Kevin Musau on tiktok brought me here. Just what I needed to hear. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Claim these blessings in Jesus, naomba hiyo siku ifike haraka
I am muslim bt this song touched me.it has a powerful message and prayerful,I biliv we muslim and christian we all on same journey to do good deeds may God we worship keep us among his favoured one and paradise be our last destination
Amen..Amen.....Amen.......mungu akubariki siz kwa nyimbo mzuri shingilia hapo..oooooooh kama mm hapa oooooh mungu ni mwema unaimba ndani ya moyo kabisa dada...amen....ooooooh nifute machozi😭😭😭😭🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇 nikumbuke mungu wangu......sina wa kuelesa...dada yangu unatubariki na nyimbo zako ni zuri..sana
I can't get enough of this song while working in Saudi arabia.my friend alikuwa anateswa and nikamutumia hui wimbo and told her to pray the next day she is okey and mateso imeish
My man rejected me juu sikuweza kumzalia but najua God's time is the best n najua kuna siku atanitafuta😭 santii vailet kwa this encouraging song🙏🙏be blessed mama
Am here today and am very much blessed with the msg in this song🙏🙏 Maombi yangu ni hyo siku ifike haraka sana kwa maana wanaonichukia ni wengi wakanitafute 🙏
Momaaa, hakika nyimbo zako hunitia moyo wakati nina stress z maisha, b blessd mommaaa n mungu akutie nguvu uzidi kutupea morali kupitia kw nyimbo zako sisi km youths
I can't get tired of listening 🎧 to this song mummy it's a powerful song may God give you strength mummy in Jesus name 🙏🙏 najua mungu atanifuta machozi in Jesus name 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 t
I'm a young opharn boy, struggling with business n payment of bills, family has thrown me away no one even asks my whereabts, buh I knw, the anointing in this song will accompany me😭😭watanitafuta siku moja
Nyimbo zako zote huwa zanifanya najihisi siko pekee yangu bali niko na Mungu kando nami .na kunitia moyo .Asante sana mama kwa wimbo wako .endelea hivyo .💪💪💪❤❤❤❤❤
Ameen siku ikifika watanitafuta tu, maana Neema ya Mungu inenitosha, thnks soo much be blessed mum, napenda sana ukiwa una smile u kuimba I love that smile🙌🙌🙌💕💕❤️❤️🙏🙏🙌🙌
May the heavenly father 😭😭💖 Grant you a long life mummy ❤️ this song really touched me 😓😓😓tusiogope kudharauliwa mahana,aliye ndani yetu ni mkuu kuliko wanayoiona,,,may forgive them😭🙏
It's so unfortunate that whoever made me get tempted to listen and get blessed by this euphonic voice is late 😭😭😭😭, the last TikTok song by Mercy Kwamboka.Rest in peace small sister.Shine on your way.Thanks for bringing me here.Shalom dear for the nice piece of song ☺️🤗🙏😇😇
Watanitafuta...........👐👐👐eii barikiwa mtumishi
Amina
Wapy likesss zaa huyuu mama tukisongaaa jamenii bee blessed 🙌 kwa kazii ya munguuu 🙏 🙏 🙏
Shukrani sana
ruclips.net/video/ppPIiGHhSO0/видео.html
Amem
Amen 🙏🙏🙏
@@vailethmwaisumoupendo
Mungu akuzidishie
Umenipa Imani ya kusimama na kuendelea tena❤❤❤❤
From tik tok direct to here barikiwa sana
Thanks much
Huuu wimbo😭😭😭😭😭😭 Mungu watanitfta siku moja sai Mimi sio kitu😭
Watakutafuta
Mungu akubariki kwa nyimbo nzuri za kuabudu,akujalie maisha marefu uzidi kutubariki kwa nyimbo nzuri na akutimizie kila hitaji la moyo wako
Amina
Kevin Musau on tiktok brought me here. Just what I needed to hear. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Claim these blessings in Jesus, naomba hiyo siku ifike haraka
Amina
Same to me
I watched mercy TikTok.....Rip gal😭
Because of mercy I’m here. Rest In Peace girl. Watakutafuta...
@@stellanyaboke73 me too
ASANTE YESU NIINUE WANITAFUTE AMEN AMEN AMEN
Nyimbo zako zinanibeba wakati najiskia nikiwa down
Napenda nyimbo zako,kwanza wimbo wako wa Umebaki mwenyewe ndio ringtone yangu
Shukrani
For sure watanitafuta tu cku ikifika na wataibika
Ipo siku watanitafu mungu Yuko siku itafikaa 😢
😢😢😮
Mercy gift last video on tiktok brought me here
Thanks mum for this song 🥺🥺🥺watakutafuta tu iyo siku ukifika
Amina
@@vailethmwaisumo Amen mum.. pray for my family, Thanks 🙏🙏🙏
Watesi watanitafuta,,,, Oooh halleyah,,, Hongera Mama kwa nyimbo zako zanitia moyo
Shukrani sana
Amen najua kuna siku watanitafuta walio kuwa na madharau kwangu
Amen
I am muslim bt this song touched me.it has a powerful message and prayerful,I biliv we muslim and christian we all on same journey to do good deeds may God we worship keep us among his favoured one and paradise be our last destination
Be blessed
Amen 🙏,may God bless you 💗 dear again welcome 🤗 to our Christian community 🙏🙏🙏😇😇😇
Amiiin may Allah bless you 🙏🙏
Me too am a Muslim bt Allah we will make us reach where we want bro 😭
@@jonteziwobi2909 mj
Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa kazi nzuri unayoifanya
Shukrani
Watanitafuta tu, hivi karibuni. Asante Mungu kwa kunifanya niwe Yusufu kwa wengi. Amina
Amen
Wacha Jehovah muumba mbingu akusidishie nehema.. halleluya 🙏🙏🙏
Amen..Amen.....Amen.......mungu akubariki siz kwa nyimbo mzuri shingilia hapo..oooooooh kama mm hapa oooooh mungu ni mwema unaimba ndani ya moyo kabisa dada...amen....ooooooh nifute machozi😭😭😭😭🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇 nikumbuke mungu wangu......sina wa kuelesa...dada yangu unatubariki na nyimbo zako ni zuri..sana
Shukrani sana
Amen..Amen....karibu sana....my sister......mungu akubariki
@@vailethmwaisumo hafhani...karibu....my sister.wimbo unanibariki moyo sana kweli nawe barikiwa.....sana....siz from 🇰🇪🇰🇪🇨🇨🇨🇨
Amen kweli wakati wa dhiki kwangu , hapo ndipo sitawaona lakini wakati wafaraja yangu ndiyo watanitafuta.
Amen
Mama yangu vaileth hiyo wimbo imenipa nguvu kwasababu mimi tangu nizike wazazi hata ndugu zangu waliniacha.Naamini watanitafuta.Asante mama
I know the feeling, take heart. Na Yesu akufanikie na akutunze.
Tiktok brought me here nina imani iko siku watanitafuta
Amen
I love u mommy your songs they bless m alot keep on with tht spirit 1dy tembea Kenya Mombasa🙏🙏🙏🙏
Shukrani
Hakika nainuliwa Kila dakika... blessings mama❤️❤️❤️
Thanks much
Hiii wimbo kila dakika blessings mama 🙏 🙏 🙏
WIMBO mtamu sana mungu akubariki ukiwa ndani ya yesu furaha tu
Amina
Amina mama angu MUNGU azidi kukupandisha viwango kwenda viwango vingine
I can't get enough of this song while working in Saudi arabia.my friend alikuwa anateswa and nikamutumia hui wimbo and told her to pray the next day she is okey and mateso imeish
MUNGU ni mwema
In our family we were mocked by relatives that we did not have a graduate in the family bt this year 22 november is The dayGod made.Glory to Him
Congrats
Kabisaaa wenye matharau watakutafuta
Hii wimbo inanipa nguvu maishani mwangu
Amina
TikTok video songs ndio imenileta huku , najua suku Moja watanitafuta tu . Wakati wa Mungu Bado.
Rip Gift Mercy 🥺🥺🥺🥺,,, Kifo chako kimenifanya nijue huu wimbo na niupende....Rest Easy dear😰🙏
Hata Mimi nimejua kupitia mercy
Your music is a blessing ..go go far neema ipo
Amen
Nyimbo hii inanibariki sana nilidharauliwa saa hii wananiheshimu ubarikiwe dadangu mungu azidi kupanua kipaji chako
Shukrani sana
Hallelujah finally nimepata hii song nimeitafuta kwa muda mrefu sana baraka na neema izidi kukutosha
Amina
My man rejected me juu sikuweza kumzalia but najua God's time is the best n najua kuna siku atanitafuta😭 santii vailet kwa this encouraging song🙏🙏be blessed mama
Amen
Am here today and am very much blessed with the msg in this song🙏🙏 Maombi yangu ni hyo siku ifike haraka sana kwa maana wanaonichukia ni wengi wakanitafute 🙏
TikTok brought me here..I know one day they will remember me...be blessed man of God
Amen
Oooh mercy girl ...umefanya nikafika hapa .....my friend my sister rip 🙏 watakutafua waliofanya haya ...tena kwa machozi mengi
Amen Mungu afungue hio neema kwa jina la Yesu kristo waone nikitembea kwa ushindi wa Mungu
Amen
Amen Amen,,siku itafika watanitafuta Amen,, barikiwa sana kwa huu wimbo wa kunitia nguvu mungu azidi kukuendeleza kwa kututia mihoyo wanyonge,barikiwa
Amina
TikTok lovers kujeni tufikishe million likes and viewers jameni
Waooh
Enyewe mimi ni mmoja wa haya mapito,nimeona mengi haki..YESU nikumbuke.
Amina
Nyimbo zako zote huwa zinanitia nguvu be blessed
Thanks
Mungu naomba wanitafute ,huu wimbo unahudumia watu wengi sana including mimi
Thanks much
Walionitupa siku moja watanitafuta .......I truly trust in God they will find me one day
Amen
Mapenzi ya Mungu yatimike duniani Kama mbinguni
Amina
Naiona nehema ya mungu juu yangu na mtoto wangu.walio tudharau watatutafta tu.Amen Amen 🙏.ubarikiwe kwa nyimbo nzuri dada
Shukrani sana
Ameen kwa mungu watanitavuta 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Momaaa, hakika nyimbo zako hunitia moyo wakati nina stress z maisha, b blessd mommaaa n mungu akutie nguvu uzidi kutupea morali kupitia kw nyimbo zako sisi km youths
Amina
Amen ,, ipo siku,,, 🙏🙏🙏 I thank God
Thanks much
In the name of Jesus our doors are going to be opened 🙌 🙏 😌
Amen
I can't get tired of listening 🎧 to this song mummy it's a powerful song may God give you strength mummy in Jesus name 🙏🙏 najua mungu atanifuta machozi in Jesus name 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 t
Me at 3:00am listening to this song and message crying I receive it in Jesus name
Amina
This song really touch me and gives me hope of life may God bless you mummy
Ahsante kwa wimbo nzuri mama.
Amina
Barikiwa sana Dada nyimbo sako sanitia nguvu
Amina
Wataanitafuta kwa jana la YESU christo be blessed ❤
😢😢😢😢😢aliekua bwanangu nmepata ameoa huu wimbo unanifanya nimwageachozi mengi xana ninapousikiliza Nina waza mbali xana😭😭😭😭😭😭
Pole mpendwa
@@vailethmwaisumo amina
Pole dada,,, am also going thru the same, but they'll look for us... God is changing everything in our favour.. am blessed by this song.
@@joannjue 😢😢😢 this world is so wicked
I'm a young opharn boy, struggling with business n payment of bills, family has thrown me away no one even asks my whereabts, buh I knw, the anointing in this song will accompany me😭😭watanitafuta siku moja
Watakutafuta
Amen mummy 💞
I really luv you and your songs. I like singing. Haki SI unaiomba vizuri
Niliona wimbo wako wa nisaidie tik tok ikabidi nine kwa channel yako. Nyimbo zako zina ujumbe. Barikiwa sana
Asante
Safi sana mutumishi wa Bwana na Mungu akuzidishie utunzi, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸..
Thanks
Hallelujah 🙏 naamin IPO siku watanitafuta wote walionitoroka Amen be blessed mum
Thanks much
ruclips.net/video/bZnxs0hPyhQ/видео.html
This song has made me think about my life critically 😢😢😢
Be blessed
Thank you so much Elder 🥰🥰🥰 God Bless the work of your hands 💞
Inaa nguvuu sanaa hii song barikiwa sana kwa kazii ya munguu 🙏 🙏
Amina
Hii song imenijenga mungu akupeleke Bali dadangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nampenda bure nyimbo zake huniinspire Sana be blessed dia❤❤
This song makes me cry 😭nikkumbuka nilijiahidi sitawai lia juu ya shida na sai zimeniandama hadi nakosa amani
YESU akuvushe mpendwa wangu
Can't hold my tears while listening to this song..mungu nitie mungu nguvu adi madui zangu washangae 😭😭🙏🙏
Amina
Amen no matter my situation I put my trust in the lord 🙏I know soon my prayers will be answered and my tears wiped away
Amina
Amen.Be blessed with this song Atatenda 👉ruclips.net/video/ppPIiGHhSO0/видео.html🙏🙏
Amen
Watanitafuta siku moja tu I have faith in you God.....
Amen
Amen Mungu akinibariki ndio watakapo ona umuhimu wangu, barikiwa dadangu.
Amina
Dada nakupenda nabarikiwa sana na uimbaji wako. Nyimbo zako zinanigusa mpaka moyoni nabarikiwa
Shukrani sana
Am here after mercy kwamboka's burial.May God rest mercy's soul in eternal peace.Such a nice song sis Valieth
Be blessed
Anytime I listen to this song mercy comes in my mind.may she rest in peace
On my bad days this song reminds me that those plans God has for me no man can stop them.... Thanks mtumishi🙌🙌
Amen
Hallelujah 🙏🙏
Hii nayo imenikamata kama 'NAOMBA USINYAMAZE'🥰😍😍🤩
Shukrani
Hiii kweli ni motoo mungu akubariki san sister we pray for you
Amina
Nyimbo za huyu binti zinagusa sana ila huu kiboko
Barikiwa
Nyimbo zako zote huwa zanifanya najihisi siko pekee yangu bali niko na Mungu kando nami .na kunitia moyo .Asante sana mama kwa wimbo wako .endelea hivyo .💪💪💪❤❤❤❤❤
Amina
I claim this in Jesus name upon my life🙏🙏❤
Be blessed mum.
Amina
Ubarikiwe sana
Sio kwa sauti, sio kwa maneno mazuri, barikiwa Mama Violeth... 🙏🙏. Ipo siku watanitafta
Amina
I love you vaileth❤️❤️❤️❤️kumbe wewe ndio umeimba barikiwa sana👏👏👏👏
Amen
Aki kifo cha Mercy ndo kimenileta uku kuwatch hii song,, actually this song was sang for her,,,
God bless you sister 🙏🏼🙏🏼🙏🏼💞💞I love you
Thanks much
This song touched my heart .may it happen to me in Jesus name Amen
Amina
Am fatuma from mbsa .am really blessed sana.can we do collabbo for Jesus?
Siku ikifika tu watanitafuta,,Godwilling 😭🙏kwa walioniona sina thamani kwao🥺
Sauti tuu peke kabla sijasikiza kuna upako wa Mungu katika huu wimbo
Shukrani sana
Bwana ataniinua walionidharau walionicheka.watanitafuta tuu
Amina
Ameen siku ikifika watanitafuta tu, maana Neema ya Mungu inenitosha, thnks soo much be blessed mum, napenda sana ukiwa una smile u kuimba I love that smile🙌🙌🙌💕💕❤️❤️🙏🙏🙌🙌
Thanks much
Lazima litatimia 🙏🏿🙏🏿😘.Ujumbe wangu. Ubarikiwe Dadangu ❤️❤️🙏🏿
Shukrani sana
Can't wait from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪waiting at gulf
Thanks much
Naomba wanitafute katika Jina la Yesu Kristo
Amen
Haki nakupenda sana, ungekuja tu huku kenya🇰🇪🇰🇪 songs zako zinanipendeza kabisa
Shukrani sana
AMEN, hinyo siku ikifika watanitafuta tu 🙏
Amen
I love you mama❤️nice song much love from Kenya🇰🇪
May the heavenly father 😭😭💖 Grant you a long life mummy ❤️ this song really touched me 😓😓😓tusiogope kudharauliwa mahana,aliye ndani yetu ni mkuu kuliko wanayoiona,,,may forgive them😭🙏
Amen
ruclips.net/video/bZnxs0hPyhQ/видео.html
A day can't pass without listening to this song,I feel the massage is mine ,be blessed mommy
Amen hii wimbo hunitia nguvu sikuoja watakutafuta tu🙏🙏
Yabariki sana nyimbo hii
Shukrani
Kabisa nikumwambia mungu .nakupenda sana
I came across this song and am really blessed with God all things are possible i trust in you lord things will get better soon 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Nice song siku itafika kwa Jina la Yesu Amen 🙏
Amina
Huuu wimbo wanitia moyo sana,God of mercies,may those mocking me today wanitafute kesho.
I am ready to assist them where necessary😭😭😰
Amina
Good song
Akika huu wimbo umeniguza sana,mungu azidi kuinua huyu dada.
4:22
Amen
🙏amen 💚 wimbo mtamu nikikumbuka mateso yangu machozi hunitoka lakini naamini kuna sika watanitafuta
Amen
It's so unfortunate that whoever made me get tempted to listen and get blessed by this euphonic voice is late 😭😭😭😭, the last TikTok song by Mercy Kwamboka.Rest in peace small sister.Shine on your way.Thanks for bringing me here.Shalom dear for the nice piece of song ☺️🤗🙏😇😇
Amen
ruclips.net/video/bZnxs0hPyhQ/видео.html
😭😭😭
Me too she made me love it