Vaileth Mwaisumo - Nisaidie (Official Music Video) SMS SKIZA 8089708 to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Nisaidie ni wimbo unaoelezea namna ambavyo MUNGU ni msaada Nyakati zote Lengo la wimbo huu ni kutia moyo mtu kwamba wakati ambao huoni pa kukimbilia, huoni njia YEYE MUNGU ukimwendea atakusaidia na hawezi kukuacha uangamie. #VailethMwaisumo#Nisaidie#OfficialMusic.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital

Комментарии • 1,3 тыс.

  • @Godfrey_lusekelo
    @Godfrey_lusekelo 10 месяцев назад +3

    Ila Mama nyimbo zako zinanigusa sana Hadi machozi yananitoka jaman 😢😢😢😢

  • @diffencewakio1840
    @diffencewakio1840 2 года назад +2

    Nisaidie mungu wangu kutana na mataji yangu bwana 🙏🏻🙏🏻

  • @omaryomary4356
    @omaryomary4356 2 года назад +23

    Baba yangu alitutelekeza from 1996 till now I'm 27 ndo ananitafuta 😭😭😭😭,, apa kati tumepitia mapito mengi mazito ,nimekua katika maisha yangu nikiwa Sina baba kwa maana sijawah ita neno BABA😭😭😭😭,, DAAAAH,,wazeee wetu kuna namna mnakosea mnatukosea watoto wenu...nyimbo hiii inanikumbusha maisha niliish mm na mama angu kwa kipind hicho chote ad leo n mtu mzima ,,nimesoma kwa shida ad leo Nina degree Ni kwa uwezo wa Mungu tu. Alhamdulillah 😭😭😭🙏

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 года назад +2

      MUNGU ni mwema sana

    • @EstherNgome-xq6oy
      @EstherNgome-xq6oy 10 месяцев назад

      So encouraging,,,,my situation right now but God will open doors for me

    • @francismachoka2380
      @francismachoka2380 9 месяцев назад

      Anaitaji msamaha nawe unaitaji nataka zake. Do the necessary, he do his part then God do the rest

    • @EmilianaMwengwa
      @EmilianaMwengwa 9 месяцев назад

      Ni kweli inaumiza Bora mtu awe ametangulia mbele za Hak u najua Moja alishatangulia lakin mtu yuko hai na hajali unaish maisha ya haso mpk lakin hukumu n ya Mungu hatuwezi rudisha siku nyuma na huwezi kufuta ubaya Kwa kulipiza kisasi au kutosamehe kikubwa samehe tu Mungu anakusudi na wewe ndo maana umesoma hukukata tamaa ukaingia kunako bisness zingne

    • @lovenessmarwa
      @lovenessmarwa 9 месяцев назад

      Pole kwa Mapito ila watoto waliokataliw wengi ndio wenye hatima kubwa kuliko waliozaliw kwenye ndoa MUNGU azidi Kukuinua kwa viwango vya juu sana

  • @noelfrancis1092
    @noelfrancis1092 2 года назад +2

    Nisaidie mungu wangu AM😭😭😭😭😭😭

  • @philipmusonye6578
    @philipmusonye6578 2 года назад +7

    I'm leaving this comment here just to encourage someone that God is working on their situation, don't give up

  • @BrendaJepngetich-sp3ed
    @BrendaJepngetich-sp3ed 7 месяцев назад +1

    Nikiwa kwa mangumu hii wimbo inanidia nguvu 👏👏

  • @ngangamwangi9909
    @ngangamwangi9909 2 года назад +102

    I see my mum in this song. The year was 2000. My dad had just gone to be with his maker. My mum lost hope in life, became reserved, and we felt like it was the end of us. But one thing she never stopped doing was praying fervently and earnestly. 22 years down the line, the lord has seen us through. Thank you for reminding us that above everything else, He is our source of refuge. Shukran!

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 года назад +3

      Amen

    • @teklamatingu254
      @teklamatingu254 2 года назад +2

      Glory to God

    • @juddexoloro5881
      @juddexoloro5881 2 года назад

      That's our God

    • @camyk9587
      @camyk9587 2 года назад +4

      Me too my dad passed away on 2006 and everything was messy ,, thank you Lord for everything 🙏🙏🙏🙏

    • @carolinemunishi1286
      @carolinemunishi1286 2 года назад +1

      Amen Barikiwa sana Mtumishi vaileth Yesu asidi kukuinua hakika nabarikwa na Huduma yako

  • @angelamani1330
    @angelamani1330 3 месяца назад +2

    Nisaidie Mungu wangu kuwatunza wanangu bado wadogo

  • @judithnzuku1860
    @judithnzuku1860 2 года назад +32

    You never disappoint mum😭😭 nyimbo nzuri sana rafiki imenigusa sana asubuhi ya leo 😭😭msaada wa mwanadamu ni wa mda tu na nimchungu😭😭ila msaada wa Mungu ni wakudumu na wa Amani na furaha 🙏 be blessed

  • @rachaelblessed6446
    @rachaelblessed6446 2 года назад +1

    God 😭😭😭come to my rescue...siwezi bila wewe Mungu🙏🙏

  • @Michaelngao
    @Michaelngao 2 года назад +16

    From Kenya 🇰🇪 I feel the presence of God in me
    tears are flowing once I hear your voice -- my God my pillar

  • @santanabii5374
    @santanabii5374 2 года назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭mungu nisaidie kwa magumu ninayopitia,,,,kumbuka familia yangu😭😭😭😭 inspiring song,,,dada mwaisumo🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakupenda sana

  • @josphinegwehona185
    @josphinegwehona185 2 года назад +7

    Kweli Mungu nisaidie na uniokoe
    Huu wimbo umenibariki asubuhi asante mama kwa kuwa wa baraka Kila wakati Mungu akubariki zaidi

  • @daudizacharia4453
    @daudizacharia4453 2 года назад +2

    I see the good song with a better message in holl Spirit

  • @johnmavusyu6193
    @johnmavusyu6193 2 года назад +9

    My situation now can't be explained..but I just need only GOD😭😭😭😭😭😭😭mam thank for reminding me once more I just need only GOD

  • @christineadhiambo3187
    @christineadhiambo3187 2 года назад +2

    Nisadie mungu wangu...

  • @NeemaMakogoto
    @NeemaMakogoto 8 месяцев назад +3

    Sjui nisime nini mama lakini nyimbo zako nyingi zinagusa moyo wangu kama huu wimbo nikiuskiliza nabubujikwa tu. Ubarikiwe mno sababu Mungu anaemwabudu ni mkuu kuliko chochote🙏

  • @benardnyakoe9583
    @benardnyakoe9583 2 года назад +2

    😢😭may God plz help our mothers what they go through in the society

  • @alicemalwa6026
    @alicemalwa6026 2 года назад +14

    May God strengthen every woman going through hard times ,I know something inspired you to sing such a song, May God see through everyone at this hard times Mungu tusaidie

  • @suleshmacs1286
    @suleshmacs1286 2 года назад +1

    Mungu saidia wote wanaopitia hali ngumu ynye majonzi🙏🙏.mungu akuinue zaidi dada ktk nyimbo zko

  • @neemajackson4076
    @neemajackson4076 2 года назад +3

    😭😭😭nisaidie Mungu wangu.....Kila siku naona hatua kubwa juu ya huduma yako Dadayangu wewe ...Mungu mwema azid kukuinua sanaaaa

  • @sikitusiri1229
    @sikitusiri1229 2 года назад +2

    Ubarikiwe sana

  • @ragiselijahjean3622
    @ragiselijahjean3622 2 года назад +5

    Baba 😪nisaidie mwanaoo kwasababu isipo wewe sta weza naomba 😪uwe musaidizi wangu kwa lolote🙏

  • @jeanclaudeniyiragira5466
    @jeanclaudeniyiragira5466 2 года назад +2

    Nimeguswa saaana tena saaana,Mungu nikwel nisaidie !!! Uzidi kubalikiwa dadaangu

  • @nasrimaya8997
    @nasrimaya8997 2 года назад +19

    Nakupenda Sana,,,umefanyika Baraka katika maisha Yangu ,, Endelea kujishusha hivyo Hivyo...Kuna Sehemu Mungu anakupeleka......

  • @stellalupondo8472
    @stellalupondo8472 2 года назад +2

    nakupendaaa sanaaaaa dada na unitiaaa sanaaa moyooo amina

  • @روزالكناني-ث5ل
    @روزالكناني-ث5ل 2 года назад +6

    Mungu tusaidie sisi wana gulf 🥰🙏🙏🙏

  • @CYNTHIABOSIRE-lj4re
    @CYNTHIABOSIRE-lj4re 4 месяца назад +2

    Nisaidie Mungu wangu😭😭😭😭😭
    Na unijibu maombi yangu🤲🤲
    l know you are everything oh Lord 🙏🙏

  • @naturebclassic447
    @naturebclassic447 2 года назад +4

    Chombo cha mungu ya kuwaokoa walio wake#God bless you mum

  • @perisriziki1592
    @perisriziki1592 Месяц назад

    Mungu nisaidie katika mwaka 2025 nitimize ndoto zangu ❤

  • @marcelosonhi664
    @marcelosonhi664 2 года назад +5

    Dada Mungu wa mbingu awaone sana, sababu munatufundisha maneno tu lioipitia, laminitis pamoja na Mungu wetu Alisha tusaidia na atazidisha kutusaidia na kupita.

    • @nawiresarah1458
      @nawiresarah1458 2 года назад

      The song is so touching 😢 I found myself crying 😭 may God bless you mom

  • @getrudeatieno8753
    @getrudeatieno8753 Год назад +2

    Painful song, but only God knows the best. Mungu ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu. Ooh mum ubarikiwe sana.

  • @azibossladykenny2455
    @azibossladykenny2455 2 года назад +4

    Nisaidie Mungu kweny uyu wakati mgumu peke yangu siezi NISAIDIE😢😢😭😭🙏🙏

  • @fellyomwoha6758
    @fellyomwoha6758 2 года назад +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏 nisaidiye mm pia baba...hii nayo pia imepita nafsi yangu..mkama si usaidizi wa mungu ni nani mwingine.🙏🙏🙏😭😭😭😭😭barikiwa sana mummy

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 года назад

      Amina

    • @fellyomwoha6758
      @fellyomwoha6758 2 года назад

      Nataka nikuombe na usaidizi

    • @fellyomwoha6758
      @fellyomwoha6758 2 года назад

      Pliz nina case si niombee haki nina shidai niko saudia na ningumu nirudi..natamani nirudi kenya😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @marymwalyema9820
    @marymwalyema9820 2 года назад +5

    Wimbo umegusa ni maombi mazito kwa Mungu hakika Mungu anatusaidia women of God

  • @EmmaMajani
    @EmmaMajani Год назад +2

    Huu wimbo unanitia nguvu sana, nko pekee yangu ata marafiki wangu wote awemenitoroka nimebaki pekee yangu,,nisaidia mungu wangu

  • @rothr9533
    @rothr9533 2 года назад +4

    Acha mungu akutie nguvu,,,, i love u and ur song,,, znanitia nguvu sana,🙏

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 года назад +1

      Shukrani sana

    • @zoeyameria6082
      @zoeyameria6082 2 года назад +1

      Vaileth god bless you lreal love your songs ❤️kwanza lle ya baba yangu atafanya njia ❤️

  • @marymuthoni729
    @marymuthoni729 2 года назад +2

    Kwa kweli nisaidie yesu

  • @centynafula7080
    @centynafula7080 2 года назад +5

    Mungu nitie nguvu ,nisaidie Mungu wangu 👏 more blessings mum

  • @diffencewakio1840
    @diffencewakio1840 2 года назад +2

    Nisadie mungu wangu majira haya ni majira ya haibu kwangu nisaidie mungu wangu 🙏🏻🙏🏻nisadie bwana ombi langu la kila siku🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @rosewamalwa8835
    @rosewamalwa8835 2 года назад +49

    Am going through a lot right now,am pregnant and i was left alone,I have no one to help me except God,I didn't want to abort,am now 7 weeks pregnant and this song is a blessing to me.be blessed mum🙏🙏

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 года назад +12

      YESU atakuvusha

    • @linetcharo1818
      @linetcharo1818 2 года назад +4

      Don't worry dea.. mungu ana mpango juu ya maisha yko.

    • @johnmavusyu6193
      @johnmavusyu6193 2 года назад +1

      Yake heart GOD is with u sister through this shall come your testimony

    • @rosewamalwa8835
      @rosewamalwa8835 2 года назад

      @@johnmavusyu6193 Amen, thank you

    • @elizabethnyawira7007
      @elizabethnyawira7007 2 года назад +2

      Tuko pamoja dea.. Though am not left but I got pregnant unexpectedly and my Fred's told me to abort but can't denie my baby a life.. 3weeks pregnant and thank God for it.. God will see you through girl

  • @donnahouma1057
    @donnahouma1057 2 года назад +1

    So touching may God me at this difficult moment

  • @habibumaige9420
    @habibumaige9420 2 года назад +9

    Mimi Ni muislam Ila wewe dada napenda nyimbo zako sana... Endelea kupambana na kufikisha ujumbe wa mungu kwetu sisi 🙏🙏🙏

  • @berryleochola1240
    @berryleochola1240 2 года назад +2

    😭😭😭😭😭😭😭 kama sio huyu mungu maadui wangetuangamiza. Listening from Kenya

  • @wonderstylish
    @wonderstylish 2 года назад +5

    NGOMA TAMUU NA YA KUINUA MUNOOO😭😭SO EMOTIONAL KWA KWELI🙌🙌😭 MOREE LOVE FROM WAJIR

  • @faithchepkirui5572
    @faithchepkirui5572 2 года назад +1

    Thank you God you have remembered me

  • @victorakwata3497
    @victorakwata3497 2 года назад +5

    This song touch my hart be blessed mum I feel it 😭😭😭😭😭😭😭

  • @pamphilasalaka5376
    @pamphilasalaka5376 Год назад +2

    Powerful 🙏🙏Nisaidie Baba nimechoka na magonjwa 😭😭😭 huu wimbo umeniguza.

  • @juddexoloro5881
    @juddexoloro5881 2 года назад +22

    Halleluyah 🔥🔥🔥am so in touch with this song and I found my self praying and crying to my God, be blessed my sister more love from 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 года назад +1

      Amina

    • @christinekendi4460
      @christinekendi4460 2 года назад +1

      Thank the lady of God umenisandia sana niko hali ngumu sana nimeamini mungu atanisaindia asante sana

  • @saimonjohn2333
    @saimonjohn2333 2 года назад +2

    Haujawahi kukosea dada angu unakijua unachokifanya upo rohoni sana kiukweli nimeshindwa kujizuia MUNGU akutunze sanaaaaaa mwanamke shujaaa unajitambua safiii sana mwimbaji wa siku za mwisho uliye bakia kama mbegu kwa nyakati na majira kama haya be bllesed man of God 🤝🙏

  • @mamablessed9224
    @mamablessed9224 2 года назад +5

    Hii nyimbo imenigusa sanaa inatoa machozii.. barikiwaa sanaa mtumishiii wa mungu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ powerful song

  • @carenayoma4683
    @carenayoma4683 2 года назад +2

    Nisaidie mungu baba...u know what am going through amen 🙏🙌❤♥

  • @mamakewalton7436
    @mamakewalton7436 2 года назад +6

    Tuko pamoja my sister...nimebarikiwa

  • @paulolele8875
    @paulolele8875 Год назад +2

    Soo touching. Just be blessed mama.....you never disappoint

  • @elishalidya4044
    @elishalidya4044 2 года назад +3

    Eh MUNGU WANGU NISAIDIE, 🤲🏿😭 HUBARIKIWE SANA MAMA

  • @Collins-g3u
    @Collins-g3u 3 месяца назад +1

    May God come through for you in whatever you need as you listen to this song and always remember you are loved🥰

  • @noelatsole5552
    @noelatsole5552 2 года назад +4

    Am blessed with this song,l was onces there,sleeping hungry tatal poverty, crying to my Lord to help me,but he has done it he has made me so proud and my kids,tunaheshimika Sasa,

  • @margaretwanjiru451
    @margaretwanjiru451 2 года назад +2

    Oh baba nisaidie nimechoka na kulia kwangu niokoe nitoe mashakani nimekuwa dharau baba nisaidie 🇸🇦 🇰🇪

  • @milkahadida
    @milkahadida 2 года назад +5

    Nimebarikiwa Ingawaje nina mzigo mzito nilio ubeba mgongoni mwangu🙏🙏Mungu wangu Nisaidie huu mzigo🙏🙏Amen

  • @martinmsingida979
    @martinmsingida979 29 дней назад

    Nikiwa napita katika magumu cjawahi kuacha kuusikiliza wimbo huu🙏🙏

  • @llynecollyne7474
    @llynecollyne7474 2 года назад +5

    Ooh my goodness....the song came to me at the right time.......nipo katika hali ngumu hivi sasa.......Mungu wangu nisaidie...Violet Mungu akubariki sanaaa

  • @DoreenKwamboka-v5u
    @DoreenKwamboka-v5u 4 месяца назад +1

    Mungu alinisaidia kutoka kwa umalaya hadi saizi imaniyangu ni kwa bwana nice song God bless u

  • @princesssilas5941
    @princesssilas5941 2 года назад +3

    😭😭nisaidie Mungu wangu🙏🙏

  • @wairimukimiri1603
    @wairimukimiri1603 9 месяцев назад +1

    Nisaidie Mungu wangu, saizi nalia, nami nirudi na testmony

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 2 года назад +4

    Nyimbo zako zinagusa sana jamani. Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu. Aibariki familia yako vilevile. Nakupenda sana unanifariji sana.🎵🔥🔥🔥🙏

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 года назад

      Shukrani sana mpendwa

    • @ميريالقحطاني-ظ6ط
      @ميريالقحطاني-ظ6ط 2 года назад

      Mtumish Wa mungu nyimbo zako zinanigusa Moyo Wangu wakati nik n shida n Raha waj Mungu akutie nguvu n Faraj Kwa kaz unapoendelea kufany 🙏🙏🙏 Kwa ii Dunia Kuna mjarib mengi Sana😭😭😭

  • @jaredbarasa8339
    @jaredbarasa8339 Год назад +1

    Nabarikiwa Sana na hii sauti nikiwa Kenya.Naomba siku moja niimbe na wewe mtumishi

  • @lilianbaraza2831
    @lilianbaraza2831 2 года назад +5

    Nisaidie mungu wangu,Nina Imani kwamba mungu atanisaidia mwaka huu🙏

  • @emmaoyaro3007
    @emmaoyaro3007 2 года назад

    Oooh Jehovah so painful 😫 😢 when we see people go through in life in times of difficulties others laugh at them..forgetting that your time is always the best when we believe have hope and wait for your time ..I pray that may the power of the Holy spirit protect you from all the enemies I call blessings 🙌 upon everyone

  • @cynthiajebet1769
    @cynthiajebet1769 2 года назад +4

    I know the Lord is there with us ...my trust is always in you ...utatusaidia kwa kutupumzisha mizigo yetu kwa sababu wewe una suluhu ya kila tunachokipitia

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 2 года назад +1

    Mtu wa MUNGU hakika unanibariki sana kwa huduma hii ya uimbaji MUNGU akubariki sana huu wimbo umekuja kusema nami katikati ya ninayopitia MUNGU akubariki sana 😢

  • @pastorderickkiraithe7653
    @pastorderickkiraithe7653 2 года назад +6

    😭😭😭😭ata kwa kesi yangu mungu nisaidie.... I feel the help of God within our lives 🙏🙏

  • @ZainabMasaka
    @ZainabMasaka Месяц назад

    Kweli hizi nyinbo zinanifanya kumtafuta mungu kwa upendo wake . Mungu akutie nguvu uweze kutuimbia tukifunguliwa kwa minyororo ya shetani barikiwa sana mama nakupenda bure❤❤❤❤

  • @queendeeofficial9810
    @queendeeofficial9810 2 года назад +10

    So touching,, powerful massage more grace to you 🙏 NISAIDIE MUNGU WANGU

  • @restyammo-df2um
    @restyammo-df2um Год назад +1

    Nabaki kusema nsaidie Mungu wangu Sina msaada mwingine Zaid Yako nayopitia we ndo unayajua❣️

  • @valvale4916
    @valvale4916 2 года назад +10

    Waiting Eagerly from Kenya, your songs are very inspiring, Blessings

  • @LucyRobi-iu5rr
    @LucyRobi-iu5rr Год назад +1

    Wimbo huu Niki usikia na sikia kulia naomba mungu nisaidie.

  • @berrycate8097
    @berrycate8097 2 года назад +16

    This has touched my heart😭😭😭 mungu wangu nisaidie

  • @naomimlolwa5632
    @naomimlolwa5632 2 года назад +2

    Thank you Jesus huu wimbo unanitia nguvu especially nikikumbuka the death of my 2brothers who died through an accident last year watu wali ongea mengi , bt Mungu amekuwa msaada kwetu

  • @TUMAINIMBEMBELA7
    @TUMAINIMBEMBELA7 2 года назад +4

    Mbona unaniliza mweee

  • @michaelmichaelpaul362
    @michaelmichaelpaul362 2 года назад +2

    She do confront her whole heart to his father GOD HER SONGS BLESS MY LIFE AMEN.

  • @saimonjohn2333
    @saimonjohn2333 2 года назад +3

    Nimejikuta nalia mwanzo wa wimbo mpaka mwisho wa wimbo asante sana dada angu

  • @aleskaminyoghe8935
    @aleskaminyoghe8935 2 года назад +1

    Mungu wangu nisaidie, barikiwa dada yangu kwa wimbo umenitia moyo

  • @berylakoth7224
    @berylakoth7224 2 года назад +4

    Nyimbo zako my sister zinani fariji sana 😢 😞 good job mummy, keep going in Jesus name 🙏 💙 ❤ 💖

  • @FloresBly
    @FloresBly 5 месяцев назад +1

    Mungu nisaidie katika hali yyte 😢 pole dadangu mungu msaidie yahuzunisha sana

  • @rogerslihanda6644
    @rogerslihanda6644 2 года назад +3

    Kwa kweli nimebarikiwa sana mungu akubariki sana.

  • @VictorAngwenyi-qz4wy
    @VictorAngwenyi-qz4wy 8 месяцев назад +1

    Help me Lord ,take care of my family,parents,brothers and sisters,friends,neighbours,relatives and all of us

  • @safari2976
    @safari2976 2 года назад +4

    🥲🥲🥲to God be the Glory!! Mungu tusaidie.. kazi nzuri sana mama. Mungu azidi kukuinua.❤️❤️❤️

  • @mrsvinny2
    @mrsvinny2 2 года назад +2

    A few month to be in kenya mungu nisaidie,hata yale mapito ninayo pitia hata kufika kukata tamaa mungu nisaidie,Feel bless mom from this side 🇰🇪🇸🇦

  • @nteejemimah6137
    @nteejemimah6137 2 года назад +22

    Whenever she sings the holy spirit comes over me

  • @tabithamwandenene2236
    @tabithamwandenene2236 2 года назад +2

    Hongera sana mama .... Pia asante kwaujumbe mzur

  • @tophineoronje
    @tophineoronje 2 года назад +4

    Lord help me come out of the garbage of sin, restore my salvation that my heart may not continue collecting sins from the Satan's yard... Only You Jesus Christ is my hope...Guide my steps in this life to always trust in You and follow your will in my life...

  • @EdithaDedan-Emall
    @EdithaDedan-Emall 9 месяцев назад +1

    Mimi ninasema Mungu akuinue Zaid mama Mungu ni WA kwetu sote NAMI sku moja nitainuliwa

  • @doreencheptoo1254
    @doreencheptoo1254 2 года назад +4

    Umekua wa baraka kwangu ...nyimbo zako zinanitia nguvu sana 💜❤️barikiwa sana .... nakupenda sana 🌹...mungu abariki huduma yako siku zote 🙏🙏

  • @lilianowti5477
    @lilianowti5477 Год назад +2

    This what i went through coz of family members but Our God is faithful,He wiped my tears.

  • @emmahbooooo
    @emmahbooooo 2 года назад +2

    Dah huu wimbo umeimba kwa hisia sana Mungu akubariki sana.👏👏👏👏

  • @rosetatiana8153
    @rosetatiana8153 2 года назад +2

    Nime sikiza wimbo huu nime tulia napitia wakati mgumu sana lakini najua Mungu atanisaidia

  • @annayuda6158
    @annayuda6158 2 года назад +3

    Amina,barikiwa sawa Mungu akpeleke viwango vya juu,mungu nisaidie nipite jarib lililo mbele yangu😭

  • @Collins-g3u
    @Collins-g3u 3 месяца назад +1

    For anyone reading this it is now your turn God is going to do it for you

  • @theresiamaziku8071
    @theresiamaziku8071 2 года назад +5

    You have done it again my sister. Mungu akuinue maana unagusa maisha ya wengi.

  • @claraleshamta1779
    @claraleshamta1779 2 года назад +2

    Nitoe mashakani baba yangu🥺🙏nisaidie mungu wangu