubariki sana dada yangu nyimbo zako huniguza sana naomba siku moja tukutane
A year now since I discovered this daughter of Zion.🇰🇪
Thanks
Nenda na mimi baba tangulia mbele yangu woi baba nihurumie tu nibandilishie maisha usinihaibishe
Amina
Being blessed from Zimbabwe, your music uplifts the spirit
Help with English subtitles
dear God bless my family 👪 plz God any problem in my family and life let problem end in Jesus name. bless this song may your grace be apon she ameeen ameeen ❤❤❤❤❤❤❤❤
Another hit from our mum,Nenda na mm bwana...can't get enough of it.... continue giving us hope into our lives...God bless you 🙏🙏🙏
Amen
Mama nisiwe mnafki huwa napenda sana kusikiliza sana nyimbo zako na flash yangu imejaa nyimbo zako kama zote cox I blessed through you mom ❤️❤️🙏
Your song sometimes heal the wounds in my heart be blessed mamah❤❤❤
Enda nami bwana 😭😭😭😭 peke yangu siwezi baba
Amen
Safari sio rahisi eeh baba nenda na mimi.
Kenya 🇰🇪 we love you 😍 keep the spirit mummy you give us strength to go on
Amen
IT IS BY THE GRACE OF GOD THAT WE OVERCOME ALL THE PROBLEMS AND CHALLENGES WHICH WE FACE IN OUR DAILY LIFE ✨️..
Amen
Nenda nami pamoja na Familia yangu 2025 jehova
Amina
I've downloaded almost all of your songs, they're so touching inspiring God bless you for me. I'll be playing them in my wedding just to let my enemies know I survived all that they put me through 😭😭 I'll forever live to praise God 🙏. More blessings mama love from 🇰🇪
Amen
Amen dia ,ashame the enemies
Enda na Mimi bwana, wenye niliamani waliniacha
Much love from Nakuru Kenya 💕💕... I just can't explain what your songs mean to me💕😭
Thanks
Unafaa kupanga safari uje Kenya❤️,,, we really love you mamaa
Baba yangu nenda na mimi katika hii safari yote... siwezi bila wewe😢😢
My spiritual mum did it again wow nenda na sisi Mungu dah huku ni kubarikiwa tu,ni zamu yangu mimi Adonai nenda nami nipiganie ni zamu yangu Jehovah jamani mtetezi tangulia mbele yangu mum you be a blessing to me imma be following your songs wakati utaimba anatenda pale waliposema hatoweza I will have made it you be singing my life 😭😭😭😭biko watashangaaaa
Barikiwa sana ❤️
Baba yangu nenda namimi hakuna mwingine kama wewe.
Congratulations Momma your songs are just but a blessing to me 🙏🙏be blessed abundantly and May God who is in heaven answers the desires of your heart 🙏 keep going 🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
Amen the song is touching i love this woman of God
Family yangu mlinikata sahi naenda na bwana 😢😢😢😢😢😢😢barikiwa sana mum ❤❤❤ukikataliwa. Unaenda na baba❤❤❤
Everytime l listen to your songs huwa zinani uplift sana mungu aendelee kukuneemesha dada🙏🙏
Amen
Naomba Mungu anipelekee pia mbali nikarekodi wimbo,,akaondoe vizuizi vyote🙏
You know the other day I prayed vaileth song overnight. Kukesha pekee kwa nyumba. The next morning on Sunday my landlord who really drink. Like true alcoholic came and said this words, , continue praying those songs they are too blessing. But first of all I want to be born again," and there immediately we won a soul for Christ. Glory be to GOD. God bless you for your obedience to God vaileth.
Ooh Utukufu kwa MUNGU
Wow...Glory to God
Hakika mi hufarijika na huu wimbo wakati wote even right now
Wauuuuuu ur such a blessing to us may God continue to use u dear Mom 🙏❤️ glory be God 🙏🙏
Amen
Ak nyimbo zake zinatia moyo may God bless you 🙏🙏
Nangojea huu wimbo Kwa hamu na gamu saaanaaa, your songs always inspires me whenever I feel like the world has turn around on me 🙏🙏
Thanks
Nenda Nam pia yesu usiniache wanimeza barikiwe mom ❤️❤️
May God answer my prayers right now through this song....From Kenya may God bless you mama
Amen
Nenda na mimi bwana majaribu yamekuwa mengi