Annoint Amani - Kusemwa Raha (Official music Video)
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- #kusemwaraha#Annointamani#
Maneno haya muuwi mtu,ukiona unasemwa basi kuna sababu, Usihangaike kuwajibu wewe endelea kuimalisha uchumi wako ,Ni vizuri kama kazi zako zikitoa majibu kuliko wewe mwenyewe kuwajibu,
Maana kusemwa ni raha sana,Una fanyiwa promo ya bure na unakuwa salama popote, maana hao hao wanaokusema ndio hugeuka walinzi wako popote ulipo)
Artist,Annoint Amani
Song,Kusemwa Raha
Album,Kiboko yake ni Usingizi Album Vol 6.
Language Swahili)
Annoint Amani For booking
Instagram Annoint Amani,
Tiktok Annoint Amani tz, +255767240181=+255755099942)
Directed by Kheri one Brand Hanscana ( +255693 354 566 Tz)
Audio,A.E.A Tones studio producer by Meddy
Dar Es salaam Tanzania )
Team yangu ya tiktok piga like
Mimi m🇹🇿 naitwa labu lekina from tk ,mkoa ni arusha ,wilaya ngorongoro ,tarafa ya sale, Kata ya engaresero binafsi kusema kweli amekuwa wa kwanza mtumishi wa mungu annoint, nimeipenda nyimbo zake na si kwamba siwapendi wengine kama rose,bukuku ,mgendi,William,bony +sifaeli wote nimewakubali but nimelemewa na mtu wa mungu rafiki yangu ,"ANNOINT AMANI " mungu akutunze natamani siku mmoja nikuone!!!!
Ooohoo Hallelujah jamani umenifanya nimuogopa Mungu🙏🏼,
Asante sana kwa upendo rafiki yangu Mungu akupe neema ya kufanikiwa kwa kila jambo jema unalofanya 🙏🏼💪
@@annointamani3285 natamani Sana nikuone hata niimbe na wewe japokuwa Mimi si muimbaji but najisikia tu kuingia video yako tu basi utabarikiwa
Broo barikiwa sana hapa umegusa penye we kweli mimi ninani nisisemwe ,anayenisema nae anasemwa nawanaomsema nawanasemwa kusemwa rahaaaaaaa kweli
😢😮😢😢😢 😢😢😮😮 0:55 😢😢 😢😢😢😢😢😢😢😢 1:05 😢 😮 1:17 ❤🎉❤😮😮
@@annointamani3285ameen 🙏
weweeee😂😂😂💪🏿💪🏿.Inapendeza. na inamafunzo☺️❤️❤️❤️
Hii n kali qwa wale wanapenda kusengenya wengine ,kama umependa hii wimbo pita n kalike. 🔥
ALAFU KUNA MTU ATASEMA UYU SIO MFALME WA NYIMBO ZA INJILI ANNOINT AMANI KAPEWA KILA AINA YA UIMBAJI 💯💯
Huyo mseee Ako phity saaaaana💪💪
Kawaida sana toka nipo tumboni mwa MAMA yangu.
Ukweli kabisa kaka,love you for free
Kutoka TikTok Hadi utube🔥
Jamani kusemwa raha be blessed pamoja kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
Amen kusemwa raha
kielelezi kamili cha utumishi wa mbinguni,Hongera Amani
This man is blessed,mnasema maovu ila huyu ni mtumishi WA mungu,mungu aibariki kazi Yako,umewabariki wengi,
Ni Raha kusemwa sana. I love the strong 💪 message you have in your songs amani. I am a Kenyan an I love Tanzania artist so much. Continue spreading the word of God. Taji utapata ndugu yangu
From Rdcongo 🇨🇩🇨🇩 Π ubarikiwe kijana mwezangu.. ❤ vas de l'avant.. Ni chanson ya muzuri kumbe kusemwa raha kiasi hicho kumbe acha niwe na furahiya akinisema kwenye chuo 🥰
Kusemwa raha umetupa moyo Barikiwa Anoint
Huu wimbo nimekutana nao TikTok Nika like nikakufollow Nika comment nikafamya challenge nikakuja RUclips Nika sabscrib nikarudia marakumi kuwachi na nimecommenti Yani I'm in love with this song my dear brother
Hii wimbo n national anthem kwa nyumba yangu...watu wa plot n masengenyo Leo mtanitambua♥️♥️
😂😂😂😂😂😂😂
Niuweee😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Nimependa sana
Uhuhuuuuu nimekuona tiktok ikabidi nije kukutafuta huku❤❤🎉
Hii wimbo nmesumbua nayo jirani mwenye amenisumbwa siku mingi
Hakika kusemwa raha bila kusemwa huwezi kupiga hatua hasa ukiwa na kitu lazima kusemwa bigap sanaa mkuu wangu
Wimbo mtamu kweli,umenituma kununua home theater!much love from🇰🇪barikiwa bro
Ati promo bila malipoo😂😂😂😂
Woow ufunuo
❤️❤️❤️kusemwa Raha kama usemwi jua hakuna kitu unafanya
Love from Canada 🇨🇦 ❤️ ♥️. Omg kweri kusemwa raha kubwa. Nimesaidiwa na nyimbo hii sana kutoka tiktok mpaka nmekuja hapa juu ya utamu na nguvu inazo. Nmesemwa mabaya kwa mwiezi miwiri sasa lakini hii imeniinuwa juu. Hallelujah 🙌 Mtumishi Mungu akuongezee nguvu🙏🙏🙏🥰❤️
Canada montreal tuko pamoja kaka kusemwa raha
Jaman waga napenda sauti na vibe lako mungu akutunze maaan unatuwakilisha vema mtumish
Jani kusemwa raha
Kweli
From tik tok to here wa Soo ❤lovely and sweet
Hata Mimi naskia raha😂😂
Huo wimbo nausikiliza saana wanipa moyo wakati nasemwa jamani Yani haniumi popote barikiwa sana ndugu
Wangapi Wameletwa huku Kutoka Kwenye Status,
Jamani Kaka napenda nyimbo zako from béni drc
🇰🇪tunakupenda,Mungu anijalie nikuone siku moja tufanye collabo
Kiukweli nimeupenda sana wimbo huu sasa naaza kubadilisha mtazamo wangu katika kusemwa
Wimbo huu ni mzuri sana ina ujumbe mzuri sana ukisikisa visuri
Jmhn nakupenda mpk bc MUNGU azishe huduma yaki
Jamani Kaka napenda nyimbo zako from béni drc😮Mml
Kabisa kabisa hii sawa sana Bishop Stephen embwaga kutoka kenya waaa unaneema kubwa ndugu
Nani mwingine from tick-tock tujuane
Good song pray for my family man of God 🙏
Jamani kusemwa raha
Habari ndio hiyo toka South Africa 🇿🇦
Anaekusema nae anasemwa wanaomsema nao wanasemwa . Hii kweli raha. Hongera sana
Tz gospel singers nyinyi ni Hatari sana kwa ujumbe katika nyimbo zenu,Amani na @Bonny Mwaitegi Mungu azidi kuwatumia.
Saf sana nyimbo nzuri san
Kwakweli hadi laaah kweli na kukubal San mwamba
Ukweli nimeona yesu yupo mungu akubaliki uendelee kutufundisha
🤣🤣🤣🤣kusemwa raha.
Hongera mtumishi kwa kazi njema hii
❤❤nice song yani imenitia nguvu,kumbe kusemwa raha aaah
Changanya from nairobi kweli kabisa kusemwa raha
🙏🙏😁😁 Raha
Kusemwa raha jamani mungu akurinde na maraika wakuzekire🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I can't get enough with this song .....ndio nimejuwa mm Ni Wa Maana Sasa...
Napenda nyimbo zako sana,ikiisha narudia tena,Barikiwa Baba
I almost gave up but niliposikia this song wooow naomba wasengenyaji ongeza zaidi.am.3.steps ahead sai promo ya Burr🙏🙏🙏🤝🤝🤝🤝🤝
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Plomo bila Malipo
Japo yanauma Ila nasogezwa mbele. Endeleeni kusema
Fan kutoka Kenya 🇰🇪. Kusemwa raha.Amen
Napendaga jumbe zako tu Amen amen ameeen.
Enyewe kusemwa raha ndo uwa Mungu anakuinua....barikiwa amani
Barikiwa Sana
Hii wimbo iko na mafunzo asante sana brother
Yani watasema watapata Nini Kwa kunisema Mimi,mshahara wao watakucha kupikana wenyewe tu,god bless you brother wanao kuonea wivu washindwe Kwa Jina la yeah,Mimi napenda kazi yako kaka annoith endelea kujapa ya mungu
KUSEMWA RAHA indeed
BARIKIWA
La, dogo. Wewe ni mkari yesu kristo akutumie zaidi nafurahia nyimbo zako
Mhhhh umenibariki Sana mwanangu huo wimbo
Be blessed bro keep going 🙏🙏🙏🙏 am watching from KENYA. Your songs are more 🔥 🔥🔥🔥
Annoint Aman Mungu akubariki sana kaka. Yaani hua najiliza hua unaandika nyimbo ngapi kwa siku!!!? Maana haipiti miezi unaachia nyimbo mpya tena ina ujumbe mzuri sana.
Teaching song Yani kushemwa Raha Amen baraka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Laha jamani ni kweli my brother❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jamani nyimbo zako nazipenda sana mungu akuzidishii
Bigger up sana mtumishi wangu kweli kusemwa Raha . I'm tanzanian
Mi naskia raha 😊
What this guy has is a mystery
Promo bila malipo yaan Mtumish Mungu akuinuwe akufikishe viwango vya juu ili watu wake tupone nakukubari sana 🙏🙏
Tafadhali mtu aniunganishe na huyu mtu nimpeee back up for free tamu sana Kali sana💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃🥰🥰🥰🥰🥰
😂😂😂madui kusemwa laha nice song my brother
Huyu jamaa anajua mpaka anahalibu
Kusemwa raha ahahahaaa wanasema afu hawalipw mshahara🤣😂😃😃😃
Hii song jamen ❤Weee huku Kenya tunakupenda kaka
nyimbo nzur ukishazam haipatikan mm nawapa maon tyu
Wao 💕 den yani mimi naskia lahaa
Wenye tumeletwa na tiktok huku karibuni.
Hongera Sana annoint napenda sana wimbo zako 😊❤
Kweli mm ninani nisisemwe km yesu mwenyewe alisemwa ww ninani🇰🇪 Amen
Kusemwa raha sana endeleeni kutusema A.E.A tunapeta tu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimeipenda
Yes. Kusemwa Raha ukipata watu wanakuongelea bure na huwajui ama ushughuliki nao indeed you are special it like they are promoting your identity. God matters than their words.nice song.🙏🙏
Watching from kenya congratulations man of God ninapenda nyimbo zako sana🙏🙏🙏
kusemwa raha kumbe💕🔥🔥💫💫🔥 Kenya fan
Wawooo hapo kwenye step nimependa sana Mungu akutunze mno mtumish wa Mung
Raha mingi sana
❤❤❤❤i love the song sijui nimeirudia mara ngapi
Woow am blessed
Annoint natamani ufanye colabo na Ambwene mwasongwe
Ujumbe murua Sana Annoint mungu akupe Maisha marefu ujumbe konk hatar kwa wenye midomo 🙏
Kongole kwako kaka Annoint, lile jambo uliloniambia nafanyia kazi kaka from 🇹🇿, kazi njema yenye ujumbe mzito Hakika kusemwa Raha, living 🇰🇪
A blessed song hadi raha barikiwa Sana annoint nakupata nikiwa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante sana Mtumishi wa Mungu
Umenitia moyo zaidi...
Karibu KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kanisani
Kwetu.......
Kaka nyimbo zako ni nzuri ❤❤❤❤
MUNGU AZIDI KUKUINUA MWANANGU NABARIKIWA NA WEWE SANA