SIKILIZA MASWALI MAZITO YALIYO ULIZWA NA WANA CHUO KUHUSU UHALALI WA KUWASIMIKA WANAWAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 июн 2024
  • Sikiliza maswali Mazito yaliyo ulizwa na wana chuo cha CBC kuhusu uhalali wa kuwasimika wanawake kuwa Wachungaji

Комментарии • 102

  • @batholomewmshuzah3258
    @batholomewmshuzah3258 11 дней назад +5

    Ukwel upo wazi hekima ya mwanadamu n upumbavu kwa Mungu hii n saikolojia na sio neno la Mungu

    • @joshuakusena707
      @joshuakusena707 9 дней назад

      Bwana akubariki ndugu yangu. Hawa ni wanatheologia. Na theology zote ni za shetani

  • @nikusekelakajumba7697
    @nikusekelakajumba7697 11 дней назад +4

    Mungu akubariki Sana mchungaji,umenifundisha kitu kikubwa sana

    • @StivinSapi-eg7kr
      @StivinSapi-eg7kr 2 дня назад

      Ni andiko gani linalo ruhusu mwanamke kubwa mtawala kwa nafasi zakifalme.

  • @amosmakoba5042
    @amosmakoba5042 21 день назад +7

    Mwl uko sawa sana...
    "Ukosefu wa maarifa umezuia mambo mengi yaliyo mema na muhimu sana".

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 13 дней назад +1

      Nyinyi Ndio mna elimu kuliko yesu?

  • @victoranderelunyama4468
    @victoranderelunyama4468 7 дней назад +2

    ukweli n kwamba mwanamke harusiwi kusimama mbele ya wanaume.mwanaume ni utukufu kwa Mungu.mwanamke n utukufu kwa mumewe

  • @gracemutheu3717
    @gracemutheu3717 6 дней назад +1

    Hakuna kanisa la mwanamke ambalo Lina simama Kwa utakatifu wa Mungu shetani anajua udhaifu wa mwanamke.

  • @GeorgeNsabi
    @GeorgeNsabi 13 дней назад +3

    Ukweli wa Mungu haubadilishwi na Elimu ya mwadamu

    • @Stonecity01
      @Stonecity01 11 дней назад

      Mwanadamu anatakiwa kufwata Mungu kupitia neno

  • @user-ov6nq2wp6w
    @user-ov6nq2wp6w 8 дней назад +1

    Asiyeweza kusimamia nyumba yake atawezaje kulisimamia kanisa la mungu? Pasta kaa upande wa nenp la mungu lisilo badiliko. Amina.

  • @user-hj4sy9fy4g
    @user-hj4sy9fy4g 18 дней назад +4

    Hekima na busara, ni zaidi ya elimu ya kidunia !

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 17 дней назад +15

    Ndani ya kristo hakuna mwanaume wala mwanamke wako wana wa Mungu

    • @JohnJoseph-qq7ow
      @JohnJoseph-qq7ow 16 дней назад +3

      Jichanganye mbona hawakwenda vitani wakati was daudi Joshua, kama mme na make ni sawa

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 15 дней назад +1

      ​@@JohnJoseph-qq7ow
      Alichokuambia ndio ukweli maana Mungu alitengeneza kizazi kingine baada cha kizazi cha kwanza kutoshika sheria zake, someni maandiko vizur.Agano jipya ni kwa wale watakao amini na kushika sheria zake ndio watafanyika kuwa watoto wake na ndio taifa lake teule.Haijalishi mwanamke au mwanaume.

    • @okelotv4040
      @okelotv4040 14 дней назад +3

      Soma vizuri ilo andiko haliusu uongozi ila namna ya kuokoka

    • @Fidelismlawa-wn2bw
      @Fidelismlawa-wn2bw 13 дней назад +1

      Itakuwa siku za mwisho asema bwana nitamimina roho wangu ,juu ya wote wenye mwili, kwahiyo,hata wanawake ,wanawajibu wa kumtangaza kristo, roho mtakatifu kamiminwa kwa wote wenye mwili,nao ni mwili

    • @eugeniuslugangira7899
      @eugeniuslugangira7899 12 дней назад

      Kwa hiyo katika Kristo wako huyo unayemuamini hakuna jinsia?
      Kumbe hata ndoa hazitambui jinsia..?

  • @mussangao3164
    @mussangao3164 8 дней назад +1

    😂😂 wasomi wote peponi wanamjua sana Sir GOD😂😂

  • @miriamluziro8315
    @miriamluziro8315 8 дней назад

    Yaani nimetapenda majibu ya Prof

  • @venancezumba202
    @venancezumba202 9 дней назад +1

    Akikuchagua anakuwezesha 😊

  • @victorkalolo5350
    @victorkalolo5350 3 дня назад

    Mm huyu mwalim sjapataga kumuelewa hata sku moja

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 12 часов назад

    Huyu Dr bado

  • @musabarnabas7628
    @musabarnabas7628 13 дней назад +1

    Samahani sana kusema hivi: Doctor hajajibu maswali kisomi. Kama alitaka kujibu maswali kwa njia ya kuhubiri basi haikuwa na haja ya kufanya utafiti.

  • @WinfridaCreitus-bf3zn
    @WinfridaCreitus-bf3zn 21 день назад

    Mkeka ukatema! Kiukweli nimekuelewa sana sana. Thanks for that true elaboration when preparing to ask a question

  • @leonardnalasa
    @leonardnalasa 3 часа назад

    Ordination is not physical but spiritual.

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 15 дней назад +5

    Shetani kateka kila kona, mwanamke asimikwe hili iweje

  • @menyosami9713
    @menyosami9713 2 часа назад

    1Timoteo 2:11-17 yasema je?

  • @ezrageorge2369
    @ezrageorge2369 День назад

    Acha upagani ndo maana mmeliuwa kanisa kiroho elimu hiyo potovu

  • @anorderick7162
    @anorderick7162 11 дней назад +1

    Wana wake mmeisha sahau majukumu yao Shetani anajua jinsi ya kuteka hizo ni Roho za Lilith za kutaka kuwa sawa na wanaume....!!

  • @polepolelucas
    @polepolelucas 17 дней назад +1

    Nimempenda bule

  • @masindelubengo4129
    @masindelubengo4129 7 дней назад

    Prof alikutuma haya unajua mwenyewe, lakini hawezi kuwa Mungu Muumba wa vitu vyote!

  • @qamdiayboay-gv3by
    @qamdiayboay-gv3by 21 день назад +1

    Kusimikwa ni kuwekwa wakfu,kutengwa Kwa ajili ya kazi maalum

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 21 день назад +1

    Wanawake walikuwa na nafasi Yao ya mambo mengi kwa mfano
    1. Bikira Maria,
    kina Maria Magdalena
    2. Kina Eunice kina Rhoda,
    Dlorica, n.k kila mtu na majukumu yake.

  • @emmenuelmwalembe-yd1cz
    @emmenuelmwalembe-yd1cz 11 дней назад +1

    Mtazamo wa kiungu unahitajika sio kukaa na kuaanzaa kubishana

  • @kephasymotela9390
    @kephasymotela9390 21 день назад

    Safi sana elimuiko sawa

  • @georgiabuchukundi5146
    @georgiabuchukundi5146 19 дней назад +1

    Asante sana mtumishi

  • @user-dy9ue8yf5b
    @user-dy9ue8yf5b 13 дней назад +1

    Ukweli IKO wazi hakuna mtume mwanamke hakuna kiongozi mwanamke

    • @Nelsonmtimba
      @Nelsonmtimba 13 дней назад

      Umewai kumsoma Deborah alikuwa Ni Nani?
      Na unamfahamu mke wa Nabii Eliya alikuwa Ni Nani?

    • @nazirimassawe-fm8eh
      @nazirimassawe-fm8eh 3 дня назад +1

      ​@@Nelsonmtimba SOMA BIBLIA YAKO VIZURI TATIZO MNAJICHUKULIA VIPANDE VIPANDE VYA MANENO NA KUVITAFSIRI KIMHEMKO
      BIBLIA INANIAMBIA KUWA UKIONA MWANAMKE ANATAWALA ZAIDI YA MWANAUME KATIKA SEHEMU ZA IBADA ATA KIUONGOZI YUPO JUU YA MWANAUME BASI SEHEMU HIYO AU TAIFA HILO LIPO KATIKA HUKUMU YA MUNGU
      RUDI KASOME KUHUSU DEBORA ,ALIPOKUWA MUAMIZI TAYARI HUKUMU YA MUNGU ILIKUA INAPITISHWA KATIKA TAIFA LA ISRAELI.
      TENA BIBLIA INANIAMBIA,"NA NITAMFANYA MWANAMKE AKUTAWALE" YAANI KATIKA HUKUMU YA MUNGU MWANAUME ATATAWALIWA NA MWANAMKE

  • @sylviatemba6645
    @sylviatemba6645 10 дней назад

    Mungu alijua udhaifu uliopo ndani ya mwanamke,Naam hata Sasa 50/50 imeshindwa kuwaleta katika katika kile wao waliami kukipata.Doctor unalazimisha mtazamo wako uwe sahihi maana Tangu mwanzo haikuwa hivyo

  • @menyosami9713
    @menyosami9713 2 часа назад

    Pia I Wakorinto 14:32-34

  • @elitv7
    @elitv7 День назад

    Jihadhalini sana ndugu wapendwa wakristo!!! Hizi ni siku za mwisho ambapo shetani anapambana sana kuvuruga akili na ukristo wetu.

  • @Deborah-dl4ug
    @Deborah-dl4ug 17 дней назад +1

    Hiyo pole mimi mmh! Ninachojua ni kuwa Roho mt hana upendeleo, yeyote aliyemwamini Yesu anaweza kufanya mambo yote ktk Jina la Yesu kristo. TUNAYAWEZA MAMBO YOTE KTK YEYE ATUTIAE NGUVU. Hata wewe mwanaume kumbuka u bibiarusi wa kristo, ijapokuwa kwa sasa unapenda kuitwa BWANA ARUSI

  • @FrankAloyce-ic6rq
    @FrankAloyce-ic6rq 17 дней назад +1

    Wape ukweli kabsaaaa

  • @user-ov6nq2wp6w
    @user-ov6nq2wp6w 8 дней назад

    Yesu alisema Luka 16:8 Wana wa ulimwengu huu katika kizaz chao Huwa na busala na maalifa kuliko Wana wa Nuru. Ndio huyu profesa.

  • @Jonathan-gf9lj
    @Jonathan-gf9lj 12 дней назад

    Huyu ni mpinga Kristo!
    Mwanamke hawezi kuwa mchungaji, wala kuwa mwalimu ama mwinjilisiti au kuwa shemasi!
    Lete maandiko siyo Siasa!

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 12 часов назад

    Anaongea mitazamo yake tu

  • @isaackusupa9635
    @isaackusupa9635 6 дней назад

    Anafundisha uongo mwingi sana mawazo yako

  • @EPHRAIMRAMADHANI-is1du
    @EPHRAIMRAMADHANI-is1du 12 дней назад

    Kweli tujifunze zaidi bible

  • @user-dy5fn6qj1q
    @user-dy5fn6qj1q 12 дней назад

    Ebu tuangalie Kuna pahali mnamke alikwazuna na mitume au Kirsto lakini waliotenda mauwaji ugomvi ni. Wanaume na hata Sasa wanauume tuwafundisha wanawake unyama uuwaji kuwaingiza majeshini kuuwa B; damu kwa bunduki zamani haikua wanawake walikwa na huruma wanauume tuwafundisha wanawake unyama uuwaji na mwisho wanatafsiri hakuna tena wasiloliweza wanauume mliambiwa ishini nao kwa akili selemani. : Goliath; Ibrahim Esta kuingia kwa mflme waliangushwa na wanawake ndio neno ishini nawo kwa Akiliiiiiii likatimia

  • @user-le1rc7oc6u
    @user-le1rc7oc6u 9 дней назад

    HAKUNA 😮😮😮

  • @KedrickMalila-lk6xh
    @KedrickMalila-lk6xh 10 дней назад

    Walisha sema hawa ni viumbe dhaifu

  • @awitness9020
    @awitness9020 10 дней назад

    Weka number ya vhuo

  • @furahinimrutu3085
    @furahinimrutu3085 3 дня назад

    anafundisha ambacho biblia haifundishi

  • @magdalenamkelemi54
    @magdalenamkelemi54 19 дней назад +1

    Nimekuelewa baba

    • @dicksonsambala7756
      @dicksonsambala7756 10 дней назад

      Zawadi ya wito mtu anazaliwa nayo sio wakati wa kusimikwa...

  • @furahinimrutu3085
    @furahinimrutu3085 3 дня назад

    kama hawa ndio walim wa biblia tumekwisha

  • @eagtmwangazachurchdodoma
    @eagtmwangazachurchdodoma 10 дней назад

    Amen

  • @shillahmbogo5556
    @shillahmbogo5556 16 дней назад

    Research ya Kuelekezwa

  • @dottomanyesha9692
    @dottomanyesha9692 13 дней назад

    Wakati ule 🎉kukiwa na watu 100 wanawaje 50 na wanawake 50 iliku 9:36 wa inatamkwa kun umati wa watu 50 wanawake walikuwa hawahesabiwi.

    • @yamungummungulo633
      @yamungummungulo633 7 дней назад

      Sabab ilikua mwanamke alihesabika kwa mwanaaume, mume na mke pamoj ndio mtu

  • @bravebrain642
    @bravebrain642 12 дней назад +2

    Kama wanawake ni sawa na wanaume basi wapeni kuongoza familia zao, wanaume wawe chini.
    Kama kuhani anaweza kuwa mtu yeyote basi tuseme wachungaji, maaskofu nk siyo special
    Haya mafundisho yanaagenda ya feminism, imebaki kuwatetea mashoga ni swala la wakati....
    Mafundisho mabaya sana ..

    • @dicksonsambala7756
      @dicksonsambala7756 10 дней назад +1

      Maandiko yanapo sema Baba ni kichwa cha familia je? Haijatenganisha kabisa hadhi ya mwanamke na mwanaume kimajukumu. Be careful Dr.

  • @johnjoseph1106
    @johnjoseph1106 13 дней назад

    Amekuta talaka zinatolewa akaziacha ivyoivyo😮😢

    • @dicksonsambala7756
      @dicksonsambala7756 10 дней назад

      Hakuziacha hivyo hivyo alikosoa kwa kusema tangubmwanzo haikuwa hivyo...

    • @edmundmwanawima3873
      @edmundmwanawima3873 9 дней назад

      Yes alukosoa na wala hakuziacha Hivyo Hivyo,huyu dokta anajibu kisiasa

  • @user-mp6iw8ph5j
    @user-mp6iw8ph5j День назад

    The church that compromise,so sad. Jesus is the head of the church (bridegroom) and the church being the bride, that's final. To ordain a woman as the head of the church is to practice homosexuality.
    Prof.is preaching a different gospel

  • @user-ch8zc3bg9b
    @user-ch8zc3bg9b 19 дней назад

    Ameen🙏🙏

  • @peterenos2627
    @peterenos2627 4 дня назад

    Apostle is not Missionary and vice versa

  • @thenewhanangphotostudio6857
    @thenewhanangphotostudio6857 13 дней назад

    mi naamini yaliyoandikwa kwenye biblia yako straight forward kuyarekebisha kwa maneno matupu ni ngumu sana. Naamini kwa hekima, elimu na utafiti wa kibinadamu wako sahihi ndio maana tukija kibinadamu mashoga pia ni haki yao kupata wanacho kitaka maana miili yao wengine inahitaji hivyo. Mi naona kuna ugumu tusirahisishe tuendelee kumsihi MUNGU atupe kujua zaidi kusudi lake.

  • @Zeti-kf1bt
    @Zeti-kf1bt 12 дней назад

    Mwanamke hakubaliwi

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 15 дней назад

    Aliyeumba naMungu niMwanaume kwamfanowa waMungu meanamuke hakuumbwa baalialitolewa kwenye mwiliwamwanaume hivyo kwamujibuwabibiria meanamuke lazima kuleaeatoto kwakuwayeye ndiye alilala namtototumboni make aitu binadamu baali hata iumbewrngine mbona binadamu hashangai mbuzi nang'ombe hatahayawaniwengine anayeleawatoto nidumenijike?? haohayawaninao wananyanyapaa wanawakewao? huonimpangowaMungu tangu mwanzo Mungu hanachaelimu sijuiprofesa hanamssidizi alichofanyakikosahihi elimu yote ikokwake hakunamwanadamu anayewezakusahihishaMungu tusipotezane mudabure kamabibilia ikokwenyetamaduni zaidi kwanini hatakabla ya bibiria mbonadunianzima mwanamuke alizaanakuleawatoto mpakawatoke kwenye utoto naMungu walimtambua kwanamunayao kalimba kwajinsiwalivyomujua.

  • @BarnabaChota-tw7ol
    @BarnabaChota-tw7ol 15 дней назад

    Bado wachanga hawa vijana Mungu ataendelea kuwanoa taratibu.

  • @user-mp6iw8ph5j
    @user-mp6iw8ph5j День назад

    ......Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yoyote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri,na alaaniwe.....(Wagalatia 1:6-10)
    Pseudo Prof preaching a different gospel,twisting the gospel. Anawashawishi na kuwafurahisha wanadamu sio Mungu

  • @isaackusupa9635
    @isaackusupa9635 6 дней назад

    Herminutics anayoifundisha haiwelewi kabisa usitowe tafsiri zako ukaingiza ndani ya biblia

  • @peterenos2627
    @peterenos2627 4 дня назад

    This is purely world teachings and not Godly doctrine.
    You are misleading the Bible doctrines.

  • @isaackusupa9635
    @isaackusupa9635 6 дней назад

    Herminutics anayoifundisha haiwelewi kabisa usitowe tafsiri zako ukaingiza ndani ya biblia