This pastor yuko really sana..Mchungaji unaponya mioyo ya wengi Mungu azidi kukuinua kwa viwango.vya juu zaidi..sio.maya ya kwanza nasikia huu ushuhuda kinywani mwako.Yesu akutunze.
Kuna mpumbavu mmoja asiyejua ibada kule juu kakoment ujinga wake lakni Bwana atamwonesha njia kwa nguvu.eti anasema hyo ni njia ya kuchochea watu watoe sadaka yaani nimemshangaa sna yeye mwnyew hko kwa ibada zake anatoa mikafara yao ya kila namna ambayo ni machkizo kwa Mungu sas sisi wapendwa kutiwa moyo kutoa sadaka kunatatizo gani kwa mifano hai kam hii.pastor kimaro ubarikiwe sana na Mungu azndi kupandisha juu zaidi tunazipokea sana shuhuda byako na zinatujenga sanaa
Baada ya hilo na mm ninashuhuda nilikuw niko na boda boda yngu nafanys kazi zangu as usual nilikuwa natoa sadka na fnu tena kila wiki.lakn huwezi amini nilipoanza kuona hela inanizidi nguvu kazi za uhakika nikajisahau kdgo sas wew unayesema sadaka haiongei angalia tukio langu .siku hiyo basi likanifata sehem 1hvi mkoa wa pwni na ghafla chombo kikaisha upepo nikaangukia pembeni zaidi nikavunjia sehemu ambayo ni kumbkumb hadi leo kwmba hii ni kwa sababu ya kutokutoa fungu la kumi na kutokujiungamanisha kikamilifu na madhabahu ya Mungu alyehai mana ningesaidika kama Mungu angeliakuwa na kitu nimemkabidhi juu ya ulinzi wangu ushukuriwe baba unatuweka kwnye mstari kikamilifu snaa
Pastor napenda mahubiri yako, mungu ananisaidia pia kupitia wewe, nakuomba niombee pia nipige hatua pia, unajua pastor kuna watoto wa mungu kila tunalofanya aliendi, Mpaka uwezi amini kuna kazi nyingi nisha pata lakini zote nakosana na mabosi nafukuzwa, mpaka ya mwisho mwisho nikaambiwa nitoe sadaka ya malimbuko lakini siku natoa Nikafukuzwa kazi uwezi amini siku hiyo hiyo Tuombee roho ya kibari
Najua kulingana na status yenu nyie wachungaji wakubwa ni ngumu Sisi watu wa kawaida kupata nafasi ya kuongea na nyie hila naamini, ukisema kitu tu ntafunguliwa
Nikweli kabisaa sadaka inanguvu Sana, ww usiye amin, ungejaribu kutoa sadaka uone nn Mungu anakifanya kwako, Hata Mungu amesema nijaribuni kwa kutoa dhabihu zenu,
Mtumishi wa kweli baba mungu akulinde tuombe 🙏 🙏
Mungu akubariki baba
Amina 🙏🙏🙏🙏
Nabarikiwaga wana na Shuhuda zilizohai,
Mungu Akubariki Mchungaji
This pastor yuko really sana..Mchungaji unaponya mioyo ya wengi Mungu azidi kukuinua kwa viwango.vya juu zaidi..sio.maya ya kwanza nasikia huu ushuhuda kinywani mwako.Yesu akutunze.
Mchungaji Kimaro, Mungu aendelee kakutumia daima
AMEEN
Kuna mpumbavu mmoja asiyejua ibada kule juu kakoment ujinga wake lakni Bwana atamwonesha njia kwa nguvu.eti anasema hyo ni njia ya kuchochea watu watoe sadaka yaani nimemshangaa sna yeye mwnyew hko kwa ibada zake anatoa mikafara yao ya kila namna ambayo ni machkizo kwa Mungu sas sisi wapendwa kutiwa moyo kutoa sadaka kunatatizo gani kwa mifano hai kam hii.pastor kimaro ubarikiwe sana na Mungu azndi kupandisha juu zaidi tunazipokea sana shuhuda byako na zinatujenga sanaa
Amen Amen Amen 🙌🙌ponya roho za wengi Baba!!
HONGERA NA ASANTE KWA shuhuda nzuri na TAMU KULIKO ASALI
Baada ya hilo na mm ninashuhuda nilikuw niko na boda boda yngu nafanys kazi zangu as usual nilikuwa natoa sadka na fnu tena kila wiki.lakn huwezi amini nilipoanza kuona hela inanizidi nguvu kazi za uhakika nikajisahau kdgo sas wew unayesema sadaka haiongei angalia tukio langu .siku hiyo basi likanifata sehem 1hvi mkoa wa pwni na ghafla chombo kikaisha upepo nikaangukia pembeni zaidi nikavunjia sehemu ambayo ni kumbkumb hadi leo kwmba hii ni kwa sababu ya kutokutoa fungu la kumi na kutokujiungamanisha kikamilifu na madhabahu ya Mungu alyehai mana ningesaidika kama Mungu angeliakuwa na kitu nimemkabidhi juu ya ulinzi wangu ushukuriwe baba unatuweka kwnye mstari kikamilifu snaa
Umenifundisha kitu kikubwa sana , barikiwa
Hakika namuona Mungu kupitia Mahubiri Yako Mungu nisaidie nivuke hapa nilipo nisonge mbele
Ameeeen
Hata nami kwa kushidwa kutoa fungu la kumi na kazi nkasimamishwa😢 # ila Mungu wetu n wa rehema anatupatia nafasi nyngne ya kutengeneza🙏🏼
Ppl
AMEEN SANAAA
Hallelujah ❤❤❤
Amina Mchungaji wangu
Amen mtumishi wa Mungu hivyo ndiyo inatakiwa Mungu awatunze huduma yako
Mchungaji Hakika Mungu aendelee kukupandisha zaidi ktk viwango vya juu. Mafundisho yako yananijenga. Asante
I love your teachings mchunjaji
Mchungaji kimaro mungu akubariki sana kwa mafundisho yako unaponya wenigi ndani ya mioyo iliyoumia
Mchungaji kiongozi Mungu akubariki sana masomo yako mazuri yanafundisha vizuri.
Mungu akutie nguvu, na akubariki snaa kwa mafundisho Mazur.
Mchungaji nakupenda xana mungu aku
Mungu nisaidie
Ubarikiwe sana mtumishi
Mungu akubariki
❤❤❤
Ameen
Ameeeeniii
Amen
Ubarikiwe mchungaj
Nabarikiwa na shuhuda hizi
😢 amen
Mchungaji barikiwa sawa
Pastor napenda mahubiri yako, mungu ananisaidia pia kupitia wewe, nakuomba niombee pia nipige hatua pia, unajua pastor kuna watoto wa mungu kila tunalofanya aliendi,
Mpaka uwezi amini kuna kazi nyingi nisha pata lakini zote nakosana na mabosi nafukuzwa, mpaka ya mwisho mwisho nikaambiwa nitoe sadaka ya malimbuko lakini siku natoa
Nikafukuzwa kazi uwezi amini siku hiyo hiyo
Tuombee roho ya kibari
Najua kulingana na status yenu nyie wachungaji wakubwa ni ngumu Sisi watu wa kawaida kupata nafasi ya kuongea na nyie hila naamini, ukisema kitu tu ntafunguliwa
Mimi nisteven Rwamgurwa nabii nashida nasmbuliwa nguvu za kiume pia na uchumisina maisha naomba unisaidie mimi niko dodoma
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu umepona mda huu Mungu ni Sasa mwamini Mungu tu
Sadaka sio kitu cha kumpima mungu lazima tujitambue wapendwa
Kwani Mungu alimwambie Ibrahimu amtoe sadaka mwanawe wa pekee?
@@davidkamando9630 kwanza lazima ujue ile sadaka ilikuwa inamfunua nani na nini mungu alikuwa anataka akioni kwa ibraimu
Tunapata uponyaji wa nafsi kupitia mafundisho haya baba
MUNGU WETU WA MBINGUNI NI MKUU HAPA DUNIANI
Napokea vitu vizur kwa kujifunza na kunikumbusha eeee Mungu nisaidie animalize nadhali nilio weka
Nikweli kabisaa sadaka inanguvu Sana, ww usiye amin, ungejaribu kutoa sadaka uone nn Mungu anakifanya kwako,
Hata Mungu amesema nijaribuni kwa kutoa dhabihu zenu,
Sadaka ni kitu kingine aisee
Sio mchungaji wa magumasi
Mkihaidi mbatizwee na na mengi mim nilisakehewa
Kwahiyo Mungu alisema huyo mtu kashambuliwa sababu hakutoa pesa? Mbinu za kuwatia watu hofu watoe pesa tu hamna lolote!
Shalom wewe, kama huelewi som, uliza. Nina uhakika huelewi maana ya sadaka. Naomba uwe mwangalifu na sms au kuingia jambo kama hukijui.
Mchungaji kimaro mungu akubariki sana kwa mafundisho yako unaponya wenigi ndani ya mioyo iliyoumia
Ameen