Vaileth Mwaisumo -Moyo umechoka/Nigange ( Official Video) SMS SKIZA 8089707 to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 2,7 тыс.

  • @debrakamonye3645
    @debrakamonye3645 2 года назад +897

    Wenye tulisearch moyo umechoka ☺️let's gather here😊😊

  • @lucywairimu913
    @lucywairimu913 7 месяцев назад +127

    I am so heart broken today i leave this comment here so that when someone likes it i will remember this song

    • @Sololoi28_29
      @Sololoi28_29 5 месяцев назад +1

      hope you are healed, and if you're not just remember you're not alone 💞

    • @KANGWANAOmosaeBogetutu
      @KANGWANAOmosaeBogetutu 5 месяцев назад +1

      Exactly what am going through currently but my God will fight for me

  • @mercyamoh12
    @mercyamoh12 8 месяцев назад +19

    Wale tulisearch moyo umechoka .....ukiwa tushaa give up n life 🥲🥲🥲🥲God bless you

  • @shanice2825
    @shanice2825 Год назад +146

    Wenye tuna search moyo umechoka tupite na likes

  • @Mwanginoosh
    @Mwanginoosh 9 месяцев назад +79

    Anyone here 2024😢😢 still the message is fresh ❤

  • @maryammaryam444
    @maryammaryam444 3 года назад +466

    Tulio ona tik tok ndo tukaja uku tujuane kwa like

  • @catherinemetusela2640
    @catherinemetusela2640 9 месяцев назад +43

    Tunao endelea kubalikiwa na sauti ya mama etu 2024❤❤❤🎉

  • @maggienjerie4247
    @maggienjerie4247 3 года назад +388

    TikTok imenileta huku....lovely song

  • @yasminmustafa2282
    @yasminmustafa2282 Год назад +64

    Wale tumetoka kwa kemunto let's gather here❤❤❤❤

  • @ashafabian9085
    @ashafabian9085 3 года назад +6

    From tik tok hadi huku nime subribe ata

  • @janepherpatrick3615
    @janepherpatrick3615 3 года назад +196

    hata me tik tok imenileta huku, nimeipenda sana hii nymbo jaman, naombe like 10 kwa wanao ikubal ❤️❤️❤️❤️🙏

  • @daviskwemoi9449
    @daviskwemoi9449 2 года назад +327

    Wangapi tik tok imetuleta huku🥺🥺nione kwa likes... May the singer be blessed 😭😭😭❤️

  • @calebmike
    @calebmike Год назад +3

    Surely God nilikosea wapi kwa haya ,,,,,I give up ,,,,,😭😭😢😥😰😪

  • @aishakimaro2795
    @aishakimaro2795 8 месяцев назад +17

    Dah mm ni mwislam ila nilikua kwa grop nikaona hii imewekewa wanasimba vile wanasikitika kwa kufungwa ndo nikaipenda nikaja huku nam naomba like

  • @rehemasimiyu1108
    @rehemasimiyu1108 2 года назад +72

    Moyo umechoka 😭😭😭😭😭😭 this song still gives me hope UpTo date.
    Gonga like kama unaumia moyo 😭😭😭 tunasubiri yesu atugange mioyo zetu 😢 barikiwa sana dada yetu may God bless u.

  • @terryjane4212
    @terryjane4212 3 года назад +3

    Tit tok imenileta huku 😘😘😘😘😘lovly song mum

  • @Esympole
    @Esympole Месяц назад +3

    Wakamba najua mko uku .....wapi like za moyo umechoka ❤

  • @estar-giggs2896
    @estar-giggs2896 Год назад +19

    Nani mwingine akiheart breakiwa anatafuta hii song kama mm niolne likez hapa

  • @BosiboriMochere-gt4de
    @BosiboriMochere-gt4de Месяц назад +2

    Wenye tuko gulf tunayapitia gonga like bado naisikiza huu wimbo hadi ni home❤❤

  • @gladysnyakenyanya8758
    @gladysnyakenyanya8758 Год назад +6

    Wenye tuomba yesu atugange moyo tukiwa gulf countries tukitafuta na shida 😢😢😢 tukutane hapa na likes.

  • @terrymish8236
    @terrymish8236 3 года назад +173

    Team tiktok am glad I found this song at a right time because past few days I have been doubting if God really exixt like how when those people who worship him suffers a lot but I thank him to remind me that yes he exixt Forgive me lord 🙏🙏 I was a lost sheep but you looked for me

  • @Carmella_k
    @Carmella_k 7 месяцев назад +17

    I remember these song when I was sick then I told my boss I'm not feeling well he told me let's go to hospital when we reached hos he said that he doesn't have money for treatment I cried calling for God 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @bahatadof5543
      @bahatadof5543 6 месяцев назад +2

      Wimbo mzuri sana kwa maisha ya Sasa tunayopitia,Asante sana Mama mtumishi ,acha Uendelee kutumika na khinua wengi tunaopita hapo,unatuinua

  • @lulu-oz7ih
    @lulu-oz7ih 3 года назад +144

    Mlotoka TikTok wapi likes ❤️❤️😩

  • @VioletEmachar
    @VioletEmachar 2 месяца назад +2

    Kweli duniani nikupitia but nice song jikaze kwa yote

  • @Samyoungmusic
    @Samyoungmusic Год назад +8

    Wale tunawatch 27|04|2023 gonga like ..tukisonga ...together we stay blessed in Jesus Name🙏🙏

  • @Tarkwen
    @Tarkwen 2 года назад +24

    Hapo kwa "MOYO UMEINAMAA.....UMEJERUHIWA......MOYO WANGU MZITO SANAAAAAAAA......"😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu niokoe ... Nimeshindwaaa......Moyoo umechokaaaa

  • @DORICASJSofficial
    @DORICASJSofficial 8 месяцев назад +12

    Napendaa sana nyimbo zako,hua nabarikiwa sana,binti yangu ni mwimbaji hua natamani,awe anaimba akimaanisha toka moyoni,kama ww!!!MUNGU aendelee kuikuza huduma yako

  • @salmabintiamina177
    @salmabintiamina177 3 года назад +17

    Nimeletwa na TikTok vaileth sikua nakujua kwa nini🙆god bless you,💕💕💕

  • @beatricewambui418
    @beatricewambui418 Год назад +2

    Moyo umeinama 😪😪😪😪😪moyo umechoka

  • @joakim.254
    @joakim.254 Год назад +2

    Moyo umechoka 💔💔😢😢😭😭

  • @lilianatieno162
    @lilianatieno162 Год назад +4

    Hii nyimbo nikiskiya waaa naliya peke yangu wakati habby anateseka na cancer ndiyo hii song ilitoka mpka aka fariki

  • @Debora-j2j
    @Debora-j2j 2 месяца назад +3

    Moyo wangu unalia baada ya kusikia wimbo huu tik tok 😢😢❤

  • @faithkariuki1221
    @faithkariuki1221 2 года назад +6

    Nimetoka TikTok mbio hadi uku💜💜💜💜

  • @dianabossy
    @dianabossy 5 месяцев назад +3

    July 2024 from tiktok show love for this woman of God ❤

  • @teddypaul950
    @teddypaul950 4 месяца назад +7

    Wenye nyimba za huyu mwimbi zinamguka mnipee like🔥🔥

  • @EstheryAtieno-sw8sc
    @EstheryAtieno-sw8sc 7 месяцев назад +8

    Kwa hakika moyo wangu n mzito sana yesu nigange moyo

  • @elikangai2466
    @elikangai2466 7 месяцев назад +6

    2024 May yesu Moyo umechoka 😭😭niokoe Mungu Wangu nifute Haya machozi 🙏

  • @ancillarziah2396
    @ancillarziah2396 2 года назад +19

    Yesu nigange moyo wangu umechoka kwa magumu ninayopitia katika ndoa yangu

  • @winniemandelachannel6071
    @winniemandelachannel6071 3 года назад +2

    TikTok imenipeleka huku...waaah👏👏👏👏 great song

  • @carolynemisango3128
    @carolynemisango3128 5 месяцев назад +6

    This song reminds me the day I was abandoned by my husband and left alone with my kids 😢😢😢my heart bled but Yesu aliganga moyo wangu nashukuru we're doing well without him

  • @ArunaKips
    @ArunaKips Год назад +4

    Pia nami nyimbo za valieth imenibariki Sana pia mm naomba like aky God atawabariki

  • @nyambanetv5730
    @nyambanetv5730 2 года назад +12

    Niko hapa Kwa hisani ya Tiktok a lovely message 🤩🤩🤩🎤🎤🎤🎤🎤

  • @fionakanana6223
    @fionakanana6223 3 года назад +61

    TikTok imenileta huku,i can't get enough of your songs.. they really inspire me alot.much love 🇰🇪

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  3 года назад

      Thanks much dear

    • @naimaalkiyumi2273
      @naimaalkiyumi2273 3 года назад

      Hakika Tiktok imenifanya nije huku niutafute...barikiwa dada kwa wimbo mzuri

    • @babasameer457
      @babasameer457 3 года назад +1

      Much ❤️ love my sister from MANAMA BAHRAIN 🇧🇭 🙏🙏🙏

    • @edgerdaniel6797
      @edgerdaniel6797 3 года назад +1

      @@vailethmwaisumo mungu akutie nguvu kazi nzuri sanaaaaaaa mungu akuinue ...Asante Sana

    • @venancegaspatv1961
      @venancegaspatv1961 3 года назад +1

      Hata mie

  • @MerbleSoita
    @MerbleSoita 2 месяца назад +2

    ❤hata mimi nitamwambia mungu tuu.

  • @jonaskatima
    @jonaskatima 9 месяцев назад +2

    my favorite artist in gospel

  • @judyrammy1268
    @judyrammy1268 3 года назад +16

    Eeeish,,,,tiktok imenileta huku,, thanks for this,,

  • @wafulajoshuaofficial5638
    @wafulajoshuaofficial5638 6 месяцев назад +4

    Ubarikiwe sana mama#🇰🇪🇰🇪🇰🇪,hakika huu wimbo unaguza na unapeana tumaini,Asante kwa KAZI njema🙏🙏🙏

  • @JonathanErick-o6o
    @JonathanErick-o6o 2 месяца назад +3

    Wale tuliojua Wimbo huu kupitia kwa beki tatu wa Oman tujuane hapa❤❤❤❤❤❤

  • @sharonkimutai9141
    @sharonkimutai9141 3 месяца назад +2

    Nyimbo safii Sana be blessed ❤❤❤

  • @KulwaSakila
    @KulwaSakila 14 часов назад +1

    kumbe huu wimbo huu mzuri hivi niliusikia tik tok

  • @sheilahkinandenyi1026
    @sheilahkinandenyi1026 3 года назад +10

    Nimeletwa huku na tik tok,,,am shading tears

  • @laventakelly2408
    @laventakelly2408 Год назад +23

    Its on 19/09/2023 at 3:00am listening to this comforting song as my mom is scheduled for surgery today morning, God see her through she's all we have. I believe our almighty has already Healed her in Jesus mighty name Amen Amen Amen and Amen 😔😔😔😔❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @firstladybeutfull4246
    @firstladybeutfull4246 3 года назад +6

    Nimetoka tik tok huu wimbo umenigusa yaaan kweli moyo wangu umechoka sanaa unauchungu dada ulie imba wimbo huu mwenyezi Mungu akujalie utoe nyimbo nyingi zaidi akupe afya njema akupe baraka tele umri mrefu nakupenda sana my sister

  • @jayletmoraa9716
    @jayletmoraa9716 3 года назад +2

    Thanks to TikTok exactly the right tym

  • @israelsisule
    @israelsisule Год назад +2

    😢😢😢😢😢😢😢, from kemunto🥺🥺😭😭😭😭eiii

  • @adelidesimiyu5405
    @adelidesimiyu5405 3 года назад +42

    From tiktok,to RUclips now skiza tune,I love this song God bless you my sister,and continue to anspire peaple thru ur songs 🙏🙏🙏

  • @modleenahmogah5380
    @modleenahmogah5380 3 года назад +89

    I love this song. I have read a lot of comments here and a lot of people are going through difficult situations. I am here to encourage you that indeed Mungu yuko. I personally went through the darkest time you cannot wish on your enemy in 2018. It’ took Gods grace to carry through. And today I am here , a testimony. God hears your cries and will answer your prayers. Believe in him. Feel encouraged. It will come to pass. Never give up on God.

  • @godsonduncan6962
    @godsonduncan6962 3 года назад +19

    “Moyo umechoka”,.. what a lovely song,,.😍 kila nikisikiliza natambua kuna zaidi ya sababu kumi elfu Mungu yupo🙏🏾,.

  • @cecilekinuthia1
    @cecilekinuthia1 Месяц назад +2

    What really bring you here to this song??may God give you strength for what you're going through..it shall be well ❤

  • @dianeslaizer
    @dianeslaizer 11 месяцев назад +1

    Moyo umechoka jamn,,

  • @marie-mary564
    @marie-mary564 5 месяцев назад +3

    Vaileth ako na sauti nzuri

  • @mukiilillian571
    @mukiilillian571 11 месяцев назад +4

    Mioyo imechoka lakini huu wimbo unatuhimiza ya kwamba Mungu yupo atugange tena☺️
    🇰🇪We recognize you Vaileth☺️

  • @edgerdaniel6797
    @edgerdaniel6797 3 года назад +8

    Hakika moyo umechoka chini ya jua hili hakuna jipya.....mungu nigange moyo maana watesi ni wengi mnooooo...... very powerful song mungu akubariki sanaaaaaaa Dada vaileth

  • @ElizabethAuma-c5m
    @ElizabethAuma-c5m Месяц назад +1

    Moyo umechoka😢😢😢😢😢😢😢

  • @GladeGlade-o1v
    @GladeGlade-o1v 3 месяца назад +1

    Shukran dada wetu..kweli moyo umechoka mwenye majibu tunakuhitaji wakati kama huu😢😢😢

  • @andrikatutu8719
    @andrikatutu8719 Год назад +15

    I've gone through tough times in my life but listening to this song gives me hope!!!!
    "YESU NIGANGE MOYO"
    YOUR DAUGHTER IS READY 😭😭😭

  • @centrine6847
    @centrine6847 3 года назад +20

    TikTok brought me to your account vaileth ,so far so good your songs has blessed my heart ❤️❤️❤️

  • @eliahmligite2823
    @eliahmligite2823 3 года назад +5

    Tiktok asante uyu mama anaimba kwa hisia sana

  • @missMoraa_1524
    @missMoraa_1524 Год назад +2

    24th September 2023😢😢😢😢Moyo umechokaaa😢😢

  • @MargaretNjoki-vx6sx
    @MargaretNjoki-vx6sx Год назад

    Who is here with me i love this song

  • @safari2976
    @safari2976 3 года назад +20

    On replay! Yesu nigange moyo, wewe mwenye majibu🙏🏾🙏🏾🇰🇪

  • @EstherMpa-ob2to
    @EstherMpa-ob2to Год назад +9

    Napenda sana huu wimbo mungu akubariki mamangu ❤❤❤

  • @Que_kamba._
    @Que_kamba._ Год назад +14

    Seeing this song as my mom is about to go for kidney transplant as she was 4 months in ICU but I believe in God🙏

    • @kevooketer1141
      @kevooketer1141 Год назад +3

      😭😭😭hope she gonna be well sister.all the best for your mom she I'll be well in his mighty name 🙏🙏

  • @ChristineNthenya-fx3mt
    @ChristineNthenya-fx3mt Месяц назад +2

    Kupitia kwa huu wimbo natumainia mungu ataniganga moyo wangu ulio na majiraha na maumivu,barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @cynthiakinya2931
    @cynthiakinya2931 Год назад +2

    Things happening against me😢😢😢 feeling so depressed hopefully yesu aningange moyo

  • @macymillionaire845
    @macymillionaire845 Год назад +3

    Moyo Umechoka,, Moyo una uchungu 2023😭😭😭

  • @marygoretnamkuru596
    @marygoretnamkuru596 2 месяца назад +5

    am so heartbroken today,😭😭😭😭😭 someone give me a like❤❤❤

    • @GladysNyakerario
      @GladysNyakerario 2 месяца назад

      Me too ndo maana nkam kutafutia hii song then boom nmekutana your comment let us be strong

  • @sheizzmusavi1998
    @sheizzmusavi1998 2 года назад +25

    Whenever am down....whenever am hurt...whenever my heart is heavy..this song is all i listen to uncountless times eiii barikiwa mtumishi😥 good song indeed

  • @zakariauzia2293
    @zakariauzia2293 7 месяцев назад +2

    Moja kati nyimbo ambayo hua inanitoa mchozi kila nikisikiliza maana Mngu akubaliki sana dada

  • @jacklinemunisi5757
    @jacklinemunisi5757 3 года назад +2

    Nimejuliya huu wimbo tiktok love song walai tutajua mengi kupitia tikitok

  • @Chelagat_Maswai
    @Chelagat_Maswai Год назад +3

    Life hasn't be that easy😢but i thank God for good health

  • @modelvinstrikah5381
    @modelvinstrikah5381 3 года назад +15

    From tiktok new sub🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏its a blessing song i cant stop playing it

  • @pieremchome5202
    @pieremchome5202 3 года назад +4

    Wimbo huu umenifanya nilie mwenzenu,Mungu ugange moyo wangu

  • @rehemalucas844
    @rehemalucas844 2 года назад +1

    yesunigange moyo

  • @Fefefinest
    @Fefefinest 3 месяца назад +2

    I'm here today this song heals me on daily basis,my heart is bleeding 😭😭😭😭

  • @nellychepkorir5378
    @nellychepkorir5378 3 года назад +25

    I have been listening this song everyday before I sleep ....its amazing

  • @emillywaweru5199
    @emillywaweru5199 3 года назад +8

    Thank you to TikTok I'm here, such a blessing song 🙏

  • @janepherstephy3448
    @janepherstephy3448 3 года назад +3

    Am just from TikTok to watch the full video I really love this song keep up much love from kenya 💕

  • @sircharisma1595
    @sircharisma1595 Месяц назад +2

    So touching, ooh Jesus ningange moyo...

  • @SindoleCharles-n6d
    @SindoleCharles-n6d 3 месяца назад +2

    naipenda sana huu wimbo mama mungu Akupe nguvu ya kuimba 🙏🙏🙏

  • @medinacheronohildah7933
    @medinacheronohildah7933 2 года назад +3

    Huyu mama anakuanga na nyimbo encouring 😥😥😥🥰🥰🥰

  • @kegolijoywine5372
    @kegolijoywine5372 3 года назад +11

    My heart is bleeding 💔. sometimes I used to question if really God exists 😭😭. Thanks for this song.

  • @deborahassan733
    @deborahassan733 2 года назад +3

    Yesu nigange moyo na uniponye magonjwa yote

  • @keithkipkoech-oy8wn
    @keithkipkoech-oy8wn 2 месяца назад +1

    Waa nimetafuta hii song all the way from tik tok ,,to just comfort my heart ,,,moyo unaumia sana ,,,😭😰😰

  • @NightLinet
    @NightLinet Год назад +1

    Moyo umechoka😢 finished my form 4 last year being the first born in a family of 4
    No fees for me😭😭 moyo umechoka aki mungu nisaidie😢 s rahisi 😢

    • @SelinaThoiyo
      @SelinaThoiyo 8 месяцев назад

      Some of us tume Tamac for some years bt God hs been there wishing you all the best

  • @nancybanchiri1804
    @nancybanchiri1804 3 года назад +17

    I shed tears listening to this song,,,,Moyo umechoka😭😭

  • @godwinbulili1747
    @godwinbulili1747 3 года назад +4

    Jamani Mungu Akusimamie Nyimbo Yangu Pendwa 😢Mamaangu Ubalikiwe 🙏🏿

  • @geoffreyomollo8070
    @geoffreyomollo8070 3 года назад +13

    I really feel emotional Aki this song really makes me feel like God is always around me

  • @JoyceDavidson-u3w
    @JoyceDavidson-u3w 2 месяца назад +1

    Kwa yoyote anaejikuta machozi yanadondoka akiwa anasali au kuomba sababu ya maumivu aliyonayo ...nakuombea Mungu akuponye kweny chochote kinachokupa maumivu na machozi

  • @InnocentIrankunda-ix7cj
    @InnocentIrankunda-ix7cj Месяц назад +1

    Message from TikTok nkakimbia hku mbio,kwa hakika nmebarikiwa sana❤❤